Kumtia Ila Na Dosari Muislamu Mwenzako Kwa Madai Ya Kumnasihi - Dr Islam Muhammad Salim

  Рет қаралды 6,902

Dr. Islam Muhammad Salim - Short Clips

Dr. Islam Muhammad Salim - Short Clips

Күн бұрын

Пікірлер
@DailySalesMinimsa
@DailySalesMinimsa 2 ай бұрын
Allah atukutanishe peponi pamoja sheikh langu... amin
@Mr.Mahmoud-p6f
@Mr.Mahmoud-p6f 8 ай бұрын
اللهم احفظك من الحاسدين ومن عدوك من الدين وامور الدنيا . اللهم تقبل منك في الدنيا والاخره واجعل اعمالك الصالحه في ميزان حسناتك بارك الله لكم جميعا وحفظكم الله
@hadijamushi8674
@hadijamushi8674 2 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akulinde na kila baya Dr Islam, tunapata faida sana kupitia darsa zako sheikh
@almunawarakanyosha1402
@almunawarakanyosha1402 2 жыл бұрын
Allah akuhifadhi Dr islam
@suleymanislam4015
@suleymanislam4015 2 жыл бұрын
جزاك الله خيرا
@Onlyforfun1992tube
@Onlyforfun1992tube 9 ай бұрын
Sheikh una kiswahili fasaha kabisa sheikh allah akubarik sheikh mungu akupeleke janatu firdaus
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 2 жыл бұрын
SHEIKH ITA QILLAH KUMPIGA NYUNDO YA RADD KWA YULE ANAYEPOTOSHA HAKKI NI HAKKI KUKOSELEWA HATA KAMA YEYE ATACHUKIA!!
@faridaikussi
@faridaikussi Жыл бұрын
Inatakiwa itumike hekmaa ndng yng
@mbjunior166
@mbjunior166 Жыл бұрын
Unamkosoa mwanachuoni Ibn Rajab au? mana hapa yeye ananukuu tu sasa inabidi umwambie Ibn Rajab Ittaqillah!
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 Жыл бұрын
Napenda xna mawaidha yko, kabla sijakujua nilikuwa nifatilia mawaidha ya shekhe izudin baada yy kusema rasta ni Halali eti sinimkonge Tu,,,napale alipokuwa anasherehekea siku yake yakuzaliwa nikaachana nae ,,,,Allah akuhifadhi
@galbasalim2164
@galbasalim2164 2 жыл бұрын
Nauliza aliepotosha umma dhaahiri shaahiri juu ya membari anafaa kupewa naswaha vipi.
@ibrahimsaidi7211
@ibrahimsaidi7211 2 жыл бұрын
Shekh nahitaji kuja kusoma kwako
@hassankagoma58
@hassankagoma58 2 жыл бұрын
قال ابن رجب رحمه الله "اعلم أن ذكر الإنسان بما يكره محرم إذ كان المقصود منه بمجرد الذم والعيب والنقص. فأما إن كان فيه مصلحة لعامة المسلمين خاصة لبعضهم وكان المقصود منه تحصيل تلك المصلحة فليس بمحرم بل مندوب إليه" Hayo maneno ya Ibn Rajab ktk utanguliz yanaonesha kuwa kumsema muislam yafaa ikiwa kuna maslahi ktk ummah......... Kwaiyo kusema kumtia dosar muislam haifai sio kweli
@galbasalim2164
@galbasalim2164 2 жыл бұрын
اَلسَلامُ عَلَيْكُم وَرَحْمَةُ اَللهِ وَبَرَكاتُهُ‎
@user.-_5943
@user.-_5943 2 жыл бұрын
وعليكم السلام ورحمة الله وبركاته
@mbjunior166
@mbjunior166 Жыл бұрын
Kwa hakika kabisa maneno haya ya Ibn Rajab(rahimahullah) ndio tunaishi nayo katika mujtamaa wetu kwa sasa. Allah atuongoze ktk haqqi na atuepushe na kusemana vibaya na kuitana majina mabaya tena hasa pale inapokua wote ni Ahlu sunna waljamaa na pengine tumekhitilafiana ktk mambo ambayo hayahusiani na akida yetu au pengine ni mambo yetu ya maslahi ya kidunia na wala sio dini kabisaa!
@hassankagoma58
@hassankagoma58 2 жыл бұрын
Dokta kuna maneno umewaacha ndan ya kitaab cha ibn Rajab ktk utangulizi wa kitab chake pale aliposema "Tambua kuwa kumtaja muislam ktk yale atakayochukua ni haram itakapokuwa makusudio ya kumsema (taja) ni sababu tu ya kumsimanga, kumtia aibu na kumpunguzia heshima yake, amma itakapokuwa ndan yake kuna maslahi kwa ummah mzima wa waislam hasa kwa baadhi yao na yakawa makusudio ya huko kumsema muislam yanapatikana maslahi ITAKUWA SIO HARAM BALI ITAKUWA WAAJIB" Mwisho wa kunukuu mbona hayo maneno hujayasema shekh?
@Nature-xe7lu
@Nature-xe7lu 2 жыл бұрын
happa duktur ulimzingumza Yusuf Abdi.Hapa ni vipi?? kzbin.info/www/bejne/gnSnd32QqsSXaNk
@muhammad-Swaabir
@muhammad-Swaabir 2 жыл бұрын
Alimtaja jina? Kisha je alimsema kwa ubaya
@jimjamalizy3886
@jimjamalizy3886 2 жыл бұрын
Dr islam hakumkashif wala kamtaja jina ila alitoa nasaha juu ya nasheed
Mfumo Wa Wema Waliotangulia Katika Kuisoma, Kuizingatia Na Kuitafsiri Qur`an - Dr Islam Muhammad
18:39
Dr. Islam Muhammad Salim - Short Clips
Рет қаралды 3,5 М.
Aina Ya Tiba Ya Ajabu iliokosa Kufahamika Na Madaktari Wengi - Dr Islam Muhammad Salim
11:15
Dr. Islam Muhammad Salim - Short Clips
Рет қаралды 9 М.
When u fight over the armrest
00:41
Adam W
Рет қаралды 31 МЛН
Don't underestimate anyone
00:47
奇軒Tricking
Рет қаралды 16 МЛН
А я думаю что за звук такой знакомый? 😂😂😂
00:15
Денис Кукояка
Рет қаралды 3,2 МЛН
Moyo Usiokuwa na Dosari 1 | Joyce Meyer
24:25
Joyce Meyer Ministries Kiswahili
Рет қаралды 2,8 М.
NI VIPI MTU ANAWEZA KUKUSANYA AU KUPUNGUZA SWALA YAKE AKIWA SAFARINI
27:22
Sifa Ya Unyenyekevu Waliokua Nayo Mitume Wa Allah - Dr Islam Muhammad Salim
7:54
Dr. Islam Muhammad Salim - Short Clips
Рет қаралды 4 М.
Dr. Islam Muhammad || SABABU ZINAZOPELEKEA MTU KUIKATAA HAQI
1:45:07
01: QURAN INA MADAI 4, LAKINI MATATIZO 6
27:14
Ushahidi Films
Рет қаралды 2,1 М.
SAFARI YA MUISLAMU|| DR.ISLAM MUHAMMAD
20:57
Al Haqiqah
Рет қаралды 314
When u fight over the armrest
00:41
Adam W
Рет қаралды 31 МЛН