KUWAFUTA WACHAWI KATIKA MJI

  Рет қаралды 24,639

Apostle Mtalemwa Bushiri

Apostle Mtalemwa Bushiri

Күн бұрын

Пікірлер: 142
@valentinandukuvalentinandu4779
@valentinandukuvalentinandu4779 3 жыл бұрын
Amina asante sana apostle maana wachawi wamearibu familia nyingi sana watu hawasongi mbele kwa sababu ya wanga tu kama kuna wachawi katika familia yangu naafe kwa jina la Yesu
@josephatkashendwa1177
@josephatkashendwa1177 3 жыл бұрын
Ndg Appostlop Mutalemwa kazi yako ni njema na nzuri M/Mungu aendelee kukubaliki ili uendelee kutenda vyema kama ufanyavyo hakika ujana wako ni wa heri na baraka kwa sisi Wanadamu wenzio kwani unautumia vyema kuakisi maisha ya wanadamu, twakuomba uje mkoa wa Kagera hufanye Maombi kama haya ili Neema, heri za mkoa zinufaishe wananchi wa Mkoa wa Kagera na baraka ziendelee kushamili mkoa wa Kagera.
@suzanalemau6601
@suzanalemau6601 3 жыл бұрын
So powerful Mungu aendelee kumtunza chief Apostle mtalemwa aendelee kumpa mafunuo mengi zaid na zaidi hakika nimebarikiwa kwa mafundisho haya
@hellenwanjiku90
@hellenwanjiku90 3 жыл бұрын
Oh my God fuzo nzuri sana ,barikiwa sana mtumishi WA mungu, I believe nimefuguliwa.
@janetmulongo2731
@janetmulongo2731 3 жыл бұрын
Waah! I wish I am a member of this church and he is my spiritual father, I will be so happy
@esthercharles2210
@esthercharles2210 3 жыл бұрын
AMEN Mtumishi wa MUNGU,somo zuri sana MUNGU wa Major one akutunze sana kwaajili yetu.
@emmanuelhitayezu1317
@emmanuelhitayezu1317 3 жыл бұрын
Mbalikiwe Sana Mitume wa Yesu Kristo kwa kuwa Ulimwengu wa Jiza Umepigwa vikali kupitia Neno la Bwana Yesu Mfalume Wetu. Amen
@lydiakagai5808
@lydiakagai5808 2 жыл бұрын
Powerful message here thanks
@marcelinongonyani3837
@marcelinongonyani3837 3 жыл бұрын
Asante Mungu kwa masundisho haya kwani yanifundisha/yanijenga kilaninpofuatilia nafanyika kuwa mpya .Naomba chief apostle Mtalemwa Mungu akutie nguvu haya mafundisho yako yaweke kwenye vitabu maana yataishi milele na azidi kukuinua nakutungua wengi.karibu songea .
@irenengina233
@irenengina233 3 жыл бұрын
God bless you Apostle..umefungua wengi nikiwa mmoja wao na my family in the name of Jesus Christ
@lilyabel2320
@lilyabel2320 3 жыл бұрын
Mungu akubariki apostle kwa kazi njema, hakika YESU kristo aliyekuajiri anaishi ndani yako. Kupitia maombi haya nimefunguliwa. Asante Yesu.
@judithabuko6006
@judithabuko6006 3 жыл бұрын
Mutumishi naomba maombi yako nimepata kazi nzuri naomba nichukuliwe
@jessicamaduhu2627
@jessicamaduhu2627 3 жыл бұрын
Mafundisho yako so powerful, God bless son of Major 1. Watching from London-UK
@episonfelician7670
@episonfelician7670 3 жыл бұрын
Mtumishi nakuamuni Sana yaani Napenda Sana Mafundisho yako Nimesha Barikiwa San na ujumbe wako na Mungu atazidi kunibariki kupitia kwako na mm najiungamanisha na Maomba haya
@adelintemu1164
@adelintemu1164 3 жыл бұрын
I LOVE THESE TEACHING...SO POWERFUL.
@jennymugeya6692
@jennymugeya6692 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi, Nina Imani ya kuwa nimefunguliwa kabisa
@fikirianthony763
@fikirianthony763 3 жыл бұрын
Gwajima. .oyee Bashiri oyee Wilson chiusa oyee Jeremiah oyee ...polepole oyee ..aksante mtalemwa
@elizabethmaleo8339
@elizabethmaleo8339 3 жыл бұрын
Na ahimidiwe Mungu aliyewapa watu maarifa ya kuvumbua mitandao ya kijamii maana tunapata Mambo muhimu ambayo tusingeweza kuyajua Hongereni Sana watumishi wa Mungu Kwa kazi nziri ya utume mnayoifanya tunabarikiwa Sana na tunafunguliwa kirahisi Sana asanteni Sana tunapata elimu ya Bure bila gharama
@haddassahmetrine4776
@haddassahmetrine4776 3 жыл бұрын
Hallelujah glory to God...more grace man of God....
@jacklineikoki6653
@jacklineikoki6653 2 жыл бұрын
That's my mentor chief apostle mtalemwa I love you soo much nabarikiwa saana
@judithabuko6006
@judithabuko6006 3 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu nina imani nami nimefunguliwa mm na familia yangu
@yohanarobert741
@yohanarobert741 3 жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe kwetu wachawi sana watu wanakufa sana magonjwa hayaishi tunaofanya biashara wanazuia madeni yanasumbua wamekufa watu sita wamebaki wawili babu na mama mzazi wote wachawi sasa wanataka kula wajukuu na nikiwemo namimi hivi sasahivi naumwa miguu miaka miwili
@nuruduma4954
@nuruduma4954 3 жыл бұрын
Asante Mtumishi wa Mungu Nimebarikiwa Sana.Ubarikiwe Sana.,🙏🏿🙏🏿
@kilangoabraham2390
@kilangoabraham2390 3 жыл бұрын
For real this is among of the best teachings. I have equipped myself with this, I am sure witches in the community I live they have to flee no way.
@gladysgladys7393
@gladysgladys7393 3 жыл бұрын
Wonderful be blessed alot pastor receive from kenya
@gracehephzibah7386
@gracehephzibah7386 3 жыл бұрын
This is how churches should be for deliverance healing and restoration in Jesus name. 🇰🇪
@alicekalemela7435
@alicekalemela7435 3 жыл бұрын
Apostle Mtalemwa, unahitajika huku Kenya, Ni katika kanisa lako la ecg Arusha tu nilipofundishwa na kufahamu kuwa niña uwezo wa kuingia katika ulimwengu wa roho na kufanya ninavyotoka , This revelation has helped me to maneuver in the realm of spirit. Natamani wenzangu walifahamu hili maana wamekosa maarifa haya, neno linasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Wengi wanaangazwa huko Kenya. Tunakukaribisha.
@Jastus100
@Jastus100 3 жыл бұрын
@@alicekalemela7435 wanaangamizwa sio wanaangamia
@alicekalemela7435
@alicekalemela7435 3 жыл бұрын
@@Jastus100 point taken
@kayisirekarumuna821
@kayisirekarumuna821 3 жыл бұрын
Kabisa tumebarikiwa asante sana Apaustle
@maizzo5637
@maizzo5637 3 жыл бұрын
Wow, Nmefunuliwa na kuwekwa huru,maana wakati huo wote changu na chuoa vikipasuliwa mwili ulikua unasisimka. I believe I am free from every evil bondage🙏
@annlitunda6646
@annlitunda6646 3 жыл бұрын
Amen. Connected to the profecy from kenya
@hellinahombuya5174
@hellinahombuya5174 2 жыл бұрын
B blessed pst, I'm blessed powerful message from above
@minrayan94
@minrayan94 3 жыл бұрын
Glory be to God 🙏 am blessed with your teaching Ameeeen
@sharonnasambu6753
@sharonnasambu6753 3 жыл бұрын
Narejea kwa jina la yesu na nimeondoka kwa jina la yesu naamini matatizo ya familia yangu pamoja na mimi yameondolewa kwa jina la yesu. Ameen Amen Amen
@heavenlyprincess1122
@heavenlyprincess1122 3 жыл бұрын
Nguvu za giza na kichawi zimeshindwa kwa jina la YESU KRISTO, natamka kuwekwa huru na BWANA, AMINA🇰🇪
@annekangaikathuni9523
@annekangaikathuni9523 3 жыл бұрын
Amen ...ushindi kwetu .
@sallygrace1495
@sallygrace1495 3 жыл бұрын
Glory to God Hallelujah 👏👏
@leahtimothy7273
@leahtimothy7273 3 жыл бұрын
Nita comment atakama nimechelewa lazima ni receive na wachawi waniache amen man of God 🔥🔥🔥🙏🙏🙏love more 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@fatumaabdalla9663
@fatumaabdalla9663 3 жыл бұрын
Halleluya yesu ni bwana wakati chupa ilipo vunjwa kitu kilitoka tumbo nna imani shida za wanangu na mimi zimeisha katika jina la yesu nimepokea uponyaji na nimeekwa huru vitunguu vyote vimevunjika asnte yesu
@fatumaabdalla9663
@fatumaabdalla9663 3 жыл бұрын
Sio vitunguu vifungo
@nyamburachristine1234
@nyamburachristine1234 Жыл бұрын
Am pleased and blessed by the teachings
@ninayamat8213
@ninayamat8213 3 жыл бұрын
Hakika this seminar blessed me a lot thank u Jesus
@robinahumphrey9725
@robinahumphrey9725 3 жыл бұрын
Bwana aendelee kukupigania ....namuona mchawi mmoja mkono wake tayari ushavunjika unaumaaa,akuna mfano ...mko ulianzaga wa kwagu kuuma baada ya chungu weweeee...wakwake unauma mpka ajiwezi ananiangalia vibaya ....Makofi kwa Mungu wa Apostle mtalemwa ...Mukama katonda akwembembele.
@joycemaige6838
@joycemaige6838 3 жыл бұрын
Asnt BABA Yangu wa mbinguni kwa kwakua wewe ndio jibu langu nitaenderea kushikilia madhabau yako
@rosemarymallya4458
@rosemarymallya4458 3 жыл бұрын
Hallelujah 📌🔥📌🔥TUNAVUNJA LEOOOO🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙌
@edinahkemuntomainya6551
@edinahkemuntomainya6551 2 жыл бұрын
Shida zoote kwa familia yangu zivunjike na ziishe kwa jina la Yesu kristo Amina 🙏
@hellenmwenda4971
@hellenmwenda4971 2 жыл бұрын
Ameen mtumishi wa mungu naomba tufunguliwe familia yetu yote imafungwa kuolewa na kuachwa na elimu pia kufungwa mungu atafungue ameen
@happynessisack7918
@happynessisack7918 2 жыл бұрын
Vunja kila uchawi kwenye nyumbani kwangu vunja kila sauti zinazo wajia watoto wangu katika jina la Yesu
@magdalenamoyo9854
@magdalenamoyo9854 3 жыл бұрын
Aminaaaaaa najiunganisha na madhababu hiiii nabarikiwa sanaaaaaaaa napata uponyaji wa mwili na roho
@faustinriziki6787
@faustinriziki6787 3 жыл бұрын
Ameen, nabarikiwa Sana na mafundisho yako Apostle nikiwa Zanzibar .Ushindi kwetu
@tezilamaximilian1574
@tezilamaximilian1574 3 жыл бұрын
Nmefunguliwa kwa jina la yesu
@mauwashomari8160
@mauwashomari8160 3 жыл бұрын
Mungu akutiye nguvu zaidi
@joycemaige6838
@joycemaige6838 3 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi
@reymasenya6450
@reymasenya6450 3 жыл бұрын
God bless you man of God
@gracehephzibah7386
@gracehephzibah7386 3 жыл бұрын
Amen. I connect and tap the anointing and deliverance in Jesus name
@doctorzero-dj5xg
@doctorzero-dj5xg 3 жыл бұрын
Yaana ,naipenda sana huduma yako , nakuelewaga sana !
@gladobwoge867
@gladobwoge867 3 жыл бұрын
Amen, blessed from Kenya
@kayisirekarumuna821
@kayisirekarumuna821 3 жыл бұрын
Asante mchungazi kwaujumbe mziri
@lydiamakena2494
@lydiamakena2494 3 жыл бұрын
This is a true deliverance. Glory to God
@richardgibiti3131
@richardgibiti3131 2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭🙏🙏🙏 Mimi pia niko hapa Kenya Kuria Migori County naungana nawe kupasua uchawi wa kijiji chetu kwa jina la Yesu
@sarasarunguraru8195
@sarasarunguraru8195 2 жыл бұрын
naomba namba ya apostle....maandiko mazuri sana yamenigusa
@reymasenya6450
@reymasenya6450 3 жыл бұрын
Ubalikiwe Sana Mwajina Wa Baba Yangu Mutalemwa God bless
@marthamokogoti7431
@marthamokogoti7431 2 жыл бұрын
More grace Sir
@upendoeliudi5196
@upendoeliudi5196 3 жыл бұрын
Ameeen napokea kwa jina la Yesu
@numpereuben8172
@numpereuben8172 3 жыл бұрын
Thank Jesus for healing me today
@annekangaikathuni9523
@annekangaikathuni9523 3 жыл бұрын
Amen Amen!...
@barakafabiani5487
@barakafabiani5487 Жыл бұрын
Mungu akutie nguvu chief
@iweningogoofficial3733
@iweningogoofficial3733 3 жыл бұрын
Mtumishi wewe ni ndoano ulie tumwa Yesu kutuvua toka kwenye giza mm Nina shida sjawahi kuona mema yakudumu afya ya msimu amani ya msimu hata uchumi kwangu wa msimu nisaidie wewe ninabii uniombee nakumuuliza Mungu juu yangu kwanini naishi hivi kama zuri nambie hata baya nambie please naomba unisaidie kumwomba Mungu nimechoka haya maisha ya msimu
@elishamwakapugi7751
@elishamwakapugi7751 2 жыл бұрын
Ameeni mkuu ubarikiwe kwa somo zuri
@gladysgladys7393
@gladysgladys7393 3 жыл бұрын
Mama yangu ameteseka na mgongo na kuvimba miguu ndoa yangu kutoelewana kwa imani pasuka kwa damu ya yesu
@annakbunga8377
@annakbunga8377 2 жыл бұрын
Ameeeeeen mtumishi nmefunguliwa
@priscapaul339
@priscapaul339 3 жыл бұрын
nilipata ajali.kubwa mguu wa kulia baada ya maombi babati nimesikia kama nyama zilizo achia zinajiunga kwenye mguu maana kunashimo barikiwa mtumishi wa Mungu. naitwa prisca niko geita
@lit629
@lit629 3 жыл бұрын
Amen, Glory be to God.
@mattytechglobal
@mattytechglobal 3 жыл бұрын
ECG Babati we are very favored.
@innocentmtui6366
@innocentmtui6366 3 жыл бұрын
Kanisa liko wapi hapa babati
@neemahamis6399
@neemahamis6399 3 жыл бұрын
Napokeaaaaa
@anaba2926
@anaba2926 3 жыл бұрын
Niko🇸🇦Ila Niko murundi🇧🇮napenda mafundisho
@salomeshila3671
@salomeshila3671 3 жыл бұрын
Ameen
@anaba2926
@anaba2926 3 жыл бұрын
Nå familie yanguafungulivu nå magojwa yakukosa damu
@jacquelinenyange5549
@jacquelinenyange5549 3 жыл бұрын
Amen Apostle 🙏🏿
@neemammbando938
@neemammbando938 3 жыл бұрын
Thank you Jesus for this revelation.
@franciscambatha4314
@franciscambatha4314 3 жыл бұрын
Amen.by power of holy spirit.
@salomeshila3671
@salomeshila3671 3 жыл бұрын
Baba tunakuomba uje na Hanang Katesh
@studentagency2185
@studentagency2185 3 жыл бұрын
Amen Baba Mlezi
@violetmonyo578
@violetmonyo578 3 жыл бұрын
Amen.
@harriethkinjoli5459
@harriethkinjoli5459 3 жыл бұрын
Asante Yesu
@amosjeremiar8006
@amosjeremiar8006 3 жыл бұрын
Ameen chief apostle
@anaba2926
@anaba2926 3 жыл бұрын
Mimi watoto wangu wamefunga akili Zao wakanifungia maisha ya mume wangu Akaniaca sa Leo naangaika nawatoto wanduguzangu magonjwa ya Kilari n'a shida zakilasiku watoto wangu wamefunga faham Zao napokea ufunguli Kupitia maombi ya Apotle mutalemwa apata jlibu nyigi katika kazi
@happynessisack7918
@happynessisack7918 2 жыл бұрын
Naomba namba zako nimeshangazwa na neno hili
@botayoung7712
@botayoung7712 2 жыл бұрын
Uko vizuri mchungaji Mungu aendelee kukusimamia
@neemahamis6399
@neemahamis6399 3 жыл бұрын
Fireeeee
@anaba2926
@anaba2926 3 жыл бұрын
We mucawi iliofunga maisha yangu nakunifunga nisiolewe Leo nei sikuako ta mwisho
@violethkibwana7855
@violethkibwana7855 3 жыл бұрын
Amen
@anyigulilemwaigomole3012
@anyigulilemwaigomole3012 3 жыл бұрын
Amen Amen Amen
@BeatrizMushi
@BeatrizMushi 11 ай бұрын
Nimekuwa nikidhulumi❤
@JosephLeonardMatemba
@JosephLeonardMatemba 3 жыл бұрын
Hallelujah.......
@pettyzumamhina6583
@pettyzumamhina6583 3 жыл бұрын
Hallelujah glory be to Gody
@LuvyWughangaChilango
@LuvyWughangaChilango 8 ай бұрын
Pastor naomba uniombee ndoa yangu Ina matatizo natoka Kenya Mombasa
@frederikomanirakiza9782
@frederikomanirakiza9782 3 жыл бұрын
Ameeena Nikonashida yakuzalauliwa
@mamalasale6717
@mamalasale6717 3 жыл бұрын
Ameneee
@rosemarymallya4458
@rosemarymallya4458 3 жыл бұрын
KUTOJUA NA KUAMINI WOKOVU!
@lindsay6415
@lindsay6415 3 жыл бұрын
In the name of JESUS!! Amen and amen and amen
@neemandemno6748
@neemandemno6748 3 жыл бұрын
Mbona inaniandikia no stream?
@stanleylukuzi2271
@stanleylukuzi2271 2 жыл бұрын
Long life man of God
@joycekaje8755
@joycekaje8755 3 жыл бұрын
Im blessed
@fridahmakesh5895
@fridahmakesh5895 3 жыл бұрын
God graciously hear us
@maribasimon47
@maribasimon47 3 жыл бұрын
Kuchanganyikiwa
NITAJUAJE KUNA JAMBO BAYA MBELE YANGU?
31:44
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 16 М.
SIRI ZA WACHAWI PART 5 - MANUIZO
1:51:25
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 48 М.
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34
MAJARIBU NA MITIHANI KATIKA MAISHA
1:26:20
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 36 М.
Daawah yaendelea
1:05:52
Salim Daawah Kenya TV
Рет қаралды 4,4 М.
HII NDIYO SIRI ILIYOPO KATIKA ARDHI AJABU SANA!!!!
1:07:09
NABII JOE (PROPHET DR. L.A JOE)
Рет қаралды 726
KJV Audio Bible - Ezekiel
3:54:57
SermonIndex.net
Рет қаралды 1,3 МЛН
BILA MAMBO HAYA 10 MAISHA YAKO YANAHARIBIKA
1:14:31
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 42 М.
KUNA SIRI KUBWA KATIKA ARDHI/UDONGO.
54:29
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 229 М.
KUFICHUA SIRI ZA WACHAWI PART 2
41:33
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 25 М.
THE SEEING EYES - (ACCESSING THE GIFT OF SIGHT) WITH APOSTLE JOSHUA SELMAN
2:58:38
"In-Depth Study of the Book of Genesis - Part II" by Pr. Randy Skeete
3:47:28
DALILI 20 ZA KUCHUKULIWA KICHAWI [MSUKULE] PART 1
1:54:43
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 53 М.
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34