MUNGU HATULETEI MABAYA BALI MEMA

  Рет қаралды 4,238

Apostle Kyande

Apostle Kyande

Күн бұрын

LUKA 9:51-56
Neno: Bibilia Takatifu
Yesu Akataliwa Samaria
51 Siku zake za kurudi mbinguni zilipokaribia, Yesu aliamua kwamba lazima aende Yerusalemu na akaanza safari kuelekea huko. 52 Akatuma watu wamtangulie, nao wakaenda katika kijiji kimoja cha Samaria kumwandalia kila kitu. 53 Lakini watu wa kijiji hicho walikataa kumpokea kwa sababu ilikuwa dhahiri kwamba ali kuwa anakwenda Yerusalemu. 54 Basi wanafunzi wake Yakobo na Yohana walipoona hayo, wakasema: “Bwana, unataka tuamuru moto kutoka mbinguni uwaangamize?” 55 Yesu akageuka, akawakemea. 56 Wakaenda kijiji kingine.

Пікірлер: 23
@uncensoredtruth101
@uncensoredtruth101 2 ай бұрын
Powerful.baraka tele.
@dukeonchiri5037
@dukeonchiri5037 2 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu uendelee kutangaza hili neno la Mungu
@godfreykobia1074
@godfreykobia1074 2 ай бұрын
Amen aki we ndio mss mungu aqujae weema
@carenchepkurui126
@carenchepkurui126 2 ай бұрын
Amén
@Starmongadafi
@Starmongadafi 2 ай бұрын
The gospel hammer i respect you kynde for the good work
@bedematenge4404
@bedematenge4404 2 ай бұрын
Amen
@user-ls3ws7rh2p
@user-ls3ws7rh2p 2 ай бұрын
Amen 🙏 🙏
@florencekwamboka9717
@florencekwamboka9717 3 ай бұрын
Amen 🙏
@bintyhajji1826
@bintyhajji1826 3 ай бұрын
❤❤❤Amen 🙏🙏🙏
@user-oi8om2lq9q
@user-oi8om2lq9q 3 ай бұрын
❤❤❤amen amen
@ApostolKenedyOyata
@ApostolKenedyOyata 2 ай бұрын
Plz nandi well come one day in juses name
@user-bi4uf7um1i
@user-bi4uf7um1i 3 ай бұрын
Amen. What a Wonderful Word. This is truly an eye opener to many. I am really blessed. May God continue Blessing you Apostle and This Ministry. More and more Grace upon you.🙏🙏🙏
@juliuschidzo8925
@juliuschidzo8925 3 ай бұрын
Nakuunga mkono mtumishi MUNGU pia anatuwazia mema Wala sio mabaya 👏🙏
@winnipegswahilitv4788
@winnipegswahilitv4788 3 ай бұрын
Ubarikiwe saana mchungaji wa Mungu kiande
@salomeomashibo1971
@salomeomashibo1971 3 ай бұрын
AMINA💙💙🙏🙏
@johnrioba3929
@johnrioba3929 3 ай бұрын
Tangu uende ng'ambo tuna kiu ya neno la bwana hapa sirari boarder,,come back sir!!.
@calvinsotieno5880
@calvinsotieno5880 2 ай бұрын
Amen 🙌🙌🙌🙌🙌🙌 Ubarikiwa sana kynde kwa kutufundisha mambo ya kweli maana tumedanganywa sana na huyu nabii owuori eti sisi ni watenda dhambi ndio maana Kuna mafuriko kenya asante kwa kutufunua macho.
@victoranderelunyama4468
@victoranderelunyama4468 2 ай бұрын
what about those who are joining freemason.and causing accident?
@apostlekyande3143
@apostlekyande3143 2 ай бұрын
Ukiwa ndani ya Yesu Shetani hana uwezo juu ya maisha yako. Hivyo freemasons hawana uwezo juu yako. Kumbuka Hatulogeki tulio ndani ya Yesu. MARKO 16:18. Mathayo 28:18 "Yesu akaja kwao, akasema nao akawaambia, Nimepewa mamlaka yote Mbinguni na Duniani" Sasa kumbuka Huyo Yesu mwenye mamlaka yote ndiye anaishi ndani yetu .
@Danielavukuse
@Danielavukuse 2 ай бұрын
Amen
@GraceOtieno-vo3sj
@GraceOtieno-vo3sj 2 ай бұрын
Amen 🙏
@Engineer_robi
@Engineer_robi 2 ай бұрын
Amen
@isaacmusau5380
@isaacmusau5380 3 ай бұрын
Amen
WAABUDUO HALISI
22:34
Apostle Kyande
Рет қаралды 10 М.
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 10 МЛН
Survive 100 Days In Nuclear Bunker, Win $500,000
32:21
MrBeast
Рет қаралды 85 МЛН
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 25 МЛН
AMAZING!!! LADIES BEWARE BEFORE YOU DATE PROPHET KAKANDE'S SONS
12:38
The Kakande Ministries
Рет қаралды 136 М.
Wachungaji
5:58
Apostle Kyande
Рет қаралды 1 МЛН
Jinsi Mungu Alivyomfuta Machozi Mama Huyu | USHUHUDA | Rev. Dr. Eliona Kimaro
10:06
Yesu Ni Bwana
8:19
Cosmas Chidumule - Topic
Рет қаралды 72 М.
APOSTLE KYANDE AKITOA  HISTORIA YAKE
33:16
GVA GOSPEL TZ
Рет қаралды 22 М.
Nifungulie Mlango
5:47
Apostle Kyande
Рет қаралды 1,2 МЛН
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 10 МЛН