PART 4: MTANZANIA ALIYEFANYIWA UKATILI OMAN,NUSU NIFIE JELA,AELEZA ALIVYOTOKA MPAKA KURUDI BONGO

  Рет қаралды 1,322

Seven Media

Seven Media

Күн бұрын

Пікірлер: 20
@abdulkadir8777
@abdulkadir8777 3 сағат бұрын
Pole sana dada,shukuru Mungu upo nyumbani naumefika salama,ubalozi watanzania sio wakuutegemea hata kidogo yaliotukuta sisi sitaki kuongea sn mana ninafamilia inanitegemea.
@zanzibarhome6049
@zanzibarhome6049 5 сағат бұрын
Hatari sana aisee. Sema huyu dada mvumilivu mnooo, mashaallah awe pole sana ndo changamoto za utaftaji🎉🎉🎉🎉
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 4 сағат бұрын
Allah azid kukupa subra ivyo ivyo aise wewe ni mpamanaji na nusu 😢aiss nakupa mau yako dada
@aseelaisaa428
@aseelaisaa428 3 сағат бұрын
Sad sad sad sad .walllah .Allamdullilah uko salama
@ZeinabAbdallah-d2t
@ZeinabAbdallah-d2t 4 сағат бұрын
Pole sna dda
@IvanMocha
@IvanMocha 3 сағат бұрын
Ila joha ana mwisho mbaya huyu mama, maaana watu wengi wanamlalamikia sana
@bintmrisho3526
@bintmrisho3526 2 сағат бұрын
Kwan jokha ni yupi yule bi jokha wa ubalozin au jokha mwengine
@GhreebZam
@GhreebZam 2 сағат бұрын
​@@bintmrisho3526sie mwengine
@SofiyaSur
@SofiyaSur 3 сағат бұрын
Duu pore sanaa dadaangu
@UmmyJumaa
@UmmyJumaa 3 сағат бұрын
Pole sana jamani napenda unavyosimulia
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 Сағат бұрын
Oman hamna malalamiko illa kwa wa Tanzania tu maneno mengi ya lawama dohh😮😮
@naifathassan2607
@naifathassan2607 Сағат бұрын
Wewe nae huyu siyo shaghara na pia oman sio mbaya watu ndio wabaya
@MariJunuior
@MariJunuior 3 сағат бұрын
Uyo anashindwa kuongea ukweli..kwamba Ile jela walipelekwa ilikuwa ni jela inayodili na magresheni kesi tu sio kesi za uwalifu
@IvanMocha
@IvanMocha 3 сағат бұрын
We nae ni migration sio ulichokiandika,alafu acha kujifanya ujuaji sana Wewe mkweli sema ukweli wewe
@bintmrisho3526
@bintmrisho3526 Сағат бұрын
Ukwel gan aongee sasa mpuuzi we
@caliphel-mafadhy2487
@caliphel-mafadhy2487 3 сағат бұрын
Nimefatilua hii story .....so ni wazi wabaya ni Watanzania waliopo Oman na sio waarabu. Ss musiwaseme vibaya watu. Na pia tujifunze kuchukua mikataba na kuwashitikisha wanasheria Tanzania kabla kuondoka. Na pia kasema yy nwenyewe sio watu wote wabaya Cha muhim maagent wa ki Tanzania na mabosi wa Tanzania waache utapeli
@naifathassan2607
@naifathassan2607 Сағат бұрын
EXACTLY
@GraceKija
@GraceKija 3 сағат бұрын
😂😂😂😂 cobis
@WamidhAlsana
@WamidhAlsana 5 сағат бұрын
Naisubir kwa hamu
@Abdul-nb3jl
@Abdul-nb3jl 4 сағат бұрын
Kumbe tupo wengi 😅
سورة البقرة كاملة لطرد الشياطين من منزلك وجلب البركه باذن الله surat albaqra
3:59:57
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 2,6 МЛН
Will A Basketball Boat Hold My Weight?
00:30
MrBeast
Рет қаралды 117 МЛН
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 14 МЛН
لماذا تحريرها كلها ممكن؟ - بودكاست مع تميم
3:46:56
Machine Learning for Everybody - Full Course
3:53:53
freeCodeCamp.org
Рет қаралды 7 МЛН
'Matokeo ya Uchunguzi kuhusu kupigwa kwangu risasi bado mpaka leo'
51:24
BBC News Swahili
Рет қаралды 110 М.
There’s no greater CURSE than being BROKE AND FAMOUS! | Stoan Seate
3:58:20
King David Studio
Рет қаралды 103 М.