KUZAMA KWA MAGOMA NA MWAIPOPO KUMEFIKA

  Рет қаралды 5,394

Salmin Somba

Salmin Somba

Күн бұрын

Пікірлер: 23
@CharlesNazi
@CharlesNazi 4 ай бұрын
Asante sana Kwa ufafanuzi wako Mzee mwenzangu Mzee Magoma kayakanyaga asubiri kasheshe itakayomkuta. Kinachomsumbua ni njaa.
@vincentakulumuka4961
@vincentakulumuka4961 4 ай бұрын
Huyu bwana ana mawazo na hoja nzuri sana...hawa wana habari tulionao ni dhaifu mno katika kuhoji na kudadisi taarifa
@YassinSauka
@YassinSauka 4 ай бұрын
Umesema kweli waandishi mapupu magoma hana pointi yoyote
@IsumalAlly
@IsumalAlly 4 ай бұрын
Magoma aliwahi kuugua kichaa akiwa mdogo nilidhani kapona kumbe bado
@Excellent1Michael
@Excellent1Michael 4 ай бұрын
You said it all. Pongezi 👏🏾
@saidimnyani3330
@saidimnyani3330 4 ай бұрын
Wanaomfata magoma wameishiwa fikra
@YassinSauka
@YassinSauka 4 ай бұрын
Magoma msimsamehe afungwe ilimkomeshe mgogoro
@seydouside4081
@seydouside4081 4 ай бұрын
Duuuh anawashitaki marehemu..kheee 1968..
@hamidulingamba9252
@hamidulingamba9252 4 ай бұрын
Mzee unachofafanya hakitapokelewa kwani hakuna wachambuzi Bora wapo Bora wachambuzi wanaoshindwa kukudhi usahihi wa majukumu Yao ya uchambuzi
@HABIBHASSAN-wf5mr
@HABIBHASSAN-wf5mr 4 ай бұрын
Yaani BANGE AIMWACHAGI MTU SALAMA
@saidmnenuka7822
@saidmnenuka7822 4 ай бұрын
Atamimi nilijua waandishi wengi wanatumiwa
@AllyFwiku
@AllyFwiku 4 ай бұрын
Dah, huyu jamaa ana akili nyingi sana
@DouglasChuwa-b2s
@DouglasChuwa-b2s 4 ай бұрын
Niwandishi wapumbavu
@GeorgeJohn-k1w
@GeorgeJohn-k1w 4 ай бұрын
Safi sana
@abasiramashoo5026
@abasiramashoo5026 4 ай бұрын
Hakika umejibu vizuri sana
@abasiramashoo5026
@abasiramashoo5026 4 ай бұрын
Umetufungu vizuri sana
@emmanuelmsang3949
@emmanuelmsang3949 4 ай бұрын
Upewe maua
@geofreychitamu366
@geofreychitamu366 4 ай бұрын
Waandishi wengi ni njaa siyo taaluma.
@geofreychitamu366
@geofreychitamu366 4 ай бұрын
Apatiwe mtaalamu wa saikolojia,apimwe akili pia na hata wanaomuhoji pia.
@Qs3557
@Qs3557 4 ай бұрын
Media haziharibu zina weka mambo hadharan
@abasiramashoo5026
@abasiramashoo5026 4 ай бұрын
Hakika wewe umemaliza kila kitu
@neemaisrael688
@neemaisrael688 4 ай бұрын
TASNIA YA HABARI IMEVAMIWA NA WAJINGA.
@maclaudismail6606
@maclaudismail6606 4 ай бұрын
Baadhi yao ni Alex ngereza,.musa mkwaju,.msabaha n.k
Taariikhdii Tataarka qaybtii 1aad Sh Mustafe
1:11:13
Sheekh Mustafe Official Channel
Рет қаралды 474 М.
Мен атып көрмегенмін ! | Qalam | 5 серия
25:41
Сестра обхитрила!
00:17
Victoria Portfolio
Рет қаралды 958 М.
MAMA KARUME ATEMA NYONGO | NITAMUADABISHA MZEE MAGOMA
9:09
MATOLE TV
Рет қаралды 100 М.
Taariikhdii Tataarka Qaybtii 2aad Sh Mustafe
1:08:55
Sheekh Mustafe Official Channel
Рет қаралды 290 М.
Мен атып көрмегенмін ! | Qalam | 5 серия
25:41