KWA MILLION 4 TU ZAHIR ANAKUJENGEA HUU MJENGO ITAKAYOBAKI UTALIPA KIDOGO KIDOGO

  Рет қаралды 15,250

Maximum Tv Online

Maximum Tv Online

Күн бұрын

Пікірлер: 113
@MaryamAbass-z1x
@MaryamAbass-z1x Жыл бұрын
Zahir hongera kwa kazi nzuri unayoifanya Allah akulinde na maadui
@happynesbaemuhappynes8813
@happynesbaemuhappynes8813 Жыл бұрын
MashAllah nyumba nzuri. Allah akujaze kila la kheri na umri mrefu uzidi kutusaidia InshaAllah. Namimi naitaka kama hiyo
@bhemloved-im6or
@bhemloved-im6or Жыл бұрын
Mashallah Kaka Zahir na cc WA zanzibar tunaomba utusimamiye
@saidaal1679
@saidaal1679 Жыл бұрын
Mashaallah mjengo unavutia sana kila la kheri kaka zahir ktk majukumu yako
@ITIKAGIDEON
@ITIKAGIDEON 5 күн бұрын
Namba za simu please
@FauzyaHassan
@FauzyaHassan 4 ай бұрын
Bila Shaka Kaka zaid itakuwa nibonge 😂maana Una hema Sana hongera kwa KAZI nitakucheki ngoja nijichange nakianziyo tufanye kazi
@sikitujuma4866
@sikitujuma4866 Жыл бұрын
Kazi nzuri sasa kwa kuwa wewe ndio umesimamia ujenzi mwanzo mwisho twambie garama yaiyo nyumba mpaka iko hivyo ili ututamanishe tujipange ili mtu aone kumbe nikiwa kiwango hiki ntapata nyumba
@AfricaQueen
@AfricaQueen Ай бұрын
Kweli kabisa🤝
@AmAl-x9j
@AmAl-x9j 3 ай бұрын
Uwe una fafanua hatua kwa hatua na gharama zote za hatua kwa hatua,,.Sasa unatuambia ukiwa na kiasi kadhaa mara kiasi kadhaa. Sasa tutajuaje bei ya vifaa vya ujenzi Kwa Sasa kama huweki wazi,, Nadhan utakua mpigaji wa chinichini kama mafundi wengine wahuni
@AmaniRazalo
@AmaniRazalo 7 ай бұрын
Kwakweli ngoja tutafute hela kweli kweli duniani kunamambo mazuri
@SophiaAlly-ih2ss
@SophiaAlly-ih2ss 11 күн бұрын
Masha allah nikiwa na milioni 4 utanijengea
@maximumtvonline
@maximumtvonline 11 күн бұрын
Nichek sophy tuongee 0753393036
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 Жыл бұрын
Yani mwenye nyumba akiona hivi ana furahaa kupita maelezo. Na akikumbuka alivyo pigwa vitu vizito na ndugu.❤👏
@HakizimanaSalima-sg7cv
@HakizimanaSalima-sg7cv Жыл бұрын
Mashaallah Allah akuifadhi Kaka zahiri Allahumma Ameen
@MizeKombeSuleiman-id1rp
@MizeKombeSuleiman-id1rp Жыл бұрын
Mwenzangu ulie jengewa hongera 🎉
@ramlajeffah9831
@ramlajeffah9831 Жыл бұрын
Ma sha Allah tabaraka Allah lakuwata ila bilah
@aishaissa2512
@aishaissa2512 Жыл бұрын
Hongera zahiri kazi nzuri🎉🎉🎉
@halimasaif3061
@halimasaif3061 Жыл бұрын
Mashallah kaka upo vizuri
@YasmeenKhalifa-zq1zk
@YasmeenKhalifa-zq1zk 3 ай бұрын
Assalam aleykum kaka zahir samahan naomba kukuuliza na mikoan unakwenda pia
@YasmeenKhalifa-zq1zk
@YasmeenKhalifa-zq1zk Ай бұрын
@@OfficialA83640 mbona mnanicheka
@YasmeenKhalifa-zq1zk
@YasmeenKhalifa-zq1zk Ай бұрын
@@aishafrancis7714 njoo 📥 inbox
@Mpakauseme
@Mpakauseme Жыл бұрын
beautiful 😍
@rahamrahma6259
@rahamrahma6259 Жыл бұрын
Mashaallah good job
@isunga1964
@isunga1964 9 ай бұрын
Nimeipenda tails kwa jiko jamni uwii
@RahmaAbuubakar
@RahmaAbuubakar Ай бұрын
Ndugu yetu nakupigia simu hupokei.
@maximumtvonline
@maximumtvonline Ай бұрын
0753393036
@mwajoma1373
@mwajoma1373 9 ай бұрын
Mashaa Allah
@YasmeenKhalifa-zq1zk
@YasmeenKhalifa-zq1zk 3 ай бұрын
Assalam aleykum kaka zahir samahan naomba kukuuliza na mikoan unakwenda pia naomba unijibu
@maximumtvonline
@maximumtvonline Ай бұрын
Ndio 0753393036
@ReginaManyangu-u4j
@ReginaManyangu-u4j 3 ай бұрын
Kazi nzr
@Adelina.Kagina
@Adelina.Kagina 11 ай бұрын
Mungu akubariki
@khadijasayeed3381
@khadijasayeed3381 Жыл бұрын
MashaAllah❤
@KassimAlly-l2r
@KassimAlly-l2r 3 ай бұрын
Million hiyo ni ya fundi au niya nyumba mpaka kuisha
@GasperGodfrey-bz7it
@GasperGodfrey-bz7it 6 ай бұрын
Ngeneza channel special kwaajili ya ujenzi tu kusipostiwe video zingine tofauti na ujenzi
@ramlajeffah9831
@ramlajeffah9831 Жыл бұрын
Assalamu alaikum warahmatullahi wabarakatu kakazahir hiyo nyumba ina vyumba vingapi
@JanethMadios
@JanethMadios 2 ай бұрын
Mbona unakimbiza kimbiza camera yaani hujatulia ili tuone vzr
@barakawanga135
@barakawanga135 10 ай бұрын
Je nyumba kaa hiyo Hadi isimame itakua shilingi ngapi
@nicholasamuyunzu7246
@nicholasamuyunzu7246 7 ай бұрын
Zahir mimi nahitaji shamba ekari moja Kisha unijenge nyumba kama hii ndugu yangu jumla ya fedha zinazohitajika ni kama ngapi hivi.
@maximumtvonline
@maximumtvonline Ай бұрын
Nichek whatsapp
@maximumtvonline
@maximumtvonline Ай бұрын
0753393036
@ameenaameena422
@ameenaameena422 Жыл бұрын
MashaAllah
@KisaMax
@KisaMax 3 ай бұрын
Zahir Kuna mdada ulixha wahi kumuoji kile kipind Cha mwanzo kabsa akawa anasema ametupiwa jini na alikua anaxhndwa kutembea vzur tunaeza mpata Kwa kweli manake video zake umefuta naitaji kumsaidia
@muhsinali5536
@muhsinali5536 Жыл бұрын
Zahir fanya mazoezi
@BamBam-q6l
@BamBam-q6l 2 күн бұрын
Nikwe zair ulikua kimnya sana kaka ila pia pore kwa chang moto za fqmilia
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 9 ай бұрын
Ss i mi 4 ni yk ya iufanya kz au ndo garama ya nyumba nzima
@Tiffahmkundia-lz3tc
@Tiffahmkundia-lz3tc 8 ай бұрын
Nilidhn np peke Najiuliz ilo swali
@nicholasamuyunzu7246
@nicholasamuyunzu7246 7 ай бұрын
Kazi safi kweli hongera.
@muhammadhussain449
@muhammadhussain449 Жыл бұрын
Sasa mwenzenu sijaelewa milioni nne ndio nyumba imeisha kweli mbna sijaelewa mwenyezenu
@mashamasha-de5xz
@mashamasha-de5xz 9 ай бұрын
Kaka zahir nakupata aje ninahitaj kuwasiliana na ww bro 🙏😮
@maximumtvonline
@maximumtvonline Ай бұрын
Nichek whatsapp 0753393036
@mmichaeleletricet4554
@mmichaeleletricet4554 4 ай бұрын
Eti milioni nne kwann usimwambie mtu ukwelii sawa ni nzuri ila milioni nne hakuna
@maximumtvonline
@maximumtvonline Ай бұрын
Kwan nimesema million 4 kamili inamaliza kila kitu!! Nimesema unalipia million 4 tunaanza ujenzi inayobaki unalipia kidogo kidogo
@salmaalkindi5735
@salmaalkindi5735 11 ай бұрын
Mjengo huu mpaka nyumba inamalizika kila kitu kiasi gani
@HakizimanaSalima-sg7cv
@HakizimanaSalima-sg7cv Жыл бұрын
Ok
@muhammadhussain449
@muhammadhussain449 Жыл бұрын
Kwaiyo kama ninalimioni 7 nataka munimalizie itakayo baki nalipa deni kila mwezi au
@cobraff7943
@cobraff7943 6 ай бұрын
Zanzibar kujengewa
@maximumtvonline
@maximumtvonline Ай бұрын
Tunaenda popote
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
Maa shaa Allah
@cosmasthomas9164
@cosmasthomas9164 9 ай бұрын
Sasa brother unatuchanganya!bei ya kujenga mjengo wote huo ni kiasi gani?
@marysaulo3243
@marysaulo3243 10 ай бұрын
Zaili siku izi usaidii watu wenye alingumu
@tumainimatembo8688
@tumainimatembo8688 Жыл бұрын
Msingi mfupi ongeza msingi uwe mlefu akiba kma itatokea mafuliko
@aishaissa2512
@aishaissa2512 Жыл бұрын
Zahiri yuko makini kwenye ujenzi kuhusu msingi usiwe na shaka💯
@twix1404
@twix1404 Жыл бұрын
Kweli msingi mfupi sana angeongeza
@aishaz1
@aishaz1 Ай бұрын
ARUSHA PIA MNAKUJA
@maximumtvonline
@maximumtvonline Ай бұрын
Yap
@Sabratheboss-gd6ie
@Sabratheboss-gd6ie 2 ай бұрын
Namba ikowapi
@mashamasha-de5xz
@mashamasha-de5xz 9 ай бұрын
Kaka nakupat aje 😢
@samsungoman5626
@samsungoman5626 Жыл бұрын
Maashallah
@hawasaid2670
@hawasaid2670 Жыл бұрын
Mashaallah kaka zahir
@margaridaagostinhoacaciona3656
@margaridaagostinhoacaciona3656 9 ай бұрын
Mimi naitaka kujenga
@Latifa123Latifa12
@Latifa123Latifa12 4 ай бұрын
Nyumba iko poa
@ramlajeffah9831
@ramlajeffah9831 Жыл бұрын
Kaka zahir nitumie ramamani ya hiyo nyumba kaka
@sophsoph4740
@sophsoph4740 9 ай бұрын
Hiv jmn hiv vioo vinabei kubwa sana
@maximumtvonline
@maximumtvonline Ай бұрын
Kawaida tu
@khamoshmikidadi618
@khamoshmikidadi618 Жыл бұрын
Mbn hujib msj
@aitharyallyramadhani
@aitharyallyramadhani Жыл бұрын
Mashallah ❤
@JoshuaOwino-u9r
@JoshuaOwino-u9r Жыл бұрын
Naomba namba mkuu
@muhammadhussain449
@muhammadhussain449 Жыл бұрын
Hau ikoje ebu niweke wazi
@leilasaid3623
@leilasaid3623 Жыл бұрын
Kaka zahiri nakutafuta sikupati
@WardaSalehe
@WardaSalehe Жыл бұрын
Hii nyumba imegarm kiasi gani
@shamzone388
@shamzone388 Жыл бұрын
Zahir hii nyumba ipo wapi na mtaa gani nijibu plz
@AminaHasan-n6l
@AminaHasan-n6l 26 күн бұрын
Zahiri mbona hutwamviagi bei
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
🎉🎉🎉
@AsiaSiraji-ud9ju
@AsiaSiraji-ud9ju Жыл бұрын
Naomba namba yako kaka Zair
@queen-jejeog8885
@queen-jejeog8885 2 ай бұрын
Nakupataje
@maximumtvonline
@maximumtvonline Ай бұрын
0753393036
@ashazuber6548
@ashazuber6548 Жыл бұрын
Jaman natafuta nyumba iliyo isha kabisa na bei mnitajie❤
@maximumtvonline
@maximumtvonline Ай бұрын
Nichek whatsapp
@maximumtvonline
@maximumtvonline Ай бұрын
0753393036
@watendenassoro1079
@watendenassoro1079 Ай бұрын
Wewe muongo
@watendenassoro1079
@watendenassoro1079 Ай бұрын
MashaaAllah nyumba yake ni mzuri Sana na inavutia kwa kila mtu ila wewe Kaka ni muongo na mnafiki mkubwa Tena wewe fezur WA mwisho unavutia biashara yako ili upate mtu akutumie pesa upate kuwajengea watoto wako na Familia yako kitendo ulichomfanyia MWANAMKE mwezetu WA Dubai siyo vizur kabisa arafu unamtishia maisha yake tunakuomba umlipe pesa zake zote amekutumia milioni kumi kasolo laki Sita tu mimi pesa ninayo Lakin sitokutumia ww tapeli pesa zangu eti unijengee nyumba taperi kama wewe rohoooo 😢😢😢😊
@asias8724
@asias8724 Жыл бұрын
Mashallah nzuri sana 👌👌😍😍
@safiyaramadhan373
@safiyaramadhan373 Жыл бұрын
Tatizo kaka zahir hautoi namba yako utapataje maelekezo sasa
@Rose-ue2ho
@Rose-ue2ho Жыл бұрын
1
@MrHalima-l1h
@MrHalima-l1h Жыл бұрын
Milion 4mpka Na bati
@umahmed8273
@umahmed8273 Жыл бұрын
Hiyo nyumba inauzwa?
@AminaAbdullah-ws3wy
@AminaAbdullah-ws3wy Жыл бұрын
Zahir mm nataka naomba namba yako tuongee
@maximumtvonline
@maximumtvonline Ай бұрын
0753393036
@maximumtvonline
@maximumtvonline Ай бұрын
0753393036
@maryammdoe5801
@maryammdoe5801 Жыл бұрын
Zahir naomba namba yako tafadhali
@maximumtvonline
@maximumtvonline Жыл бұрын
0625466848 hyo hapo
@daviddouglas8943
@daviddouglas8943 Жыл бұрын
Million 4?
@Peninandembo
@Peninandembo 7 ай бұрын
Naomba namba ya simu niwasiliane na wewe
@mhogomchungu7168
@mhogomchungu7168 Жыл бұрын
Million 4 kujenga mpaka kumaliza nyumba hii au ya kuanzia tu?
@maryamudunga1094
@maryamudunga1094 Жыл бұрын
Hata mm nimejiuliza
@OmanOman-vb4uj
@OmanOman-vb4uj Жыл бұрын
Vyumba futi ngpa kwa ngapi
@billywilliammyovella2202
@billywilliammyovella2202 Жыл бұрын
Mil 4 kweli? Kweli?
@OmanOman-vb4uj
@OmanOman-vb4uj Жыл бұрын
Naona hii yakuanzia ujenzi
@Happy-tx7p
@Happy-tx7p Жыл бұрын
Number yk pls
@MaryamAbass-z1x
@MaryamAbass-z1x Жыл бұрын
Zahir hongera kwa kazi nzuri unayoifanya Allah akulinde na maadui
@asiasalim9323
@asiasalim9323 Жыл бұрын
Masha ALLAH
@zainabisa9734
@zainabisa9734 Жыл бұрын
Ok
Não sabe esconder Comida
00:20
DUDU e CAROL
Рет қаралды 47 МЛН
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 2,5 МЛН
MIRADI YA NYUMBA ZA NSSF
15:06
NSSF TANZANIA
Рет қаралды 16 М.
JENGA NASI |ZAHIR AKAMILISHA MJENGO HUU |NJOO TUKUJENGEE NYUMBA HII
18:24
Maximum Tv Online
Рет қаралды 11 М.
JUMBA LA KIFAHARI LINAUZWA KIGAMBONI 0762505211
4:49
DALALI WA TAIFA KIGAMBONI
Рет қаралды 2,6 М.
ZAHIR ADONDOKA CHINI VIBAYA| TAZAMA HILI HEKALU LA BEI RAHISI ANALO JENGA
16:14
Não sabe esconder Comida
00:20
DUDU e CAROL
Рет қаралды 47 МЛН