wow! what a parting shot! mjane wa Mwalimu Kibaso Himizo stadi kweli... nimemchagua Yesu na sijui kilicho mbele lakini tumaini kuu atatulinda vyema tuendako. Hebu mola na azidi kuwapa faraja na pengo lake ataliziba Mume wa wajane Yesu Kristo.
@marrygobba99634 жыл бұрын
Uwe na moyo mkuu. Mungu akuongoze pamoja na familia yako.
pole mama mwenzangu. Pokea pole zetu sote kama washiriki wa kanisa la Sabato. Mungu akupatie moyo wa kustahimili msiba huu
@elviceomondi31914 жыл бұрын
Pole sana, Mungu akupe faraja, pamoja na familia yako
@samuelmuhindosivamwanza49884 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu mama. Kwa kweli tumempoteza Mwalimu wetu. Nilimpenda sana Mwalimu SAMSON KIBASO na nyimbo zake nilikua nikizifuata nikiwa GOMA-DRC. Naamini asubuhi njema tutakutana naye parapanda ya BWANA itakapo lia.
@carolineatieno13964 жыл бұрын
Mwalimu niyeye alifanya nipende nyimbo sana kutoka kurasini God bless his family
@ellieclasen68864 жыл бұрын
Mama pole sana,mungu akupitia moyo we na familia yako.Mungu akuwa na nyinyi.Barikiwa sana!
@calolinamwandali35993 жыл бұрын
Yes he was teacher no at school but even in heaven,he is a teacher of the angels,Pole Mama,pole: watanzania,na East Africa nawenxetu majirani
@keziatimotheo9674 жыл бұрын
Mungu akufariji mama .wewe pamoja na familia yako
@evelineachieng95874 жыл бұрын
Mungu azidi kuwapa faraja na rehema
@evaogol76594 жыл бұрын
Poleni sana Mwenyezi Mungu akupe nguvu.
@roznic15794 жыл бұрын
What a parting shot from this strong woman...May God take charge and be with you and the rest of the Kurasini family...🙏🙏🙏
@sophiamlenga15134 жыл бұрын
Amen
@adelinakastory43373 жыл бұрын
Tutamkumbuka kibaso daima
@drokinyinyawade94104 жыл бұрын
Saddened with the loss. May God comfort this family.
@hesbonomoke89734 жыл бұрын
Makiwa Kwa familia, ndugu Na marafiki wa kibaso. Tutakukumbuka baba Kwa nyimbo zako mzuri ulizotuachia
@masalakulwa76014 жыл бұрын
Nimeumia Tena maskini kumskia huyu mama dah..jamani pole Sana mama
@carolineatieno13964 жыл бұрын
Mungu hawepe nguvu
@victorfelix12654 жыл бұрын
'"Hatujui huko mbele tuendako, lakini kwa kuwa tumemchagua Yesu tunaamini tutapita salama"' maneno yenye kutia matumaini kiasi gani!!
@richardojesi31883 жыл бұрын
Pole sana mama etu pamoja na ndgu jamaa marafiki bila kusahau kwaya ya kurasin pia kanisa la kurasin na jiji la dar kwa ujumla Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe Amen
@odilinadonald94614 жыл бұрын
Mi ni moravian nilikuwa nasikiliza sana nyimbo zake leo na kesho sitoacha duu rip kibado
@deborahmsigara19213 жыл бұрын
Haa!Mwl,kibaso kafariki lini Jamani?Ee,Mwenyenzi Mungu,umlaze mahali pema peponi:poleni sana
@odhiambopeter35624 жыл бұрын
Iliniuma kweli kumpoteza
@asooraaasooraa48164 жыл бұрын
Jmn poleni sana kwa msiba wa mwalim 😭😭😭
@Yegonn4 жыл бұрын
Pole
@nadamata13034 жыл бұрын
Pole sana mama
@ruthkasogota58404 жыл бұрын
Mungu akupiganie mama
@josendaki23214 жыл бұрын
Yesu ni jibu
@janetatieno26354 жыл бұрын
Mungu awape nguvu
@solomonnzaui764 жыл бұрын
Rambi rambi zangu kwa familia ya mwalimu. Kwa Wimbledon wake najivunia yesu Alice nips uwezo. Mchungaji suleiman kutoka Kenya.
@pillywadeya18364 жыл бұрын
Pole Sana WiFi yangu
@witnessmjema41884 жыл бұрын
Jamani poleni
@paulwjuma54584 жыл бұрын
Rest in peace Sr Kibasooo
@adelinakastory43373 жыл бұрын
Kibaso tutakukumbuka daima
@johnndungu24814 жыл бұрын
pokea pole zangu
@johnbenjamin63303 жыл бұрын
Poln Sana jaman kiukwel mwalim uyu nilivyo kuwa na mpenda sipat picha nyimbo Zak Tam Tam tu ko pol Sana jaman
@christinamsuya88574 жыл бұрын
Haifungukii
@injilileoTV4 жыл бұрын
Kesho itakuwa hewani saa3 asbh
@christinamsuya88574 жыл бұрын
@@injilileoTV sawaaa
@omwengapeter62514 жыл бұрын
Kumtegemea mungu...asante mama Amina.
@neemastanley16674 жыл бұрын
Pile rafiki yangu mwenetu.. naomba no zako za Simu? Mungu akutie nguvu Senciar