I remember u sang this song when u came to Malawi.
@dadarehema5 жыл бұрын
Jamanii SDA bila kurasini hainogii, mupo wapi siku hizi? Salam nyingi toka Sweden
@ericernest20993 жыл бұрын
Charlie ya Yesu a.k.a Charlie ya R bring me hear
@ivygondwe43547 ай бұрын
My best choir ever. God bless you. From Malawi
@peteryesaya48277 ай бұрын
Can we have a lyrics of this song beloved, it's so exciting song
@Roselyne9856 жыл бұрын
mkiwa makambi kenyaree sda nilifurahia huu wimbo, nimekuwa nikitafuta na siipati. Thank God naisikiza wimbo tamu
@nicoryana33556 жыл бұрын
Nazipenda mno nyimbo za kurasini hususani zile za volume za mwanzo. Natamani wangerudia ule wa "Hukumu yangu"
@kwizeraelly92616 жыл бұрын
kurasini hii imeenda wapi jamani.Amina saaaaaaana.Nawapenda mno!
@bensonissaya40526 жыл бұрын
Nzuri sana... Niishukuru timu nzima kwa kujitolea kwenu... Ibada ni nzuri sana iimnayoitenda.. Niwaombe tu msiwe mnakaa mda bila kupost nyimbo jaman.. Sisi tuliopo nje ya nchi inatuwia vigumu kupata kwa wakati.. Ila tunashukuru sana kwa ii huduma yenu