KUTENGANA SISI NA MASHIA NI HARAM - SHEIKH ALHAD MUSSA AKIZUNGUMZA MBELE YA VIONGOZI WA KISHIA

  Рет қаралды 4,273

BABDEO MILADU

BABDEO MILADU

Күн бұрын

Пікірлер: 74
@muhammadbamba9445
@muhammadbamba9445 8 ай бұрын
Hatuwezi kuungana na Mashia wanaosema Quraan imepotoshwa rejea kitabu chao cha Mauqifu Rraafidhwa minal Quranil Karim Wanasema pia" Quraan sio hoja mpaka awepo imamu" rejea kitabu chao Usuulu kaafi juz 1,Uk:169 cha Al kulayn
@ramadhanibahati2829
@ramadhanibahati2829 8 ай бұрын
Good Shekh alhad mussa salum ❤❤❤
@saidybhoky-lb7hg
@saidybhoky-lb7hg 8 ай бұрын
sheikh acha njaa allah akulaani
@omaryissa2562
@omaryissa2562 8 ай бұрын
Innalillah wainnailay rajiun
@almustafamediajamiumosques7951
@almustafamediajamiumosques7951 8 ай бұрын
kila kukicha ushia utakuwa na nguvu wale wagonjwa wenye roho mbaya juuu ya ushia .shia ni dhehebi safi na haki hakuna njaa wallahi
@yusufkhanna
@yusufkhanna 8 ай бұрын
Hakuna nguvu yoyote watakayokuwa nayo kwaajili ya kuwatukana vipenzi wa mtume
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 8 ай бұрын
Nguvu ya kumtuhumu Abubakary na omary na othman na aiysha na afsa kuwatakia raana waja wema mnasema mnapata nguvu au hasala hiyo ushia ni dinni kama dini zingine tuu, majusi mayahudi na manaswara ushia na uislamu ni kama magharibi na mashariki mmemtuhumu hadi mtume jamaa wanaitikadi mbovu Hawa ni finnari jahanamu hawatokuwa na msaidizi motoni.
@Khalid-r6l6d
@Khalid-r6l6d 8 ай бұрын
​@@yusufkhannab daah!! kumbe unajua aisee😢😢 tetea go ahead bro kweli ushia ikoña utamu wake kwahyo enjoy bro Allah akuone vzr
@yusufkhanna
@yusufkhanna 8 ай бұрын
@@Khalid-r6l6d Mm nasimama na haki katika sunnah kama mtume alivyotuusia,Ushia sio uislamu jifunze na usimame na haki hata kama ni uchungu,duniani tunapita na mahali pa kupanda nafaka zako ni hapa,kesho ni hisabu bila ya amali,leo ni amali bila hesabu kwahvyo eka maneno haya kwa akili yakoo
@TheIslam1681_
@TheIslam1681_ 8 ай бұрын
Ulitukanwa na mange kimambi roho ilikuuma na ukaja juu, wanatukanwa maswahaba na hao mashia lkn roho haikuumi. Unavyojiona ww ni bora kuliko Abubakar na umar (Radhi za Allah ziwe juu yao)??? Hakika jibu utalipata ukiwa chini ya Ardhi lau km hautabadilika. Pesa ni nyepesi kuliko mchanga wa kaburi.
@hassanmohdally5217
@hassanmohdally5217 8 ай бұрын
Huyuu jmaaa boraaa walivyomtoaa bakwataa daaah aiseee mtihani
@khalidhassan9845
@khalidhassan9845 8 ай бұрын
Njaaa mbaya sana wallahi
@JailaniRamadhan-it3kp
@JailaniRamadhan-it3kp 8 ай бұрын
We umeshiba?
@Khalid-r6l6d
@Khalid-r6l6d 8 ай бұрын
​ hajashiba ndio maana atavutwa pole Poole aje ktka shibe subhaanallah 😂😂😢😂😂
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 8 ай бұрын
Shekhe hitakii llah, muogoope Allah hivo vipesa vya iran unavyopewa kuwahami maaduui wa mtume na maswahaba kumbuka kuna mauti kesho utaenda kuulizwa ww, kuwatetea mashia ni sawa na kuwaambia endeleni kutukkana maswahaba wa mtume,umoja huo mtakuwa nao ninyi. Masufi mnaotaka dunia ambao amuogipi akhera sisi ahlsunnna tutaendelea kuwahami maswahaba wa mtume mpk kiama, leo upo na mashia wanaowatukana maswahaba ijumaa unapanda mimbari katika. Hotuba unawataja na kkuwatakia radhi si unafiki huo leo upo na maadui zake wawatettea
@rushu1232
@rushu1232 8 ай бұрын
Mawahabi wacheni matusi ushia na mashia uko na wako ulimwengu mzima kama walivyo makafiri ila wao wanajinasibisha na uislamu tunashirikiana nao kiubinadamu naujirani wao wana miskiti yao wala hatuendi huko wala hakuskilizi darsa zao wala hatusomi vitabu vyao.
@JailaniRamadhan-it3kp
@JailaniRamadhan-it3kp 8 ай бұрын
Mashaallah ahsante
@abuuabdirrahmaan4132
@abuuabdirrahmaan4132 8 ай бұрын
MAJITU KAMA HAYA HAWA WANAORUSHA KLIP ZAO WANA DHIMMA YA KUUHARIBU UMMA MBELE YA ALLAAH NA KILA MMOJA ATALIPWA KWA ALICHO KICHUMA
@ibnsuleyman4140
@ibnsuleyman4140 8 ай бұрын
Njaa mbaya
@muhammadbamba9445
@muhammadbamba9445 8 ай бұрын
Hatuwezi kuungana na Mashia wenye kuamini UIMAMU KWAO NI NGUZO NA HUMKUFURISHA YULE ASIYEAMINI NGUZO HIYO Wanasema" Yule ambae haamini uimamu wa maimamu 12 haitimii imani yake Mpaka akiamini na kuitikadi hivyo" rejea Aqaaidul imaamiyya uk 78
@abufirdaus4254
@abufirdaus4254 8 ай бұрын
Pesa mbaya sana .....hususan njaa ikipanda kichwani....unauza dini mchana kweupe
@mrsultanzimbwe6746
@mrsultanzimbwe6746 8 ай бұрын
Sjui wapataje nafasi kuongea porojo mana hujui waongea ninii?
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 8 ай бұрын
Njaaa mbaya
@KassimSalim-fi1me
@KassimSalim-fi1me 8 ай бұрын
Huyu sio njaa hela anayo ila ni kama vile abu jahal aliijua haki akaikataa muacheni tu
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 8 ай бұрын
Shekhe unafiki huwo itaqi llah, muogope Allah unaatumika na mashia kusaidia kuwatukana swahaba hii dunia tuuu, kumbuka kuna mauti na allah subuhana huwataala hatowatazama kwa huruma yaumal kiama watu ambao waliuza dinni yao kwa tamaa za kilimwengu na wakaficha hakki ndo masufi njama zenu na mashia ni kitu kimoja ndomana hata kenya kuna shekhe wa kifsufi alimtukana swahaba wa mtume muhawia, mtakuwa wamoja nyie masufi na mashia sissi ahlsuna tutaendelea kuwatetea maswahaba wa mtume mpk kiama na ttutalinda hishima yao sasa ijumaa muache kuwatakia radhi basi sabu kama mnawapa nguvu wanao watukana na ijumaa. Unassimama kwenye mimbari kuwatakia razi huku unashilikiana na maadui wenye kuwatukana mtakuwa wanafiki baasi hamna ukweli hapo.
@muhammadbamba9445
@muhammadbamba9445 8 ай бұрын
Makafiri wa kishia hatuwezi kiungana nao kwani wao Mashia wenyewe hawataki kuungana na waislam ambao mola wao ni Yule ambae khalifa wa mtume wake ni Abubakari Angalia kitabu cha kishia cha Al- Anwaaru Nnu'maaniyya(Juz:2,Uk: 278) cha Al-jazaariy Wanasema" Hakika sisi hatukusanyiki pamoja nao [Sunni] juu ya Mola wala nabii wala khalifa kwa sababu wao wanasema Mola wao ni yule ambae mtume wake ni muhammad na khalifa wa mtume huyo ni Abubakari na sisi hatumkubali mola wala Nabii huyo bali tunasema mola ambae khalifa wa mtume wake ni Abubakari huyo sio mola wetu,Wala Nabii huyo si Nabii wetu" Vipi tutaungana na Makafiri hawa??
@muhammadbamba9445
@muhammadbamba9445 8 ай бұрын
Hatuwezi kuungana na Makafiri wa kishia wanaosema "Allah anamtembelea Hussein ibn Ali na anampa mkono na kukaa pamoja naye juu ya kitanda" Rejea kitabu cha kishia "Swahiifatul Abraarij(juz 2,uk:140) cha Mirza Taqiy
@mwambashiiddi9295
@mwambashiiddi9295 8 ай бұрын
Quran sio moja kwa mashia wanaamini inamapungufu vip wasema nimoja?
@UmmuJauzan
@UmmuJauzan 8 ай бұрын
Huyu hatoshekagi na pesa
@omarsuleiman9064
@omarsuleiman9064 8 ай бұрын
Hilo mtalijua nyie kwamba nyinyi kutengana na mashia ni haramu njaa imewatala sana kwahyo hyo mtajijua wenyew
@allywaziry6419
@allywaziry6419 8 ай бұрын
Huyu sio njaa, kwa uwekezaji wake tmk, pesa anayo shida hapa ni umaarufu na Dunia ambavyo vyoote vya kupita.
@HabibuMudhwahir
@HabibuMudhwahir 8 ай бұрын
Wew utabaki nachuki dhidi ya mashia wala haitokusaidia mashia wapo nawataendelea kuepo
@topfreelancer5151
@topfreelancer5151 8 ай бұрын
Sasa wewe mashia unawapendea kuwatukana maswahaba? Baba ako angetukanwa usingesema chuki lkn maswahaba unaona sawa si ndio?​@@HabibuMudhwahir
@allywaziry6419
@allywaziry6419 8 ай бұрын
Mijitu inayotukana maswahaba wazi wazi Kuna haja gani ya kuzipenda?
@MansourKabuhaya
@MansourKabuhaya 8 ай бұрын
​@@HabibuMudhwahirwe hunielewi, kasome kwanza ndo ucomment
@nassor6333
@nassor6333 8 ай бұрын
Kuna watu huwa wanabisha haya leo simmeona kua hawa watu wa mawlid na mashia ni ndugu😅😅😅
@omaryabduli7328
@omaryabduli7328 8 ай бұрын
watabisha tena......
@seifsalum3018
@seifsalum3018 8 ай бұрын
Njaa na kutafuta umaarufu ndomaan mwaiacha haki
@arafatkhan6465
@arafatkhan6465 8 ай бұрын
Pesa mbaya
@hassanmpwepwe3826
@hassanmpwepwe3826 8 ай бұрын
Wew auna lolote shekh Mchele 2 nani akujuwi wew kazi unaangaria maslay yako binafsi 2 wew ndio mnafiki mkubwa katka waslam ndani ya tz
@mwambashiiddi9295
@mwambashiiddi9295 8 ай бұрын
Itikadi yenu na mashia tofautii acheni kutaka umaarifi
@ashachitemo7816
@ashachitemo7816 8 ай бұрын
Hakika ukisoma sana dini ni dhahiri utawaona shia wako kwenye haki na wanawazuoni wa kishia wana elimu kubwa sana ya dini na dunia.Kama elimu yako ni ndogo utapata tabu sana kuwaelewa Mashia.
@nduwimanaamidou4009
@nduwimanaamidou4009 8 ай бұрын
Kwakuwatukana maswaaba ndiyo elimu acha izo we
@mahawijr96
@mahawijr96 8 ай бұрын
Natunapokwendea kwenye kizazi cha kuhoji na kutafiti watuwengi watakua mashia. kwasababu icho kizazi akitauliza malamoja na wala awataacha kuchunguza na jibu lenyewe.
@ashachitemo7816
@ashachitemo7816 8 ай бұрын
@@mahawijr96 ni kweli watu Kwa Sasa wamesoma sana dini na Wana uelewa.mfano mfupi ni huu:sala ni Tano ila Quran imeelekeza nyakati za sala ni tatu.Mashia wanasali Kwa nyakati tatu.asubuhi,adhuhuri na laasiri Kwa wakati mmoja na magharibi na ishaa Kwa wakati mmoja, hivi ndiyo mara nyingi alivyosali nabii muhammad
@mahawijr96
@mahawijr96 8 ай бұрын
@@ashachitemo7816 Nandio maana wanasema usisome kwa mashia au wanakuelekeza cha kusoma, eti mashia wanatukana maswahaba wameandika kwenye vtabu vyao wakati kuna wanao tukana Mwenyezi Mungu kumwambia anamakalio, Najikinga kwake kwakuwa Mwenyezi Mungu awezi kua hvyo, wanajisahaulisha kuwa ukimpa Mwenyezi Mungu sifa za Binadamu maanayeke unapingana na Qur'an Mwenyezi Mungu aliposema(Na wala akuna anaefanana nae) sasa kama anayo makalio yaliotokeza katika Halshi atakua na tofauti gani na kibonge muza samaki..😅 unatofauti gani na wale wasemao ana mtoto.
@Khalid-r6l6d
@Khalid-r6l6d 8 ай бұрын
​@@ashachitemo7816..... SUBHANA 😢😢
@hassanbilali1697
@hassanbilali1697 8 ай бұрын
Sijaona baya alilolizungumza shekh Nyie mnaokosoa hoja iko wapi nisaidieni ktk hayo alozungumza. Usitoke nje ya maneno yake
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 8 ай бұрын
Ubaya upo anawasaidia watu ambao wamemtukana mtume, wanamtuhumu kipenzi cha mwenyezi mungu ujumbe alokuja nao unamapungufu, wamewtukana maswahaba arafu unatafuta waislamu waone sawa wakati Hawa ni maadui wa mtume kama kawapenda yeye awafate kisirisiri so adharani sisi tutapinga tuu, huwezi kututukania swahaba afu ukasema tuwapende watu Hawa Shia ni viumbe wabaya sana juu ya uslamu ni bora ya hata hawo manaswara so hawa jamaa itikadi zao mbovu sana mpk Allah wamemtusi kuwa anafanya Jambo linaloendana na akili ya mtu anavyotaka mmmh ama njaa zitawaingiza mashekhe wengiotoni huyu alhadi so kama hajui anajuwa Ila uroo wa pesa anauza dini yake
@yousuphnzira3209
@yousuphnzira3209 8 ай бұрын
Mashia ni kama Wakristo tu hawana tofauti
@KassimSalim-fi1me
@KassimSalim-fi1me 8 ай бұрын
Rabb msamehe hajui anachokifanya
@KassimSalim-fi1me
@KassimSalim-fi1me 8 ай бұрын
Hawa ni mayahudi nyuma ya pazia la ahlul bayt
@alimau7939
@alimau7939 8 ай бұрын
Kuna watu wanauza akhera yao kwa dunia
@HabibuMudhwahir
@HabibuMudhwahir 8 ай бұрын
Fafiiiiiii
@hamynas
@hamynas 8 ай бұрын
wala hakuna ubaya wowote kuwa pamoja na mashia masuni maibadh nakadhalika,,,ni kasumba mbaya tumelishana kuwa mashia siyo waislamu mashia sijui makafiri mashia sijui maswahaba...uwongo mtupu sisi waislamu tuna taabu saana tumekua maadui sisi kwa sisi tumemsahau adui wa kweli ambaye ni mzayuni anayeua wapalestina mchana na usiku na hatuna cha kumfanya kitu zaidi ya kulia na kuhuzunika...aibu kubwa saana
@Saalimmakasia
@Saalimmakasia 8 ай бұрын
hivi ni kweli kutukanwa maswahaba ,hhilo halituumi mpk kuungana na hao watukananyi?wallah una dhima kwa allah wewe haikuumi kuvunjiwa heshm wake za mtume wew?
@tigerroar3545
@tigerroar3545 8 ай бұрын
Njaa haijamuacha mtu salama
@RamadhanRamadhan-uq2qi
@RamadhanRamadhan-uq2qi 8 ай бұрын
Nyie mwajua nn katika ilmu bana musiropoke maneno shekhe yupo sawa mbona
@عبداللهخليفه-ز9ن
@عبداللهخليفه-ز9ن 8 ай бұрын
ANAYEFANANA NA WATU NI KTK WAO
@abuurayaan3902
@abuurayaan3902 8 ай бұрын
Masufi munaumbuka 2 pole pole ushia mulio uficha vifuani mwenu
@selemankishema5780
@selemankishema5780 8 ай бұрын
Labda kama unatukumbusha tunajua hayo mambo yenu.
@allychard7562
@allychard7562 8 ай бұрын
Mnaiyona msalaba kwenye bango
@mrsultanzimbwe6746
@mrsultanzimbwe6746 8 ай бұрын
Kwakuimbaaaaa?!!!!!!! Polepoleni na hizo sharhi zenu tafsiri
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 8 ай бұрын
Usufi na ushia ni ndugu wa baba mmoja tuu,wote lao moja huyu shekhe Ana takiya hamjui tuu,huyu ni mshia imebaki kujidhirisha tuu, mbona mengi xana yakishia huyafanya huenda iran kuna nini si kupongezwa kazi anayo fanya ni nzuri na wamefaulu mashia kupitia masufi bora swahaba watukanwe arafu wadai wapenzi wa mtume hawaaaa et wahabi awampendi mtume haya leo Allah anafichua unafiki katika swafu zenu za kisufi, muone laivu kuwa hawa so watu wazuri, twende kihoja mawahabi namunyi mnaodai wapenzi wa mtume mnayaona live, kumsaidia mzinifu bila shaka na ww utaingia kwenye dahambi ndo kuwasaidia mashia mnadhihirisha kwamba usufi na ushia ni kitu kimoja lengo na kampeni kuvunja uislamu kupitia maswahaba huyu baba ni mshia bado kudhihirisha tuu Allah awaongoze kwakeeli
@binaamour318
@binaamour318 8 ай бұрын
Kwa hiyo alhAdi amewakilsha usufi pale? Hebu kuweni na insaafu mnapozungumza Jambo la dini simameni usawa Kwanza alafu ndio uhukumu misimamo ya masufi!
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 8 ай бұрын
Sisi mnaotuita mawahabi linatuuma kututukania maswahaba wa mtume na wakeze mtume, tutaendelea kuwahami maswahaba wa mtume na maadui Hawa wa kishia ninyi wenzetu kama haiwaumi basi sisi tutapambana nao Shia kihoja mpk kiama potelea mbali hata mkituchukia tuiteni majina mpendayo ninyi wenye mahaba na maadui wa mtume endeleni kuwapenda si haiwaumi kutukanwa omary, Abubakary, othman aiysha,Afsa
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 8 ай бұрын
Nyi wenzetu haiwaumi kutukaniwa maswahaba sisi mnaotuita mawahabi tukiwahami swahabat Rassuluh mnatuona tunasingizia sisi tutawahami maswahaba wa mtume mpk kiama nyi wenzetu wenye mapenzi na watu hawa wenye vinywa vichafu kwa maswahaba hatuta waacha tutapambana nao kwa hojja na kuwatetea maswahaba mpk kiama sisi linatuuma hili ninyi kama mnamahaba na hawa jamaa kuliko mtume wetu na swahaba zake atukubali hilo potelea mbali tuiteni majina memgi na mabaya yote muwezayo ila tutawaradi mashia kwa ukafiri wao mpk kiama kitakapo simama.
@MuhammadHamisi
@MuhammadHamisi 8 ай бұрын
acha ujinga bas wewe
@HamadHamduni
@HamadHamduni 8 ай бұрын
Huyo alihadi nae ni kafiri
FULL HARUSI YA WATOTO WA SHEIKH MZIWANDA, VITA YA KASWIDA NA MASHEKHE
3:53:46
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 700 М.
HUU NDIO MTAZAMO WA SHIA JUU YA SUNNI
3:24
Asadiqmedia
Рет қаралды 10 М.
LISSU AMTEUA MNYIKA KUWA KATIBU MKUU, SHANGWE UKUMBI MZIMA
5:27
Millard Ayo
Рет қаралды 16 М.
UTABIRI HUU ALIO UTABIRI MWALIMU NYERERE UMETIMIA KWA ASILIMIA 100%..?
9:13
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.