Duuhh huu ujumbe ni wa kwangu moja kwa moja kuanzia mwanzo adi mwisho. Bwana YESU asante na nipo tayar kubadilika naomba unifinyange unifanye upya.
@holyspiritconnect7 ай бұрын
Ameen
@EstherLulah7 ай бұрын
Mungu nisamehe niondolee roho ya mazoea nifinyange upya ee Yesu
@holyspiritconnect7 ай бұрын
Ameen ameeen
@IbrahimSamwel-r9k7 ай бұрын
Mungu nisaidie nikuone wewe katika maisha yangu😌🙏
@holyspiritconnect7 ай бұрын
Ameen
@allenjohn43287 ай бұрын
Amen. Yesu nitengeneze Mungu wangu
@holyspiritconnect7 ай бұрын
Ameen
@frolencialupilya62097 ай бұрын
Ee Mungu nirehemu mwanao nisiwe na mazoea mbele zako😢, Nipo tayari kufinyangwa kwa upya nawe Yesu wangu.
@holyspiritconnect7 ай бұрын
Ameen
@MwanaHuseni-jf2lv7 ай бұрын
Eeh MUNGU nisamehe mja wako Kwa kuenenda Kwa mazoea nko hapa bwana nbadilishe ❤❤Amen barkiwa mtumishi Kwa mafunzo mazur 🙏🙏
@holyspiritconnect7 ай бұрын
Ameen ameeen
@RahelLwanzali7 ай бұрын
MUNGU nisameehe mm nko tayar kubadilika nisameehe MUNGU 😢
@holyspiritconnect7 ай бұрын
Ameen
@MariamChimbwete-fg2nq7 ай бұрын
Asante mtumishi kwaujumbe wa kutukuza kiroho na kiimani ewe BWANA YESU nakuomba nifutie roho ya mazoea kwako nifinyange upya BWANA
@marthapaschalsaranga54797 ай бұрын
Bwana Yesu nakuhitaji🙏🏽
@holyspiritconnect7 ай бұрын
Ameen
@ZaituniNyanje6 күн бұрын
Weee Mungu wangu nirehemu na omba unisamehe na uniondolee mazoya na unipe mwisho mwema Amen 🙏
@florencekwamboka97177 ай бұрын
Unisamehe mimi katika jina la Yesu kristo
@holyspiritconnect7 ай бұрын
Ameen
@HellenDaudi-rt8ol8 күн бұрын
Yesu Yesu Yesu Nisaidie niyaishi maisha matakatifu,Nipe kukutumikia katika kweli,Nitenge na aibu nitenge na dhambi nitenge na Mazoea Ee Yesu mwisho wangu uwe na utukufu na baraka tele na maandishi haya yakae Moyoni mwangu,Na nafunika maombi haya kwa Damu ya Yesu.
@SarahKadafu-ps1xk2 ай бұрын
Ee Mungu naomba nisaidie naomba rehema na neema zako nisamehe mm nwanao niondoe kwenye mazoea 😭😭😭 nisaidie ee baba yangu wa mbinguni 🙏🙏
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen ameeen
@jefwakalama43367 ай бұрын
Ooooh Mungu akubariki sana mtumishi kwa kzi nzuri Emmanuel Jefwa kutka Lamu Kenya
@holyspiritconnect7 ай бұрын
Ameen ameeen
@holyspiritconnect7 ай бұрын
Ubarikiwe pia
@agnesmbone2317 ай бұрын
Bwana nakuomba unirehemu ni Muda mwingi sijeenenda katika njia zifaazo ,mara mingi Bwana nimekuja mbele zako kwa mazoea nisamehe BABA😭😭😭😭🧎♂️🧎♂️🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@HellenDaudi-rt8ol8 күн бұрын
Hili taka mimi nimemtenda zambi saaana naacha na sintaludia,sikuwa na nidhamu kabisa nimekosa Baba nimekosa sana siludii tena🙌
@BetinaLunyungu13 сағат бұрын
Mungu niondolee mazoea niponye ee Bwana
@innocentswai96637 ай бұрын
Amen.Baba barikiwa sanaa umenifundisha jambo na kitu kipya cha kunivusha ndani ya huu mwaka na hata mwezi huu wa tano❤
@holyspiritconnect7 ай бұрын
Ameen ameeen
@judithmutio-mp6sn7 ай бұрын
Amen mungu uishie milele namini mtoto wangu atatembea kwa jina lako takatifu AMEN 🙌🙌🙌
@jescajaphet57447 ай бұрын
Amen Amen Amen
@holyspiritconnect7 ай бұрын
🙏🙏🙏
@WilleyshАй бұрын
Mungu ni saidiye ni pate mwisho muzuri
@BeckyIregiАй бұрын
Mafundisho nimazuri haya ,,,Kristo naomba ukanirehemu Mimi mwenye mazoea
@favoredbyJesus7 ай бұрын
Mungu nisamehe sana kwa kukuzoea Baba yangu 😭😭😭natubu saana 🙌
@holyspiritconnect7 ай бұрын
Amen
@baenimuhimafabrice7 ай бұрын
Ee Mungu wangu nimekuja ku magoti naomba msamaha na toba na Rehema unisamehe kwa mazoeya n'a kiburi Baba yangu Niko tayari kuonyeka Baba yangu Unisamehe
@eunicekengajaha295310 күн бұрын
Nifunze eee MUNGU wangu , unibadilishe niko tayari😢😢😢
@mechasabina46722 ай бұрын
Akika haya mafunzo yametoko mbinguni Mungu akubariki sana mtumishi
@deosteriahamisi99507 ай бұрын
Naomba rehema Baba wa Mbinguni, niondokelee roho ya mazoea. Niwezeshe kukuabudu na kukunyenyekea peke yako Baba.
@ElizabethJames-r6nАй бұрын
Eeeh Bwana Yesu nakuhitaji kutana na haja ya moyo wangu mungu nikumbuke baba
@TagataIrankunda18 күн бұрын
Mutumishi wa bwana mungu akubariki naenderee kukujaza nguvu na ujasiri
@VelvinMbaraka-bw6tk12 күн бұрын
Akii mungu niko tayari kufunzwa
@ElizabethJames-r6nАй бұрын
Eeeh Yesu niko tayar kufundishika
@esterjuma8277 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi nikweri kabisa mungu anisamehe sana
@HellenDaudi-rt8ol8 күн бұрын
Ee Mungu nakuomba kwa mala nyingine zaidi,mimi sina mamlaka juu yangu mwenyewe naomba nifinyange niwe kama upendavyo sijui mengi zaidi ila naomba maisha yangu hapa duniani kuanzia wakati huu niongozwe nawewe tu naomba usinibakishe hata ukucha nitumie vile upendavyo
@florencekwamboka97177 ай бұрын
Somo hili ni la kwangu mimi
@holyspiritconnect7 ай бұрын
Ameen
@HappinessMshamАй бұрын
Mungu turehem
@yvettemamdogo22897 ай бұрын
Mungu niguse maitaji uponyaji , napenda ni fanane nawe
@holyspiritconnect7 ай бұрын
Ameen
@GraceSambula7 ай бұрын
Mungu nisamehee uniondolee mazoea
@estherwanjalanyongesa2 ай бұрын
Ee mungu nisamee Kwa udhaifu wangu ....
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen
@SundiMasolwa-kp7ll7 ай бұрын
E bwana nirehemu Mimi
@holyspiritconnect7 ай бұрын
Ameen
@LizbethMakundi7 ай бұрын
Mimi nimekata tamaaa jamani mpaka namuuliza Mungu zambi yangu ni ipii na mbona ww ni Mungu wa reheme nisamehe
@aminaaa32277 ай бұрын
EE BWANA YESU MWA DAUDI UNIREHEMU MM MTUMISHI WAKO
@tuzopeter81327 ай бұрын
Ee Mungu uturehemu
@TheAngelofGod-b1q4 ай бұрын
Allelujah
@holyspiritconnect4 ай бұрын
Amen
@AlineKavira-q4nАй бұрын
Eee mungu nisaidiye
@HalimaMohamed-m7xАй бұрын
Bwana nifinyange upya
@AnnaCharles-li2wb6 ай бұрын
E Mungu unirehemu mm mtoto wako nipotayar kufundishka nipo tayar kuonyeka ili nipatare rehema
@HellenDaudi-rt8ol8 күн бұрын
Na haya mazoea uliyoanza kuongelea ni mimi kabisaa natamka sasa sitaki kabisa kuweka cm yangu kipaumbele nisaidie kuanzia sasa mazoea yasiishi maishani mwangu
@MweshMwesh-dr5lp7 ай бұрын
Eeh mungu tuhepushe bali na roho ya mazoea 😭
@IraneShirindoАй бұрын
Nisamehe mungu wangu kwa mazoe ambayo nimekufanya kama mtu wakawaida naomba uniokowe umpya mimi mwanao
@Esther-Bri7 ай бұрын
NIREHEMU EEEH MWANADAUDI SAWA SAWA NA FADHILI ZAKO KIASI CHA WINGI WA REHEMA ZAKO ZIFUTE DHAMBI ZANGU, ZIFUTE MAOVU YANGU EEEH BWANA ROHO YANGU IMEJAA MAZOEA YESU NIREHEMU KATIKA JINA LA YESU KRISTO ALIYE HAI AMINA