Nilitaraji kusikia mada ya kunyoa ndevu nistafid, kumbe ni kaswida, Andika kaswida tukuelewe tutakuwa hatufungui clip zako na huenda zikawa na faida
@chuichongo3898 Жыл бұрын
Hakika zilikuja Hadiyth nyingi zinazoamrisha kufuga ndevu kama kauli ya Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa sallam) aliosema: قوله صلى الله عليه وسلم: أحفوا الشوارب وأعفوا اللحى. رواه الترمذي وقال: حديث صحيح Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: "Punguzeni masharubu na fugeni ndevu". وقوله صلى الله عليه وسلم: جزوا الشوارب وأرخوا اللحى، خالفوا المجوس. رواه مسلم Na kauli ya Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa sallam) aliyosema: "Kateni masharubu, ziwekeni kwa wingi ndevu, wapingeni Majuusi". وقوله صلى الله عليه وسلم: أعفوا. بفتح الهمزة: أي اتركوها بحالها لتكثر وتغزر؛ لأن في ذلك جمالاً للوجه وزينة للرجل، وهذا أمر صريح يفيد الوجوب كما هو مقرر في الأصول، ونص العلماء على تحريم حلقها، قال شيخ الإسلام ابن تيمية: ويحرم حلق اللحية Na kauli ya Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa sallam) "fugeni", Yaani ziacheni ziwe nyingi kwa sababu ndevu ndio uzuri wa mwanaume na hii amri ni ya uwajibu kama wanavyosema ‘Ulamaa wa Uswuwlul Fiqh. قال ابنُ عَبْدِ البَرِّ - رحمه الله تعالى (ويحرم حلق اللحية ، ولا يفعله إلا المخنثون من الرجال) [التمهيد[ Amesema Ibn ‘Abdil-Barri (Allaah Amrehemu): “Na ni haramu kunyoa ndevu, na hawanyoi isipokuwa Makhanithi katika wanaume”. Khanithi ni nani? Ni yule mwenye tabia za kike, anapenda mambo ya kike kike. قال الشنقيطي (أضواء البيان)، أعظم الفوارق الظاهرة بين الرجل والمرأة هي االحية Amesema Al-Imaam Ash-Shanqiitwiy (Allaah Amrehemu): "Vitofautisho vilivyo wazi mno baina ya mwanamme na mwanamke ni ndevu". قال ابن القيم (التبيان)، واما شعر اللحية ففيه منافع، منها : الزينة، والوقار مايرى على ذوي اللحى، ومنها، التمييز بين الرجال والنساء... Amesema Ibn Al-Qayyim (Allaah Amrehemu): "Na ama ndevu, basi ndani yake kuna manufaa (mengi), miongoni mwa hayo ni pambo na upole unao onekana kwa wafuga ndevu, pia (katika faida zake) ni kupambanua baina ya wanaume na wanawake". Wanachuoni wengine wanasema: "Kunyoa ndevu (jambo hilo) huzingatiwa kuwa ni kujifananisha na wanawake". Wanachuoni ni wengi sana waliozungumzia kuhusu uharamu wa kunyoa ndevu. Kasema Ibn Taymiyyah (Allaah Amrehemu): ((Ni haramu kunyoa ndevu)). وقال ابن عابدين في رد المحتار: ويحرم على الرجل قطع لحيته Na kasema Ibn ‘Aabidiyn (Allaah Amrehemu): ((Na ni haramu kwa mwanaume kukata nywele zake za ndevu)). وقال العدوي في الحاشية على شرح رسالة أبي زيد: يحرم إزالة شعر اللحية Na kasema Al-‘Adawiy (Allaah Amrehemu): ((Ni haramu kuondoa nywele za ndevu)). Baadhi ya Fataawa kuhusu uwajibu wan ufuga ndevu na uharamu wa kuzinyoa, kutoka kwa Wanachuoni wakubwa wa kutegemewa:
@mailacamillius Жыл бұрын
Tafuta na aqwaal za wanazuoni kuhusu kufaa kukata ndevu
@allylassuh4947 Жыл бұрын
@@mailacamillius ziko hataki kuzileta hapa kaleta zile anazopenda yy tu
@allylassuh4947 Жыл бұрын
Watu hata qur'an hawajui kusoma tena kwa kuangalia mtihani mkubwa lkn kwnye ubishani ndo wako mbelembele ndg zetu mawahabi wapungufu wa kusoma na ufahamu pia hili liko wazi lao ni ushindani tu
@chuichongo3898 Жыл бұрын
Hakika zilikuja Hadiyth nyingi zinazoamrisha kufuga ndevu kama kauli ya Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa sallam) aliosema: قوله صلى الله عليه وسلم: أحفوا الشوارب وأعفوا اللحى. رواه الترمذي وقال: حديث صحيح Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: "Punguzeni masharubu na fugeni ndevu". وقوله صلى الله عليه وسلم: جزوا الشوارب وأرخوا اللحى، خالفوا المجوس. رواه مسلم Na kauli ya Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa sallam) aliyosema: "Kateni masharubu, ziwekeni kwa wingi ndevu, wapingeni Majuusi". وقوله صلى الله عليه وسلم: أعفوا. بفتح الهمزة: أي اتركوها بحالها لتكثر وتغزر؛ لأن في ذلك جمالاً للوجه وزينة للرجل، وهذا أمر صريح يفيد الوجوب كما هو مقرر في الأصول، ونص العلماء على تحريم حلقها، قال شيخ الإسلام ابن تيمية: ويحرم حلق اللحية Na kauli ya Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa sallam) "fugeni", Yaani ziacheni ziwe nyingi kwa sababu ndevu ndio uzuri wa mwanaume na hii amri ni ya uwajibu kama wanavyosema ‘Ulamaa wa Uswuwlul Fiqh. قال ابنُ عَبْدِ البَرِّ - رحمه الله تعالى (ويحرم حلق اللحية ، ولا يفعله إلا المخنثون من الرجال) [التمهيد[ Amesema Ibn ‘Abdil-Barri (Allaah Amrehemu): “Na ni haramu kunyoa ndevu, na hawanyoi isipokuwa Makhanithi katika wanaume”. Khanithi ni nani? Ni yule mwenye tabia za kike, anapenda mambo ya kike kike. قال الشنقيطي (أضواء البيان)، أعظم الفوارق الظاهرة بين الرجل والمرأة هي االحية Amesema Al-Imaam Ash-Shanqiitwiy (Allaah Amrehemu): "Vitofautisho vilivyo wazi mno baina ya mwanamme na mwanamke ni ndevu". قال ابن القيم (التبيان)، واما شعر اللحية ففيه منافع، منها : الزينة، والوقار مايرى على ذوي اللحى، ومنها، التمييز بين الرجال والنساء... Amesema Ibn Al-Qayyim (Allaah Amrehemu): "Na ama ndevu, basi ndani yake kuna manufaa (mengi), miongoni mwa hayo ni pambo na upole unao onekana kwa wafuga ndevu, pia (katika faida zake) ni kupambanua baina ya wanaume na wanawake". Wanachuoni wengine wanasema: "Kunyoa ndevu (jambo hilo) huzingatiwa kuwa ni kujifananisha na wanawake". Wanachuoni ni wengi sana waliozungumzia kuhusu uharamu wa kunyoa ndevu. Kasema Ibn Taymiyyah (Allaah Amrehemu): ((Ni haramu kunyoa ndevu)). وقال ابن عابدين في رد المحتار: ويحرم على الرجل قطع لحيته Na kasema Ibn ‘Aabidiyn (Allaah Amrehemu): ((Na ni haramu kwa mwanaume kukata nywele zake za ndevu)). وقال العدوي في الحاشية على شرح رسالة أبي زيد: يحرم إزالة شعر اللحية Na kasema Al-‘Adawiy (Allaah Amrehemu): ((Ni haramu kuondoa nywele za ndevu)). Baadhi ya Fataawa kuhusu uwajibu wan ufuga ndevu na uharamu wa kuzinyoa, kutoka kwa Wanachuoni wakubwa wa kutegemewa:
@allylassuh4947 Жыл бұрын
@@chuichongo3898 kauli kubwa yakuftwa ni y mtume kwaio jee mtume pia ksema kunyoa haramu au??? Na kauli za mashekh ulitumia nazikubali lkn mbn kuna zengine hujazileta kwsbbu hazijaonesha kma kunyoa ni haramu hem tuoneshe kauli y imam shafi ama kwa vile humkubali ndo hutumii kauli zake unajua mtume kwnn kasema fugeni ndevu jee kasema kiasi gani ndio size au kiasi gani ndo kdg kaka au unasema tu wanacuoni wamepiga mfano wingi w ndevu na uhaba wa ndevu hujatwambia tukaelewa kisha nikuulize jee sunna ya ndevu thawabu zake zinakua vp yani jee yule anaefuga kma osama ana thawabu ngp na mwnye za kawaida ana thawabu ngp au mwnye ndevu nyingi ndo hupata thawabu zaid kuliko yule mwenye nyingi kdg au kumeekw kiwango maalum ukifikia hicho nyote mna thawabu sawa sawa tufahamishe shekh kisha kubwa lete kauli ya mtume aliosema kunyoa ndevu ni haramu naicbiria kisha lete kauli alosema ukifuga ndevu ww ndo moja kwa moja hadi peponi kisha kutafautisha kati y mke na mume sio lazma ndevu kwaio wale ambao hawajabarikiwa ndevu ukiwaona njini unawaona kma wanawake wau makhanithi bc ukhanitj huo itakua wamepewa na nani maana ndevu hawawezi kujiotesha wenyewe lazma kuna muotwshaji kwaio ukhanith huo kawapa nani??? Kwaio kwa mfano babako hana ndevu waweza kumuita khanith na kmuoa mamako kisa tu hana ndevu naona hujaelewa maana halisi ya ndevu kaka jifunze tena kisha uje utuelezee maana bila shaka kuna watu walipita tena wakubw kwnye dini lkn hawakua na ndevu kma vile ambavyo wengine hawakuoa na ni ma imam wakutegemewa kwaio wenye hawakua na ndevu bila shaka walikuwepo sina shaka shaka yngu iko hapaa jee kuna mtu kaitwa khnith kisa tu hana ndevu hivi sayyidna bilal alikua n ndevu kiasi gni kaka
@allylassuh4947 Жыл бұрын
@@chuichongo3898 kisha kaka usikazie ndevu tu kma wataka usawa na haki bc pia mtume kahimiza kufuga nywele tena yy zilikua ndefu sana au wataka kunambia mtume alikua akinyoa para au kukata kiduku au alikata tu kawaida naona hili hujaleta hata hadith moja au hakusema kma nywele tufuge pia mm naona umepend ndevu ndo umezitolea dalili lkn nywele hujazitolea na mpia mtume kasema ni sunna kutembea na fimbo hivo ww tuoneshe fimbo yko iko wp au hajasema hivo kwio usiongelee kitu kwavile umekipenda tu ongea vile haki ilivyo jpokua ni uchungu