KUTENGENEZA UBUYU MTAMU NYUMBANI//UBUYU WA ZANZIBAR// IKa Malle

  Рет қаралды 444,346

Ika Malle

Ika Malle

Күн бұрын

Пікірлер: 192
@faridsalim8317
@faridsalim8317 2 жыл бұрын
as alykm, shukran kwa kutuelekeza namna ya kupika ubuyu. Lakini tunaomba utufafanulue kuhusu vipimo ya sukari maji na kiwango cha ubuyu ili viendane.
@eligiverlema524
@eligiverlema524 2 ай бұрын
Naomba kujua hizo flavours nazipata wap,maduka ya viungo,super markets au wap
@hellenkanijo9540
@hellenkanijo9540 Жыл бұрын
Asante daer kwaiy sukar unaongeza kutokana na uwing wa ubuy
@audreykoudingom3510
@audreykoudingom3510 4 жыл бұрын
Nice I'm not from tanzania and I just tasted it I like it . I'm in central Africa I'll definitively try it
@gradysimon8656
@gradysimon8656 Жыл бұрын
Ikamale nomekufuatilia Asante sana NAMI nafuata nyayo
@michaelwemba3481
@michaelwemba3481 Жыл бұрын
Nimeangalia video moja sijaelewa lakini wewe ndo umenielewesha vizuri. Unajua kuelezea. Shukrani sana
@latifahhija130
@latifahhija130 7 ай бұрын
Asante kipenz nmeelewa mungu azidi kukubariki😘
@masundelwa
@masundelwa 4 жыл бұрын
Bora nimeshapata idea mpaya ya biashara ya ubuyu .....! Ahsante Sana dada angu.
@AishaFaridu-yq1uo
@AishaFaridu-yq1uo Жыл бұрын
Asante mamy unafundsha vzr ad nimeelewa
@lucymbaga1751
@lucymbaga1751 4 жыл бұрын
Dada asante kwa elimu yako... Big up sana, mi najifunza kitu kipya sana
@dainesgwamwanza4928
@dainesgwamwanza4928 Жыл бұрын
Asante my dear yani nimekuelewa vizuri sanaa
@JacksonkiponzaMmbiki-cp3rc
@JacksonkiponzaMmbiki-cp3rc Жыл бұрын
Nimependa dada na nimejifunza pia, good 👍
@InnatMohd
@InnatMohd 4 ай бұрын
Hongeraaa Allah abarik kaz ya mikono yako
@lightnessmalle8311
@lightnessmalle8311 2 жыл бұрын
Naomba uniambie vizr hyo Shira kweny ubuy nini tuelez vzr
@faustinetilya685
@faustinetilya685 6 ай бұрын
Ndo uwo mchanganyiko wote
@AnectusNemes
@AnectusNemes 9 ай бұрын
Waoooh ubuyu mzuriiiii sana 🥰🥰
@NatashaSaidy
@NatashaSaidy 2 ай бұрын
Asante sana dada nimejua leo
@judithngowi6523
@judithngowi6523 4 жыл бұрын
Mnataka nitengnez wa biashar sista vp hyo Ladha ni lazma je nispowek ubuyu utakua hauna Ladha au
@Happy-cx1ph
@Happy-cx1ph 5 ай бұрын
Je maka rangi haijakolea unaweza kuongeza?
@zainasumbai4357
@zainasumbai4357 3 жыл бұрын
Asnte sana dadangu nimependa somo zur na ni rahis,vip kuhusu kutuanga ubuyu au unauweka hvhv
@ikamalle
@ikamalle 3 жыл бұрын
Kutuanga kwaajili ya nini?
@zainasumbai4357
@zainasumbai4357 3 жыл бұрын
Yan unautuanga ili kupunguza hz nyama zake yan uwe mwambamba,kisha utaujaza na unga wakt wa kutengeneza,au wewe unatengeneza bila kutuanga dada.
@ikamalle
@ikamalle 3 жыл бұрын
Hapana mimi sija tuanga
@zainasumbai4357
@zainasumbai4357 3 жыл бұрын
@@ikamalle sawa dada yangu
@EliasSamwel-s2h
@EliasSamwel-s2h 10 ай бұрын
nimekupenda buleeee❤
@KhalifaKijogoo
@KhalifaKijogoo 17 күн бұрын
Sukar kikobe Gan ni cha robo au cha nusu na ubuy unatakiwa kias gan
@TatuYusufu-y9z
@TatuYusufu-y9z Ай бұрын
Mm nimepika umekuwa mgumu nimekosea wapi
@tinnahmalata1339
@tinnahmalata1339 Жыл бұрын
Sasa hili uwe mbich mbich unafanyeje? Mbn me nlifuata maelekezo ila ubuyu ulikua mkavu sana cjui nlikosea wap??
@HawaNasri-v5j
@HawaNasri-v5j Жыл бұрын
Asante kwa mafunzo dada
@sophiasundey4678
@sophiasundey4678 Жыл бұрын
Helo dear! Ni idea Nzuri ila nilikuwa naomba kuuliza je unaweza tumia radha yyte kwenye ubuyu au ni hzo tu za vanilla na strober
@ikamalle
@ikamalle Жыл бұрын
Ndio unaweza
@sophiasundey4678
@sophiasundey4678 Жыл бұрын
Sawa dear! Maana kuna Radha ninayo inaitwa NANDY then kuna Vimto Emulsion niyadhabibu
@oliverleon7417
@oliverleon7417 2 жыл бұрын
Kikombe k1 cha sukari ni sawa na kiasi gani? Robo, nusu, ama kilo?
@SalmaMbarouk-ym1yq
@SalmaMbarouk-ym1yq 5 ай бұрын
Ok asante
@ummuayman1531
@ummuayman1531 3 жыл бұрын
Shukran Jazaki lahu khayran
@Bwasheh
@Bwasheh 8 ай бұрын
Shukrani❤❤❤
@JaneMbuji-zj9mm
@JaneMbuji-zj9mm 7 ай бұрын
Iko pw san
@neemaabel3014
@neemaabel3014 2 жыл бұрын
Huko vzr dada
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 4 жыл бұрын
👏👏👏👏👏👏nzuri sana dear
@ikamalle
@ikamalle 4 жыл бұрын
🥰🥰
@rukiajimmy5741
@rukiajimmy5741 2 жыл бұрын
hi ika..nlijaribu but mbona mabuyu yngu hayakukauka..shida nimekosea wapi lbda
@ikamalle
@ikamalle 2 жыл бұрын
Shira haikua Tayari
@irenechuwa7035
@irenechuwa7035 4 жыл бұрын
Asante mrembo Aika.....hakika nisipokutazama KZbin au insta kwa kwel siku yangu haikui nzuri.....😘😘
@veeJesus
@veeJesus 4 жыл бұрын
Insta anaitwa nani
@supamaridadi6588
@supamaridadi6588 4 жыл бұрын
@@veeJesus @ika malle
@irenechuwa7035
@irenechuwa7035 4 жыл бұрын
@@veeJesus @ika malle
@monicaitelekelo714
@monicaitelekelo714 3 жыл бұрын
Nice sana mdada
@neemakingori4044
@neemakingori4044 2 жыл бұрын
Nimejaribu lkn,kwenye kuchanganya unga na UBUYU na shila naona inakuwa zege,haiwi kavu, msaada tafadhali naomba
@anycomtech1259
@anycomtech1259 2 жыл бұрын
Umeweka shila nyingi kuliko unga
@safiaothman1098
@safiaothman1098 3 жыл бұрын
Nzuri sana
@monicachipungahelo9295
@monicachipungahelo9295 3 жыл бұрын
Wowww uko vizuri dada angu.
@dayanamathew7474
@dayanamathew7474 3 жыл бұрын
Me nimejalibu ila haujakauka kam wew hvy Leo cku ya 2 na bado unaunyevu
@brianjohnson3851
@brianjohnson3851 Жыл бұрын
Vizuriii dada
@shezadosman1614
@shezadosman1614 2 жыл бұрын
Good
@doricejoachim2312
@doricejoachim2312 3 жыл бұрын
Asante dada kwa masomo mazuri swali langu ni kwamba kama ubuyu umeyayuka unafanyaje ili ukauke?
@ramearfe9509
@ramearfe9509 3 жыл бұрын
Waongeza shira
@ramearfe9509
@ramearfe9509 3 жыл бұрын
Ongexa unga w mabuyu nshira
@marygodda6770
@marygodda6770 3 жыл бұрын
Sorry, hichi kikombe ni cha kg ngapi?
@HadijaSheban
@HadijaSheban 3 жыл бұрын
Mpenzi leo najaribu hii recipe 😋😋
@hadijahamisimbasha4342
@hadijahamisimbasha4342 3 жыл бұрын
Nitajie na vitu ulivyotumia kwenye ubuyu wa vipande pia plz
@MwansitiZuber
@MwansitiZuber 5 ай бұрын
Asslm aleykum nahitaji kujiunga nanyi
@mwajomaessa7513
@mwajomaessa7513 3 жыл бұрын
Asantte san
@ikamalle
@ikamalle 3 жыл бұрын
Karibu
@rumesibarka5312
@rumesibarka5312 Жыл бұрын
Rangi zinazotumika mara nyengine ni chemicals au rangi za ukili
@FLORAMSABAHA
@FLORAMSABAHA Жыл бұрын
Shila ni nini na inapatikana?
@lizzykiss8312
@lizzykiss8312 6 ай бұрын
Shira ni mchanganyiko wa sukari na maji unaouchemsha jikoni kua uji wa sukari mzito
@taraagire6176
@taraagire6176 3 жыл бұрын
Can ask u ? I want to buy manitou from Zanzibar
@aliyankhan7890
@aliyankhan7890 3 жыл бұрын
Ntajaribu
@estherrioba630
@estherrioba630 2 жыл бұрын
Vp hujatwambia mbegu hizo za ubuyu unanunua kando au
@jameskapesa9699
@jameskapesa9699 2 жыл бұрын
Je umewaeka na baking powder
@elizabethjohn-nw8fp
@elizabethjohn-nw8fp Жыл бұрын
Asante
@kukupesa4598
@kukupesa4598 2 жыл бұрын
Nimeipenda sana
@fatimabakari1074
@fatimabakari1074 2 жыл бұрын
Unavyochanganya Shira Moto umeuzima au bado unawaka
@lightnessmalle8311
@lightnessmalle8311 2 жыл бұрын
Vp Ika zww
@allymuntu4643
@allymuntu4643 Жыл бұрын
Kama ubuyu mwingi niweke Raza vijiko vingapi
@mwarabahmed
@mwarabahmed Жыл бұрын
Safi
@rachelcharz1929
@rachelcharz1929 3 жыл бұрын
Ika nakuelewaga saana mdada
@luluabdul8048
@luluabdul8048 3 жыл бұрын
Jmn me nafel wp mbn nikimaliza hd nisubir ukauke afu unga wa pemben hauonekan
@abdirashidabdi4126
@abdirashidabdi4126 2 жыл бұрын
Ika malla
@florencychilango9198
@florencychilango9198 3 жыл бұрын
Namna yakuukausha vp
@prissykil
@prissykil 4 жыл бұрын
Waaaw! I should definitely try that
@justagadi7907
@justagadi7907 3 жыл бұрын
asante ubarikiwe
@julianamwagike994
@julianamwagike994 2 жыл бұрын
Plz naomba unitumie number yako nahitaji Sana hayo mabuyu
@hadijahamisimbasha4342
@hadijahamisimbasha4342 3 жыл бұрын
Nitajia vitu ulivyotumia nikanunue nijaribu
@misspinadavid6320
@misspinadavid6320 4 жыл бұрын
Kazi nzur dada ila Mimi nataka nitengeneze wa biashara ila Ni lazima huweke ladha maana Mimi nimenunua sukar rangi ya ubuyu na unga wa ubuyu naweza kutengeneza hata hivyo
@ikamalle
@ikamalle 4 жыл бұрын
Ndio
@Pass18Paschazia
@Pass18Paschazia Жыл бұрын
Jamn nimeshndwa et
@SabrinaSaid-oc5pk
@SabrinaSaid-oc5pk Ай бұрын
Jmn mbn mimi ubuyu wangu haukaukiii nisaidiee jmn😒
@juliethfrank6626
@juliethfrank6626 4 жыл бұрын
Hongera sana dear,asante ubarikiwe mnoo
@fidesbernard4835
@fidesbernard4835 Жыл бұрын
Mimi nataka kufanya biashara ya ubuyu jamani naomba unifundishe
@agathaarphonce5990
@agathaarphonce5990 5 ай бұрын
Samahani mahitaji yote nayapata wap?
@rainessmgowole5976
@rainessmgowole5976 Жыл бұрын
Kikombe Cha ujazo upi
@EmmaNchimbi-th5tb
@EmmaNchimbi-th5tb 5 ай бұрын
Ast Kwa kutupa mwagaza
@judithngowi6523
@judithngowi6523 4 жыл бұрын
Simpo and nice
@lightnessmalle8311
@lightnessmalle8311 2 жыл бұрын
Pend San ubuy 😋
@ancyanajacob8023
@ancyanajacob8023 2 жыл бұрын
Unga wa ubuyu ulioweka umeuchanganya nakitu auu
@PaulinaJohn-e4r
@PaulinaJohn-e4r Жыл бұрын
Dada naomba contact yako mwaya
@donasmasingo-zv6dc
@donasmasingo-zv6dc Жыл бұрын
Unapoipua huo mchanganyiko unapoa kwanza au unaweka ubuyu ukiwa wamoto bado
@khadijajuma7352
@khadijajuma7352 3 жыл бұрын
Nzur xana mpndwa 😍😍😍😍
@SadaMbwana-yo3vo
@SadaMbwana-yo3vo 4 ай бұрын
Shukuran
@bintmohamed4136
@bintmohamed4136 3 жыл бұрын
Hivy vikombe ni vya kiasi ngani dada naomb nisaidie
@hilaryphilemon3727
@hilaryphilemon3727 2 жыл бұрын
lazima kutumia sukari ya chai siwezi tumia sukari kari
@vivianthadei4720
@vivianthadei4720 3 жыл бұрын
Nzurii
@nixtar6132
@nixtar6132 4 жыл бұрын
Asante my dear
@irenerichard5529
@irenerichard5529 2 жыл бұрын
very good madam🥰🥰
@mwanahawajuma9807
@mwanahawajuma9807 2 жыл бұрын
SAWA nipo nawe
@mufu5042
@mufu5042 4 жыл бұрын
Mmmmmmmm......tamu sana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
@wander3159
@wander3159 3 жыл бұрын
unga wa mabuyu wapatikana wapi?
@fatmasaidi5965
@fatmasaidi5965 2 жыл бұрын
Unauzwa
@masayimedia1320
@masayimedia1320 2 жыл бұрын
Naomb unitmie video zako nmezpenda
@nasramohamed3353
@nasramohamed3353 2 жыл бұрын
Unazima dear
@gracemwaipaja4654
@gracemwaipaja4654 3 жыл бұрын
Sorry mamy Inachukua mda gan hayo mapovu madg madg kutokea coz nmejarbu haitokei na nlvochanganya na ubuyu umetoka ubuyu umeshkana Shkana
@kasimotokawayamkamba5288
@kasimotokawayamkamba5288 3 жыл бұрын
Asante sana dada ila nina swali ubuyu kwa English unaitwaje?
@hussnabakary3507
@hussnabakary3507 3 жыл бұрын
Baobab
@clamatoniatv7842
@clamatoniatv7842 3 жыл бұрын
baobab
@khadijaimam1009
@khadijaimam1009 3 жыл бұрын
Asante sana 🙏 👏 leonimeweza
@ikamalle
@ikamalle 3 жыл бұрын
👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽 keep it up
@bintimbuto5740
@bintimbuto5740 2 жыл бұрын
Kwa English yanaitwaje dada?
@ikamalle
@ikamalle 2 жыл бұрын
Baobab
@bintimbuto5740
@bintimbuto5740 2 жыл бұрын
@@ikamalle asante sana dada
@hocymarc
@hocymarc 4 жыл бұрын
Nice video
@sabrinaabubakar3511
@sabrinaabubakar3511 4 жыл бұрын
Waooooo Mashalah Asanten sana wote mnao toa mafunzo.
@kasandaomary994
@kasandaomary994 3 жыл бұрын
Asante kwa elim nimejifunz ki2
@zubedaswalehe6260
@zubedaswalehe6260 3 жыл бұрын
My mbona nimedanload imekataa
@abdirashidabdi4126
@abdirashidabdi4126 2 жыл бұрын
Ok thank you
@nafisaakberali1700
@nafisaakberali1700 4 жыл бұрын
Hello can i use healto
@ikamalle
@ikamalle 4 жыл бұрын
Yeeeeesss
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
Wooow! Very nice👌🏾👌🏾👌🏾
@ikamalle
@ikamalle 4 жыл бұрын
🥰🥰
@jatomsofe2041
@jatomsofe2041 3 жыл бұрын
Please icho unacho sagia pilipili manga kinapatikana wapi niko mwanza
@dominionbiginga4170
@dominionbiginga4170 3 жыл бұрын
Zinapatikana kariakoo sokon
@judithbatista1332
@judithbatista1332 4 жыл бұрын
Ahsant dea
HOW TO MAKE QUINCE PRESERVES. QUINCE COMPOTE AND JAM FOR WINTER
15:21
Relaxing Village
Рет қаралды 1,6 МЛН
А что бы ты сделал? @LimbLossBoss
00:17
История одного вокалиста
Рет қаралды 11 МЛН
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 43 МЛН
UBUYU WA MAEMBE/ACHARI YA MAEMBE : Ika Malle
4:51
Ika Malle
Рет қаралды 42 М.
Mabuyu/Baobab Candy recipe/Mabuyu ya biashara/simple Mabuyu recipe
6:55
zashammy's kitchen
Рет қаралды 1,1 М.
NEW/MABUYU YA BIASHARA MATAMU NA YENYE FAIDA KUBWA SANA #mabuyu
5:08
Jinsi yakutengeneza ubuyu wa zanzibar
10:38
Caro's Kitchen
Рет қаралды 148 М.
Jinsi ya kutengeneza ubuyu wa Zanzibar nyumbani
7:29
JIAJIRI TZ
Рет қаралды 4,3 М.
KASHATA ZA AINA 3: UBUYU, NAZI na KARANGA
7:36
Ika Malle
Рет қаралды 141 М.
No!  ❌ Kids ,Learn to sit straight 😇 #shorts
0:21
LearnToon - Learn & Play
Рет қаралды 40 МЛН
Самый редкий Nissan GTR в мире 🤯
0:48
Авто.Бот
Рет қаралды 7 МЛН
Он оказался самый смелый 🤯
0:20
MovieLuvsky
Рет қаралды 2,2 МЛН
МАКИЯЖ РАЗБИТОЙ КУКЛЫ *моя пятка* 🤍
1:00
TheOlesyaVan
Рет қаралды 2,6 МЛН
Obuna bo'ling💕💖
0:29
GAZER - ABDUHAMID NASREDDINOV
Рет қаралды 2,2 МЛН