KWA MARA YA KWANZA VICHWA VYA TRENI YA UMEME 'MCHONGOKO' VYAFIKA TANZANIA "WATU WAMEVISEMA SANA"

  Рет қаралды 40,456

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 174
@j4ally534
@j4ally534 6 ай бұрын
Asante sn kwako magufuli tusingeyaona haya yote,
@hamadsuleiman5177
@hamadsuleiman5177 6 ай бұрын
Kwa hivo b4 Magufuli muliishi vipi...na baada ya kufa kwake muliishi vipi...??.....Si ndio nyie muloku mukimpa majina ya Ajabau Mh Hayati Magufuli na kumwita Dictator na mda mwngn mukisema vyuma vimekaza au nmesahau...Wacheni unafiki na tuwapende viongozi wetu hata kama atawekwa baba yako tunahaki ya kumjali na kumheshimu ila akifariki lazima kikatiba atakaa mwngn na pia yeye tumjali. So, mpende Raisi wako samia na uwatakie dua maraisi washaotangulia mbele za haki
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 6 ай бұрын
Apewa mauwa yake pumzika kwa amani jpm
@mosesnyelo1380
@mosesnyelo1380 6 ай бұрын
Na makamu wake wa Rais mama samia suluhu
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 6 ай бұрын
Don't be racist 😂😂😂
@HhhTt-vl9ct
@HhhTt-vl9ct 6 ай бұрын
Magufulication still running in Tanzania.
@malikkb6444
@malikkb6444 6 ай бұрын
Congrats Tanzania 🇹🇿. Viva the leadership of Dr Samia Suluhu..
@barakakusa7606
@barakakusa7606 6 ай бұрын
Asante mama Samia hakika unastahili pongezi na kweli mwingi unaupiga,Mitano tena👏👏👏👏
@gidionmasawe4750
@gidionmasawe4750 6 ай бұрын
Nampongeza mhemiwa Docta samia sulu hasani rais wa jamhury ya mungano wa Tanzania kwa kazi nzury anayo fanya hongera sana mama samia ,mungu akutumze uishi miaka mingi
@ce-08
@ce-08 6 ай бұрын
Mmeanza😂😂
@fxmeddy9567
@fxmeddy9567 6 ай бұрын
Tujipongeze watanzania wote kwa kupata mchongoko 😂😂😂😂 KAZI IENDELEE
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 6 ай бұрын
Umeme imekaaje hapo😅😅😅😅😅😅
@ce-08
@ce-08 6 ай бұрын
Baada ya kelele nyingi sana
@AmaniRashidi-i9b
@AmaniRashidi-i9b 6 ай бұрын
Wanao ombaa mungu tusife bila ya kupanda hii tren tuonane hapa😂 like
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 6 ай бұрын
Naogopa kuipanda umeme wakikata😢😢😢😢😢😢😢
@AmaniRashidi-i9b
@AmaniRashidi-i9b 6 ай бұрын
😂 tutatumia jenereta
@Jurbeg
@Jurbeg 6 ай бұрын
​@@AmaniRashidi-i9b Duu nimekupenda bulee eti Tuta tumia generator 😂😂😂😂👍👍👍
@Muuzambuzi
@Muuzambuzi 6 ай бұрын
😂😂😂
@isdorchuvu6280
@isdorchuvu6280 6 ай бұрын
​@@MiriamAbdallahusiombe lipinduke ilo likiwa linakimboa haponagi mtu 😁😂🤣
@sophiekindem9071
@sophiekindem9071 6 ай бұрын
Congratulations my 🇹🇿 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@sephaniangulo4035
@sephaniangulo4035 6 ай бұрын
Sasa je.... haya ndiyo mambo tunataka Tanzania. Hongera sana Mama Samia
@DiegoSam-vh8fe
@DiegoSam-vh8fe 6 ай бұрын
Mzee magufuli ulale salama baba hatukudaiii
@mamasane1244
@mamasane1244 6 ай бұрын
Me naipongeza serikal kwa kazi hiyo nzuri sana ❤
@emmanuelj7516
@emmanuelj7516 6 ай бұрын
Hongera mama samia , kazi inaendele kweli 🎉🎉
@mkude
@mkude 6 ай бұрын
Hongera MAMA SAMIA SULUHU
@Optionxll_Playz1
@Optionxll_Playz1 6 ай бұрын
Sasa Proff,simengeweza ongea na Hao Hyundai wakajenga kiwanda TZ ? Shirika la reli liingie ubiya nao ili tuwe tunajenga train zetu hapo hapo Tz tuna wahandisi wengi hawana Kazi
@DudddyWhyCant
@DudddyWhyCant 6 ай бұрын
Acha waandike vibaya, lakini mama kasimama imara... Hongera rais wetu! Kazi iendelee....
@isdorchuvu6280
@isdorchuvu6280 6 ай бұрын
Kwani Nani kakwambia kalala imara ,, mbuzi. Wewe..
@zobakazizi7637
@zobakazizi7637 6 ай бұрын
Kazi nzuri. Hongera Rais.
@mandujaro
@mandujaro 6 ай бұрын
Congratulations kiongozi mama samia ila je umeme vip kwa watu tu tafrani vip na tren
@FranciscoMathias-nj6ig
@FranciscoMathias-nj6ig 6 ай бұрын
Ila sempo ilikua tu n moja vichwa vya ndege bas sa mlileta avyo vingne mkajua wa tz watawaelewa pengne bila kuzungumza wa tz mgekausha na ivyo vichwa kama kontena apo mmefanya saw ❤
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 6 ай бұрын
HAPA SAS MTU ATAKAE ANZA KUONGEA UPUUZ KUHUSU TREN HUYO ATAKUWA ANAITAJ MAOMBI
@samsonmwijage1869
@samsonmwijage1869 6 ай бұрын
Kweli kabisa. Yupo mmoja anaitwa Ansbert Ngurumo yeye ni hodari sana wa kukebehi na kubeza!!!!
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 6 ай бұрын
​@@samsonmwijage1869uliza umeme upo wa uhakika haiendeshwi na mafuta mjomba umeme ukizimwa ukiwa njia utakuaje
@Thekidp3702
@Thekidp3702 6 ай бұрын
Ila Rangi ni mbaya 😿
@HassanMoha-rc8oq
@HassanMoha-rc8oq 6 ай бұрын
Hongera mama yetu kipenzi MAMA SAMIA Hongera CCM hoyeeeee Tanzania isonge mbele ❤❤❤❤❤❤
@kambamazig02024
@kambamazig02024 6 ай бұрын
Mwisho wa siku EMU's pia ziweze kuwa zinakwenda mpaka Mwanza ili kuleta ushindani mkubwa na mabasi na ndege.
@swahiliicttutorials5568
@swahiliicttutorials5568 6 ай бұрын
mungu awabariki wote mzee mbawara na timu yake, watendaji TRC, mafundi na Rais samia kwa kuwa jambo hili ni la manufaa ya wote wala si ya nafsi yenu. mwenye kufanya jambo jema anaifanyia nafsi yake mwenyewe
@bajagihaji8923
@bajagihaji8923 6 ай бұрын
Tunasubiri kwa hamu bravo kwa wote waliotoa mchango na hili kufanikiwa
@GilbertNhigula
@GilbertNhigula 6 ай бұрын
Rudini Nyumbani Kumenogaa Mama Kasi yake ni Kasi ya mwendo Kasi !, Kazi iendelee.
@jrsingham
@jrsingham 6 ай бұрын
Mama anapiga kimya kimya kama pacome😂😂😂
@nickson3473
@nickson3473 6 ай бұрын
NO MORE ESCAPE FROM SOBIBO
@edwinalexander1170
@edwinalexander1170 6 ай бұрын
Waziri imebidi aelezee vizuri kwenye hicho kichwa kwani wabongo hawakawii kuulizia mbona kichwa tofauti.😂😂😂
@hallin9561
@hallin9561 6 ай бұрын
ni baada ya kukosolewa sana kwa yale mapipa mliyoyaleta
@msafirimiracle6613
@msafirimiracle6613 6 ай бұрын
Hapo sawa sasa,sio zile kama pua ya mbwa,bongo ndio tunaongoza kwa muonekano Africa,so serikali muwe mnaleta vitu vizuri,tuwanyooshe majirani kwanza
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 6 ай бұрын
Hapa kazi tu na kazi iendelee pia
@eddechriss2664
@eddechriss2664 6 ай бұрын
Hongereni sana serikali yetu, sema siku za mbeleni mbadilishe design mtuletee zile behewa zenye madirisha matatu tu alafu carve yake between roof and side kipenyo kipunguzwe kidogo hapo zitapendeza sana
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 6 ай бұрын
Subiri hapo😂😂😂😂😂😂😂
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 6 ай бұрын
Ranginmgeweka bendara ya Taifa
@yousuphnzira3209
@yousuphnzira3209 6 ай бұрын
Mawazo yangu kama Yako ndugu yangu.Hata zile ndege wangeweka bendera ya Taifa
@issakwisamwasanjobe541
@issakwisamwasanjobe541 6 ай бұрын
Muwe macho na hujuma za kiuchumi za ndani na nje watawadanganya wawaletee ufanisi kwa kodi
@EzekiaMichael-jn5np
@EzekiaMichael-jn5np 6 ай бұрын
Sasa serikali naanza kuelewa sana hii ndio treni nilokua navihitaji I love Tanzania
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 6 ай бұрын
Kwa nini?
@salimumohammedsalimu1720
@salimumohammedsalimu1720 6 ай бұрын
Vipi kuhusu umeme ama tutatumia gas??
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 naona watu wanatoa hongera kama wendawazimu bila kuhoji swala la UMEME 😅😅😅😅
@Thekidp3702
@Thekidp3702 6 ай бұрын
Kwani hujui mradi wa Nyerere au
@danielmkama24
@danielmkama24 6 ай бұрын
Aah!! nmefungua hii video ili nisome zile comment nlizozoea bn znanifurahishaga. kwan leo ni akna nan wanacomment? ndg zng mbn cjawazoea hv??!!
@LuckyMusyki
@LuckyMusyki 6 ай бұрын
Kweli tunaanza kuwaelewa ,hata mm ni moja hao watanzania walitaka hiyo kichwa
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 6 ай бұрын
😂😂watu wasingepigia kelele kuuusu Ile mikweche tusingeona hiz walau mlizani watanzania hawakumbuki ahadi zenu embu niwaponge watanzania muendeleee kupigia kelele ili mijitu ibadilike aswa mi CCM...
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 6 ай бұрын
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@josephkiwale374
@josephkiwale374 6 ай бұрын
Mama anaendelea kuwafua wapinzani kimya kimya
@Mollelmichal
@Mollelmichal 6 ай бұрын
Safi ila mpo slow san hii nchi n tajir sana kwaiy fanyeni iendane na heshma yake.
@risukiart4615
@risukiart4615 6 ай бұрын
wakunya kazi kwenu
@christopherjoseph8330
@christopherjoseph8330 6 ай бұрын
Samia kazi anafanya wengin wanamchukulia poa kwasabb ni mwanamke.
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 3 ай бұрын
Sasa apa walah menifulaisha sana snaan walah apo sawa dar tu dom lisaa limoja tuuu wewe weeeee safi sana walah saf sana ndomana kua sema tren gan ya umeme naenda slooo sana ichi sasa ndo kichwwwa safiiiii samiaaa wewe mamaa angu jaman azen fasta tupande sasa oyoooo🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗💪💪💪💪👊👊👊
@abbassaid9305
@abbassaid9305 6 ай бұрын
Baada ya mwaka mmoja utasikia treni zinatia hasara na zitafutiwe muekezaji
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 6 ай бұрын
Hilo halina shaka na umeme utakuaje huu wa kubip😢😢😢😢😢
@joshuajoseph3168
@joshuajoseph3168 6 ай бұрын
Jaman kama na hiz tren zingekuwa za blue na nyeupe ingenoga😂 ... Maana (ndege blue& white, mwendokasi blue tren nazo ziwe blue bas ..... Tukiitwa blue country itapeñdeza alf tren ziwe na picha ya mlima Kilimanjaro
@marandoruzali1946
@marandoruzali1946 6 ай бұрын
Why not Magufuli express
@swalehelshabiby5915
@swalehelshabiby5915 6 ай бұрын
❤ Tanzanian
@BarakerZeonlist
@BarakerZeonlist 6 ай бұрын
hahah watu wanapenda shape ya mchomolo gonga like
@chrispinegervas5657
@chrispinegervas5657 6 ай бұрын
Super
@daudimaniseli759
@daudimaniseli759 6 ай бұрын
MAISHA NI HADITH BASI KUWA UTAKAYE SIMULIWA VIZUR JAMAN HU MSTARI NIMKUBWA SANA TENA SANA... FANYENI MAJAMBO YATAKAYO KUWA CHANZO CHA WEWE KUHADITHIKA..A😢😢😢😢 ALLAH HUMLIPA THAWABU ALIE FANYA KITU KWA AJILI YA WATU... NARUDIA TENA MAISHA NI HADITH.
@HajiDotto
@HajiDotto 6 ай бұрын
Muheshimiwa sema pesa Kiswahili sio Dola hatuelewi
@bonifassimon7909
@bonifassimon7909 6 ай бұрын
Jama majaribio ya hii kitu kichwa mchongoko yasituache na sie matomaso 😅😅😅hongera serikali yangu kwa hii hatua kubwa ya usafiri wa reli aya wale waliotaka kuona vile tuvionavyo kwenye move leo tupo live kwenye jamvi lililotandikwa kwenye ardhi ya mababu zetu twendeni tukapige picha
@matukutajuma156
@matukutajuma156 6 ай бұрын
KWAHILI HONGERA SAMIA WANGU MUNGU AKULINDE I SHALLAH
@AnordErio
@AnordErio 6 ай бұрын
Hahahahahahahahhaha huo muonekano unaendana na uwezo wa muonekano au ndio mwili wa scania ingni ya suzuki carry 😅😅😅😅😅😅😅😅 ???
@meymoh_tz7476
@meymoh_tz7476 3 ай бұрын
Pongezi nyingi kwa hayati john pombe magufulu kwa kuanzisha huu mladi pia tujipongeze wananchi kwamaana kodi zetu ndio zinafanya kazi ya haya yote
@jituakilimali15
@jituakilimali15 6 ай бұрын
Hatujasikia vipi mikoa Ya Kilimanjaro tanga na Arusha hamjatutangazia ujenzi wa SGR
@Zenny89
@Zenny89 6 ай бұрын
Watanzania Ndo hatujui kitu za vitu vizuri…hii treni naipa miezi situuuu…utasikia…vitu vimenyofolewa, Mara mtu kachora chora…ghafla viooo vimevunjwa🤣🤣🤣
@ernestkomba5403
@ernestkomba5403 6 ай бұрын
Sawa safari kamili tunaanza lini?
@Kingsusi
@Kingsusi 6 ай бұрын
Hivi vichwa havina Speed …! Kwanini mnapenda kuwadanganya watanzania ?? Nunueni treni za mwendo kasi
@barikibenson4678
@barikibenson4678 6 ай бұрын
Kiukweli WAKENYA tunasonga na maendeleo😂
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 3 ай бұрын
KWAKWER MPAKA NIME MUONEA LUMA MBARAWA MANA ANA SISITIZA SANA KWAKWERRRR JAMANI IKI KICHWA CHA NYOKA ILA NIME PENDA TUSINGE ONGEA KISINGE KUJA IKI WALH SAFI WALAH DAAAAAA
@antonydangote5879
@antonydangote5879 6 ай бұрын
Yani hapo kilichobadilika ni kichwa tu speed ni Ile Ile kinyonga😅
@stephenalmas4209
@stephenalmas4209 6 ай бұрын
Sasa km mlileta used kwa nini tusiseme...tenda km unavyotaka tukutendee ili uendelee kuneemekaa.
@emmanuelmasanja6040
@emmanuelmasanja6040 6 ай бұрын
Jirani zetu wamekaa kimya😂😂😂KIMEWARAMBA
@bbanyikwa
@bbanyikwa 6 ай бұрын
Hapo sawa sasa
@bernardjohn8788
@bernardjohn8788 6 ай бұрын
Wangebadili rangi iwe blue 🔵 na white 🤍 hiyo rangi haivutii
@BarakerZeonlist
@BarakerZeonlist 6 ай бұрын
hiyo design ya collor ibadilishwe at least
@saidsobongo912
@saidsobongo912 6 ай бұрын
Watanzania wana vurugu yani wameitia tafrani serikal yao mpaka ime badilisha mfumo wa vichwa huko kiwandani mmmmh assalamaleko watz
@betyjoseph6812
@betyjoseph6812 6 ай бұрын
😅😅😅 hatimae tumepata shepu mchomoko
@geofreymaghali183
@geofreymaghali183 6 ай бұрын
😂😂😂
@omarymkamba3045
@omarymkamba3045 6 ай бұрын
Hawataji kutaniwa na wakenya😂😂😂
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 6 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅 na mpaka waseme na umemeeeeeee jeeeeeee😅😅😅😅😅😅
@allymohamed2630
@allymohamed2630 6 ай бұрын
Kama sio magufuli hata yote leo hii zizani kama yangelikuwepo ila hatuwezi kumsahau makamo wake mama.samia ameendelea kusimama imara kuendeleza yale yoote yalio achwa na mtangulizi wake rip jpm
@jumashedafa
@jumashedafa 6 ай бұрын
Ata mie hil la rangi wangejarib kutumia rangia ya air tanzania ktk ndege, meli na hay mabehew ingependez san bila kumsahau twiga wetu
@jasonwatz7457
@jasonwatz7457 6 ай бұрын
Ile ni rangi ya air tanzania , hii ni ya trc, kila nchi ina rangi yake
@durangobasics6195
@durangobasics6195 6 ай бұрын
Rangi hii nzuri tu
@jumashedafa
@jumashedafa 6 ай бұрын
@@jasonwatz7457 nchi ni moja yakitofautiana majin na maumbo ya vifaa mf; ndege, vichwa vya treni na meli inatosha ila rangi itumie ile na logo wanawez badil tu ile isitofautian san
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 6 ай бұрын
​@@jasonwatz7457rangi sio tatiza , umaemeeeeee
@abdulyabdunuru1476
@abdulyabdunuru1476 6 ай бұрын
Mtuambie twende na power bank umeme ukikatika tunaunganisha 😅😅🤪
@noelmarapachi1808
@noelmarapachi1808 6 ай бұрын
Vinaitwa Bullet train, sababu ya umbo lake kuchongoka mbele kama risasi
@salimkirungi5676
@salimkirungi5676 6 ай бұрын
Haya hajanunua magufuri acha kujichizisha, hii ni kazi mama Samia kupitia kodi zetu. John Pombe ameshafanya yake na tumeyaona😢😢 tusiwe wachoyo washukurani, hii ni kazi ya mama kizimkazi na hapa ipo 😂😂😂
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 6 ай бұрын
Shida UMEME ndugu zangu 😅😅😅😅😅😅😅
@ShabaniMwenyasa-zi9kk
@ShabaniMwenyasa-zi9kk 6 ай бұрын
❤❤Tz
@clementhiddi1486
@clementhiddi1486 6 ай бұрын
Hopefully watanzania watakuwa wastaarabu, na usafi, pia waandalieni mifuko ya kutapikia tu. Pia waache kula kula hovyo njiani
@omarymkamba3045
@omarymkamba3045 6 ай бұрын
Treni huwa zinapishana kwenye stesheni ya treni
@wozanawewoz979
@wozanawewoz979 6 ай бұрын
Vitunzwe basi jamani, sio baada ya muda viwe dampoo
@DoriceSawaki-vg4sb
@DoriceSawaki-vg4sb 6 ай бұрын
Asa vitakuwa vinapishanaje kwenye reli moja, wataalam mtisaidie hapo
@iddrashid7054
@iddrashid7054 6 ай бұрын
Kuna mtu anahoji eti mama kakopa tilioni 30 wakati haya manunuzi na ujenzi hayajawahi kufanyika toka uhuru
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 6 ай бұрын
Hii rangi mi sipendi
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 6 ай бұрын
Mbaka watu wasema au?
@judithkirenga9977
@judithkirenga9977 6 ай бұрын
Still Mchongo, tumepigwa bado
@Fadhilimwamlima
@Fadhilimwamlima 6 ай бұрын
Kuletwa zile treni za kwanza ulikuwa mtego kwa wapinzani zimeletwa hizi sijuwi utasema nini tena
@meshacknyandongo577
@meshacknyandongo577 6 ай бұрын
Uharibifu wa pesa, sasa usiongee tu kwa ushabiki
@Livhoodchibz
@Livhoodchibz 6 ай бұрын
Watanzania na kwa mara ya kwanza😂😂😂
@MathayoMulumbi
@MathayoMulumbi 6 ай бұрын
Viva magu ulithubutu
@reginaldmapunda6702
@reginaldmapunda6702 6 ай бұрын
Kwani isipochongoka Kuna athari Gani kama mwendo kasi ni uleule ? Au hivyo vina speed yake au uwezo wa kubeba mizigo mingi kuliko hivyo visivyochongoka ?
@matheobaha773
@matheobaha773 6 ай бұрын
Vichwa vizuri kwa mwonekano ila spidi ya kinyonga
@EmmanuelNyinyigwa
@EmmanuelNyinyigwa 6 ай бұрын
Apana hapo Mme tupga mmebumba bumba Tu wala sio kwa muonekono huo ila poa Tu hata hivyo tuna wapongeza mmejitaidi
@SaidMaulid-t9m
@SaidMaulid-t9m 6 ай бұрын
So mulisema kama hatoyamaliza aliyo yanzisha maguful tuwa subra tusiwe wepesi wa kuhukumu
@fredrickmwakalinga6390
@fredrickmwakalinga6390 6 ай бұрын
Hata hayo matreni ya kizamani si yanachongwa tu au
@selemanmaganga-le4zg
@selemanmaganga-le4zg 6 ай бұрын
Kenya wanavichwa vya bata maji
@MathayoMulumbi
@MathayoMulumbi 6 ай бұрын
😂😂
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 6 ай бұрын
Nimefurahi sana
@OmariMhina-b8q
@OmariMhina-b8q 6 ай бұрын
Apa kwel cyo ile ya mwanzo ya ubungo gerezan
@MohamedAbedi-db7ny
@MohamedAbedi-db7ny 6 ай бұрын
yani nyinyi kila kitu kenu kigeni
@HusseinHamza-q2p
@HusseinHamza-q2p 6 ай бұрын
Viwekwe nakishi ya ranging ya bendera
@profs.a5412
@profs.a5412 6 ай бұрын
Hivyo ndio vichwa vya tren ya umeme sasa😂😂 sio Yale mafuso ya mwanzo😂
@fxmeddy9567
@fxmeddy9567 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 6 ай бұрын
Umeme uko wapi😂😂😂😂😂😂😂😂
@nickson3473
@nickson3473 6 ай бұрын
AFADHARI ILE ESCAPE FROM SOBIBO IMEWEKWA PEMBENI, HAPO TUNAWAHAKIKISHIA MITANO MINGINE
@mohamedrajabu9055
@mohamedrajabu9055 6 ай бұрын
Ukweli tumeuona vp mmejipaga vp kuhusu umme
@mussangalawa2403
@mussangalawa2403 6 ай бұрын
Sitoi pongezi coz huo ni wajib wenu
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 6 ай бұрын
Kuhusu kutovaa jezi za sundowns gvt ilisema inatania
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 2,6 МЛН
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 76 МЛН
Ouch.. 🤕⚽️
00:25
Celine Dept
Рет қаралды 26 МЛН
MADEREVA WA TRENI KICHWA MCHONGOKO WAIVA
6:44
TRC RELI TV
Рет қаралды 25 М.
HII HAPA  SAFARI SGR  DAR HADI MORO, NDANI YA TRENI YA SGR
10:07
TRC RELI TV
Рет қаралды 40 М.
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 2,6 МЛН