No video

Kuna kuinuka tena - Askofu Dr. L.Mwizarubi

  Рет қаралды 2,047

SAYUNI EAGT CHURCH

SAYUNI EAGT CHURCH

2 жыл бұрын

UFAHAMU huu mkubwa aliokuwa nao Ayubu wakati anapitia katika majaribu mbalimbali na mazito na yanayouma kwa LENGO la kumvunja MOYO kabisa na yeye Ayubu akazidi kumpenda MUNGU zaidi hata kuliko wakati alipokuwa hana majaribu ni siri kubwa aliyopewa na Roho Mtakatifu mwenyewe.
Ayub 23 : 10, Mathayo 16 : 21 - 23, 27 : 63, Ayubu 1 : 9 - 11 , Ayubu 2 : 4 - 5
KUNA KUINUKA TENA BAADA YA ADUI KUANGUSHA CHINI KILA AINA YA MAFANIKIO NA BARAKA ALIZOKUWA NAZO MTU. Ayubu 22 : 29
Kila Mteule akipewa ufahamu huu na Roho Mtakatifu akawa na uhakika moyoni mwake kwamba kuna kuinuka tena; hakuna jaribu litakalomyumbisha kabisa.

Пікірлер: 5
@sarahphilemon9567
@sarahphilemon9567 2 жыл бұрын
Mungu awabariki media team.. huge improvement 👏🏼👏🏼
@neemambise6883
@neemambise6883 2 жыл бұрын
Ameen tunabarikiwa sana
@stephen9856
@stephen9856 2 жыл бұрын
Mbarikiwe sana sayuni kwaya
@igweelongoy8846
@igweelongoy8846 Жыл бұрын
Ameni
@jescambena1371
@jescambena1371 2 жыл бұрын
Jamani nimekukumbuka nyumbani
Lehanga 🤣 #comedy #funny
00:31
Micky Makeover
Рет қаралды 27 МЛН
Kind Waiter's Gesture to Homeless Boy #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 6 МЛН
YAKO MAJARIBU AMBAYO USIPOPIGA YOWE KWA YESU,  MATHAYO 14 : 27 - 33
1:53:41
SAYUNI EAGT CHURCH
Рет қаралды 1,1 М.
KUNA KUINUKA TENA | Mwl. Andrew Bartimayo
7:06
Petro Lembalai
Рет қаралды 260
LEO NI SIKU YA KUSAHAU YALIYOPITA, Wafilipi 3 : 12 - 14,
1:25:53
SAYUNI EAGT CHURCH
Рет қаралды 445
ASKOFU REV  DR  MWIZARUBI ALIVYONUSURIKA KUPEWA SUMU KATIKA CHAKULA
2:38
The Genius Pro. Media
Рет қаралды 2,5 М.
Mgisa Mtebe - NGUVU ILIYOPO KWENYE MAWAZO YAKO.
8:21
Mgisa Mtebe
Рет қаралды 86 М.
Mch Moses Magembe - AINA NNE ZA MIOYO
1:42:33
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 17 М.
Lehanga 🤣 #comedy #funny
00:31
Micky Makeover
Рет қаралды 27 МЛН