🎤 Lyrics: Kusah ft.Maua Sama - Wenyewe [Verse 1: Kusah & Maua Sama] Kama ni gari, umeliwasha limewaka Na Niko shwari, ukiwa kando Sina mashaka Vile vituko vya chumbani, viudi na ubani Vagi la tsunami hadi nasema kunani [Hook: Maua Sama] Kwenye baridi kali ama joto Yani kwenye Raha na msoto Ntabaki mi na wewe Ntabaki mi na wewe Iwe kwenye gari ama kwa ngoko Yani we kulia mi kushoto Ntabaki mi na wewe Ntabaki mi na wewe [Chorus: Kusah & Maua Sama] Haya mapenzi Yana wenyewe Na wenyewe ndio sisi Ndio sisi Jama mapenzi Yana wenyewe Na wenyewe ndio sisi Ndio sisi [Verse 2: Maua Sama & Kusah] Hello, tuhame huku kwenye bangalo Twende masaki tuwarushe roho Mapenzi yetu yawakabe koo, halloo Mwendo wa kupima Uzuri Fulani rangi ya Madina Nikutoe dinner, wavimbe macho kama wachina, ooh [Hook: Kusah] Baridi kali ama joto Yani kwenye Raha na msoto Ntabaki mi na wewe Ntabaki mi na wewe Iwe kwenye gari ama kwa ngoko Yani we kulia mi kushoto Ntabaki mi na wewe Ntabaki mi na wewe [Chorus: Kusah & Maua Sama] Haya mapenzi Yana wenyewe Na wenyewe ndio sisi Ndio sisi Jama mapenzi Yana wenyewe Na wenyewe ndio sisi Ndio sisi End