MashaaAllah,tufahamishe jinsi yakutengeza spices, nimepnd sanaaa, na napnda mapishi yko
@kingswamai3873 Жыл бұрын
Ahsante sana Rukia. Unachangia sana katika ukuzaji wa lugha hii teule ya Kiswahili !!! Video hii imenielimisha katika upishi na pia katika lugha ya Kiswahili. Shukran za dhati !
@RukiaLaltia4 жыл бұрын
If you would like to watch English video press the link ➡️kzbin.info/www/bejne/ine5pqejidF_aa8
@blessedchrists39954 жыл бұрын
Thanks so much for sharing Rukia, this means a lot. Your spice jars are so beautiful.
@sitihassan94394 жыл бұрын
MashaAllah na jars zako nazo MashaAllah
@evagadiel28243 жыл бұрын
Napenda kujifunza Sana asnt
@rahmarahma62594 жыл бұрын
Mashaalla rukia uko vizuri sana,uminifundisha kujua baadhi ya masalo,kwani wengi hawazijui,na kukubali ww na aroma znz,hakika mko vizuri mashaallahu
MashaAllah tabarakaAllah naomba ukipata mda utuonyeshe video ya iyo carry powder ya samaki
@naylajamal88494 жыл бұрын
Thanks a lot rukia u r da best
@nelicekelly6289 Жыл бұрын
Vyombo vyako ni vizur sana
@rehemajackson84534 жыл бұрын
Asante sana mumiii
@meaningoflife6512 жыл бұрын
Aisee thanks a lot
@happynessmolla17814 жыл бұрын
Asante kutuelimisha maana vingine nilikuwa sivijui.
@hoodhood8994 жыл бұрын
Shukran antie rukia
@munnyswaleh61074 жыл бұрын
Assalamu aleykum...nko hpa Mombasa Kenya...spices hizo ntazipata wapi?
@mohammedally92083 ай бұрын
Nice one
@FatmaAboubakar-z7o6 ай бұрын
Shukuran dada
@happymassawe44173 жыл бұрын
Asante. Tunaomba utuambie matumizi ya AJI-NQ-MQTO, faida ma madhara yake katika chakula tafadhali.
@aminasjoekitchen79594 жыл бұрын
Vikopo vizuri Sanaa hivyo vya spices Masha Allah👍
@RukiaLaltia4 жыл бұрын
Shukran ❤️❤️
@mamunote35074 жыл бұрын
Mashallah Mashallah Shukran sana Habibity
@furahinishechonge56984 жыл бұрын
Asante umenielimisha sana napenda sana mapishi
@badrahibrahim68678 ай бұрын
Hello nifundishe kutengeneza viungo hv vyote
@RukiaLaltia8 ай бұрын
😂😂😂😂biashara ya mtu siwezi toa Siri
@alphashao4 ай бұрын
asanth
@odethamathew89204 жыл бұрын
Thanks a lot dear
@safiaothman10983 жыл бұрын
Maa Shaa Allah
@Maryammohd-z9e7 ай бұрын
Mashallah
@ashamidello82984 жыл бұрын
😘😘Shukrani kipenzi
@veromwasamila9672 жыл бұрын
Asanteee
@didatratranee25314 жыл бұрын
Rukia dia nilikuomba uniambie ninaduka nahitaji kuweka snacks ambazo hats zikilala haziharibiki tafadhali nisaidie ili niweze kuongeza kipato kiwe unique nijibu tafadhal
@doctormkawa33134 жыл бұрын
Thanks dear
@shabanimlahagwa1054 жыл бұрын
asante kwa hiki bt naomba sauti pia ikuwe kubwaaa tuko pamoja
@najjyali81764 жыл бұрын
Shukhran sis
@ablatuny54064 жыл бұрын
Thanks habibty wangu
@monalisahcalvin3794 жыл бұрын
Nzuri sanaa hii
@alhamdulillah57964 жыл бұрын
Maa shaa Allah
@vailethsteven61463 жыл бұрын
Antie lukia nakufwatilia sana video zako manjano natumiaje kung'alisha uso
@RukiaLaltia3 жыл бұрын
Changanya na maji ama rose water
@mbodze66684 жыл бұрын
Spices jars zako ni nzuri...Ulizununuwa wapi?
@RukiaLaltia4 жыл бұрын
Maduka ya vyombo
@dydahjahadhmy49204 жыл бұрын
Try check nawal centre
@beatriceluhende46714 жыл бұрын
Hilo kabati bei gani kulitengeneza na friji kama hyo na hyo oven na microwave
@fatmasule11754 жыл бұрын
Nakupenda bure mashallah
@issamdoe33304 жыл бұрын
Hi rukia naomba kujua ni coffee gani naweza tumia kwaajili ya michirizi au yoyote tu ya unga
@RukiaLaltia4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/gIG2mpqAoKiBfK8. Video ipo tayari
@issamdoe33304 жыл бұрын
@@RukiaLaltia Asante
@bukhitembarak914 жыл бұрын
Shukran Sana Aunty
@esthermbogo2056 Жыл бұрын
Na mnapatikana wapi
@happinessmwaipopo59794 жыл бұрын
Good,,,, ila naomba video ya pishi la Sharif,,,,
@sadahuwase86144 жыл бұрын
Asante sana kwa viungo. Na basilic leaves nitaeza kuitumia kwa cakula gani?
@RukiaLaltia4 жыл бұрын
Kwa mchuzi
@vanessaiwato44804 жыл бұрын
Dada eti io jumbo kwenye supu unawekaje
@hamidurashida78344 жыл бұрын
Nilukuwa nasubiri...Da Rukia nigawie hivo vikopo
@RukiaLaltia4 жыл бұрын
😂😂😂 🙈🙈
@hurumadaniel69773 жыл бұрын
Helow, naomba msaada wa kujua ni wapi naweza kupata darasa la kujifunza kutengeneza Spice ana kwa ana na si online
@mbodze66684 жыл бұрын
Asante manake zingine nilikuwa sijui
@fatmaomar81803 жыл бұрын
Da rukia baharat kiswahili jina lake plzz
@JoyceMulokozi-pv5sd Жыл бұрын
Naomba unierekeze jinsi yakuchanganya asari na kahawa
@sitijannah83224 жыл бұрын
MashaAllah Ahsante sana, hizo jars best niko nazo tele my best coffee "Douwe Edgberts" comes in those jar Do you have recipes, in what ratios you can make those those spices at home? ( The curries and the masalas)
@zuhurazuberi97204 жыл бұрын
Namba unitajie hirini kwa Kingereza na binzari nyembamba
@sitijannah83224 жыл бұрын
@@zuhurazuberi9720bizari nyembamba ni cumin Hiliki ni cardamon
@zuhurazuberi97204 жыл бұрын
@@sitijannah8322 asante
@mukiAurelia4 жыл бұрын
Hi, where do you get your spice jars?
@RukiaLaltia4 жыл бұрын
I buy them from utensils shop
@isayaos54162 жыл бұрын
Je, vitu hivyo nina weza kupata wapi?
@meaningoflife6512 жыл бұрын
Jamani anae jua sehem nakoweza pata ivi viungo vyote
@bintmohamed41362 жыл бұрын
Naomba kujuwa matumizi ya coriander powder
@gladysikunga16524 жыл бұрын
In Nairobi where can one buy all this
@RukiaLaltia4 жыл бұрын
Sorry I actually don't know where you can get them in nai
@tanimbarak43664 жыл бұрын
Vizuri sana ila ingependeza zaidi kufafanua kwa mfano curry powder ya sambusa na kababu imechanganywa na viungo gani na gani
@lykamlaki71204 жыл бұрын
Spices unatengeneza mwenyewe?
@beatricemrisho84312 жыл бұрын
Jinamoto sijaona
@SavelaDaniel-h4h26 күн бұрын
Samahani,unauza viungo vya pilau
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Masha'Allah nice video sista 🥰
@RukiaLaltia4 жыл бұрын
Shukran sista
@zuwenasabeya12693 жыл бұрын
Mashaallah 😍
@alhamdulillah57964 жыл бұрын
Hzo jars za mwanzo zenye silicon seal kipindi sina coffee machine nilizipata nyingi kwa kununua coffee. Maa shaa Allah nzuri ilikua sizitupi😂😂😂
@RukiaLaltia4 жыл бұрын
Haha 😅mashallah sana nzuri eeh hizi nescafe coffee I have 1