Пікірлер
@OmarmanswabAlhabeebmanswab
@OmarmanswabAlhabeebmanswab 13 күн бұрын
Mie nakupenda sana duktuur islam baaarakallah fiik
@hafsahamza4465
@hafsahamza4465 27 күн бұрын
Mashaalah
@faridaikussi
@faridaikussi Ай бұрын
Waumepia fitna ukinyanyuka kuswali usiku akwambia lalabana
@MatcoSalo-rf2qj
@MatcoSalo-rf2qj 2 ай бұрын
Jazaakallahu Khair duktuur islam
@RlfatlHamadi
@RlfatlHamadi 2 ай бұрын
MASHA ALLAH ALLAH BAREEK
@muhammadal-bimani8120
@muhammadal-bimani8120 2 ай бұрын
Shekhe hiyo haiwi ya mwexi mmoja. Tumia logic tu itakwambia kuwa kauli ya mwezi ni mmoja haiwezekani kabisa. Shekhe kulikuwa hakuna mzozo wowote mpaka hivi juzi tu Wahabi kuleta mwezi ni mmoja tu. Ya mwezi mmoja duniani kote suo kauli sahihi kabisa
@habibaramadhani-xv2ed
@habibaramadhani-xv2ed 2 ай бұрын
ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR
@ummusulaish5586
@ummusulaish5586 2 ай бұрын
MashaAllah
@techscalescompanylimitedsh9503
@techscalescompanylimitedsh9503 3 ай бұрын
InshaAllah naanza swala ya usiku
@Bari686
@Bari686 3 ай бұрын
Naam shehe wangu nakubali
@mubaarakamussa9567
@mubaarakamussa9567 3 ай бұрын
Assalaam alaykumu warahmatu llahi wabarakaatuh ndugu,,,,,pole na majukumu mengi ndugu,,,, siku izi sipati darsa za sheikh Dr Islam Mohammad,,,,, kuna shida gani?? Au baada ya ramadhaan hajafanya darsa ??
@vincentonyango183
@vincentonyango183 3 ай бұрын
Mashalla 💕❤️💕
@zubedazubedasalum
@zubedazubedasalum 3 ай бұрын
😢
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 4 ай бұрын
❤❤ tunakupenda ductur islamu Allah akuhifadhi kulingania watu katika kwa dawa ya ahlsuna manhaji ya salafi wa kweli so allah atakulipa na akuepushe na hasadi za watu wabaya na hasadi za genge la chama cha kijadida kinachodai usalafi na kazi yao kuwatoa wanazuoni na walinganizi wa kweli kama nyie, mnaotufundisha dawa nzuri ya mtume. Siku zote mkia autikisi ng'ombe ila ngombe hutikisa mkia, uendelee kuwastahimil majahil kama hawoo na ndo mitihani ya dawa ya kweli.
@AbdallahMnyiwe-he2zu
@AbdallahMnyiwe-he2zu 4 ай бұрын
Hujui
@katore1982
@katore1982 4 ай бұрын
Assalamualaikum warahmtullah wabaraqthu ustadhi Islam Muhammad Kwa kweli maudhui yako TabarakaAllah fii na visa na mifano Huwa ya hai yaani live kabisa nimetazama hichi kisa nanika google nikasoma kiurefu basi nichakutisha kusikitisha na Cha kweli kabisa huyu Muhammad Farhan alikuwa gwiji wa wachawi Kwa takriban nika 30+ utadhani ni tamthilia au sinema ila niukwe mtupu alipokuwa Saud Arabia ndio aliwika kweli nakutamba lakin kumtumikia sheitan lakin Huwa kuna mwisho... swadakta ustadhi Allah azidi kukujaaliya Elmu na akujaaliye kheir
@yusufulukamata7152
@yusufulukamata7152 4 ай бұрын
Huyu shekh ana hekma
@user-sd6xv6jq2m
@user-sd6xv6jq2m 5 ай бұрын
اللهم احفظك من الحاسدين ومن عدوك من الدين وامور الدنيا . اللهم تقبل منك في الدنيا والاخره واجعل اعمالك الصالحه في ميزان حسناتك بارك الله لكم جميعا وحفظكم الله
@khamiskhamis2090
@khamiskhamis2090 5 ай бұрын
Maashallah shekh umenena jambo Allah akubarik umeonesha njia ya kuondosha mtafaruk
@GeneralNdembo-rf9mp
@GeneralNdembo-rf9mp 5 ай бұрын
Naam
@GeneralNdembo-rf9mp
@GeneralNdembo-rf9mp 5 ай бұрын
MashaAllah Allah atujaalie
@user-nt4qc4zg7y
@user-nt4qc4zg7y 5 ай бұрын
Mashaallah shukuran sana shekh
@user-gn6ku2ui2p
@user-gn6ku2ui2p 5 ай бұрын
masufi wanaumia saaaaaana shkh eliminate unafraid kuwa mufti
@user-gn6ku2ui2p
@user-gn6ku2ui2p 5 ай бұрын
maashaallaah shekh unafraid kuwa mufti
@inspirationalclips1422
@inspirationalclips1422 5 ай бұрын
Nmekuja usiku wa leo kupata jawabu , nimemaliza kula daku muda si mrefu na kutia nia, Alhamdulillah
@user-ir3te1ge1r
@user-ir3te1ge1r 5 ай бұрын
Maa shaa Allah
@NasraAbdillah-mb9dp
@NasraAbdillah-mb9dp 6 ай бұрын
Mdaa sahihi wakuswal swala ya istikhara ni upi?
@Onlyforfun1992tube
@Onlyforfun1992tube 6 ай бұрын
Sheikh una kiswahili fasaha kabisa sheikh allah akubarik sheikh mungu akupeleke janatu firdaus
@bishweko
@bishweko 6 ай бұрын
❤ Masha'a Allah
@zakhranahamiss-wn7mw
@zakhranahamiss-wn7mw 7 ай бұрын
Allah aniwezesh siku moja niwe mwanafunzi wako sheikh
@zakhranahamiss-wn7mw
@zakhranahamiss-wn7mw 7 ай бұрын
Wallah nakupenda kwaajl ya allah sheikh wetu naomba Allah aniwezesh siku moja niwe mwanafunzi wako wallah
@ABUUALLY-tv8rl
@ABUUALLY-tv8rl 7 ай бұрын
Uwongoo hakuna swahaba wa mtume aliekuwa anaitakidi kama Allah s.w yupo mbinguni ? Vipi iweje Allah awe mbunguni na wakati mbingu kaziumba yeye mwenyewe? Allah hahitajii sehemu kwa sababu sehemu yeye ndie muumba wa sehemu kwahiyo wewe iyoo itiqadi yako ni itiqadi ya kiyahudi ulionayo wewe hata wakristo ukiwauliza mungu yupo wapi atakwambia yupoo juu mbinguni ,hizi ni itiqadi potovu hazina ukweli ni uwongoo mtupu
@MSalem786
@MSalem786 7 ай бұрын
hukutaja kwamba wakati wa Mtume saw Qur-aan tayari imekamilika. na Mtume saw hakuitisha quran ikusanywe! na hata Abubakar siddique RA alikataa kuileta pamoja kwani Mtume hakufanya hivyo. ! Omar farook RA ilimbidi kuja mara nyingi kumshawishi abubakar siddique. sasa unaona katika mwanga wa kuileta pamoja ilikuwa ni uvumbuzi mpya. lakini ambayo husaidia katika dini. ufahamu mkubwa hapa ni kwamba uzushi wowote ulio ndani ya vigezo vya sharia unakubalika. vigezo ni shariah na sunna.
@arshadmohammed3207
@arshadmohammed3207 8 ай бұрын
Ustadh nina shida na ww naomba no.yako ya watsap,tafadhali ustadh
@swabrambarak7523
@swabrambarak7523 8 ай бұрын
Mashallah
@hamenyimanasalum7289
@hamenyimanasalum7289 9 ай бұрын
Assalaam alaykum warahmatulahi wabarakatuh nakupenda sheikh kwajili ya ALLAH
@YusufArif-pv6ic
@YusufArif-pv6ic 9 ай бұрын
Allah awajaaliye wanaoskiliza haya wayatii na kuyafanyia kazi. Amin
@FadhiliMdoe-md1fz
@FadhiliMdoe-md1fz 9 ай бұрын
Matokeo yadarasa la saba 2023
@yarimysahra8061
@yarimysahra8061 9 ай бұрын
صل الله عليه وسلم
@fathiyaawadh7560
@fathiyaawadh7560 9 ай бұрын
Sheikh sadaqta
@faridaikussi
@faridaikussi 9 ай бұрын
Maashaallah ustadh ukitabasamu unapendeza
@ramambaga5561
@ramambaga5561 9 ай бұрын
Manshaalh shekh nimpt tabusan kutafut ukweli huu
@mwaramimwarami1479
@mwaramimwarami1479 9 ай бұрын
Baaraka llahu fik sheikh Islam
@AngoligaJamada-ps7zu
@AngoligaJamada-ps7zu 9 ай бұрын
Jazakallah ustadh
@mwaramimwarami1479
@mwaramimwarami1479 10 ай бұрын
Baaraka llahu fik sheikh Islam,umegusa jambo nyeti Wallah, binafsi huwa nastaajabu sana,naona watu wanafanya ibada kama fashion,sijui ndo model Islam amavp,ria kilasehemu, hatari sana wallah
@habibasalim3092
@habibasalim3092 10 ай бұрын
Oh yeah mimi pia hua wananiudhi mi nadhani nikajaliwa kwenda hajj ama Umra sitopiga hatta picha, manake kufanya ibada na kujionyesha ni rayyah na riyyah ni shirk ntakavo focus na ibadah, May Allaah grant me to visit 2:10 kabbah atlist once, Aameen Aameen 😢😢😢 3:05
@mwaramimwarami1479
@mwaramimwarami1479 10 ай бұрын
Baaraka llahu fik sheikh Islam
@alhilalymediapro
@alhilalymediapro 10 ай бұрын
Jazaakumullaahu khaira wabaaraka Llahu fikum
@mwaramimwarami1479
@mwaramimwarami1479 10 ай бұрын
Baaraka llahu fik sheikh Islam
@YannyBoe
@YannyBoe 10 ай бұрын
shukran