KUPIKA MACARONI YA NAZI/ COCONUT CREAM MACARONI

  Рет қаралды 48,017

Ika Malle

Ika Malle

Күн бұрын

ROSTI LA MACARONI
Social Media
-instagram @ikamalle
-Snapchat @ika_malle
Email: phenomenalika@gmail.com
VIDEO ZINGINE
-Ugali, Mlenda na Dagaa
• UGALI + DAGAA WA KUKAA...
-Wali Maharage
• WALI WA ILIKI + MAHARA...
AINA 3 ZA WALI
• MCHELE MMOJA,MAPISHI M...
-WALI WA MAYAI
• WALI NA MBOGA ya MAYAI...
-BIRIYANI
• KUPIKA BIRIYANI//RAHIS...
-WALI WA KUKAANGA
• MAPISHI: WALI WA KUKAA...
#BUNS

Пікірлер: 33
@cozinhandocomakeide2695
@cozinhandocomakeide2695 4 жыл бұрын
Kituo chako ni nzuri! Ninaona hii kila siku! Njoo uone kituo changu cha jikoni! Ninatoka Brazil na natumahi umejiunga na kituo changu na ushiriki video zangu katika nchi yako! Asante!
@florandossi4021
@florandossi4021 4 жыл бұрын
Hawa ambao wanadislike hawajui kupikaa kabisaa Asante dada ikaa
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
Haya mpz, asante kwa recipe... Mambo mazuri km kawaida🔥🔥🔥😋😋😋👌👌👌
@benta2
@benta2 4 жыл бұрын
Chakula chako chapendeza kweli. Asante kwa maonyesho
@arqphn4467
@arqphn4467 3 жыл бұрын
Mm naomba kuuliza makaron.yanapatikana hata maduka ya kawaida
@hamidasalum1232
@hamidasalum1232 4 жыл бұрын
da Ika thank u, tuletee na upishi wa maandaz ya ndizi km itawezekana.
@ritahbwojo3725
@ritahbwojo3725 4 жыл бұрын
Nimependa,Asante Kwa mapishi matamu
@julianasabrere6198
@julianasabrere6198 4 жыл бұрын
Hello Ika! Asante kwa pishi, vipi naweza kutumia maini badala ya nyama?
@juliethurio6840
@juliethurio6840 4 жыл бұрын
I like your videos Ika be blessed mrembo
@asiakise2072
@asiakise2072 4 жыл бұрын
Mashaalah ngoja nijaribbu
@agnessanga5507
@agnessanga5507 3 жыл бұрын
Nzur sana hiyo dada
@joslyjojo221
@joslyjojo221 4 жыл бұрын
Hasante Sasa tuonyesh jinsi ya kukuna ile nazi umeweka sisi wengine hapa from burundii sivijuwi please
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 4 жыл бұрын
Tamu sana😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 4 жыл бұрын
Dinner ya fasta fasta iyo
@agneslohay4026
@agneslohay4026 4 жыл бұрын
Me mwenzenu cjui haya makoroni ndo nn nielewesheni mimi wa mkoani
@malaikajacob6066
@malaikajacob6066 4 жыл бұрын
god bless you
@sheyzm8561
@sheyzm8561 4 жыл бұрын
Aiseee ni taaamu,ntawapikia wasukuma wenzangu
@hamidasalum1232
@hamidasalum1232 4 жыл бұрын
nimewah leo
@marthajohn6532
@marthajohn6532 4 жыл бұрын
Jaman macaroni ndio nini anaejua anifahamishe
@maalinmaalin3094
@maalinmaalin3094 2 жыл бұрын
Makoroni ni tambiiiiiiiii hziii
@suzaneonani4561
@suzaneonani4561 4 жыл бұрын
Chakula ni kitamu hadi mmnanitamanisha
@arianahvaliente5357
@arianahvaliente5357 4 жыл бұрын
Hio sufuria umenunua wapi??
@andyladha8830
@andyladha8830 4 жыл бұрын
Arianah Valiente dukani 😂
@arianahvaliente5357
@arianahvaliente5357 4 жыл бұрын
I know dukani, I meant specifically kama anajuaa naweza ipata wapi kwa haraka bila kuzunguka
@haylaally9069
@haylaally9069 3 жыл бұрын
Mbona zipo sokoni
@FebineAwuor
@FebineAwuor 4 жыл бұрын
creamy and very delicious😋😋
@edithmasakwa1645
@edithmasakwa1645 3 жыл бұрын
Naipika sasa hivi nataka kutaste utamu wake
@ashrasaghira6552
@ashrasaghira6552 4 жыл бұрын
Yummy yummy
@sarahmbugua7939
@sarahmbugua7939 4 жыл бұрын
Yummy 😋 😍
@hamadalli-gp8ux
@hamadalli-gp8ux Жыл бұрын
Saf
@aminasjoekitchen7959
@aminasjoekitchen7959 4 жыл бұрын
Masha Allah 😋😋😋
@geewara6385
@geewara6385 4 жыл бұрын
Hivi haya huwa ni matamu au ndo kuponzana 😁
@jeniphermati2347
@jeniphermati2347 Жыл бұрын
Yaan tuko wengi kumbe
Mapishi ya pasta na sosi nyeupe | Pasta in a bechamel sauce
6:30
Shuna's Kitchen
Рет қаралды 38 М.
My family's favorite pasta recipe! I cook every weekend! Incredibly delicious!
6:04
ССЫЛКА НА ИГРУ В КОММЕНТАХ #shorts
0:36
Паша Осадчий
Рет қаралды 8 МЛН
Vampire SUCKS Human Energy 🧛🏻‍♂️🪫 (ft. @StevenHe )
0:34
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 138 МЛН
MAANDAZI YA NYAMA NDANI/ stuffed Maandazi (2021) ikamalle
13:22
Ika Malle
Рет қаралды 379 М.
JINSI YA KUPIKA MAKARONI YA MAYAI MATAMU SANA/PISHI LA MACARONI
6:44
MAPISHI FOOD LIFE
Рет қаралды 3,3 М.
macaroni/makaroni ya nyama😋 /tumia njia hii nyepesi kuandaa
4:08
homecookingTz
Рет қаралды 4,3 М.
CHAPATI ZA MAJI ZENYE NYAMA NDANI 😋
9:41
Ika Malle
Рет қаралды 497 М.