No video

Kuwaota Waliofariki | Dr. Islam | HorizonTV Short Clips

  Рет қаралды 259,779

HorizonTV Kenya

HorizonTV Kenya

Күн бұрын

Tazama ▶️ Bustani La Waja Wema na Dr Islam Kila Jumapili saa tatu usiku katika HorizonTV.
Please leave a comment, like and share
Follow us on:
FaceBook: / horizontvkenya
Twitter: / horizontvkenya
Instagram: / horizontv.kenya
Horizon TV | Beacon For The Nation

Пікірлер: 185
@HorizontvKenya
@HorizontvKenya 3 жыл бұрын
Full video: fb.watch/49FyCtwY3C/ Tazama kipindi hiki cha Dr Islam kila Jumapili saa tatu usiku katika HorizonTV na kwenye page yetu.
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 3 жыл бұрын
Shukran jazzakallahu khaira
@user-tf8qx4us5b
@user-tf8qx4us5b 3 жыл бұрын
Vipi swala la kumuota Mtume Muhammad(pbuh) ?
@nasmahanhashil4620
@nasmahanhashil4620 Жыл бұрын
Asslam aleykum naomba number ya sheikh plz
@shionsaeed7338
@shionsaeed7338 3 жыл бұрын
Subhanallah Jana nimewaota wazee wangu leo naona hii clip. ALLAH baarik ya sheikh
@aishadaba7045
@aishadaba7045 3 жыл бұрын
Biismika Allahummah Ameen
@lilianmiguma6656
@lilianmiguma6656 3 жыл бұрын
Mimi ni mkristo lakini nimelipenda sana somo kwani lina ukweli ndani yake ubarikiwe sana shekhe
@jameskamau5215
@jameskamau5215 3 жыл бұрын
Fundisho limejaa uongo, wafu hawatembei
@gharibislam1586
@gharibislam1586 3 жыл бұрын
Kuwa basi Muislamu alafu tutakufundisha vizuri
@AbdulAbdul-pr9qe
@AbdulAbdul-pr9qe 3 жыл бұрын
@@jameskamau5215 roho ndio zinatembea kenge wewe
@abuahsan9430
@abuahsan9430 3 жыл бұрын
@@jameskamau5215 Anazungumzia roho sio kiwiliwili
@jafarmahamed
@jafarmahamed Жыл бұрын
Welcome to islam
@jafferabdullah1651
@jafferabdullah1651 3 жыл бұрын
Shukran shekhe kwa ufafanuzi wako Mimi baba yangu ndiye aliyetangulia mbele ya haki na inatokea siku namuona usingizini Allah ampe malipo mema mzee wangu huyu amiin pamoja na mama yangu bado yuhai daraja zao ziwe zaidi kabisa amiin
@nadhifamustapha7557
@nadhifamustapha7557 3 жыл бұрын
Aamin yarabilghalamin
@yasminjuma663
@yasminjuma663 3 жыл бұрын
Na huyo mama alibaki ni pepo yko jitahidi Sana. Wengine hawajawahi hata kuwaona wazee wao.
@yasminjuma663
@yasminjuma663 3 жыл бұрын
Amin
@tumasfat464
@tumasfat464 Жыл бұрын
Amiiiiin
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 3 жыл бұрын
Mwenyezi atujaalie tuonane na watu wema ndotoni, maana watu wengine tunao onana nao ndotoni dah Allah ndio mjuzi zaidi
@habibadula7775
@habibadula7775 3 жыл бұрын
May Allah bless Dr Islam and his family
@patriciagulala4646
@patriciagulala4646 Жыл бұрын
Good lesson,may Allah bless u
@yasmeennjoki2340
@yasmeennjoki2340 3 жыл бұрын
Shukran asante kwa kutuelemisha jazakallah
@naswiharashid7166
@naswiharashid7166 3 жыл бұрын
Inna Lilahi Wa Inna Ilayhi Rajiun Subhana Allah shujran sheikh umetupa ilmu ambayo tulikuwa hatuijuwi Allah akuzidishiye ilmu yako Amin
@maryamkali9548
@maryamkali9548 3 жыл бұрын
Subhanallah jaazakallah kheri
@bidallahamadi4076
@bidallahamadi4076 3 жыл бұрын
Salaam Aleykum Hamdhillah hatimae Leo nnapata jibu, Kila mara naota wafu tena haswa watu wangu wa karibu😭😭😭Ya Rabb
@F.j84
@F.j84 3 жыл бұрын
Mara nyingi ukiwaota jamaa zako walofariki ukiwa unaswali waombee mungu hua pia wanahitaji dua.
@zuhurakassu1427
@zuhurakassu1427 3 жыл бұрын
Alllah awarehem maut wote. Inshallah
@awadhally1052
@awadhally1052 3 жыл бұрын
Amiin
@moanamohammed1406
@moanamohammed1406 3 жыл бұрын
Amin
@NoorAli-vj4gn
@NoorAli-vj4gn 3 жыл бұрын
Ukiomba dua usiseme in shaa Allah kuwa na yakeen Allah ataijibu
@Som-Hanoolaato
@Som-Hanoolaato 3 жыл бұрын
Unapo omba du’aa don’t say In Sha ALLAH. Kwasababu dua’aa Ukubaliwa. Jazaakllahu Qeyran Jazaa.
@habibtymohamed2434
@habibtymohamed2434 3 жыл бұрын
Ameen
@onyaluoma848
@onyaluoma848 5 ай бұрын
JazakaAllah khairan ya sheikh🙏
@khadijasaid5065
@khadijasaid5065 2 жыл бұрын
Mungu akuhifadhi shekhe Islam Salim Mungu akuzishiye ilmu zaidi inshaallah tunafaidika sana kusikiliza mawaedha yako mashaallah. Jazza yako utapata Kwa Mungu inshaallah..khadija said Nahdi mld
@supumoto6819
@supumoto6819 3 жыл бұрын
جزاك الله خيرا يا شيخنا
@mrishoabdulhakim6384
@mrishoabdulhakim6384 3 жыл бұрын
Usiku wa kuamkia jana nimemuota Marehemu Baba yangu yuko na mmoja wa wadogo zangu wanatoka msikitini.
@twalaataib9297
@twalaataib9297 3 жыл бұрын
Mashallah Jazakallahu khery Sheikh
@swafaasuleyman546
@swafaasuleyman546 3 жыл бұрын
Subhanallah jana nimemuota mzee wangu aliefariki lakini hali ambayo nilimona imenishtua na sjajua maana yake mpaka sasa sina raha kwa kweli
@habibtymohamed2434
@habibtymohamed2434 3 жыл бұрын
Mtolee sadaka
@nasirshekhi6070
@nasirshekhi6070 3 жыл бұрын
Jazzakka Allahu khyern 🤲❣️🌹❣️
@adammwalie4090
@adammwalie4090 3 жыл бұрын
hakika nimefarijka sn kuona ndoto hii..ALLAH AKBAR..M/MUNGU amrehem mzee wng uko alipo
@nazmaabdullkarim8022
@nazmaabdullkarim8022 3 жыл бұрын
Mashaallah nakumuota marehem aliefarik kafarik tena unamlilia
@chiefmkalikibz1503
@chiefmkalikibz1503 3 жыл бұрын
Assalam alleykum. Afwan.... Nilikua natafuta jibu hii wiki nzima kwa kumuota Mzee Wangu Mara kwa Mara katika hali tofauti. Nashkuru kufahamu hili Juu ya hii clip, ila bado sijashiba. Inshaa Allah siku moja Allah atujaalie kukutana na vipenzi vyetu katika hali njema zaidi ya duniani
@nadhifamustapha7557
@nadhifamustapha7557 3 жыл бұрын
Aamin
@emmymritta2225
@emmymritta2225 3 жыл бұрын
Ukiiona hiyo Hali basi jithd kumuombea dua na kumtolea sadaqa ndicho anachohitji Sana
@aminakingazi6061
@aminakingazi6061 3 жыл бұрын
@@emmymritta2225 Asante kwa kunielewesha
@sharifaabdullah6825
@sharifaabdullah6825 3 жыл бұрын
INNA LILAH WAINAILAH RAJUUN mungu awarehemu maiti wetu
@alhamudyalhamudy2015
@alhamudyalhamudy2015 2 жыл бұрын
Amiin
@hassansuleiman407
@hassansuleiman407 3 жыл бұрын
ma sha Allah
@mwaramimwarami1479
@mwaramimwarami1479 Жыл бұрын
Baaraka llahu fik
@aminakaruwa206
@aminakaruwa206 Жыл бұрын
SubhanaAllah Mimi humuota Sana Babangu Allah amrehemu huko aliko🤲
@Official83640
@Official83640 Жыл бұрын
Pendelea kuweka ubani kila Alkhamis magharibi na yaumul Jumaa asubuhi na utoe swadakat nnajalia mm nilikuwa hivyo hivyo tena nikiota haipiti wiki unatokea msiba lkn tangu nimeelekezwa kufanya hivyo basi Alhamdulillah zile ndoto zimenitoka
@jumamohamed628
@jumamohamed628 3 жыл бұрын
Subhaanallaah haya mas'ala yalipokuwa yakielezwa na jamaa wa Twariqa walizushiwa na kuitwa Washirikina leo mwayathibitisha,
@aboudsaidaboud7667
@aboudsaidaboud7667 Жыл бұрын
mwatariqa huomba uko
@zainabtanzanian7141
@zainabtanzanian7141 3 жыл бұрын
Shukran
@saidzahro8321
@saidzahro8321 3 жыл бұрын
Asante ustdh Ila mm naomba uelezee kuhusu ndoto za kuona kumeandikwa ktk mbingu Kama vile qur,Ani au jina langu kuona mnyama Kama vile kondoo hizi no ndoto ninazo ota Sana na huwa naogopa sana
@faidhatemba5083
@faidhatemba5083 3 жыл бұрын
Asante,Mtu anapoota nguo zake zinaungua,alafu akaziokoa baadhi yake,na baadhi zikaungua zote, hii inakiwaje?
@FattmaJuma
@FattmaJuma 20 күн бұрын
Na mm nishawah kuota hivyo
@kursumbuda801
@kursumbuda801 3 жыл бұрын
Thank you
@najmanajma-4765
@najmanajma-4765 3 жыл бұрын
Mm huwa naota sana mpaka hujawa na hofu Alhamdulilah leo nimepata ufumbuzi
@kijolimwalimu9515
@kijolimwalimu9515 3 жыл бұрын
Mbona ujamalizia
@jamilamohammed2771
@jamilamohammed2771 3 жыл бұрын
Jazakallah kheir
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 3 жыл бұрын
Tunaomba mtuwekee live tupate na kumuuliza maswali
@aishadaba7045
@aishadaba7045 3 жыл бұрын
Insha Allah
@rhdimpoz6019
@rhdimpoz6019 3 жыл бұрын
Asalaam aleykum warahmatullah wabarakatuh ..ahsantee nimepata darasa maana me hunitokeaa sana mpk najawa na hofo.
@hawaamohammed6687
@hawaamohammed6687 3 жыл бұрын
Shukran shakhe
@fatmaabdalla8543
@fatmaabdalla8543 3 жыл бұрын
Mm hua sanasana namuota mamaangu siku nyengine hua anashida siku nyengine hua ana furaha
@mahamoudduchi3318
@mahamoudduchi3318 3 жыл бұрын
Mtakie duwaa sana bimkubwa wako inn shaa ALLAH KAREEM.
@mammyyassie7322
@mammyyassie7322 3 жыл бұрын
Mashallah tunaomba muendelee .
@jumakalukule5312
@jumakalukule5312 3 жыл бұрын
Nashukuru kwa somo lako
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 3 жыл бұрын
Tunaomba muendelezo mashaallah Shukran sheikh mana hizi ndoto zakuzungumza nawafu au kuwaona nimara kwa mara zinanirudia
@inyambwanasomo9640
@inyambwanasomo9640 3 жыл бұрын
Mashllh naombe iyendeleze ina maana gani
@sadasalim4649
@sadasalim4649 3 жыл бұрын
Follow him to his channel Dr Islam muhammad full Darsa
@shionsaeed7338
@shionsaeed7338 3 жыл бұрын
Assalam aleykoum ya Zayyati na mie pia Allah ajaalie ziwe za kheri tuzidi kuwaombea Duwa. Allah awaghufuruie wao na sisi Ameen
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 3 жыл бұрын
@@shionsaeed7338 Walaykum salam waarahmatullah wabarakatu ndugu Allahumma amin
@rehemadunia9771
@rehemadunia9771 3 жыл бұрын
Nilijua hili tatizo ni langu peke angu kumbe ni kilio cha wengi
@user-jz8sj5us1h
@user-jz8sj5us1h 2 жыл бұрын
Masha Allah
@saumuseif9189
@saumuseif9189 3 жыл бұрын
Shukran kweli
@jamilamahdi1993
@jamilamahdi1993 3 жыл бұрын
SubhanAllah
@husnaodhiambo6848
@husnaodhiambo6848 3 жыл бұрын
Subbanaallh
@sophiajacobkitiku8289
@sophiajacobkitiku8289 3 жыл бұрын
Namuota kila siku kipenzi mume wangu ananielekeza nin nifanye nateseka saan ila video hii imenipunguzia wasiwasi
@mrs.muhseenjuma4833
@mrs.muhseenjuma4833 3 жыл бұрын
Pole maaa Allah akulipe kher kwa msiba wako
@kiri5807
@kiri5807 3 жыл бұрын
mtakiye dua wakati mwengine anatamani zawadi kutoka kwako km uko na wanawe mukusanyike pamoja mumpelekee dua na pia mtoleeni sadaka . km waweza kupeleka kitu km kuna msikiti unajengwa km mfuko wa saruji au hata yofali inategemea hali yako ya maisha. sadaka sio lazima iwe kubwa .
@sophierseyyd1162
@sophierseyyd1162 3 жыл бұрын
Namuotaga sana mama ang tunazungumza anitetea ndton dah siku nikihuzunika lazm nimuote akinambia akinibembeleza 😭😭😭 haipit week bila kumuona mama
@cpaminabuiferuz9298
@cpaminabuiferuz9298 2 жыл бұрын
Muombee dua kila mara
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 Жыл бұрын
@@cpaminabuiferuz9298 maa shaa Allah umesema kweli
@nemambelwa142
@nemambelwa142 3 жыл бұрын
Mashaallah kumbe napenda niwaote kila cku wazazi wng huwa nafarijika Sana nikiwaota vzri
@yvonnechepkemoi5021
@yvonnechepkemoi5021 Жыл бұрын
Wacha kudaganya watu hakuna wasiliano na wafu
@adelinamushi2892
@adelinamushi2892 3 жыл бұрын
Yaani shehe mimi ndio naota niko na huyo alikufa huwa naogopa sana nikishituka nakuwa natetemeka sana asante kwa kunitoa wasi wasi
@asilaalhabsi7623
@asilaalhabsi7623 3 жыл бұрын
Subhana Allah Allahu Akbar
@majorsaidi7951
@majorsaidi7951 3 жыл бұрын
Allahu akbar
@gongayaigongayai6346
@gongayaigongayai6346 3 жыл бұрын
mashaa allah
@user-ju1pl7rr8n
@user-ju1pl7rr8n Жыл бұрын
Aslm alkm ww... Jazakallah kheir 🙏
@fatmamshangama9824
@fatmamshangama9824 3 жыл бұрын
Subhannallaah
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 Жыл бұрын
SUBHANAALAH 😢
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 3 жыл бұрын
Subhanallah kumbeee
@suleimanmasoud1020
@suleimanmasoud1020 3 жыл бұрын
Yani nilimuota juz marehemu rais Magufuli jaman mwenyez mungu ampuzishe Salama
@mariamagesa429
@mariamagesa429 3 жыл бұрын
Mi nimeuota uck wa kuamkia leo pasaka,tumeongea naye sana kwa muda mrefu hayati Magufuli,aah naamka kumbe ndoto nimeshinda na huzuni tena.Mungu ampe mwanga wa milele,apumzike kwa amani.
@farhardahmed5395
@farhardahmed5395 3 жыл бұрын
shukran
@sharifatanzania5885
@sharifatanzania5885 3 жыл бұрын
Subuhana hlaa
@rahmandegeulaya3927
@rahmandegeulaya3927 2 жыл бұрын
Kweli nimeshaota sana
@rehemasalim4590
@rehemasalim4590 3 жыл бұрын
Kweli kbsa naliamini hilo Allah awarehemu
@naamohamed9964
@naamohamed9964 3 жыл бұрын
Amiiin
@aishanassir141
@aishanassir141 3 жыл бұрын
Ata mm nawaota wakiwa pamoja wote wawili wazazi wangu alhamdhulillah
@staraamr2770
@staraamr2770 7 ай бұрын
Rabby Ja'alnaa husnul khatma
@nurusaleh1942
@nurusaleh1942 3 жыл бұрын
Allaahumma Amiin
@yaswe5017
@yaswe5017 3 жыл бұрын
kweli kabisa unayo ongea shekh
@husnasaid4016
@husnasaid4016 3 жыл бұрын
Mm nawaota sana bibi yangu na kaka yangu mala kwa mala
@mariammuscat4300
@mariammuscat4300 3 жыл бұрын
Subhannallah
@thureyaalkindy9373
@thureyaalkindy9373 3 жыл бұрын
Subuhnallah ....Nilimuota Rafiki ang Ruwayda .....na alinilaumu hatukuonan mpk amefariki 😪😪😪😪😪Alinikasirikia kwenye ndoto na akaondoka ...
@nadhifamustapha7557
@nadhifamustapha7557 3 жыл бұрын
Subhannallah pole
@thureyaalkindy9373
@thureyaalkindy9373 3 жыл бұрын
@@nadhifamustapha7557 shukran ...nilimuona nikamuita ...akaniambia sitaki nimekuambia uje nyumban hukuja mpk nimekufa 😪😪
@nadhifamustapha7557
@nadhifamustapha7557 3 жыл бұрын
@@thureyaalkindy9373 Maskn pole dear
@naamohamed9964
@naamohamed9964 3 жыл бұрын
👏👏👏
@zainabunema5437
@zainabunema5437 3 жыл бұрын
Mm umeota sana mume wangu najiulza mbon ivi tena tumekk tunchek kweli
@mariamsuma3003
@mariamsuma3003 3 жыл бұрын
Hata mim rafk yangu kafark mwaka jana lakini nilimuota ananisemesha jaman
@halimaabdi936
@halimaabdi936 Жыл бұрын
Asalam aleykum warahmatullah wabarakatuh, Doctor Islam , vipi hali yako kaka yangu, mie leo nimeona ndugu yangu ktk ndoto ameshafariki, Nashukuru l kwa elmu unayotuelimisha, lkn pia nisaidie kuniweka Sawa, maana kuna msomi ameniambia kuota it's ni dalili kuwa mtu hauko vzr ktk ibada mamdogo ndoto hua sio mazuri je ni kweli??? Naona hata Nabiy IBRAHM ALIOTA ndo ibada kubwa ambayo inaendelea hadi kusimama kwa dunia ni ndoto.
@subiraibrahim8100
@subiraibrahim8100 3 жыл бұрын
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh mimi humuona baba angu tukiwa tunakula pamoja sometimes tukiwa tunaongea
@aishasalum2963
@aishasalum2963 3 жыл бұрын
Mm kila mara inanitokea namuota sana mama yangu jamani
@hilmialjahdhami9787
@hilmialjahdhami9787 3 жыл бұрын
Msomee Dua. Dua ya mtoto kwa mzazi aliefariki haina kizuizi
@aishasalum2963
@aishasalum2963 3 жыл бұрын
@@hilmialjahdhami9787 ok thanks
@ruqayaisumaili33
@ruqayaisumaili33 3 жыл бұрын
Mm kila siku namuota mama yangu jamani 😭😭
@wardajoseph6909
@wardajoseph6909 3 жыл бұрын
Muwe mnawatolea sadaka watu wenu
@abdiraufmustafa6364
@abdiraufmustafa6364 3 жыл бұрын
Nlimwota siku moja rafiki yangu aliyezama (R.Á.), alizungumza na sauti kama ya mtu aliyesoma Quran (mzuri) katika ndoto
@rambostalon2888
@rambostalon2888 Жыл бұрын
Maelezo mengi sana shehe
@ayishaalisaif2456
@ayishaalisaif2456 3 жыл бұрын
Jaman mbona Mm namwotaga sana babangu kila inapofika alhamis Usiku kuamkia Ijumaa lazima nimwote ila nawaombeaga nikimwota zamn nilikuwa namwota hata mama yangu Kuna Ramadhan Moja tuliwahi kuota ndoto usiku mmoja na babangu alipokuwa bado yupo hai,,lakn baada ya baba yangu kufarik naye namwona nilijiuliza inakuwaje tunaota ndoto moja, usiku mmoja sikupat jib mpk kesho,Babangu yy aliota mamangu kanipakata kavaa nguo nyeupe na usiku huo huo nami nikamwota Mamangu ndo tukawa hatukupata majib mpka kesho
@HabibaMpenzi
@HabibaMpenzi 9 ай бұрын
Shehee minaomba unisaidie maana kila nikiota ndoto inakuwa kweli
@faridahalil4456
@faridahalil4456 3 жыл бұрын
Sasa ilikua ueleze maana ya mtu kuota waliofariki ni nini? Sasa ulie hai atafikwa nini?
@michaelchilonwa9247
@michaelchilonwa9247 3 жыл бұрын
Shekh umetoa SoMo zuri Sana ambalo limekuwa likitusumbua wengi lakin pia mbona kipande kifupi???
@HorizontvKenya
@HorizontvKenya 3 жыл бұрын
Tafadhali tazama comment ya juu utapata link ya kipindi kizima.
@mwajaumalwiza2164
@mwajaumalwiza2164 3 жыл бұрын
@@HorizontvKenya naipataje hii shekhe? Maan namuota Sana baba angu wakati akiwa anacheka tunazungumza. Mbona kwenye link napo ipo nusu vile vile?
@hunterjey8033
@hunterjey8033 3 жыл бұрын
My mom
@zuhurakassu1427
@zuhurakassu1427 3 жыл бұрын
Asalaam aleykum kaka naomba namba ya cm nashida
@magynzioka1122
@magynzioka1122 3 жыл бұрын
Jamani mwanangu akutana na mama yagu kilasiku mwanangu utusimulia kila kitu walicho kua wakifayaduniani umfayia umpikia kuongea pamoja kila siku wako wato amina MUNGU die anae juu siri yao walipedana sana
@fatumamwero2755
@fatumamwero2755 Жыл бұрын
Ni fatuma nauliza nimeota kaka ya mama yangu yani mjomba Amenipa elfu moja na akanmbia niwape unga nasukari nilkuwana duka lakini baade watoto wamekuja kuitisha hio pesa namisingeweza kuwapa kwa maana Kati ya wale watoto kuna ambaye alikujakuchukua vituhivyo ndoto hii ya maanishaje?
@bonifacehassan1309
@bonifacehassan1309 3 жыл бұрын
Asnte shekhe maana nilikua nikiota naongea na malehem baada ya kustuka usingixin nakua mwoga kipta kias 🙏
@issasaidmbarouk8275
@issasaidmbarouk8275 3 жыл бұрын
Assalamu ALAYKUM
@zuhurakassu1427
@zuhurakassu1427 3 жыл бұрын
Ht Mimi naota bb yng naomba namba tuongee
@shionsaeed7338
@shionsaeed7338 3 жыл бұрын
Assalam aleykoum tunaomba zaid yaa hii darsa
@pikanaauntzuu1466
@pikanaauntzuu1466 2 жыл бұрын
Kuna siku nilimuota marehem mama yangu amefariki tena na tupo msibani tumelia muda wa kuosha maiti tukatolewa nje tulipotoka tu mie nikapita ktk mlango ambao maiti inaoshwa nakaona mama yangu akiwa ndani ya sanda na kafingwa shungi vizuri kisha uso wake umejaa tabasamu
@ummumaryam181
@ummumaryam181 3 жыл бұрын
A.alykm ikiwa humuoti maiti yyt usingizin kunakua na tatizo?
@fatmamtete3191
@fatmamtete3191 Жыл бұрын
je,ukiota mtu kajinyonga na humjui na huo mwili ukaenda kuandaliwa kwenu na Kisha wakaenda kuzika njiani watu wakawa wanasema hajafa Kwa mapezi ya allah hii inamaana gani
@user-wf7qd4up8s
@user-wf7qd4up8s 9 ай бұрын
Shehe nambayako naipata wapi
@user-tw1ko1rz3c
@user-tw1ko1rz3c 6 ай бұрын
quran iko kwa najisi nyinyi muna sherekeya, ngojeni nami nangoja, mulisema mumeamuwa muniudhi mufikishe wisilamu kijijini madhara yametoke munayakwepa allaha ajuwa siri za mbinguni na za aridhini.
@Izikiel55
@Izikiel55 3 жыл бұрын
Me ndoto yang ni kituko kweli aisee, mama yg kafa miaka mitatu iliyopita ila cha kushanģaza nimemuota manyi sana na ndoto ni ileile kila mara, eti ametuacha na kaondoka na alikoenda hatupajui tukimpigia sim hapokei, na sim hatupigii ikiwa hakuondoka kwa ugomvi,hii ndoto siipend kishenz yan aisee
@abdallatimimi8443
@abdallatimimi8443 3 жыл бұрын
Emmah nells. Muombee mungu sana mama yako na ikiwezekana mtolee sadaka,ambayo inaendana na kipato chako kwa mfano vifuko viwili vya pipi unagawia watoto ama kabox ka maziwa unagawia watoto bora utie niya kuwa unamtolea mama yako,na km una kauwezo unamfanyia sadaka ya kuendelea kwa mfano hapo kijijini unawaekea kisima cha maji watu wakichota mama anapata na ww vilevile unapata
@halimafimbo4890
@halimafimbo4890 Жыл бұрын
Ukiota mama mzazi ila nimarehem anakupiga inamaana gani
@sityjuma3049
@sityjuma3049 2 жыл бұрын
Mim nimeyafahamu maneno ya aliyekufa alikuwa nafuraha kwanza kaniuuliza kitu flan hujapata nimemjibu ndio bx kanmby kwafuraha utapata
@habibamohamedi714
@habibamohamedi714 3 жыл бұрын
Mimi shehe näota kila siku mana baba mamá familia wengi wamefariki
@fatmanassoro9444
@fatmanassoro9444 3 жыл бұрын
Shekhe naomba ufafanuzi mm huaga kila cku y alkhamic n jumapili cku y alkhamic katk swala y adhuhur hua naona kivuli cha marehem ninaemjua ambae alinilea tangia nikiwa mdogo mpk nimekuwa mkubwa n cku za jumapili hua namuona kweny swala y magharibi sio ndoto naon kivuli chake kinakatisha mbele yng akiwa ktk kujiandaa n swala n vitu anavoshika mkononi mwake n kanga ambayo mara nyingi ilikuwa anaitumia kuswalia alipokuwa hai naona ufafanuzi n ishara gani hii
@kursumbuda801
@kursumbuda801 3 жыл бұрын
Hujambo
@ruqayaisumaili33
@ruqayaisumaili33 3 жыл бұрын
Shukuran san
@halimaomar2795
@halimaomar2795 3 жыл бұрын
Mm uwaota sn mamangu yupo Hai na miaka 9ss na mamangu mdogo pia Sai Ana miaka 3 ss lkn uwa sn nawaota wapo Hai naongea nae
KUOTA MTU ALIEFARIKI//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
5:05
Fauz Production
Рет қаралды 226 М.
ROLLING DOWN
00:20
Natan por Aí
Рет қаралды 11 МЛН
Magic trick 🪄😁
00:13
Andrey Grechka
Рет қаралды 57 МЛН
Little brothers couldn't stay calm when they noticed a bin lorry #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 21 МЛН
Safari Ya Roho Pindi Ikitoka Kwa Mwili Wa Mwanadamu - Sehemu Ya Kwanza - Dr Islam Muhammad Salim
9:49
Dr. Islam Muhammad Salim - Short Clips
Рет қаралды 35 М.
UKIOTA NDOTO HIZI UJUE DUA ZAKO ZISHAJIBIWA
13:07
Mponda Media
Рет қаралды 8 М.
NAFSI YAKO NI ADUI MKUBWA KULIKO IBILISI //SHEIKH OTHMAN MAALIM
24:24
arkas online tv
Рет қаралды 13 М.
Seerah Ya Mtume: Kifo Cha Khadija | Sh. Jamaludin Osman EP 35
54:18
HorizonTV Kenya
Рет қаралды 46 М.
NINI HUKUMU YA KUTUMIA CONDOM KWA MUISLAMU
9:23
Madrasatulfurqani Tv
Рет қаралды 34 М.
TAHADHARI SANA NA MACHOZI YA MKEO UMEKWISHA
32:43
OTHMAN MICHAEL ONLINE
Рет қаралды 99 М.
ndoto hizi ukiota utapata pesa na mali
27:00
NNC TV- new nuru cinema
Рет қаралды 374 М.
Sheikh Hassan Ahmed -  Kisa cha mama na mwanawe
3:04
Thamaratul Jannah Tv
Рет қаралды 1,1 М.
ROLLING DOWN
00:20
Natan por Aí
Рет қаралды 11 МЛН