Sheikh skuji lakini naku support sana ibainishe haqqi wao wamedhalilisha watu wengi sana sasa haya ni malipo Mwenyeezi Mngu akuezeshe.
@husseinazizi12758 күн бұрын
نعم
@IbrahimuMgeni-gz5vx8 күн бұрын
Jino kwa jino
@Daifar1008 күн бұрын
Makala zenyewe mmeziandika wemyewe kisha unadai wameandika wanafunzi wa pongwe.... Hizo makala umeandika wewe mwenyewe, zote mbili umeziandika wewe mwenyewe, hakuna mwanafunzi wa pongwe alieandika makala hizo, unajitekenya mwemyew na kujichekesha
@NassorHassan-no1cr8 күн бұрын
@@Daifar100 wanafunzi wa pongwe ikiw munaweza kufirana mutashindwa kuandik???
@Daifar1008 күн бұрын
@NassorHassan-no1cr mlichobakisha ni matusi na vitimbi tu, hizo makala ni zenu, wewe tukana mpaka asubuhi, ungejielewa usingesema hayo, kwa sababu hiyo ni qadhfu kwa waislamu, na jambo hilo linahitaji mashahid wanne wanaume،, ni jambo kubwa sana ulilolisema, Allah akusamehe.... Duh!! Nyinyi ni twulabu kweli au wahuni?? Hata ukubwa wa jambo hilo hulijui umekuja na kuandika mtandaoni, duh!!!!
@Ibnsalim3Күн бұрын
Akhuy pole pole matusi sio hoja wata kushutumu bila ya ushahidi ni kosa kubwa Jitahidi kuzizui chuki zako na kifunge na maneno mazuri na mema kwasabb waswahili wasema "maneno mazuri twabib na mabaya yahaibu" Kwahy ww km mwanafunzi jaaribu kujifunga ktk akhlaaq na pambo la mwanafunzi
@YassinSinior-t7h8 күн бұрын
Ndug zang waislam naomb huyo msimsikiliz make wamekisa kaz za kufanya
@Ibnsalim38 күн бұрын
Ikiwa kubainishia watu hakki sio kazi na ww huna kz ya kufanya ndio mana ukasikiliza
@YassinSinior-t7h6 күн бұрын
Me nasikia tu wal sisikiliz
@MB-yq3ty8 күн бұрын
Mbona ulisema huongei hadi Sheikh Qassimu aongee inakuwaje waanza kuongea tena vipi hujigongigongi nwenyewe?
@SonofJacol-t6h7 күн бұрын
Mahizbi wamemgeuza katuni hajielewi huyu mtoto
@NassorHassan-no1cr8 күн бұрын
Wabainishe mda umefika😊
@rashidhasni21128 күн бұрын
Huyu mwenye kuona walevi ni bora kwake kuliko mashekhe. Anazungumza katika dini
@MohamedSalim-cm9ih8 күн бұрын
Msheikh gani unao kusudia ww au ndo hawa wanachma wa sisiemu wtu wa democracy. Mijizi ya viwanja.. Hawa wanaowatukana watu ndo masheikh hawa Wazee picha haramu alfu ajiphotoa uko akijifcha😂😂. Ndo hawa au wengine... Mara passport editing mara kapigwa bila kujijua.. Mmoja apo ni muongo Abul fadhli au wanafunzi wake 😂😂... Hawa ndo masheikh duh yarabi tustiri
@jumanneissa82268 күн бұрын
@@MohamedSalim-cm9ih 🤣🤣 mashallah maneno yako yanafanana na firauni yy pia alidai yupo ktk haq kama wewe hizbi 🤣🤣
@MohamedSalim-cm9ih8 күн бұрын
@@jumanneissa8226 hizbi anefanana na firauni ni yule mwenye kadi ya chama cha sisiemu.. Ati na yy pia sheik na huku kdi ya chama yumoo hhhhh.. .. Na kusaport democras kufru.... Hao na mfno wke..
@@jumanneissa8226 hakuna tatizo kwa ilo... Jifunze kufata haqii na kuacha baatwil
@SuleLeshi-t2m6 күн бұрын
Kwani yeye malaika hakosei jamani mbona washenzi sio waisilamu nyie hamjui kama muna chuki baina yenu pendaneni kuweni wamoja na sheh kasimu hajasema watu wasipige picha kasema kuna misimamo miwili ila yeye msimamo wake hapigi picha mmeona picha moja tu hem leteni kama mbili ndo awe mpigaji pcha waisilamu mnajiharibia dini yenu mwagongana kushushiana heshima tu hio sio dini note mmepotea
@rashidhasni21128 күн бұрын
Wala hatubabaishi jishekhe letu Allah amuhifadhi. Unajababaisha mwenyewe na mbegu zako za ukhawaariji
Wew mjinga unakwepa unacho ulizwa Picha umeipata wapi, Na kama umeipata kwa mwenyew alikupa idhini ya kuituma, Hapa ndio unakimbia kujibu sababu hauna hoja hapa,
@auroxenterprises80038 күн бұрын
Kwa demu wa mafuta
@AlmasAbdallah-r3g8 күн бұрын
Mbona unalazimisha Sheikh Qassim akujibu halafu waonekana akikukalia kimya unaumia sana😁😁😁
@NassorHassan-no1cr8 күн бұрын
Kama alivolazimisha kassim ajibiwe na adoptable Islam
@AlmasAbdallah-r3g8 күн бұрын
@@NassorHassan-no1cr Mbona Dr.Islam alijibu pasi na kulazimishwa??
WEW UMETOA WAP PICHA ZA SHEIKH, UMAARUF UTAUPATA WALA USIJALI SEMA UMEPATA WAPI PICHA ZA SHEIKH?
@rashidhasni21128 күн бұрын
Shekhe Qasimu hawezi kukujibu hata siku moja. Utakwenda kuthibitisha kwa Allah kuwa akili za wafuasi wa shekhe zina mafuta taa wewe sema tu lakini ujue kila unachosema kina andikwa
@MohamedSalim-cm9ih8 күн бұрын
Atii hakujibu kwni ubishani wa maskani huu hii Dini akhi.. Sio mchezo ati hakujibu sawa na asijibu atakuja kujibu mble Ya Allah uko kwa kuwadanganya wtu... Mzee wa kujiphotoa
@MohamedSalim-cm9ih8 күн бұрын
Ata anayo fanya ww ata Abul fadhli pia yanaandikwa mm. Pia yanaandikwa mwambie pia hivo Abul fadhli. Mana huenda na yy kajisahau kwa hilo... Mara Leo picha haram mara uko kajificha ajiphotoa.. Mara Leo TAASISI haram uyo kaja na yake... Mara radio Iman haifai.. Uyo kapeleka tsngaxo la hijja..... Wanfunzi sasa mara picha passport size editing Abul fadhli picha wamenipiga bila kujijua.. Hhhhhh mkwli ni yupi au muongo yupi sasa.... Yoooote haya yanaandikwa...
@NassorHassan-no1cr8 күн бұрын
Basi kassim atakwenda kuwajibu wengi siku ya kiama
@NassorHassan-no1cr8 күн бұрын
Kassim atakwend kuthibitisha na yey pia siku ya kiama kwa dhulma alizowazulumu
@LushweKuandika-lm9zc8 күн бұрын
Nyie chuki zenu kwa sheikh Qasim mafuta hamuwez badilisha kitu katika da'awa, wafuas wa barahiyan na masufi na wale wafuas wa Islam kama huyu mnajiunga kumvaa mtu mmoja hakika haqq haitabadilika.
@Naasisvs-xd2yl8 күн бұрын
UNAJITIA TABU2 KUTOKA MISHIPA YA SHINGO UTASEMA MWISHO UTACHOKA KWANI WALISHA KUTANGULIA WENZAKO,SASA WAMEAMUA KUNYAMAZA NA DAAWA INAKWENDA.
@NassorHassan-no1cr8 күн бұрын
Raddi ni sehemu ya kuamrisha mema na kukataza mabaya
@SonofJacol-t6h7 күн бұрын
@@NassorHassan-no1cr Maskini! Mnatia huruma wazushi Huyu katuni wenu baada ya kuona anazidi kufedheheka akaja na gia ya kukimbia akasema hatomjibu yeyote ila Sheikh Qasim pekee, hapa sijui anafanya nini? Na huku si kujigonga gonga? Kasuku Akramu hajielewi
@ramaqaasim2398 күн бұрын
Hayo makala yako wapi nayapataje
@MohamedSalim-cm9ih8 күн бұрын
Makala hii hapa............ 💫 Kwa masalafi wote Afrika mashariki..💫💫 *HILI NI SWALI, ONYO NA TAHADHARI*❗❗❓❓ USITUVURUGE! Sote tunajua ya kwamba mahizbi wamepata neno na maneno ya kumsema shekh wetu Qaasim mafuta wakiamini wataishusha Daawah hii ya Salafiyah baada ya Qadhia ya picha ya Shekh, hata Hivyo mioyo yetu inatulizana tunafahamu shekh atatoa neno na kuliitolea bayaan hili siku si nyingi. Lakini ghafla anatokea shekh wetu mwengine Abdallah humeid Kuja na bayaan ya kwake mwenyewe ambayo hatujui ametolea wapi ambapo badala ya kutuliza Hali amezidi kuharibu, je anafikiria madhara yake? Ukweli ni kua Tunawapenda Mashekh wetu Wanaopeleka Daawah Salafiyah mbele akiwepo Shekh wetu Abdallah humeydi Allah amhifadhi Lakini bila kusahau Shekh Qaasim mafuta kwani yeye ndio muasisi wa Daawah hii hapa Afrika mashariki hivyo hatutoruhusu shekh huyu achafuliwe, anapochafuka inachafuka Daawah Salafiyah Kama hakuna majibu yakueleweka ni Bora kunyamaza, hao wanaongea Hadi Sasa ni wanafunzi na vibaraka wa kihajaawirah na vijana wa kihizbi, hawa tuachieni sisi tunajua tunaenda nao vipi, Bado hizbi mkubwa Barhayan hajaongea je tunajua atakujaje? Hivi kweli Ile ni picha ya Kuja kudai ilikua ni passport size, passport size mtu amevaa kilemba? Au pia wameedit? Wamemvalisha kilemba na joho? Ni application Gani? Ukweli ni kua shekh wetu Abdallah humeidy amemkosea shekh Qaasim Pamoja na sisi vijana tunaopambana kumetetea Shekh Qaasim Allah amhifadhi, kwasababu sisi ndo tupo Uwanjani tukipambana na mahizbi uso Kwa uso , tunamwambia .... SHIKH HUMEID UMEZIDI KUWAPA ADUI NGUVU KULIKO KUWABANISHA, ni Bora unyamaze kama shekh mwenzako amenyamaza ikiwa ye ndo mhusika utakuja kutuvuruga zaidi mwisho kabisa , Ninamuomba Shekh wetu Qaasim asijibu chochote, Kazi hii ipo mikono salama Nasi tutawashughulika nao mahizbi na vibaraka wao wote!! ✍️ABUU SHA'BAAN ASSALAFIYYU AL' ATHARIYYU, ATANZANIYYU.