Baba nifinyange,Sina maana yoyote ya kuwa duniani kama nitaishi nje ya maagizo yako,Nifinyange Baba,nifinyange Kristo,Nifinyange Roho Mtakatifu,Nakuomba Ee Bwana wangu.
@HellenDaudi-rt8ol26 күн бұрын
Hii dhambi ya mazoea imenila sana,Namshukuru Mungu utukufu wa sasa umekuwa mkubwa kuliko wa mwanzo namaliza 2024 kwa Neema kubwa ya Mungu navuka kitofauti
@salamalupenza508216 күн бұрын
Mungu turehemu sisi.Tutembee na hofu ya Mungu kila wakati
@WilleyshАй бұрын
Kweli past Uko na hekima kabisa na miye mungu anipe hekima kama wewe uni ombeye kwa mungu hekima
@AshaMwaigaga7 ай бұрын
Mungu nisaidie mazoea yasije yakanikosanisha nawe Yesu
@HellenDaudi-rt8ol26 күн бұрын
Ee Mungu nisaidie mimi,hii yakuongea halak halaka imenitesa sana mimi najikuta mshauri kwa kila ninaloliona Nisamehe Mungu wangu nisamehe mimi nimekosa sana nimekosa mimi
@frolencialupilya62098 ай бұрын
Ee Mungu nirehemu kwa kufanya mazoea mbele zako😢
@BonareriDoreen-p8b2 ай бұрын
Mungu nisamehe kwa kukufanyia mazoea sana
@everinemasoka69238 ай бұрын
Amen Amen ubarikiwe mtumishi wa Mungu.
@beatriceamissi57658 ай бұрын
Asante sana mtumishi kwa Neno zuri limenitoawa mbali sana Asante Mungu kwa uponyaji wa Roho yangu ❤
@JaliwaPasco8 ай бұрын
Asante Sana Mtumishi wa Mungu haya mafindisho Yako yananipa faraja sana Thank you Pastor
@holyspiritconnect8 ай бұрын
Ameen
@estherwanjalanyongesa2 ай бұрын
Mungu nisamehe Kwa mazoea yangu!!
@kas67548 ай бұрын
Bwana yesu apewe sifa hallelujah 🙏
@holyspiritconnect8 ай бұрын
Ameen
@marymallya79938 ай бұрын
Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu kwa mafundisho yako🙏
@holyspiritconnect8 ай бұрын
Ameen
@Esther-Bri8 ай бұрын
AMINA AMINA BARIKIWA Sana Mchungaji kwa mafunzo mazuri
@holyspiritconnect8 ай бұрын
Ameen ameeen
@JosphineMwasame3 ай бұрын
Amen 🙏
@holyspiritconnect3 ай бұрын
🙏🙏🙏
@HellenDaudi-rt8ol26 күн бұрын
Ee Baba nitenge mbali na uongo kabisaaaa,kuna mazoea ya kuongea uongo na kufuta hii nayo siitaki kabisa,Sitaki niwe muongozo maeneo yote maishani mwangu
@GraceSambula8 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu mafundisho yako kunisaitia nilikuwa na mazoeo kwa Mungu naomba Mungu msamaha
@holyspiritconnect8 ай бұрын
Ameen ameeen
@florencekwamboka97178 ай бұрын
Mungu nisaidie nisije nikakusoea
@holyspiritconnect8 ай бұрын
Ameen
@annbrendanalech74297 ай бұрын
Mungu amesa na mimi kabisa nimekuwa namazoea mingi sana akika nimejivunza kitu na niko ready 😢 😢kubadilisha jia yangu ili nisiwe na mazoe eeh mungu nipe nehema ili nisiwe na mazoe na wewe
@holyspiritconnect7 ай бұрын
Ameen
@jackiemaggy2484Ай бұрын
Thank you Jesus for your mercy
@stephanosospeter17098 ай бұрын
YESU KRISTO naomba unisamee sana, na roho ya uchafu nilio kuzoea nayo
@holyspiritconnect8 ай бұрын
Amen
@aj-gw1rl8 ай бұрын
Eeh Mungu unirehemu mimi kiasi cha wingi wa rehema zako🥹🙏
@lostanguvila77618 ай бұрын
ameen Bwana naomba unirehemu
@HellenDaudi-rt8ol26 күн бұрын
Thank you Jesus
@innocentkituma27148 ай бұрын
Bwana nisaidie Kwa Neno hili
@holyspiritconnect8 ай бұрын
Ameen
@agnesmbone2317 ай бұрын
Bwana nitengeneze nisikuzoe 😢
@florencekwamboka97178 ай бұрын
Halleluyah
@holyspiritconnect8 ай бұрын
Ameen
@sudiadiane8 ай бұрын
Amen Amen
@marymallya79938 ай бұрын
Mungu naomba unisamehe kwa kuwa na mazoea na ww🙏🙏
@holyspiritconnect8 ай бұрын
Amen
@HellenDaudi-rt8ol26 күн бұрын
Roho Mtakatifu nifunge kinywa changu nikae kimya hadi kusubili msukumo wako
@annadadi34278 ай бұрын
Ameen
@holyspiritconnect8 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏
@LoiseKabura-y4c2 ай бұрын
🙏🙏
@jordanpeter79247 ай бұрын
Mtumishi mimi niko mwanza wewe uko wapi ili nije kuanudu pamoja nanyi
@holyspiritconnect7 ай бұрын
Tupo Dar es Salaam
@HellenDaudi-rt8ol26 күн бұрын
Dar salam maeneo gani nimekuja kwa dharula natamani niabudu nanyi@@holyspiritconnect
@clarasima54478 ай бұрын
Ameen 🙏
@HellenDaudi-rt8ol26 күн бұрын
Ee Baba nitenge mbali na uongo kabisaaaa,kuna mazoea ya kuongea uongo na kufuta hii nayo siitaki kabisa
@HellenDaudi-rt8ol26 күн бұрын
Jesus Jesus Jesus
@aminaaa32278 ай бұрын
EE MUNGU MWANA WA DAUDI UNIREHEMU SAEA SAWA NA MAPENZI YAKO NAKTAA MAZOEA KATIKA MAOMBI