Рет қаралды 382,317
Nimefika Mwisho (I've come to the end), huu ni wimbo uliotungwa na kufundishwa na Mwl. Samson Kibaso siku chache kabla ya hali yake kubadilika kisha kufariki tahere 23 Juni 2020.
Tunamkumbuka na tutamkumbuka siku zote kama kwaya ya Kurasini lakini hata kanisa kwa ujumla.
Mwl.Kibaso alianza kuifundisha kwaya ya Kurasini tangu mwanzo, aliacha kazi rasmi kwa ajili ya kumtumikia Mungu hasa kwa njia ya uimbaji.
Utunzi wake na mashairi hayajawahi kufanana na utunzi/mashairi ya waalimu wengine, Hivyo nyimbo zake zilikuwa za kipekee sana.
Neema ya Bwana iwe nasi tukiendelea kumtumikia hata mwisho wetu, kama Mwl. Samson Kibaso.