Mwacheni Mungu aitwe Mungu mazingira ya shule pamoja na madarasa hayafai lkn Mungu kamtumia huyu dogo ili hata shule iangaliwee, big up my son!
@ruthmukuyu7253 жыл бұрын
Ameeeen 🙏 good is good all the time
@salimahmed60053 жыл бұрын
That big point braza
@iddimazugo43323 жыл бұрын
oya mwamba kumbe umeona nia aibu kwa serikali yani
@heriethkitururu44013 жыл бұрын
Mm naangalia jengo na madawati
@griselrosario63672 ай бұрын
Unazumgumza, lugha kikamilifu...😂❤😂
@carrenmukolwe61973 жыл бұрын
I literally cried due to happiness while watching this video. Charles nakupenda Sanaa. Mungu azidi kukulinda na kukuinua pamoja na famia yako. Much love from Kenya
@sarahaloyce37933 жыл бұрын
Sarah
@catherinenalwa93973 жыл бұрын
JAMES SAID FAITH WITHOUT ACTIONS IS DEAD.
@BenjaC2543 жыл бұрын
Millard Ayo pongezi sana kwa interview hii muhimu sana. Pongezi kwa safari yote hio kumfikia Charles Mathias. God bless you guys.
@majozcyber60673 жыл бұрын
the kenyan family we spread love to mathias charles may God bless him for hes family
@janetndungu17813 жыл бұрын
Woiye masikini mtoto wa Mungu .God bless
@wacheram34943 жыл бұрын
I wish they had an M-changa. Tungekuwa tumecheza kama sisi!
@DpForum3 жыл бұрын
Huyu dg katisha like zake hapa 😊👍 hapa
@imerdambwilo67113 жыл бұрын
Jaman kipajiii hichooo ndogo wang like zakoo👋🤚✋👐
@winnien93423 жыл бұрын
I love her accent.such a simple soul.humble n a choppi...we should support the whole family in anyway we all can
@edithashirima72783 жыл бұрын
Jamon huyu mtoto nimempenda buree❤️❤️nakupendaaa totoo Allah akujalie na akufikishe mbali mwanangu
@emflashtv62113 жыл бұрын
*Anaempenda huyu mtoto kama mimi aweke like kafanya ninunue bando kwa ajiri yake jmn yaan anakoshaa siyoo poah* 👋👋👋👏👏👏👏
@neemamboya51443 жыл бұрын
Kwakwel mungu ambariki uyo kijana😅😅😅😅kaniacha hoi afanyagi matukio
@salhasilima48383 жыл бұрын
🤗😘
@amosnyirabu94613 жыл бұрын
9199992012119999112212221922
@amosnyirabu94613 жыл бұрын
9199992012119999112212221922
@amosnyirabu94613 жыл бұрын
9199992012119999112212221922
@realreen23493 жыл бұрын
Team Kenya watching this genius boy 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪. May God bless you young champion🖤🖤🖤🖤. Edit; Wakenya kweli mmejaa kila channel 😂😂😂
@rehemasalim45903 жыл бұрын
🇰🇪🇰🇪😀
@DaudYussuf3 жыл бұрын
the 2 year ¹¹1qiwiis¹4ddsssisij7 has
@gathsfamily28663 жыл бұрын
Watoto wetu hapa chekechea, hapa Kenya, nikupura ukorofi na smartphones tu !!!!! Bure kabisa, wajinga, sisi !!!!
@rehemasalim45903 жыл бұрын
@@gathsfamily2866 hiii uliskia wap
@zipporahmoraa39083 жыл бұрын
Am here from Kenya,am just shedding tears of joy of how GOD has Blessed this little angel,may he fly higher and higher 🙏🙏
@godfreyotsieno12283 жыл бұрын
Wow....much impressed with the knowledge of charles...🙂🙂🙂🙂....
@catherinemwigereri73283 жыл бұрын
Mathematician!! Intelligent boy, May he have a bright future'
@mwanahamis54873 жыл бұрын
Mashaa Allah 💯💯💯🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿Tanzania ya vipaji nipeni like zangu
@bujabestonlinetv3 жыл бұрын
Only God work. Mungu aendeleya kubariki mtoto huyu.
@eliasonzere96653 жыл бұрын
Absolutely amazing. These kid has king Solomon's wisdom. Keep it up for your coming future.
@nicholusogolla21503 жыл бұрын
I felt for this boy and I cried seeing this boy with ability to do his best in school😭
@jasminjuma63903 жыл бұрын
Mashaa ALLAH mungu akuongoze kijana mzuri akuhifadhi na hasadi za walimwengu Amiin
@mename60203 жыл бұрын
Ameen
@mahmoudaziz47173 жыл бұрын
Amin
@binthassancollection.63083 жыл бұрын
Aamiin
@ayyamisalim89363 жыл бұрын
Amina
@khamishussein70363 жыл бұрын
Amiin thuma amiin..
@vedastokeya33443 жыл бұрын
Huyu mtoto ni tofauti sana mm ninae wangu yupo vidudu hiyo 1+ 1 ni jasho Sasa yy 5000-2000 🤗🤗
@anneoiso58023 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣we kaka nimecheka kama falaa et wako yupo vidudu lakn 1+1jasho linamtoka
@caslidajosephat89123 жыл бұрын
Haaaaaaaaa wiiiiiiiii jasho
@تاتا-ن6ن3 жыл бұрын
Hhhhhh Aki nimechakakkkkkkkkk
@leylaiddy58153 жыл бұрын
True
@prettyh75093 жыл бұрын
😂😂kabisa ndugu yangu
@mswakisaid23203 жыл бұрын
Mungu akuepushie mbali Macho mabaya yenye mtazamo wa radi. Na pia akupe afya njema na akuongezee kipaji chako. Aaamiin.
@omarisarai76993 жыл бұрын
Mashallah,Mwenyezi Mungu ampe umru mrefu na azidi kumjalia fahamu nyingi aje awe msaada mkubwa kwa familia na jamii nzima na taifa kwa jumla
@mellenmbaka81823 жыл бұрын
Team diaspora watching this little genius boy,... Mashalla! Let your drms to be fulfilled in Jesus name cute boy❤️❤️❤️♥️♥️
@shadykimtai58343 жыл бұрын
God has open his way through mathematics may God protect and be with you boy I watch you from Kenya kericho county
@bennostar31273 жыл бұрын
One love boy
@rosebelbogita71053 жыл бұрын
He is a genius ..Tanzanians need to support him to achieve his dreams..big up to the young boy 🇰🇪🇰🇪
@frankpata16533 жыл бұрын
Saana kabisa
@paschalzacharia86003 жыл бұрын
Vital
@pendothomas72583 жыл бұрын
Mungu chukua utukufu wako. Ni wewe peke ake uliyempa huu uwezo mtoto huyu mdogo."Mlinde, mtunze, aishi Kwa kusudi lako', ili ujinyakulie utukufu wako. In Jesus name I pray. Amen
@marryjoel78193 жыл бұрын
Kweli mpendwa huu niutukufu kwa Mungu
@susankaburu1403 жыл бұрын
Amina
@salhatphidelis88843 жыл бұрын
Amen kubwaa
@christopherbeda38853 жыл бұрын
Amen
@marymbwambo65953 жыл бұрын
Huyu dogo akifika la tano atakuwa ashajua na logarism dah!!!
@gabrielmapunda60173 жыл бұрын
Oyo TV kuna tuzo kubwa sana inawasubiri maana si kwa kazi hiyo,Mungu awabariki sana.
@shangwekamando25993 жыл бұрын
Exatly!
@pachamalota44553 жыл бұрын
Kabisa si mchezo kwa kujitoa kwa hali ya juu
@daymoohdemularh72803 жыл бұрын
Hii ndio chanel ya kipekee huko Tanzania. Zenginezo ni za kuonesha uzinifu wa kina kajala na harmonize na diamond na kina tanasha
Mi nnachoshukuru ni kwamba millard huwa haruhusu yale mambo ya maskendo na showoffs za kinananiliu kama kwenye machanneli mengine,it makes this channel be more displined,attractive and exclusively unique,,Keep it up brothers,,
@mahmoudaziz47173 жыл бұрын
Mashallah Dah uyu dogo ananifanya nilie😭😭😭. I'm very happy now Millard habari umeipata. Nasikia babu tale kashampeleka shule mzuri.big up babu tale🙏💪🇹🇿.
@mymunamymuna48073 жыл бұрын
Mashaallah🙏
@apostlejohn.k.mutukaa.k.aj28373 жыл бұрын
Oh ameniwahi, ndio naiona. Mungu ambariki mbunge
@ibrahimmanthy53113 жыл бұрын
Tuwekee simu ya baba mtoto kama ana simu ili tuzungumze nae
@nuuurinkluge333 жыл бұрын
I wan't to Help her..so Plesse i need the Phone number b,,From Germany
@mahmoudmussa83 жыл бұрын
💯
@juliethfurgence19683 жыл бұрын
Asante Mungu kwa mtoto Charles kumpatia Msaada.. Maombi yangu na Wadogo zake watafutiwe Shule nzuri. Wajitokeze Wasamalia, Mazingira yanaonesha wazi wote wana Akili.
@lyrics_forum3 жыл бұрын
Ayotv Mnatisha sana, Yaani Mnasafiri ili Kutujulisha Habari Bomba Bomba😀
@susankariuki66023 жыл бұрын
Sasa jameni hii ni shule ya watoto na BBI ndiyo juu God of mercy forbid
@letpeacebe76663 жыл бұрын
Wow, this child is just on another level of Smartness.... I'm proud of him, wish I could lay my support to this child...
@catherinenalwa93973 жыл бұрын
DON'T SUPPORT THROUGH THE TEACHER THROUGH FATHER OR MOTHER OR THE REPORTER. EVEN UNCLES AND AUNTS USE MOTHER OR FATHER.
@festosaidi Жыл бұрын
Noma sana uyo dg
@yasodishonest97923 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah. Jamani nahisi kulia wallah. Mungu akuongoze mtoto mzur❤❤❤❤❤
@youngsterdjshaz3 жыл бұрын
My love for this little boy watching from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 he deserves to be teaching fellow students free times, mungu akuzidishie such a maths star 🌟
@shakilamasoud29833 жыл бұрын
Huyu mtoto mara ya kwanza nimemuona kwenye status za watu' daa Mungu amlinde sana'sana
@samohazakwani68993 жыл бұрын
Allah humpa amtakae bila ya kutazama mazingira yake. Allah ni Muadilifu anaefanya bidii humnyanyua. SubhaanAllah.
@eliudkiprop13303 жыл бұрын
Allah min fadhli rabbi
@tinnahmosha51773 жыл бұрын
Kwa kweli
@dodimohammad3 жыл бұрын
MASHA ALLAH 😭😭😭MUNGU AMZIDISHIE ELIMU NA AMFANYIE WEPESI PENYE UZITO...
@mename60203 жыл бұрын
Ameen Allahuma
@lovvy8543 жыл бұрын
Ameen
@rabanusnjungan70723 жыл бұрын
Namshukuru Mungu kwa hiyo zawadi ya huyo mtoto jamani, najua hiyo sehemu pamoja na familia watapata maendeleo, wajegewe shule
@cointhemoney94503 жыл бұрын
I wish am ur brother ...ur good ,I love your knowledge ,Thenks Lord for Blessing him... proud for u here in kenya
@sharonkandie57713 жыл бұрын
Wow happy to see you genius young boy you will be celebrity much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪God bless you
@missmungai70793 жыл бұрын
At last nimelia😭😭😭😭mbali ni furaha jamani sikujitokeze muhisani amusimamie masomo yote ya huyu mtoto aki,,,bright future ahead God protect this child in JESUS mighty name Amen
@easternyerembe72713 жыл бұрын
Machozi yamenitoka pia
@isaackkitumbo39763 жыл бұрын
Ameen
@isaackkitumbo39763 жыл бұрын
The Brain of this guy is very fastest detective.
@purple44633 жыл бұрын
Wow, this child is a genius. I hope he gets all the support he can get to reach his dreams.
@zuenafrancis9923 Жыл бұрын
Nakupend San toto
@simonmhanje82513 жыл бұрын
Dah hongera sana M/Mungu akulinde sana Mdogo wangu ila Babu Tale barabara iikumbuke ya kwenda Morogoro kilengezi ijengwe kwa kiwango cha lami hadi kisaki
@felixernesto13663 жыл бұрын
I feel this kid to the extent i want to cry 😭😭😭. May the Almighty God brighten his future and bless him more than he can imagine.
@teamruto78063 жыл бұрын
Amen🙏
@robertmatu2702 жыл бұрын
Amen
@michaelmaingi16623 жыл бұрын
Despite of the child coming from a remote area... big up for the teacher who noticed him
@delulu17tz993 жыл бұрын
Dah Mwenyezi anajidhihirisha dhahili kupitia vipaji pia✌️,let's support this young emotionally and materially pia🙏
@antoniadudus79172 жыл бұрын
Mungu akuzidishie nawaombea sana
@Bellanna1003 жыл бұрын
SUPPORT THIS KID AND HIS FAMILY TANZANIANS .HE IS GENIUS 🥺🥺❤❤❤❤❤❤❤❤❤ KENYA WE LOVE YOU 😱😱😱wish he is in kenya ata nyumba ingekua inajegwa saa hii
@red-buoygadafi35753 жыл бұрын
I love how the boy answers the questions directly,, wish he was ours in Kenya,, he would have gotten the full support,, kindly support the child Tanzania's
@emmanuelpaul7646 Жыл бұрын
which kenya??? heri uko Tz uku ata talent yake ingepotea
@kogalojowi66803 жыл бұрын
Let this Genius brought to Kenya,we Support Him.
@chaniquality6153 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/p4esY2d7rdqFiqc
@mellenarasa84972 жыл бұрын
MUNGU AMPE HUYU MWANA NJIA ILIYONYOOKA KTK JINA LA YESU🙏 all the best from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@carolynendossi15943 жыл бұрын
This made me cry jamani. Mungu amtunze huyu mtoto.
@imanmodern3 жыл бұрын
Carol you're lying bhana 😂
@puritywairimu403 жыл бұрын
This young boy needs support to reach his dreams
@lifewithveronicah3 жыл бұрын
Can our Tanzanian brothers come together and support this genius boy together with his family It’s how we do it in Kenya He went viral,please let that change his and his family’s destiny A great asset to Tanzania ❤️ All the best lil champ Love from 🇰🇪
@allykijanga22953 жыл бұрын
Sudimnada
@rajabomar67032 жыл бұрын
Watanzania muokoeni huyu malaika wa mungu. Icu wako wapi. Mymother. Jumalokole. Kamanda. Sisi kenya twawaaminia sana
@leonarddeus29053 жыл бұрын
It's so funny, May almighty God bless this little child to achieve what he want🙏
@fatnasabri71293 жыл бұрын
Amiin
@theophilwilliam69063 жыл бұрын
Mungu azidi kumlinda na kumbariki mtoto GENIUS Charles. Na serikali ichukue jukumu la kuendeleza kipaji hicho adimu.
@teychriss32483 жыл бұрын
Magufuli Pombe! Uwii! Umetisha dogo! Huna matukio! 😂😂! Hope soon shule itakuwa na muonekano mwingine as mkuu wa nchi ameiona! Kp it up Ayo!
@brownmollel26553 жыл бұрын
Hongera yake teacher kwa kumpost dogo kwenye mtantao Hakika huyu dogo ni Lionel Messi wa hesabu
@stanydizzy4803 жыл бұрын
Serikal tunaiomba ikaboreshe mazingra ya Shule huko jaman Elimu bure sawa lakn sio kwa hivi aise 'ila Walimu wa hapo Mungu aendelee kuwa bariki ivo ivo
@mr.kipkiruikapchumbe43292 жыл бұрын
Wow,salute mdogo wetu.pokea salami kutoka huku kwetu Kenya🇰🇪
@tvtv95813 жыл бұрын
Please, let's support this little boy. May the lord help you and archive your dreams baby boy.
@emmanjeri25883 жыл бұрын
J
@chainmastertush79453 жыл бұрын
I love this boy so active one hour in the way to school...God help this guy to reach her goal...my prayer to lord.
@lyneliz83653 жыл бұрын
Such an adorable kid ...he has found his purpose at such a young age praise the heavens now shine babyboy show the world what you are made of
@GIS254682 жыл бұрын
Watching from kenya...This child is smart, I hope he get support
@melixwonder70513 жыл бұрын
This child need a mentor so that he can achieve his dreams...i love him for free
@faustinelusato68043 жыл бұрын
ayotv mko vizur aisee
@marymungai44293 жыл бұрын
Glory to God. May the child be a success. God bless the teacher a million times
@busatitv3 жыл бұрын
Gonga like kama umemkibali zaidi huyu Mtoto.
@dayanakyando15443 жыл бұрын
Dah.. mungu akusaidie mdogo angu umejua kunikoshaa..💞💞
@devothamwamwezi20363 жыл бұрын
I LOVE IT......Mungu amuongoze RAIS WA Baadaye
@ahmedzahor29753 жыл бұрын
Duu mazingira ya Skuli sio rafiki
@khadijacharles24333 жыл бұрын
Na ndoanako elekea uyu mtoto
@nusuranusura46883 жыл бұрын
Wallahi huyu mtoto analiza. Waandishi jamani mnamchosha maswali.yamekuwa mengi sana kwa mtoto wa chekechea. Cha ajabu mtoto anajibu yote tena kwa ufasaha. Allah msimamie mwanetu na kipaji chake kikue
@regnethmtemanyongo22373 жыл бұрын
Huyo ni darasa la kwanza alichelewa
@nasratanzania16903 жыл бұрын
@@regnethmtemanyongo2237 alichelewa ss mbn anajibu unaweza ukachelewa na ukawa mbulula tu ana akili ya kuzaliwa 🙄🙄🙄🙄🙄
@asiabeauty98513 жыл бұрын
Chozi lanitoka. Sijui ni furaha au nini? Sijielewi yaani ubarikiwe mtoto mzuri
@youngyayoo28053 жыл бұрын
Changia kitu basi
@asiabeauty98513 жыл бұрын
Waweke namba mbona wa tz tunapendana tu hilo si la kuuliza wakwetu
@getrudapetro1513 жыл бұрын
Nimecheka peke yangu jmn raha iliyoje
@asdasdg31423 жыл бұрын
Jamani asaidiwe huyu mtoto huenda ndo saisi wa miaka ijayo
@mankahalifa56233 жыл бұрын
Yani Kama mm machozi yanaitoka 😭 tuu
@rebeccayamay55913 жыл бұрын
Mungu abariki mtoto huyo amuogezeee kipaji zaidi na zaidi 👏👏👏👏👏
@sandranjonge76103 жыл бұрын
Woow!Impressive young soul. May God help him realize his dreams...he is truly a genious little boy.
The child has great talent and I hope she government will help nurture his God given gift. Sponsorship is needed here for the child to achieve his dream
@Ngoshhofficial2 жыл бұрын
Nyie watu wa khabari hizi mwenyezi Mungu awajazie neema mpaka mshangae 🙏
@priceadvert3 жыл бұрын
Watching from Kenya, this young boy is a real genius, it's my prayer that he's fully supported in his entire education journey
@continentalpropheticminist73953 жыл бұрын
Samiah suluhu the president of Tanzania nay you work for the family of this kid and even Mtoto mwenyewe he's struggling .....baby class and he's working some kilometers going to school may God bless you boy I wish one day my kid will have a nature mind like you
@continentalpropheticminist73953 жыл бұрын
Tanzania is a country of genius can't get tired of posting comments
@speedreacts013 жыл бұрын
Uyu atakua profesa Kama magoha Likes za kenya
@bonypaulrapando40553 жыл бұрын
well done
@verowamboi93123 жыл бұрын
Proffesor mwenyewe
@fatmahussein60853 жыл бұрын
such a gifted kid from Almighty 😍🥰 May God keep you baby boy❤️
@BakariMohamed-hq8iw Жыл бұрын
It's really touched my fellings that made me to drop tears 😭 Dear God 🙏 bless this kid to achieve his goals amen
@bollboy35533 жыл бұрын
6 yrs old l will b told 10 minus 6 nahesabu vidole but daah 5000-2000= 3000..great
@Miriam760ful3 жыл бұрын
Nakupenda mnoo mwanangu...yaani nimelia kwa uchungu sana ..sina kitu..lakini nawaombea familia nzima Mungu awaonekanie huyu mtoto afike mbali🙏
@binthassancollection.63083 жыл бұрын
Aamiin thumma Aamiin
@salmaalimusa5473 жыл бұрын
Amiin
@osmandemebele33353 жыл бұрын
Umelia kwel sister ?
@dapinitiative24513 жыл бұрын
Kwan kilichokuliza nn🤣
@dapinitiative24513 жыл бұрын
Kwan kilichokuliza nn🤣
@christinemakori2813 жыл бұрын
I don't know why people dislike to this young boy who has a bright future 💕
@annendutagitaka47483 жыл бұрын
The interviewer is causing this. We need to see how he is a genius like solving complicated mathematics
@ombiahussein99763 жыл бұрын
Hao wanachuki na husda
@evangelisttimoohmakoha98942 жыл бұрын
@@annendutagitaka4748 uh 7
@jacintandanu53733 жыл бұрын
Wow.... May the lord open more doors for the this genius boy.... Am just happy for him... Blessings. Congrats.
@jogechi21053 жыл бұрын
Brilliant boy, humble and focused. Find a way to get support from Kenyans too. Love from Nairobi🙏
@billocesamwel26373 жыл бұрын
Ndio maana wazungu wanatuandama, maana waligundua tunarangi nyeusi ila ubongo angavu, hongera sana Mwanangu
@mudetsimercy37333 жыл бұрын
😂😂😂😂you literally funny though
@dangotesam98453 жыл бұрын
Deep in an isolated East African village, God placed a jewel.
@_Soekjnr.3 жыл бұрын
very true
@justinebundi44373 жыл бұрын
Hongera kijana na pia Mola abariki hao wasamalia wema🙏🙏🙏.
@janekoi23143 жыл бұрын
Nampenda Sana huyu kijana Sana heri angekuwa hapo nchini Kenya msimwachilie tafadhali... Msaidieni huenda akawa mtu WA maana Sana nchini mwenu
@MissM_2543 жыл бұрын
jamani nalia tu😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 sijui ni chozi la furaha ama huzuni ila huyu mtoto ni baraka
@annnjoki95273 жыл бұрын
Aki ni kazuri sanaa
@aishamwarandani75563 жыл бұрын
Masha Allah Allah ambariki mtoto uyu
@anterianmohamed32133 жыл бұрын
He is a genius in nature may allah bless him
@amudavisimiyu6493 жыл бұрын
Aminn
@sarahmuthamaki58453 жыл бұрын
I love this boy haki. Wakenya tupewe huyu mtoto.🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪.....tuko chap chap kwa kusaidia. Tunamwombea Mungu amuhifathi, na amfiche Damuni mwa Yesu. We declare this star shall shine brightly and He destiny will never be shut in Jesus Mighty Name.
@salimually45343 жыл бұрын
I'm praying to Allah for my inborn baby to be like this one! For sure he surprised me further ....
@rayjuma77903 жыл бұрын
Jamani hadi raha
@geofreyngaga53303 жыл бұрын
Wish you the best
@leylahselemani71953 жыл бұрын
Nimechekaa et "sifany matukio" 😀😀😀... so amazing, God bless prince Charles
@esterignasy76593 жыл бұрын
Sana aisee.. nimecheka kwa sauti
@juliejulie87043 жыл бұрын
😂😂😂
@hamiduhamdun18583 жыл бұрын
Hiyo ya sifanyi matukio imenifurahisha sana
@jenyyusuph49733 жыл бұрын
Eee! Hayo matukio🤣🤣🤣🤣🤣🤣 alafu duuh ukisema vijijini hawajui VIJINENO unawakosea sana
@SWAHILINATION3 жыл бұрын
Tanzania we’re blessed! Sooo proud to be an African. I’ll be praying for this kid 🙏🏾
@catherinenalwa93973 жыл бұрын
DON'T ONLY CRY SUPPORT. CATHERINE NALWA. KENYA
@josephchimba75833 жыл бұрын
Aki Nina wajomba zangu wako class 1 , wako vizuri ila huyu dogo Ni extraordinary aisee🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@rogerhunda86163 жыл бұрын
Licha ya kujua hesabu lakini pia anajitambua anajua kujielezea vizuri
@brothermoud6313 жыл бұрын
Yeah ..yupo smart hana khofu haogopi
@samwelombeni68503 жыл бұрын
@@brothermoud631 yaani yupo smart sana halafu ametuliza ufaham yaani sijuii nisemeje Mungu amsaidie na amfukishe pale yakipo makusudi yake
@brothermoud6313 жыл бұрын
@@samwelombeni6850 yeah
@armanichicandow12253 жыл бұрын
God bless u Millard and your team for good work
@rostv7833 жыл бұрын
Bring this genius to Kenya,we ready to support him.Our brothers you continue with music.
@kefarh3 жыл бұрын
Kenyans kujichocha and our education system is a mess. So far how many geniuses and athletes and extra ordinary people have we supported?? 🚮🚮
@infinitemixentertainment533 жыл бұрын
Hata mi na shangaa ati bring him to Kenya na ya kwenu yamewashinda
@iangitonga47322 жыл бұрын
I love this boy, watching from Kenya
@dainesskissah12683 жыл бұрын
I'm proud to be a mother, I hope my son he will be like him, God bless him
@tonykithinji90553 жыл бұрын
God continue instilling more knowledge to this kid.
@ferouzmasoud47413 жыл бұрын
Duuuh 😲 Huyo mtoto noma Sanaa ana kipaji Cha hali ya juu sanaa 👊 Kanishinda Hadi Mimi me cjuw LaKI kutowa LAKI cjuw ngap 🏃