Mnabadili viwanjahalafu unajinasibu timu kubwahuoni aibu Azam wamewahifadhi Leo unawatukanammm
@abubakarjuma4432 ай бұрын
Mmegawana na vital o mmefanya kama mkeka wa yamle mlibeti na kibonge
@khalidfundi26002 ай бұрын
Ongeleni utopolo, kushinda lazima wawe pungufu ndo mfunge nyingi ,Simba ndio baba yenu
@SalumMwankemwa2 ай бұрын
Humuogipi manara punguza maneno akirudi Simba huyo manara here Italian sana
@LitoDossani2 ай бұрын
Hospital dawa hakuna
@yohanamabula70882 ай бұрын
Huyu mama yenu kapotea huwezi kugawa hera kwa watu 60 huku mashuleni hakuna madawati na wanachuo maelfu wanapata mikopo kwa shida limu zamani hata daftari tulikua tunapata
@ismailykamata81332 ай бұрын
Huyu mama kasema manara sio yanga tena wapi kamwe katamka
@halimaa93672 ай бұрын
Wakina mama wanazaa Kwa pesa mahosptalin sjui ccm Iko vp walhai mtt wako unamnunua mwenyewe
@alitante42792 ай бұрын
Izo pesa mkapunguze den kwa mliemvisha kinyagoo😅😅
@IlhamKhalid-mt3jp2 ай бұрын
Hahahaha ❤❤❤❤❤
@kassidpandu8662 ай бұрын
Hawezi kufuta uzee wake chama hata afunge Mako 10 kwa mechi moja
@AthumanMagari2 ай бұрын
Simba awezi toka makundi ata siku moja
@SubiraMoshi-vl4dv2 ай бұрын
Haka kashoga hakana nizamu
@khalidfundi26002 ай бұрын
Yanga hamutoboi sio kipimo kizuri kwenu red arrows walikuwa pungufu mkawafunga na hawa hivyo hivyo mjitafakari
@AllySety2 ай бұрын
kumbe huyu hamna kitu kabisa yaani mm sioni msemaji hpo
@FodiGereji012 ай бұрын
Mmewanunua tu mnasema nini
@AllySety2 ай бұрын
team ushainunua ulisikia wapi gem mbili unacheza nyumbani alafu unajisifu nawajinga wanaitikia pia unacheza na timu gani ww
@shijaIsa2 ай бұрын
Ssta punguza majigambo
@AllyMohamed-w5x2 ай бұрын
Mmecheza na viwete
@mussamsamilah23432 ай бұрын
Wanaoitwa wasemaji wa timu nchini Tanzania bado hawajajua majukumu yao. Kwa namna wanavyoongea utadhani ni shabiki au mchekeshaji. Aidha, waandishi wa habari wanachangia hilo kutokana na maswali wanayoyauliza. Katika eneo hilo tujitafakari. Wasemaji semea timu zenu sio kujaza vijembe, hivyo waachiwe wazee wa vijiweni.