2nd John 5 ASK Kyande Music production Follow: tiktok/facebook : apostlekyande support Kyande Ministries/sadaka Mpesa +25721458691
Пікірлер: 28
@B...boy_tz43526 ай бұрын
Duh!! Mzee wangu kumbe bado upo ungejua ni vipi nyimbo zako nasikiliza mpaka napa maswali wee kanisa gani nashindwa kuelewa
@MourineIkhoni6 ай бұрын
Wouw aki niliona huyu pastor kitambo 2005.. My favorite songs nabarikiwa sana na nyimbo zako
@AnnyKaveza6 ай бұрын
Hallelujah, nice to see you again Pastor 🙏
@Babavicktoria27 күн бұрын
Baba unisamehe makosa yangu, na jina liko litukuzwe
@chachaaloyce85676 ай бұрын
Asante umekuwa wa baraka katika maisha yangu ya wokozi tangu utoto wangu hadi leo
@RehemaEmmanuel-wz3fo7 ай бұрын
Barikiwa Mtumishi wa Mungu, Napenda nyimbo zako sana, Napenda mkumbuke Mungu siku za ujana
@peternjoroge67576 ай бұрын
Nyimbo zako zimenibariki sana mtumishi ubarikiwe.
@gloireb7 ай бұрын
Thanks apostle
@Shujaa-vd3lz7 ай бұрын
Much love Apostle, endelea kupiga injili, love you songs.
@Erico176 ай бұрын
Nyimbo zako tamu kweli Apostle si za vijana wa siku hizi hata Bibilia hawajasoma.Live long na ubarikiwe sana🙏
@paulnyamechi83456 ай бұрын
Endelea ivyo maana wa ukweli hawajulikani lakini mungu hatachagua wa kwake na kuwaacha wa kutumia jina lake kwa njia ya kujinufaisha wenyewe kwa wenyewe kwa kutapeli watu wa mungu na hawajuhi kwamba nyakati hizi ni za mwisho napenda nyimbo zako lakini mfanye kwa matendo!
@eveimbusi59406 ай бұрын
Hallelujah 🖐️🙏 long time happy to see you apostle pastor kiyande
@innocentmwalimu6 ай бұрын
nimebarikiwa sana Apostle...Mungu akutunze kabisa
@kuriaisaac17757 ай бұрын
Very true tujisahihishe
@ramycell69316 ай бұрын
Thanks apostle 🙏🙌🙌 I love your songs
@ramycell69316 ай бұрын
Your songs zinanibariki sana
@kennedyodera75552 ай бұрын
Am happy to see you again man of God 🙏🙏🙏🙏
@wanjirumungai39126 ай бұрын
Amen God Blessing comes in many ways.
@cliffnyariki15137 ай бұрын
Thank you Apostle Kyande
@evansaggreyonyango19886 ай бұрын
Injili ni moto
@eveimbusi59406 ай бұрын
Amen 🙏🙌
@winshowsangale60607 ай бұрын
Thankyou apostle,God bless you I love your song especially Israel zamani waliteseka,,
@EuniceBosire-kr2fx6 ай бұрын
Hi thank you pastor for this song mapenzi yako yatiminze l heard this song at Nairobi railways when u were having inchili pale ulienda wapi?come utupikie Tena pastor
@ndawulachristopher-25466 ай бұрын
Amen
@annakyande57907 ай бұрын
Thankyou for the anointed message. God Bless and use you for His Glory.
@sinovetpaul29895 ай бұрын
Mtu wa MUNGU ubarikiwe sana kwa kazi njema.... Umepotelea wapi tulikuwa tunapatana kila jumatatu saa nne usiku saa Afrika mashariki ni kitu gani kilikufanya ukapotea mtandaoni?😒😒....
@jobnyakundi20366 ай бұрын
Apostle,Siku Hizi Unakuja Online Lini,na Saa Ngapi.. Juu Naingia online nakukosa.