Asante Africa
1:01
14 күн бұрын
SAFARI YA KWENDA MBINGUNI
45:28
4 ай бұрын
UBATIZO ULIOTIKISA KUZIMU
58:56
Жыл бұрын
UNABII JUU YA CONGO UMETIMIA
2:18
YESU NI MUNGU AJE?
46:11
2 жыл бұрын
UBATIZO KWENYE MTO WA YORDANI
27:34
2 жыл бұрын
Пікірлер
@AdellaSanga
@AdellaSanga 42 минут бұрын
Ubarikiwe kwa kutupa maonyo haya. Naomba Whatsapp number yako
@MwengeJosephtabisha
@MwengeJosephtabisha Сағат бұрын
wewe nimsazi. kaziyako kutukana wenzako
@fatumaminyeko1875
@fatumaminyeko1875 3 сағат бұрын
Amen Amen
@hellenmnyazi220
@hellenmnyazi220 4 сағат бұрын
Amen Mungu atuepushe nao
@hellenmnyazi220
@hellenmnyazi220 4 сағат бұрын
Amen amen barikiwa sana na Mungu wa mbinguni azidi kukufunulia zaidi amen
@_Ananias
@_Ananias 5 сағат бұрын
Amen
@Afolorunso
@Afolorunso 6 сағат бұрын
Do u have any prophecy for kenya? Its getting crazy and messy
@USHAURI-WA-BWANA
@USHAURI-WA-BWANA 6 сағат бұрын
Amen
@godfreygodwine9148
@godfreygodwine9148 6 сағат бұрын
Siku nyingine njoo umechana nywele una points nzuri%
@rowenalilie993
@rowenalilie993 6 сағат бұрын
Ameeen
@shukurubaruwani
@shukurubaruwani 6 сағат бұрын
Nimetubu nihombeheMunguanisamehe nilikuwasijuwu
@Kio-h7x
@Kio-h7x 7 сағат бұрын
Kata nywele yako kama biblia inayokuagiza.
@user-ok5zy3br2g
@user-ok5zy3br2g 7 сағат бұрын
Amen
@EvangelistMathayo2604
@EvangelistMathayo2604 7 сағат бұрын
Amen Amen
@ChikondiMadaliso
@ChikondiMadaliso 7 сағат бұрын
Wachungaji wachani kutukana watu nikweri nirahisi kahaba kiona ufarime wa mungu
@timothyniabutu
@timothyniabutu 7 сағат бұрын
Amen Amen Mungu akubaliki
@timothyniabutu
@timothyniabutu 7 сағат бұрын
Amen mutume maliyabwana
@MamaNyabogi
@MamaNyabogi 7 сағат бұрын
Amen. Vyote vya dunia yatapita...BWANA MUNGU ametuahidi mengi sana ya milele.Heri nimtumainie BWANA,kwa maana baraka zake ni za milele.
@victorialauwo-ri5tb
@victorialauwo-ri5tb 8 сағат бұрын
Amen ameni
@lorenahomondi1293
@lorenahomondi1293 8 сағат бұрын
Wewe unamwonea Mwaipaja😢
@agmm331
@agmm331 8 сағат бұрын
Amen
@MamaNyabogi
@MamaNyabogi 8 сағат бұрын
Amen and amen
@MussaDaudi-ex3ww
@MussaDaudi-ex3ww 8 сағат бұрын
Hakuna anaejua nani mkamilifu ,
@MussaDaudi-ex3ww
@MussaDaudi-ex3ww 8 сағат бұрын
Kazi ya kuhukumu ni ya mungu hayo mamlaka munato wapi?
@EvangelistMathayo2604
@EvangelistMathayo2604 8 сағат бұрын
Amen Bwana
@KM-hx8zy
@KM-hx8zy 9 сағат бұрын
Ilisha kujulikana, kufwatana na majaribu yenye inamutokea
@dadafrida9202
@dadafrida9202 9 сағат бұрын
Amen
@sarahkeivaly3351
@sarahkeivaly3351 9 сағат бұрын
Mtumishi wa Mungu, Tafadhali, weka nywele zako ktk hali nzuri ya kawaida kama mwanzo, hivyo unavyoendelea kuziacha nywele zako hivo, Kiukweli itakuwa ni shida kueleweka na wanaokusikiliza. Jaribu kuondoa kwazo hilo
@Theneptune763
@Theneptune763 9 сағат бұрын
Je ! Umekuja kuangalia nywele ama neno . Tuwache unafiki tupende neno sio muomekano wa mtu . Mungu akuhurumie sana
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 7 сағат бұрын
Pole hata robo kwa huyu humfikii kaa kimwili hivyo hivyo ,mwenzio ndo anaenda hivyo
@sarahmwasyoge1830
@sarahmwasyoge1830 9 сағат бұрын
Ameen... kubarikiwa ni kumpata Yesu kristo 👏👏👏
@RubensaroSaro-ip6by
@RubensaroSaro-ip6by 9 сағат бұрын
Mapenzi ya MUNGU yatimie
@queensgambit5496
@queensgambit5496 10 сағат бұрын
Amen. Thank you Jesus.
@LidyaPeter-nl9bt
@LidyaPeter-nl9bt 10 сағат бұрын
Amen
@LidyaPeter-nl9bt
@LidyaPeter-nl9bt 10 сағат бұрын
Amen
@philemonkafyulilo7128
@philemonkafyulilo7128 10 сағат бұрын
Wewe mwenyewe hatukuelewi
@Theneptune763
@Theneptune763 9 сағат бұрын
Acha kutumia kauli ya kusema "wewe hatukuelewi " sema "Mimi" maanake sisi tunamuelewa mtumishi wa bwana . Kuelewa neno LA mungu sio mtumishi huwa anaelewesha ni roho mtakatifu. Kwa hivyo kama humuelewi mtumishi wa mungu kupitia hii neno mtafute roho mtakatifu atakuelewesha , lakini si kumkashifu. Bwana atuhurumie sana
@philemonkafyulilo7128
@philemonkafyulilo7128 8 сағат бұрын
@@Theneptune763 yeye ana uhalali gani kuwaita wengine Malaya kwa usafi gani alionao au huko kujiita mtume sijui katumwa na nani labda wewe unajua utumie wake ila kama mm simuelewi pia wengi hawamuelewi ndio sababu wame like comment yang
@Theneptune763
@Theneptune763 8 сағат бұрын
@@philemonkafyulilo7128 soma neno vizuri utaelewa malaya ama kahaba ni nani , ni vingumu kuelewa mafuzo ya kweli ya roho mtakatifu bila kuwa na huyo roho mtakatifu ndani Yako , muombe bwana atakuelewesha haya yote na pia muulize bwana kama huyu ni Mtume wake aliye mtuma !!!!! Usimuhukumu kama hujamuuliza bwana akakupa jibu sahihi kama ni yeye amaemtuma na pia hiyo somo kama ni yeye kampa . Lakini ukimuhukumu na hujadhibizisha kutoka kwa bwana wetu yesu kristo pia wewe utahukumiwa na yeye . Ndugu yangu kuwa MAKINI sana . Barikiwa a
@EvangelistMathayo2604
@EvangelistMathayo2604 8 сағат бұрын
​@@philemonkafyulilo7128wewe huko na mapepo ndio maana aumuelewi Mtume maliyabwana
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 7 сағат бұрын
Pole sana humuelewi Mtumishi mwanao ana vyo kemea dhambi ,una penda injiri nyepesi kipindi kigumu pole baba
@mmm4199
@mmm4199 10 сағат бұрын
Mariam musa AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN
@LidyaPeter-nl9bt
@LidyaPeter-nl9bt 10 сағат бұрын
Amen
@EmmyJerremiah
@EmmyJerremiah 10 сағат бұрын
Tupe siri ya hizo nywele kwanza me binafsi nakuelewa lkn sikuelewi
@lilianeerica3318
@lilianeerica3318 10 сағат бұрын
Huwenda ni munazli wa Mungu ila awe anachanua naona zinaelekea kua dreads
@Reginajohnson-1988
@Reginajohnson-1988 9 сағат бұрын
Kasome bibilia uelewe, m napenda kutafuniwa tuu
@rastheunique
@rastheunique 9 сағат бұрын
Hizo nywele ni haki yetu kabisaaa sisi black! It's our pride!!
@Theneptune763
@Theneptune763 8 сағат бұрын
​@@lilianeerica3318Je mtumishi wa bwana unataka Aishi vyenye wewe unataka ama afuate maagizo ya bwana yesu kristo ?? Kwani hujasoma neno ukaona vile watumishi wa mungu akina samueli , samsoni na wengine wengi walio kuwa manaziri wa bwana , hawakunyolewa nywele zao Hadi kuchana kwenyewe ,... Tena hujasoma neno kwamba *inatupasa kumtii mungu lakini sio mwanadamu"tuache hii ujinga wa kukashifu mtumishi wa mungu na hujasoma maandiko ukaangalia kama hicho kitu kinapatikana kwenye maandiko . Omba ujazo. Wa roho mtakatifu pamoja na hekima yake na maarifa atakuelewesha uache kukashifu kimwli ndugu yangu . Amina
@mmm4199
@mmm4199 10 сағат бұрын
Mariam musa AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN
@PonsSalimu
@PonsSalimu 10 сағат бұрын
Amen
@PonsSalimu
@PonsSalimu 11 сағат бұрын
Amen
@danielbudara1584
@danielbudara1584 11 сағат бұрын
Hakika baazi ya unabii ulio toa umetimia tumeona
@NellyKombe
@NellyKombe 11 сағат бұрын
Ameeen MUNGU akubariki sana
@mmm4199
@mmm4199 11 сағат бұрын
Mariam musa AMEN AMEN AMEN AMEN
@PonsSalimu
@PonsSalimu 11 сағат бұрын
Amen
@OwenIndimuli-p9u
@OwenIndimuli-p9u 11 сағат бұрын
Shalom Mtume nilikua nimengoja hili somo sana asante kwa kutufungua macho wengine wetu hatujui Mtume Bwana anirehemu pia uniweke kwenye maombi
@espoirMlondani
@espoirMlondani 11 сағат бұрын
Amin Amin Bwana yesu ni mwema
@pastorteddywaziri5754
@pastorteddywaziri5754 11 сағат бұрын
Na wewe mtumishi nyoa hizo nywele maana zinakufanya uonekane kama mvuta bangi au msela fulani.Au ni Mungu alikuambia usinyoe nywele kama Samson?? Unawaweka kondoo njia panda mtumishi.Mimi nakuelewa lakini kondoo wachanga kiroho hawawezi kukuelewa
@sarahmwasyoge1830
@sarahmwasyoge1830 9 сағат бұрын
Kweli mimi mwenyewe najiuliza maswali nakosa mjibu. Si biblia inasema mwanaume mwenye nywele ndefu ni aibu kwake. Haimpasi mwanamume kuwa na nywele ndefu
@PatrickMathias-cs9qc
@PatrickMathias-cs9qc 9 сағат бұрын
​@@sarahmwasyoge1830 biblia ijakataa kufuga nywele lakini imekata kusuka nywele na kunyoa denge
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 7 сағат бұрын
Wewe si mchungaji una weza kuacha kumtii Mungu kisa kuchanganya wa umini,bac hujaitwa pole mama
@zachariajonas-wd6ix
@zachariajonas-wd6ix 12 сағат бұрын
Amen
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 12 сағат бұрын
Ni mikataba wanafanya ila watu hawaelewi kwani hii dunia ina Siri mnoo watu wengi wanatoa makafara Kwa mambo mengi