Amefanya mengi maishani mwangu,moyo wangu unashangilia
@neemapetro6168Ай бұрын
Hakika Moyo wangu unashangilia, nimemwona BWANA YESU akinifanyia mengi Sana maishani mwangu, Kubwa zaidi kunitoa kwenye uislamu na kunipa Zawadi ya wokovu, Moyo wangu unashangilia.