👇🏿 #katibampyanisasa #TUSIKUBALIKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi(kujikabidhi kwa shetani) !✍🏿
@hajihassan5433Ай бұрын
Haya maoni sawa ni HAKI kutoa lakini na ni HAKI pia kutokulazimika kuyapokea. Tukumbuke hata unaempa maoni nae anayo maoni yake, muhimu tafuta fursa utekeleze maoni yako.
@user-fr7jj1bo7yАй бұрын
ni mtu mwovu tu anayetaka kufanya mambo yake gizani kwanini usubiri mpaka mchezo uanze ndio uzime taa chumba kizima ? haya si maoni bali ni haki kwa wapenda uwazi na haki dunia nzima