Pole yaokwasi mungu akuponye haraka mana jana tumechezewa rafu sana, na pia yule refa hakua sawa kbs kwa upande wetu
@phiddeschacha3143Ай бұрын
Hongereni wapambanaji wetu, pia pole kwako jeshi Yao Yao jamani Pacome usimuache basi uwe nae maana naona anachechemea sana. Mungu atakuponya kijana wetu👏
@AngelinaHassan-fe3jpАй бұрын
Asante kwa kutupa point3 muhim
@MagangaJuma-w9dАй бұрын
Mungu wabariki mfike s sarama inshallah
@SahaniDohn-j8bАй бұрын
Mungu awatangulie chama langu nyanga mfike salama
@yasrikomba7874Ай бұрын
❤❤jongereni jeshi letu mmejituma sana na tumefanikiwa alama tatu ❤
@abdulkheri7322Ай бұрын
Japo tumenyimwa penalty ila tumeshinda 😂
@NoelMussa-k7oАй бұрын
😂😂😂😂😂😂😂umeonaeee@@abdulkheri7322
@saudazongeraАй бұрын
Yanga raha utachoka saa ngapi mambo ya angani....
@HassaniUlenge-j5jАй бұрын
Hongereni Sana wachezaji watu kw ushirikiano wenu uwanjani na nje ya uwanja umefanya tumekusanya point tatu #young African daima mbele nyuma mwiko#
@AgenesMugemaАй бұрын
Pole sana Yao, we ni mpambanaji get well soon.
@fatmaomar8335Ай бұрын
Daima mbele nyuma mwiko kazi iyendelee yanga bingwa inshaallah 💚💚💛💛🙌🙌🥰🥰
@SwaumuMohamedi-k5qАй бұрын
Mbona sijamuona msonda😢
@iddyally1029Ай бұрын
Chama yes brooo... Dube is here... 😂😂😂😂
@triceyangaАй бұрын
kwahiyo sisi tunaenda kucheza na singida black stars baada ya hapo na azam fc huku azam akiwa ametungoja sisi kwann na yeye asipewe mechi, ratiba ngumu sana hii Mungu atusaidie tuvuke salama💚💛🙏
@paulmasunga1754Ай бұрын
Yanga hii unaifungaje Wapinzani Maumivu yakizid Muone Aucho💚💛💚💛💚
@JuliethLughuyuАй бұрын
mi kwakweli siridhishwi nakiwango cha wachezaji
@fatmakhalid1399Ай бұрын
We mwenyewe mwenzi wako haridhishi na kiwango chako ila anakuvumilia tu Kwa hiyo nawe wavumilie muhmu point 3 mengine ni nyongeza tuh💛💚@@JuliethLughuyu
@paulmasunga1754Ай бұрын
@@JuliethLughuyu Julieth Dear ni mchoko tu kutokana na Latiba ilivyobana lakin timu tunayo
@monicalucas3738Ай бұрын
Asanteni sana wanajeshi wetu, endeleeni kutumbanie wananhi tuendelee kuvimba mjini pamoja na mechi kufuatana bila kupata mda wa kujiandaa vizuri ss tunawaombea kwa MUNGU ndo kazi yetu.
@KhalidaudАй бұрын
❤❤❤❤ wananchi asanteni sana kwa kutupa furaha
@muddymuzungu4357Ай бұрын
Ratiba ni ngumu sanaaaa! Mungu awasakdie wanajesh wetu
@seciliamchalo5627Ай бұрын
Acha tu tena na timu ngumu
@muddymuzungu4357Ай бұрын
@@seciliamchalo5627 Mungu atusaidie🥹🥹🥹🥹🥹
@AnthonyShirima-z6vАй бұрын
My favourite team Yanga nampenda sana Aziz ki na Diara nataman ckumoja niwaone live na kupata hata picha moja tuuu najua Ally kamwe akiona ujumbe huu ataufanyia kazi.........
@FidelisKwembe-c4tАй бұрын
Nenda taifa
@Mudathir-tx1mdАй бұрын
Yao kwasi 🎉🎉🎉
@RajabPeter-t5gАй бұрын
Mungu kawafikisha Salam akili yetu kuvuka maji Sasa saw Wana yangaa 💛💛💛💛💛💛💛🔑
@ShamilaJuma-z7nАй бұрын
Pole hakika mnajua kupambana
@HatibuhassaniАй бұрын
Congratulations for my team 🎉🎉🎉🎉🎉🎉😊😊😊yellow army
@florakawonga7356Ай бұрын
Yanga raha sana
@johnvedastus3079Ай бұрын
Young Africans hoyeee, wanaponda ushindi wa Yanga siyo wapenzi wa hiyo timu. Uchezaji hauwezi kuwa style ile ile kila wakati na wala timu haiwezi kushinda kila mchezo wanaoibeza Yanga waangalie timu yao je iko consistent kwa kila mchezo? Madrid au Barcelona wanaweza kuonekana hawajui Mpira endapo wakiruhusiwa kushiriki ligi yetu maana baadhi ya viwanja ni majanga 😂 anayeipenda Yanga ataipenda tu bila kujali kumetokea nini uwanjani. 🎉🎉🎉
@mosesemmanuel7751Ай бұрын
Mwambie baka heshima ako kk nakukubali
@charlesmakuri792Ай бұрын
Hahaha good team ❤❤❤GOD with you to win African football tournament
@bmkaskazinib4363Ай бұрын
Yanga MNA maadui wengi msitumie basis kusafiri,ndege iwe chaguo lenu.
@FidelisKwembe-c4tАй бұрын
Kabisaaa
@NasraAlly-j9oАй бұрын
❤
@Carolina-sm5ztАй бұрын
Poleni na uchovu jamani hampumziki mda wa kutosha kwa kweli
@abdallayunnus3475Ай бұрын
Alhamdulillah
@iddyally1029Ай бұрын
Aziz kwann ukae business class wakat makocha na wenzio wako economy... It's not fear 😂😂😂😂😂😂
@rachelcheyo-p5zАй бұрын
Nice
@charleschrispin2237Ай бұрын
I love you yanga naombeni like zangu
@SneycookАй бұрын
Top
@HassaniUlenge-j5jАй бұрын
Muona the Osborn Max zengeli mpambanaji asiyechoka uwanjani Mungu azidi kukujaza nishati ya mwili na akili uzidi kuwa imara uwanjani muda wote
@mwajumampokileomckapela7541Ай бұрын
Mungu awe nanyi,🔰🖤💛
@freefromhungerАй бұрын
🔥🔥🔥🔥🚀
@yudamfinanga2246Ай бұрын
Mchezaji akiwa timu kubwa, hata hasipopata nafasi ya kucheza uwanjani enjoyment anazopata nje ya uwanja ni fire
Mwamuzi wa kati wa jana cjajuwa ni toleo la ngapi mana katoa kadi nyingi sana sijajuwa alikuwa na lengo gani 😮
@NicholausThomas-n8yАй бұрын
Hatar sna
@yunusimchala6569Ай бұрын
Aziz ki aangalie kiwango kinashika Kwa Kasi sana
@ManirambonaBashiriАй бұрын
Alafu cha baba yako kimepanda sio?
@RehemaMgenderaАй бұрын
Alf Kwa Sasa azizi ki sio mfungaji mnamlaumu nin sasah
@OctaJohn-ov9gcАй бұрын
YANGA bingwa
@RoseKhashimАй бұрын
Jaman mbona mkude sijamuona
@HamisRamadhan-v5eАй бұрын
Ila chino akikunjwa vizur atasema hela anatoa wapi!
@femidayahaya9293Ай бұрын
GAMOND mpala wako wee MZEE..unapata wapi MBINU za KUTUKANDA mara 4 mfurulizo😢😢😢😢😢😢
@NoelMussa-k7oАй бұрын
😂😂😂😂🎉
@seciliamchalo5627Ай бұрын
😂😂😂
@RobertSamweli-dm2djАй бұрын
Velgood yanga afrca
@GeradinaJohn-xh8pwАй бұрын
Kumbe Dube ni real madrid 😂😂😂
@zuhuranasoro8923Ай бұрын
Ndio nimejua leo😅
@GeradinaJohn-xh8pwАй бұрын
😂😂😂@@zuhuranasoro8923
@FrankieFrank-e4eАй бұрын
Yanga inafungwaje
@OmaryMajivunoАй бұрын
❤❤❤❤
@AdampwezaPwezaАй бұрын
Good
@bahatinassorali5222Ай бұрын
Alaa madrid😂😂😂
@GeradinaJohn-xh8pwАй бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@salimramadhani5237Ай бұрын
Kila la heri
@IdrisaAbdallah-pf4mwАй бұрын
Saf sana
@kolosii4351Ай бұрын
Dube na wenzako wageni mlioiingia msimu huu mna mtihani mkubwa wa kuonesha kuwa uongozi haukufanya makosa kuwasajili. Lazima muongeze na kujitoa zaidi na kuwe na tofauti kati ya msimu uliopita na msimu huu.
@SylvesterKameoАй бұрын
Uko sahihi, baadhi yao dirisha dogo January linawahusu!
@yunusimchala6569Ай бұрын
Ila timu upambanaji upo chini Sanaa Aucho anakaba Kwa macho
Mmh mbona wanapambana jamani wanachoka pia hv huoni ratiba ilivyobana
@josephatbonifaceclemence1154Ай бұрын
Ninashauri Viongozi wakae na Bench la Ufundi na wachezaji wawauluze kulikoni? Kwakweli Timu YETU haiko vizuri au niseme kiwango kimeshuka.. Please fanyie Kazi hilo.
@Boniphacetz-w9xАй бұрын
Na nyakati ni zaaaaa usiku usikuuuuuuuuu....
@RomaniDanielcosterАй бұрын
Ipo siku mpomolelo dube atafanya mahajabu tu
@JacksonngigeMalobaАй бұрын
😂😢
@scopy0428Ай бұрын
Leo nasoma comments tu za wadau
@albertvalentino130Ай бұрын
Badilikeni haraka ---- kiwango chenu kimeshuka,na kwa kiasi kikubwa kinatia shaka " ukweli usemwe.
@rashmaissac480Ай бұрын
Kachukue nafasi chap uongeze kiwango
@gracemtonga3263Ай бұрын
Kolobwenzi utalijua tuu😂
@RehemaMgenderaАй бұрын
Hatujapoteza mechi Alf mnasema kiwango kimeshuka iyo idadi ya magor ni ridhiki tu kutoka Kwa mungu akikupangia unapata
@seciliamchalo5627Ай бұрын
Kolo utalijua tu
@triceyangaАй бұрын
@@RehemaMgenderakwahyo unasubili tupoteze ndo ujue kiwango kimeshuka ukweli usemwe msimu huu hata langoni tumekua tukifikiwa sana sema wapinzani wetu nao umaliziaji umekua hafifu
@HadijaKigelegwa-yd1yjАй бұрын
He will score
@ahmedalsaadi7108Ай бұрын
Viongozi mjue yule zaka zakazi kamkunjia dube
@allytv1714Ай бұрын
Yanga ya offside bila amshindi yanga ya nibebe
@magrethyeremia2279Ай бұрын
Bebwa na ww bc km ni rahisiii
@magrethyeremia2279Ай бұрын
Mkifunga ninyi ni halafu,wakifunga yanga wamebebwaa,mtachonga saan SS tunasonga mbeleee mbele,huo ni mwanzo mbonaaaa
@seciliamchalo5627Ай бұрын
Hamjasemaaa
@salimramadhani5237Ай бұрын
baleke aanze
@christianjohnmwalugaja8090Ай бұрын
Makamanda wetu mmewasikia wachambuzi eti wanasema magolibyenu ya off-side tu. Mnapendelewa na marefa au marefa wanaogopa kupigiwa kelele na mashabiki na wanachama wenu. Nakumbuka Baleke alivyokuwa Simba, mashabiki wa Yanga walikuwa wanadai magoli yake mengi ni off-side sasa kahamia yanga mambo yamekuwa yale2.
@seciliamchalo5627Ай бұрын
Watajua wenyewe siyo shida zetu kama hawjui sheria wakasomee tena
@JosephDaudi-n5lАй бұрын
Sijaelewa nikocha kaishiwa au wachezaji wamechoka
@magrethyeremia2279Ай бұрын
Wachezaji wanapambna saaan jmn,ratiba zimebanaaa
@GraceMarine-vo9huАй бұрын
Huu uwanja wa Kia, Taa za barabara yakuingia nakutoka uwanjani ziwake usiku siku zote aosee, isiwe mpaka kuna mzito anapita ndo ziwashwe, niliwahi kushuka hapo saa tisa na nusu usiku, kwenda moshi mjini ilibidi nilipe laki na 20 sababu yakuogopa na ugeni pia, ikabidi nilipie tax
@hawamasanje9589Ай бұрын
Azizi Ki kiwango kinashuka jamani ajiangalie yule mwana dada kamfanya nini kijana wa watu mipira anapoteza hovyo hovyo tu
@kolosii4351Ай бұрын
Wanamkaba sana.
@rashmaissac480Ай бұрын
Nenda kachukue nafasi chap uongeze kiwango
@RehemaMgenderaАй бұрын
Alf uyo demu kaachana naye kitamboo
@iddyally1029Ай бұрын
Ni mchezaji hatar na msumbufu Sana ndo maana hawamwachi awe free na mpira... Washajua mazara yake. Subir kimataifa utafurahi
@mgenikhalfan7471Ай бұрын
Kikubwa alama tatu kama umeumia jinyonge au chukuwa sumu ya panya unjwe
@muddymuzungu4357Ай бұрын
Asanteeeeeee😂
@Rahima-kv6mnАй бұрын
Na wakinywa sumu wasiandike husia aende km alivyokuja 😂😂😂 kimya kimya
@magrethyeremia2279Ай бұрын
Saaaante saaaant😂😂😂
@magrethyeremia2279Ай бұрын
@@Rahima-kv6mn😂😂😂😂😂😂 nimecheka kwa nguvuu
@SalvatoryMtungaАй бұрын
Unashindwa kuwa na wasiwasi kwa familia yako, unahangaika kuwa na wasiwasi na kiwango cha wanajangwani wanaochukua point 3 kila mechi? Hovyooo kabisa, eti preseason.
@magrethyeremia2279Ай бұрын
Hebu mwambiee huyo anaropoka ropoka tuuuu
@omaraonasir4361Ай бұрын
Hii yanga ya sahii,inashinda papatupapatu dah!kweli wachezaji viwango vimeshuka.aziz ki,mudathity yahya,pacome hawa ndo walikuwa mwiba musimu uliopita
@muddymuzungu4357Ай бұрын
Kolo😂😂😂😂😂 na bado hata nyie tuliwapiga kimoko
@Rahima-kv6mnАй бұрын
Yaan mpk usemeeeeeee. Yaan apo badooooooo😂😂😂😂😂 Aya tuambie unateseka ukiwa wapi tujue
@magrethyeremia2279Ай бұрын
Ratiba ni ngumu saaana saaana,punguza lawama.tumefungwa navtimu Gani kwani????
@muddymuzungu4357Ай бұрын
@@magrethyeremia2279 huyo ni kolo usitumie nguvu
@seciliamchalo5627Ай бұрын
Makolokolo ndio yanaongea pumba wanayanga hatuna shida tunajua ratiba ilivyo
@MohammedHimbaАй бұрын
Wachezaji wa yanga wamepoteza mvuto yaani wanacheza kama time ya shule mpira hauleweki preseason tupu
@SaraRobert-io8xvАй бұрын
Awataki kutumia nguvu nyingi maan mechi ziko karibu sana
@macklinasospeter327Ай бұрын
Kikubwa point 3 Magori mengi kuna timu itajichanganya tulipize
@stapinuswilliam860Ай бұрын
Unazo akili nyng@@SaraRobert-io8xv
@kassimrajabu7805Ай бұрын
Huna akili ww,ujui kama ratiba imebana?? Back to back games...wao ni binadamu sio robot.
@bahatinassorali5222Ай бұрын
Weeh kuweza jumatano wanaingia uwanjani tena si kila mechi uwe na mvuto tuhh muhimu tumepata pwenty 3
@jumashedafaАй бұрын
Mpira mbovu tumecheza goli la kupewa nina wasiwasi kimataifa
@Isaya-bx8fiАй бұрын
Kila mechi inajinsi ya kuicheza pia hata aina ya uwanja. Mpira mzuri wa Yanga ni ule ule ila aina ya wapinzani wanavyokuja na aina za viwanja vya mkoani. Halafu ujue Yanga ni Bingwa kwa hiyo kila timu inakamia Yanga😢😢
@jumashedafaАй бұрын
@@Isaya-bx8fi Ni sawa ila muarobain wa hilo ni upi yan ata kutamba mtaan unashindwa ukitiama kwel magoli ya offside na mpira mbovu ata ukiambiwa tuna bebwa ni sawa tu
@KumbikoMageseniАй бұрын
Weee hujui mpira tulia umeona madrid wamefungwa na Barcelona amabayo Barcelona hiyo hiyo imeingia kama underdog kwa madrid
@mosesmkoma6882Ай бұрын
Magoli ya offside yapo mangapi? Umeuona uwanja wenyewe ili mpira ukuvutie?
@janejoel2465Ай бұрын
Eendeleen kuwa na mwabulambo hivyo hivyo. point 3 muhimu