Nimebarikiwa sanaa na haya mafundisho naona nimechelewa kuiona lakini Namuomba Mungu anisaidie niweze kuvunja mipaka yote kwenye maisha yangu na kuyaishi haya mafundisho.
@DottoAmon-bs2cr4 ай бұрын
Asantee mtumishi nimebarikiwa nimejifunza
@winfridaadam79516 ай бұрын
Ameeeen,,Mungu akubariki sanaa Mtumishi Wa Mungu hakikaa nipepokea kitu sanaa Ubarikiwe kwa Somo Nzuri sanaa,,Naomba lila Mpaka kwenye Maisha Yangu Iteketee Kwa Jina La Yesu kristo Ameeeen 🙏🙏🙏
@MamaGirlsMamagirls-h8vКүн бұрын
Aminaaa 🎉🎉
@Madam_Tinna Жыл бұрын
Hapa ni KRISTO mwenyewe alikutumia unene haya... Atukuzwe MUNGU awezaye kufanya mambo makubwa namna hii.. Ubarikiwe Kaka @Joel Nanauka
@olivertadeo699116 күн бұрын
Hallelujah 🎉
@WilliamJulius-p1q2 ай бұрын
Asante sana na mungu
@aderiderkihupi72404 ай бұрын
Asante
@happynessmasere2368 ай бұрын
I call him Joe, Smart mind and anointed man of God.
@BikoMwambungu-ee8oq Жыл бұрын
Ila wewe mungu amekukusudia
@elizambawala7790 Жыл бұрын
2Wafalme 7:3-4 Isaya 6:8 Zakari 1:18-19
@JohnGMwagisa Жыл бұрын
This is more than revelation from God to us❤️💯💯🔥🔥🔥💥💥