No video

UKIOTA NDOTO HIZI UJUE DUA ZAKO ZISHAJIBIWA

  Рет қаралды 7,472

Mponda Media

Mponda Media

Күн бұрын

ndoto hizi ukiota ni alama ya kwama dua zako zimejibiwa bi idhni llahi tazama mada hii mpaka mwisho

Пікірлер: 14
@destineluna5768
@destineluna5768 2 ай бұрын
Shikrani sheh allal ukupe janata firdaus
@asilahassan9965
@asilahassan9965 Ай бұрын
Shukran shekhe wangu
@user-rk9sd4kc4d
@user-rk9sd4kc4d 6 күн бұрын
A salamu, Alaykum, niliota niko msikiti wa madina ili niko nije, ya msikiti ila niko swahaba Alli bn Abitwalibu Ila tukaskia kipaza sauti kiki gongwa gongwa Alli aka sema mtume Ana,taka mtu akapige adhana mimi nikapatwa namshituko nika muuliza mtume Yuko ndani, akajibu ndyo, Alli akaniacha kumuwayi mtume ili akapige adhana mimi nikawa naenda taratibu huku nalia nikaja nikaingia kwenye lango la msikiti wa madina , nilipo ingia Alli na yeye akawa amemaliza adhana sasa mimi shauku yangu nimuonemtume nikaangalia msikiti wote sikumuona nikajampaka kwenye membari yamsikiti nikamkuta kwandani kwenye kile kinyumba cha membari amekaa kwenye bechi yeye namzee mmoja nikawatizama wote wawili kutaka kujua nani ndy mtume Wallahi nilimjua nikampwenti nikamwambia hakika wewe ndy mtume akanijibu swadqata umesema kweli, nikashika mapaja yake kwamikono yangu af nikaingiza kichwachangu kwenye mapaja yake nakuanzakulia kichwa kikiwa chini yamapaja yake nikasema Moyoni nimuombe aniombee dua Allah ani samehe makosa yangu sasa nikawa napandisha kichwa kutoka chini wakati nime fikausawa wakuangaliana mimi na yeye akaniwayi akasema hongera umefanikiwa mambo 7 kwafuraha nikarudisha kichwachini nikawa nalia naomba maana ila bado ndoto inaelelea
@aminaibrahim7438
@aminaibrahim7438 3 ай бұрын
Shukran sheikhe
@innocentndikumana8928
@innocentndikumana8928 3 ай бұрын
Mashallah
@cutefaaherbal4107
@cutefaaherbal4107 14 күн бұрын
Niliomba dua nikaota nimepewa halua usingizini maana yake ni nini
@hyy4114
@hyy4114 3 ай бұрын
Shekhe Nakutafta in Shaa Allah kwenye Whtsp
@shemmaster7swaleyuun228
@shemmaster7swaleyuun228 3 ай бұрын
Shukran Sana shekhe
@mpondamedia2416
@mpondamedia2416 3 ай бұрын
nashukuru
@ItangaishakaevelyneItangaishak
@ItangaishakaevelyneItangaishak Ай бұрын
​@@mpondamedia2416shukran
@MariamHaroon-pu3lx
@MariamHaroon-pu3lx 2 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😢
@AbdulrazackMussamzee
@AbdulrazackMussamzee Ай бұрын
Sheikh nmeota napambana na maadui bsdae nikasema ntaka nipae na nikapaa nikagsnda kule juu nikawa nssoma surat ikhras pia hii inajirudia nsota nspata matatz ucngzn then naota nasoma ayatul qursiyu na ikhras hii inamaanish nn
@SADIKIMALISAWA-ou8sk
@SADIKIMALISAWA-ou8sk 2 ай бұрын
Sheikh ukiota basi unakhutubu wala unaswalisha Wati inaashiria nini
@asilahassan9965
@asilahassan9965 Ай бұрын
Ni ishara njema kwako kpnz
UKIOTA MSIBA USIOUFAHAMU NI DALILI NZURI - MAALIM QASSIM
2:26
UKIOTA NDOTO HIZI UTAKUA TAJIRI BI IDHNI LLAHI / Imamu Mponda
10:52
This Dumbbell Is Impossible To Lift!
01:00
Stokes Twins
Рет қаралды 35 МЛН
🩷🩵VS👿
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 27 МЛН
managed to catch #tiktok
00:16
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 47 МЛН
DUA KUBWA YA KUONDOA MATATIZO BI IDHNI LLAHI
11:30
Mponda Media
Рет қаралды 486 М.
NINI HUKUMU YA MTU ANAEMUOA MWANAMKE ALIYEZINI NAE
3:04
Madrasatulfurqani Tv
Рет қаралды 120 М.
This Dumbbell Is Impossible To Lift!
01:00
Stokes Twins
Рет қаралды 35 МЛН