Katika maisha haya ya wokovu ,kuna majaribu mengine yanapompata mtu wa Mungu yanampelekea kuogopa na pengine kukata tamaa kabisa ya kuishi maisha ya wokovu. Na; Ask, Dr .L. Mwizarubi
Пікірлер: 7
@eagtenguserotvАй бұрын
Asante baba mwizalubi kwa NENO zuri
@ayubusadiki99023 ай бұрын
Huo ujumbe umekuja kwa ajili yangu,Amina kubwa;;
@yusuphlean41710 ай бұрын
Amen
@wilifredjaphet6352 Жыл бұрын
watumishi wa Mungu naomba uniombee Mungu anikumbuke anipe kazi
@teresaikaji3 ай бұрын
Mungu mwema ukimwendea mbele zake. Kwa kulia kwa uchungu utapata kaz