Tawassul ikisomwa na al-marhum sheikh Muhammad bn Abiibakar Al-Burhaan.

  Рет қаралды 31,346

USTADHI SAMPA KATEMA

USTADHI SAMPA KATEMA

Күн бұрын

Пікірлер: 31
@SaeedAlly-d3c
@SaeedAlly-d3c Жыл бұрын
Allah subhaana aichukua ilmu kwa kuwachukua wanazuoni wachamungu, #Allah jalla waalaa alinawirishe kabri la Sheikh letu, A'miin
@BakariMamboleo
@BakariMamboleo 3 ай бұрын
Mashallah Mashallah Mungu amrehemu sheikh wetu na atunufaishe na elimu yake.
@iddydaruwesh8650
@iddydaruwesh8650 2 жыл бұрын
Masha Allah kheir dua nzuri sana. Allah awalipe jazaa njema masheikh wetu na walioombewa dua. NAOMBA KUWEZA JUWA NITAPATA WAPI HIYO TAWASULI NIMEIPENDA NA JEE CHAITWAJE NAOMBA NIJUZE
@BakariMamboleo
@BakariMamboleo 3 ай бұрын
Allahumma ghfir laanaa warahamhum
@ahmadabubakary4843
@ahmadabubakary4843 Жыл бұрын
Allahumma ghfir lanaa walahum
@MohamedChaku-x7t
@MohamedChaku-x7t 9 ай бұрын
Allahumma aaamyyyn
@fauziaabdullah3733
@fauziaabdullah3733 8 ай бұрын
Allahuma Ameen
@AathumaniModamed
@AathumaniModamed Жыл бұрын
Inshalea
@AathumaniModamed
@AathumaniModamed Жыл бұрын
Mungu amuweke pema
@jamalkishangu
@jamalkishangu 2 жыл бұрын
Mambo haya mazuri makubwa yanapingwa vita, Allah nusuru kazi kubwa hizi za vipezi wako, wakubalie kwa huruma yako walipokuja kwako kwa unyenyekevu kukuomba.
@ustadhisampakatema3812
@ustadhisampakatema3812 2 жыл бұрын
Aamiin Yaa Rabb
@alijuma80
@alijuma80 2 жыл бұрын
Jina la kitabu chenye tawassul hiiii 👏
@shuaibuhassani5052
@shuaibuhassani5052 2 жыл бұрын
Mwalim umenikumbusha mbali mnoo mpaka imeniliza hiindo maalif naikumbuka Sana hii iidusamaa
@ustadhisampakatema3812
@ustadhisampakatema3812 2 жыл бұрын
Maashaallah
@OmariMbwana-g2b
@OmariMbwana-g2b 5 ай бұрын
Omal mbwana
@shabanimadewa1479
@shabanimadewa1479 2 жыл бұрын
Hii tawasur ipo kwa kitab gan
@alijuma80
@alijuma80 2 жыл бұрын
Shekh alikuwa si mtu wa kawaida ........, Allah akuweke pema Simba ☝️
@AbuuAlawiy
@AbuuAlawiy Жыл бұрын
Amiin
@AbdulfadhilMziya
@AbdulfadhilMziya 8 ай бұрын
Sittu wasaail
@mahibdalali
@mahibdalali 2 жыл бұрын
Kitabu kinapana wapiii
@mahibdalali
@mahibdalali 2 жыл бұрын
Hii tawasul nimejitahidi nimeipata
@ndagulamagukulua2257
@ndagulamagukulua2257 5 ай бұрын
Naam Alhabibi as'alaykum
@ndagulamagukulua2257
@ndagulamagukulua2257 5 ай бұрын
Naitafuta hii atawassul ipo kwenye kitabu gani
@ndagulamagukulua2257
@ndagulamagukulua2257 5 ай бұрын
Na wapi nitaipata
@KhadijaMwinyi-x2e
@KhadijaMwinyi-x2e 4 ай бұрын
29:07 MaashaAllah
@abubakaromaryonlinetv6333
@abubakaromaryonlinetv6333 2 жыл бұрын
Mwalimu tuambie hii tawasuli ipo kitabu gani
@shafiimohamed6503
@shafiimohamed6503 2 жыл бұрын
Kitabu chaitwa المنظومة الدمياطية
@mahibdalali
@mahibdalali 2 жыл бұрын
Kinapatikana wapii hicho kitabuu
@islamjuma9503
@islamjuma9503 2 жыл бұрын
@@mahibdalali Au tafuta kitabu kinaitwa اطاريقة صوية فی الوساءل الشمسيةkipo tamta
@AbdulfadhilMziya
@AbdulfadhilMziya 8 ай бұрын
Sittu wasaail
DUA TAWASUL ..SHEKH MAALIM SHEE
1:21:05
uraidhu shariff Alwy
Рет қаралды 73 М.
Tawassul anabahan - by chiluu/ Digitalmastaz Inc.msa
20:02
Moses Agoro
Рет қаралды 182 М.
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН
Je inafaa kufanya jambo asilolifanya mtume?..msikie sheikh Muhammad Bakar
25:33
TAWASUL QADIRIYYA - SHEIKH MKOYOGOLE
1:01:14
BABDEO MILADU
Рет қаралды 63 М.
TAWASSUL HII ITAKUKUMBUSHA SHEKH MUHAMMAD ABIIBAKARI
5:44
Parungu Online 2
Рет қаралды 390
Sauti ya Shariif Hussein Hashim Al-Musawa itakayodumu kwa miaka mingi.
17:25
USTADHI SAMPA KATEMA
Рет қаралды 15 М.
TAWASSUL YAA RABBI BIL MUSTWAFA (BURDATUL, L - MADIHI TOKA MAVUMO LUSHOTO
20:05
Hii ndio khutba ya mwisho ya sheikh Muhammad bn sheikh Ayyoub TAMTA day 1997.
26:14
Wasilat shafii with swahil translation
18:06
Just.dida🤗
Рет қаралды 89 М.
3️⃣VITAKALI~SHEKHE MUHAMMAD BAKARI NA SHEKHE SALIMU BARAHIYANI 1993
25:54
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН