Vijana ndio wanaanza maisha kwa hiyo kuwafikiria sio.vibaya. Hasa wale waliopo ktk ajira ukizingatia pia baadhi wanaweza kuwa wanakatwa marejesho ya mikopo pia. Wazee na wskomavu kufikiria watoto na wadogo zao ktk taaluma. TLS ina wakomavu na weled kuweza kuwahamasisha vijana.
@samwelmashamba89224 күн бұрын
Mbona laki moja Kwa mwaka ndogo sana,Kwa mawakili....hao vijana walikosa washauri
@LusajoMwambogo4 күн бұрын
Kwa cheo sio mbunge ila ndani ya mioyo yetu ni mbunge wetu hakuna mwingine zaid yako wa kututoa hapa tulipo tunateseka sana na barabara mwabhukusi wetu
@LusajoMwambogo4 күн бұрын
Tunakutegemea mnooo kwenye hili jimbo letu la busokero kwenye janga la uhaba wa miundombinu bora ya barabara uyu mwakibete katwangusha...
@LusajoMwambogo4 күн бұрын
Ugwe ulingambako jetu ja bhusokelo,tunakukubali sana mwambaaa gwisilile kwa ajir yetu wana bhusokelo hasa wanakandete
@OscarKasalile5 күн бұрын
Ndani ya uongozi wako katika ofisi yenu ya TLS ni naamini sio mawakili tuu ndio wanaofurahia uwepo wako tuu bali Watanzania wote kwa pamoja wanakupenda mnoo, na wengine wakifika mbali zaidi wakikutaka wewe siku moja uje uwe Rais wa Taifa letu mama.
@HassanMwita-g5l13 күн бұрын
Asante kiongozi
@DominickDebolah14 күн бұрын
Wewe ndio kila titu tz wanaokukaji vibaya ni mtazamo wao tu
@HavanansiData15 күн бұрын
Sioni kama hoja yako ina mantiki sana. Ni kweli ni haki ya kila mTU kufanya kazi, lakini je, katiba inasema ni lazima iwe iwe ya serikali?? Lets assume inawezekana, ni nchi gani ina mfumo huu (any precedence??) Unaonaje mzigo wa MAFAO, Mishahara na training kwa watu wapya kila baada ya mikataba mipya??
@festokemibala583210 күн бұрын
Suala la mafao siyo issue, formula zinabadilishwa badala ya kulipwa as a pensioner unalipwa kwa muda uliofanya kazi kama compassionate gratuity! Ni uamuzi tu kwani katiba siyo Biblia
@HavanansiData9 күн бұрын
@festokemibala5832 kwa hiyo mishahara ya laki 5 ? Lengo ni nini? Kila mtu ale au kuongeza tija katika kazi na utumishi wa umma na binafsi?
@festokemibala58329 күн бұрын
@KurasaX tukikaa na kuainisha mpango wetu obvious kusudio litajukikana bayana, mikakati itawekwa ya namna ya kulifikia mradi tu tutie bidii. Tusizizuie akili zetu kufikiri nje ya box! Nisaidie: pensheni kwa wasiowahi kutumikia nafasi yoyote iwe ya umma au binafsi (wenza) wanapolipwa inatoka wapi? Ni wapi wamefanya kazi? Walichangia kipi katika mifuko/mfuko kiasi kwamba sasa tunawalipa as a return for what they invested/contributed? Roho ya kujikana, kujizuia usifanikiwe ni mbaya kuitanguliza katika maisha yako!!
@josephjohn211415 күн бұрын
Kaze zenyewe ni za mchongo na hazina uwiano wa kitanzania. Ndio maana unakuta kazi flan ina watu wa kabila moja au eneo moja pekee. Ni hatari sana.
@korneliombonaofficial630016 күн бұрын
Mungu ni mwema atafanya na mabadiliko ya Sheria na kanuni mbalimbali inawezekana kubadilishwa ili kukidhi usawa wa kufanya kazi katika nchi hii
@namsifubwana215219 күн бұрын
TANGANYIKA TUNAUMIZANA WENYEWE. IACHENI TLS IFANYE KAZI PEKE YAKE NA SIO KAMA IKO CHINI YA SEREKALI
@namsifubwana215219 күн бұрын
WANAANZA KUHONGA TLS NA KUITISHIA KIAKILI😢😢😢
@abeidsanga736120 күн бұрын
Safi imeeleweka kikanuni zaidi
@hamishassan678420 күн бұрын
Sasa hapo ndipo utakapo elewa mama aliposema mabadiliko ya Katiba yanahitaji Elimu kwa kina sana kwa sababu wananchi TLS tu namna inavyofanya kazi wananchi hawajui na wewe unaona hapo kuwa elimu inahitajika, Basi hebu tutumie taaluma zetu vyema na tuijenge nchi yetu kwa amani sote bila mihemko ya kichama.
@amosmahona43320 күн бұрын
Advocate nziku napenda sana anavyochambua sheria
@rosetourandsafaris155121 күн бұрын
bibi yangu alinambia mchawi mpee mtoto alee
@knight675721 күн бұрын
Kila mtu na nyewele zake na akili zake.....wanoa taka kufikiria vyovyote wafikirie tuu !
@HijaSaid-t6c21 күн бұрын
Mwabukusi huyo Hana maamuzi anafuata maagizo
@HijaSaid-t6c21 күн бұрын
Wee Odemba huyo, sio Chawa kama hao machawa unaowafahamu
@OmmyJames-xn7ji21 күн бұрын
EXPECTATIONS DISSPOINTMENT 😢😢😢😢😢😢
@TM.Sullusi21 күн бұрын
Labda kama uli expect usichokijua 😂, soma Sheria kwanza uone anachoweza kufanya kwa nafasi aliyonayo.
@papafikiri21 күн бұрын
Hongera msomi
@OscarKasalile21 күн бұрын
Mimi binafsi nakuelewa vibaya mnoo
@EnockFumbuka21 күн бұрын
Very True and correct massage for all lawyers. Thank you Mr.president
@ZakeyoAsapia-b1k21 күн бұрын
Umepoa sana mwabukusi
@SamwelLuhasha21 күн бұрын
Kitengo cha media mbona video na sauti aviendani?
@hamzakimaro376422 күн бұрын
Mwakabusi ana tamaa anadhani TLS ni chama chake cha kujinufaisha!!vijana kataeni huo wizi!!
@KamalaBuberwa23 күн бұрын
Mwambukusi nashukuru kwa ujumbe wako wa moja kwa moja kwa majaji na hasa jaji mkuu. Nafikiri massage sent. God bless you and your family
@OscarKasalile23 күн бұрын
Hakika siku moja uje uwe Rais nakuombea mzalendo wa ukweli
@ezekielndaraba722123 күн бұрын
Huyo ni Mwambukusi
@namsifubwana215223 күн бұрын
KWA KUONGEA MWAONGEA VEMA SANA, KWA UTEKELEZAJI MWAPOKEA AMRI KUTOKA JUU😢😢
@chidampiri101223 күн бұрын
Bado mnatumia mike ya kushika mkononi badala zile za kisasa unaivaa kichwani kasupka kanakuja eneo la mdomo
@chidampiri101223 күн бұрын
Sina muda wa kusikiliza hutuba hii kwani wameshindwa kutumia weledi na elimu yao katika kupigania haki za wananchi
@usembiphonedar563223 күн бұрын
Mtu wa maana wa muhimu sana katika Taifa letu Boniphace Mwabukusi. Mungu akulinde akutunze akusimamie daima katika majukumu yako. Nakuamini,nakuombea sana kwa Mungu,naamini utatufikishq kuleee(?) Katika Taifa letu.
@dominarwechungura579723 күн бұрын
Congratulations
@hamzakimaro376423 күн бұрын
taratibu tls inageuka kuwa chama cha siasa!!! Nendeni kwa msajili wa vyama siasa,msaidiane na chama cha tec chini ya mwenyekiti KITIMA!!
@usembiphonedar563222 күн бұрын
Ninyi machawa wenye majina,Hamis,hamza, juma,Abdullah,Abdul na mengine mfano wa hayo kazi yenu ni kupinga kila kitu! Jamii imeshawajua! Mtaongea sana lakini Mungu akiamua jambo litakuwa tu hata kama litachelewa!!! Sijui hoja yako hapo ni nini! Kwa TLS na TEC???!!! Mbona huongelei BAKWATA?
@gowekogoweko580323 күн бұрын
👏🏻👏🏻👏🏻SIO TAARABU HII
@gowekogoweko580323 күн бұрын
HUYU WAKILI MWABUKUSI ANAJUA ALICHOKISOMA NA ANAKIENZI...NAMSIKIA MARA NYINGI AKITAMKA "HAKI "HAKI INA MAMBO MENGI YA KUFURAHISHA
@gowekogoweko580323 күн бұрын
KATIBA MPYA. 4R PIA NI MUHIMU
@abeidsanga736123 күн бұрын
Maneno matupu Jaji mkuu
@rebekakulwa615923 күн бұрын
Nyie ni mafisiemu b
@RobertJohannes-n3c23 күн бұрын
Ivi nyie wanasheria hua mko wpi pindi haki za kiraia zimapoporwa na wanasiasa wanaozani wao ni malaika
@MiriamKhalid-z6o23 күн бұрын
Ndungu zangu nikumbusheni kama kweli Tanganyika tuna MAHAKAMA?
@danielkanso23 күн бұрын
Naam asante Mwambukusi sauti yako inaponya mioyo ya wengi na hiyo hutokana na utendaji wako mzuri wa haki katka nafasi yako
@danielkanso23 күн бұрын
Mmmmh mimi mpaka nimesahau kama kuna mahakama kuu kwa sasa najua tls ndiyo inayosaidia wananchi kwa kiasi kikubwa mahakama zetu kwa asilimia kubwa imeingiliwa na wanasiasa hasa ccm Jaji mkuu ikiwa mpo kwenye nafasi kwa ajili ya kusaidia watu basi simamieni haki
@iviejustified810923 күн бұрын
Unaponisabisha nilie nitakuuzunisha - Mwabukusi msomi zaidi Vijana wako huwa wajivuni saana, wakati walitakiwa kuwa kama wewe boss.....hawajui kabisa
@OS-pf6op23 күн бұрын
Tunaongezewa shida!
@othmarluwawilo830823 күн бұрын
Haki na uwazi upi, mmeona ukiukaji mkubwa wa ubakaji wa uchaguzi wa serikali za mitaa. Mnafikiria vipi mtalinda matumbo tu, huku mkikanyaga haki za raia. Mungu ameshawahesabia malipo yenu.
@marymartin481323 күн бұрын
Huyo ndio mtenda haki Mwenyezi Mungu awe nawe. FACT.