KUMTUNZA NA KUMLEA ROHO MTAKATIFU | MTUME MESHAK

  Рет қаралды 14,853

Ukweli Ministries

Ukweli Ministries

Жыл бұрын

Karibu Ukweli Ministries. Sisi ni huduma iliyoitwa na Roho kuhubiri ukweli, na hatutapita wiki bila kuhubiri ukweli kwa roho zilizopotea huko nje. Hili si dhehebu na kamwe hatutajiona kuwa ni dhehebu, lakini Bwana ametuita kurekebisha madhehebu. Kwa neema ya Mungu, tumefundishwa na Yesu Kristo kwamba yeye ndiye Mungu wa pekee wa kweli, mkamilifu katika uumbaji wake. Hatuamini utatu, kwa sababu hautoki kwa Mungu, na tumefundishwa na Mungu kukaa imara kwa kichwa ambacho ni Kristo (Wakolosai 2:19.) Mafundisho yetu yote yamethibitishwa na Mungu aliye juu zaidi. , Kristo Yesu. Na tunahakikisha kwamba hatufundishi chochote ambacho hakitoki kwake. Bwana awape kila mtu ufahamu na subira katika kusoma haya. Amina.
Welcome to Ukweli Ministries. We are a ministry called by the Spirit to preach the truth, and we will not go a week without preaching truth to the lost souls out there. This is not a denomination and we will never consider ourselves to be a denomination, but the Lord has called us to fix denominations. By God's grace, we've been taught by Jesus Christ that he's the one and only true God, perfect in his creation. We do not believe in the trinity, because it does not come from God, and we've been taught by God to stay steadfast to the head which is Christ (Colossians 2:19.) All of our teachings are confirmed by the highest God, Christ Jesus. And we make sure that we do not teach anything that does not come from him. May the Lord give everyone understanding and patience in reading this. Amen.
Social Media:
/ ukweliministries

Пікірлер: 120
@priscajohn26
@priscajohn26 4 ай бұрын
Natamani Sana na Mimi nipate kujazwa Roho mtakatifu naomba Mungu anijaze
@TumsifuJoseph
@TumsifuJoseph 2 ай бұрын
Amina
@marthaadammakatobemwakatob4246
@marthaadammakatobemwakatob4246 3 ай бұрын
Ameen ameen
@stephanosospeter1709
@stephanosospeter1709 Жыл бұрын
Asante KRISTO YESU
@waithirawanjora3852
@waithirawanjora3852 Жыл бұрын
Hii ndio tamanio la moyo wangu kujazwa na ROHO MTAKATIFU ee Bwana YESU CHRISTO sikia ombi la moyo wangu
@daudsimon1488
@daudsimon1488 Жыл бұрын
Aminaaaaaaaaaaa
@user-bz3te4pd8e
@user-bz3te4pd8e 3 ай бұрын
Mungu hakubari sanatena sana
@BeatriceMalugala-lr5ix
@BeatriceMalugala-lr5ix Жыл бұрын
Mungu azidi kukupa nguvu ili uzidi kutufunulia, MUNGU akuongezee neema
@daudsimon1488
@daudsimon1488 Жыл бұрын
Aminaaa
@fatumaminyeko1875
@fatumaminyeko1875 Жыл бұрын
Nabarikiwa sana MUNGU akubarikisana
@user-fs3me5sm2f
@user-fs3me5sm2f Ай бұрын
Umesema roho tunayo tayari, mbali tunaitaji utakatifu
@faustakomba8186
@faustakomba8186 Жыл бұрын
Nemo la mtume limenibariki ubarikiwe saana mtumishi wa mungu amina
@marymary260
@marymary260 5 ай бұрын
Amen
@monicamwasi9961
@monicamwasi9961 Жыл бұрын
Amen najengwa sn kupitia mafundisho Yako ubarikiwe mtumishi
@lightness183
@lightness183 Жыл бұрын
Amen Amen
@faustakomba8186
@faustakomba8186 Жыл бұрын
Naomba msaada nijanzweroho mtakatifu amina
@ivonaevarista4654
@ivonaevarista4654 Жыл бұрын
Aminaaaa 🙏
@etomlondani
@etomlondani 3 ай бұрын
Amen🙏
@furahaabdalah1767
@furahaabdalah1767 Жыл бұрын
Amen amen
@marychege9414
@marychege9414 Жыл бұрын
Amen. niombee mimi ni nabii nianze kuhudumu.barikiwa
@ernesttomas85
@ernesttomas85 Жыл бұрын
Safi
@emanuelkadushi
@emanuelkadushi Жыл бұрын
Ubarikiwe Mtume Meshak mm nimetumia cm ya rafiki yangu tu nabarikiwa sana na neno la MUNGU ambalo ameachilia kwenye kinywa chako
@user-sk1pf7rb7i
@user-sk1pf7rb7i Жыл бұрын
Amina Mungu aondoe udhaifu wa kutokulisoma neno kwa bidii
@domnicoduor7168
@domnicoduor7168 Жыл бұрын
Amen🙏🙏
@Rose-to2qg
@Rose-to2qg Жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe Mtume Meshak. Nikumbuke unapo omba, Niko mdhaifu kuomba, nakusoma Neno. Kwa majina ni Rose.
@joannanekesa7758
@joannanekesa7758 Жыл бұрын
Kweli nabii
@perrywanjiru2754
@perrywanjiru2754 Жыл бұрын
Mungu nakuomba unijaze na Roho wako kila siku na kila saa 🙏
@judymwende571
@judymwende571 Жыл бұрын
mungu nijaze na roho mtakatifu
@faustakomba8186
@faustakomba8186 Жыл бұрын
Ameeeeen 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥
@mlowegb4097
@mlowegb4097 Жыл бұрын
Mtume Meshaki.... Tunaomba Ubatizo wa Kujazwa Roho Mtakatifu Tanzania
@Rose-to2qg
@Rose-to2qg Жыл бұрын
Mafundisho matamu kweli. Ubarikiwe . Amina.
@edithbyamungu5123
@edithbyamungu5123 Жыл бұрын
MUNGU BABA niondolee uzaifu wa kuomba dakika kidogo naomba Roho wa kuomba masaa Amen
@queensgambit5496
@queensgambit5496 Жыл бұрын
Nibadilishe yesu. Kwa neema Zako jenga nyumba yako ndani ya roho yangu! Amen.
@daudsimon1488
@daudsimon1488 Жыл бұрын
Nimebarikiwa na fundisho hili
@rehemashariff3119
@rehemashariff3119 Жыл бұрын
Ameeen
@christinasanga9709
@christinasanga9709 Жыл бұрын
Mungu tunakushukuru kwa kumtumia Mtumwa wako kwa kunena injili ya kweli ktk nyakati hizi za uovu Mungu tusaidie tuelewe haya mafundisho kama utakavyo
@Shiruwanyoike6715
@Shiruwanyoike6715 Жыл бұрын
I need God😭😭😭😭
@gladysanami1611
@gladysanami1611 Жыл бұрын
Asifiwe Bwana Yesu Mtumishi, pray for daughter Praxides Lihavi. We need ur help in Kenya, (Ukunda, Mombasa). Watumishi wengi sio kiroho duniani, most r false prophets. Be blessed
@kizajacqueline8583
@kizajacqueline8583 Жыл бұрын
Bwana yesu niandae katika vita.
@leahenockmrina5381
@leahenockmrina5381 Жыл бұрын
Ubarikiwe Mtume wa Bwana wetuYesu Kristo Meshak shakom Amen
@leahenockmrina5381
@leahenockmrina5381 Жыл бұрын
BWANA Yesu Kristo niwezeshe kubatizwa Roho wako mtakatifu na niwenze kumlea na kumtunza asiniache BWANA niokoe nafsi yangu
@asminmakoha6889
@asminmakoha6889 Жыл бұрын
Amen MUNGU Jenga makao ndani yaroo yangu nisipungukiwe uniepushe nadhambi naombea mtume meshak nawenzangu MUNGU utuongoze naroo mtakatifu
@shantal6030
@shantal6030 Жыл бұрын
mungu ondowa uzaifuwamaombi ndaniyangu nipenguvu nishimamaimara ndani ya nenolako🕊🕊🙏🙏🙏🙏
@muthonijgatia4350
@muthonijgatia4350 Жыл бұрын
Mungu naomba unijaze na Roho wako awe msaindishi wangu
@epmzmusifiwar6694
@epmzmusifiwar6694 Жыл бұрын
From Uganda 🇺🇬🙏 Be blessed Man of God
@Reginajohnson19884
@Reginajohnson19884 Жыл бұрын
Hallelujah utukufu kwa Mungu alie hai, Asante kwa somo tunabarikiwa SANA ukizi wa mungu uwe pamoja nawe
@silasaligula2426
@silasaligula2426 Жыл бұрын
Utukufu umurudie MUNGU asante kwa ujumbe Mtume Meshak
@magrethmboya6563
@magrethmboya6563 Жыл бұрын
Mungu akubariki sna Mtumishi wa Mungu Barikiwa na Mafundisho yako Nakufuatilia sna
@hajimnzava1972
@hajimnzava1972 Жыл бұрын
Hapa sawa,umeongea,kwahekima yaroho mtakatifu,
@asinathjoseph2529
@asinathjoseph2529 Жыл бұрын
Ameeen,jina LA Bwana Yesu Kristo lihimidiwe
@liesharehema5193
@liesharehema5193 Жыл бұрын
Mungu niondolee udhaifu nionao aminaaa
@phaniceariviza4399
@phaniceariviza4399 Жыл бұрын
Yesu tukuka zaidi
@mmm4199
@mmm4199 Жыл бұрын
Mariam musa mtume meshak ubarikiwe sana kwamafundisho ya mungu Amen Amen
@gmdalalimchamungu_tz1170
@gmdalalimchamungu_tz1170 Жыл бұрын
Amen mtumishi wa Mungu
@bidanmwangi3587
@bidanmwangi3587 Жыл бұрын
Somo njema zaidi mtumishi wa Mungu.....Nahitaji ujazo wa Roho Mtakatifu
@silvyakinyanjui6783
@silvyakinyanjui6783 Жыл бұрын
Amen mtumishi wa mungu
@elpinakatana7469
@elpinakatana7469 Жыл бұрын
AMEEN ameen ameen 🙏🙏
@Deboraclementgm
@Deboraclementgm Жыл бұрын
Mungu nijaze roho mtakatifu ili nikawwze mtu kama watatifu wengine naomba sana
@kizajacqueline8583
@kizajacqueline8583 Жыл бұрын
Amena mungu nakubali kuwa mtumwa
@nancymuthoni2652
@nancymuthoni2652 Жыл бұрын
Ashanti Sana mutumr unanijenga Sana, ombeya Kenya kabisa mtumisi
@doricemrema2177
@doricemrema2177 Жыл бұрын
Bwana niwezeshe
@julius5990
@julius5990 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@faithe4063
@faithe4063 Жыл бұрын
Barikiwa sana kakangu wewe ndiwe mchangaji wa mungu,hili neno inanikuza sana
@anjelanimunga2362
@anjelanimunga2362 Жыл бұрын
asante na Amen
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 Жыл бұрын
Mungu ameinua vijana Sasa wainene ile kweli ya mungu waziwazi dhambi in kemewa bila aibu
@fatumamgenja6506
@fatumamgenja6506 Жыл бұрын
Amen mtumishi WA MUNGU naomba uniombee familia yangu inapitia shida nyingi. Mm niko Saudi Arabia mwezi WA 3tulizika aligongwa akafa na sasa pia kuna mwengine amegongwa akavunjika mkono anataka kuekwa chuma naomba maombi yako mtume WA MUNGU
@eliajumaamwazaro3153
@eliajumaamwazaro3153 Жыл бұрын
Amen ubarikiwe mtumishi wa mungu
@lenahwillie5841
@lenahwillie5841 Жыл бұрын
Fill me with the Holy Spirit Jesus.
@wilisonsamwelongolo3822
@wilisonsamwelongolo3822 Жыл бұрын
hi
@fedhajoseph7687
@fedhajoseph7687 Жыл бұрын
kweli kabisa Mungu atukumbuke na kutusaidia katika kila udhaifu.
@danielbudara1584
@danielbudara1584 Жыл бұрын
Ubarikiwe. Mimi kijana nitatembelewa vipi na roho wa bwana. Natamani roho mtakatifu sana. Ninashauku Siku moja kutembelewa
@winnyrocha190
@winnyrocha190 Жыл бұрын
mafundisho yako yananisaidia sana kiroho mungu azidi kukutumia na ainue huduma hii.
@Injiliyakweliifikedunianipote
@Injiliyakweliifikedunianipote Жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mtume Meshak
@lucymwangi8203
@lucymwangi8203 Жыл бұрын
Mtumishi naitwa Debora. Napenda kumtumikia Mungu but nyakati zinginenajipata Sina breakthrough ya maombi. Nikumbuke tafadhali nipate nguvu ya maombi
@winniemiio107
@winniemiio107 Жыл бұрын
Mungu atusaidie sie wanawe
@faithmolly9271
@faithmolly9271 Жыл бұрын
Mtu akitaka kuongea na wewe mtumishi anaeza kukupata aaje 🙏
@agnesnasimiyu8624
@agnesnasimiyu8624 Жыл бұрын
Amen amen hallelujah
@joannanekesa7758
@joannanekesa7758 Жыл бұрын
AMEN AMEN AMEN
@rusiafrancoise2396
@rusiafrancoise2396 Жыл бұрын
Asante sana kwa maubiri
@jacobmwakasege9622
@jacobmwakasege9622 Жыл бұрын
Mtumish Asante Sana.
@angelalaizer3895
@angelalaizer3895 Жыл бұрын
AMEN
@brightername8801
@brightername8801 Жыл бұрын
Thank you lord
@brigidhope9989
@brigidhope9989 Жыл бұрын
Amen 🙏 Ee Mungu unisamehe uniondolee udhaifu na unijaze na Roho Mtakatifu akanitumikie kuwa mtumwa wake
@mariangabriel6283
@mariangabriel6283 Жыл бұрын
Aaaaaaaaaaaaaaaaa
@tumainikivuyo2655
@tumainikivuyo2655 Жыл бұрын
amen
@liesharehema5193
@liesharehema5193 Жыл бұрын
Kweli najifunza mambo makubwa hapa barikiwa mtumishi wa bwana
@mablemadahana4758
@mablemadahana4758 Жыл бұрын
Babangu Mtume Meshack Niko Kenya nabarikiwa sana na Mafunzo yako nimefunguliwa kupitia tu maombi ya video Mungu no mkubwa sana.
@rabinzsinoya1434
@rabinzsinoya1434 Жыл бұрын
Eee Baba yangu uketiye juu mbinguni nakupenda Mwokozi wangu, nifundishe kuomba kwa mda mrefu, pia madeni baba yamenizidi Baba makosa amani moyoni mwangu kwasababu ya tamaa zangu, MUNGU wangu nisaidiye niweze kufanikiwa kurudisha madeni, nahaidi kucha tamaa M/MUNGU nisaidiye .
@ivonaevarista4654
@ivonaevarista4654 Жыл бұрын
Mungu akupe sawa na ulivoomba mpendwa🙏
@mariamyinga2141
@mariamyinga2141 Жыл бұрын
May God help us
@nezerinejuma5510
@nezerinejuma5510 Жыл бұрын
Amen 🙏🏾
@cristianojorge682
@cristianojorge682 Жыл бұрын
May the Lord help us.
@peninak1622
@peninak1622 Жыл бұрын
Yohana 4:17
@IamPsalm-hk1fx
@IamPsalm-hk1fx Жыл бұрын
I really need the holy spirit in me,Kuna time zingine huwanga ndani yangu najihisi naomba kwa ndimi
@edithbyamungu5123
@edithbyamungu5123 Жыл бұрын
Asante Mtume Meshak kwa mafunzo more anointing
@wilisonsamwelongolo3822
@wilisonsamwelongolo3822 Жыл бұрын
kwema
@kalungirugoye2607
@kalungirugoye2607 Жыл бұрын
Roho mtakatifu hutusaidia udhaufu wetu sisi wanadasmu
@maureeninjera8006
@maureeninjera8006 Жыл бұрын
mimi niko kenya na niko na tatizo kuhusu kanisa na Roho mtakatifu tusaidie kujua haya makanisa
@christopherkanyalakc8941
@christopherkanyalakc8941 Жыл бұрын
🙏
@boscoj5642
@boscoj5642 Жыл бұрын
Aman
@emelysilingi201
@emelysilingi201 Жыл бұрын
Tume yaona mengi mtumishi tusaidie
@kknlghfblblanakere5946
@kknlghfblblanakere5946 Жыл бұрын
Mtumishi niombee ndoto mbaya kila mara ziniondokee ukweli naomba lakn naona ndoto yakunirutisha nyuma nmeokoka
@abighaili1514
@abighaili1514 Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu sasa mimi ninaswali kama roho mtakatifu anatoka kurudi kwake nikufanyaje? Ili roho irudi? Naomba jibu please
@christinenasimiyu9348
@christinenasimiyu9348 Жыл бұрын
Ubarikiwa sana niukweli kabisa mm Ndio moja wao waka Nasema sihitaji mwanaume yoyote ndio hiyo siku ninatafudwa nifanyeje plz?
@miriambpatrick8754
@miriambpatrick8754 Жыл бұрын
Amies
@miriambpatrick8754
@miriambpatrick8754 Жыл бұрын
Amen Amen Amen
LAANA | MTUME MESHAK
40:15
Ukweli Ministries
Рет қаралды 17 М.
KUTENGENEZA UTAJIRI WA WATU FULL VIDEO - JOEL NANAUKA
49:41
Joel Nanauka
Рет қаралды 27 М.
Василиса наняла личного массажиста 😂 #shorts
00:22
Денис Кукояка
Рет қаралды 9 МЛН
Пробую самое сладкое вещество во Вселенной
00:41
OMG🤪 #tiktok #shorts #potapova_blog
00:50
Potapova_blog
Рет қаралды 17 МЛН
CASSIAN AMKEMEA SHEHE SURE  MAJINI ANAPOTISHA EV PASCHAL
1:29:51
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 1,4 М.
SAUTI YA MUNGU (KUISIKIA na KUIELEWA) | Mtume Meshak
57:13
Ukweli Ministries
Рет қаралды 21 М.
KWA YESU KUNA RAHA
25:43
Mutumishi Baraka
Рет қаралды 381
NDOTO HIZI '3' NI HATARI SANA!!
4:07
UKOMBOZI TV
Рет қаралды 353 М.
VYEO NA ELIMU YA WANADAMU NDANI YA KANISA LA MUNGU | MTUME MESHAK
58:07
Ukweli Ministries
Рет қаралды 7 М.
Mch Moses Magembe - KAZI YA ROHO MTAKATIFU
1:55:51
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 6 М.
USIWE NA LAWAMA MBELE YAKE MUNGU | FAIDA YA KUMCHA BWANA
1:00:21
Ukweli Ministries
Рет қаралды 4,6 М.
YESHUA: 1.000× the Name of Jesus (sung in Hebrew)
53:43
Harpa Dei
Рет қаралды 2,5 МЛН
HAYA NDIYO YESU KRISTO ALIYONIFUNDISHA KUHUSU HUDUMA ZAKE TANO
1:27:07
Ukweli Ministries
Рет қаралды 10 М.
CHAKULA CHA MKRISTO WA KWELI | Mtume Meshak Maliyabwana Mausa
28:08
Ukweli Ministries
Рет қаралды 6 М.