Hello wapendwa wakati maziwa yako yanachemka jikoni,usiache kukoroga ili yasi ungue,na kumwagika.yanaitaji kuyaangalia kama mtoto mdogo😊,usisahau ku like pia
@Mamabhoke2 ай бұрын
❤
@Ms.T3 ай бұрын
Santa mma!
@shamzone3884 ай бұрын
Asante sana nimejifunzA video vizuri kutoka kwako Nimekupend kwa upoke wako ulioutumia❤❤❤
@homecookingtz24884 ай бұрын
@@shamzone388 asante sana dear,karibu
@aidamwakalinga61824 ай бұрын
Makapi unaweza tumia kufanyia Nini?
@homecookingtz24884 ай бұрын
Makapi yana pika vitu vingi mfano unaweza changanya na ngano na viungo vingine ukatengeneza cookies,mkate,nk. na kama uyahitaji basi utalisha mifugo