KWA NINI WAPIGA RAMLI WAKATI MWINGINE WANAPATIA? KHUTBA YA IJUMAA MASJID IHSAAN VETERNARY TEMEKE.

  Рет қаралды 9,874

Kishki Online TV

Kishki Online TV

Күн бұрын

Khutba hii imetolewa Masjid Ihsaan ( Veternary ) uliopo Temeke Dar es Salaam Tanzania Tarehe 3/ 7 / 2020 , Muhadhiri Sheikh Nurdeen Kishk , Mada ukigusia maisha mwanadamu juu ya kumshirikisha Allah mada hii inamafunzo makubwa sana na imekemea vikali mambo ya ushirikina na pia baada yakhutba Sheikh Jafari alionesha namna washirikina wanavyowaibia watu , itazame hadi mwisho upate kuelimika.

Пікірлер: 47
@mirfatibrahim2718
@mirfatibrahim2718 4 жыл бұрын
Asalm alykm, shukran sana sheikh Nurdn Ahmad Kishki , nakuimba sheikh letu naomba ijumaa ijayo khutba iwe na maudhui ya EDA ya kufiwa mana watu wengi tumekuwa tunafanya uzushi mwingi sana kwa mwanamke alie fiwa ,nakuomba sheikh utuelmishe in jins gani mwanamke anavyo takiwa awe ktk kpndi cha EDA umaarufu kizuka.
@wuwubdywiwiwisu6499
@wuwubdywiwiwisu6499 4 жыл бұрын
Mungu akuweke usdi kutuongoz afya maisha marfu furah na mapez wwe na wailam wezko
@sifaayyldz6040
@sifaayyldz6040 4 жыл бұрын
Mashallah Mashallah mashallah
@kaltumsharif9547
@kaltumsharif9547 4 жыл бұрын
VERY TRUE SHEIKH
@zeshahamisi1803
@zeshahamisi1803 4 жыл бұрын
Mashallah
@tahiyaally6874
@tahiyaally6874 4 жыл бұрын
Maa shaa Allah tabarakallah Alhamdulillah JAZAKALLAH KHEIR
@Khmediy3241
@Khmediy3241 4 жыл бұрын
Mashaallah mungu akupe umri mrefu sheghk wetu kutuelemisha
@samsungjsevenprime5717
@samsungjsevenprime5717 4 жыл бұрын
Mashaallah Allah atujaalie tuwe ni wenye kuelimika haya tunayoelimishwa na Masheikhe wetu kwa uwezo wake Allah
@samsungjsevenprime5717
@samsungjsevenprime5717 4 жыл бұрын
Asante sana sheikhe wetu shukran Allah akuzidishie Umri na afya njema uzidi kutuelimisha sisi na vizazi vyetu vinavokuja
@ahmedmubareq3228
@ahmedmubareq3228 4 жыл бұрын
MashaAllah MashaAllah jazzakkallakheri
@mariammammu9641
@mariammammu9641 4 жыл бұрын
Mashaallah
@jumannejongo7948
@jumannejongo7948 4 жыл бұрын
Ahamdulillah sheikh Allah akuzidishie kheir
@jayratumaulid582
@jayratumaulid582 4 жыл бұрын
Ma Shaa Allah Ma Shaa Allah Ma Shaa Allah Ma Shaa Allah Ma Shaa Allah........... Jazzakkallah khayra ya sheikh Allah akulinde na kila la shari
@jasminhassani4809
@jasminhassani4809 4 жыл бұрын
Amiin Thumma Amiin
@wuwubdywiwiwisu6499
@wuwubdywiwiwisu6499 4 жыл бұрын
Ameen yabbi
@yassinmohamed8241
@yassinmohamed8241 4 жыл бұрын
Allah Akbar
@hakikahoman615
@hakikahoman615 4 жыл бұрын
mashaallah mawaidha mzuri sana
@Khairakram7468
@Khairakram7468 4 жыл бұрын
shukran sheikh wetu Allah akulinde
@wuwubdywiwiwisu6499
@wuwubdywiwiwisu6499 4 жыл бұрын
Mungu atunsru ya bbi
@naamohamed9964
@naamohamed9964 4 жыл бұрын
MaSHAALLAH jazakar allahu kher
@hakizimanaomar395
@hakizimanaomar395 4 жыл бұрын
Nakupendasan kishik wangu tena saaana💞👍💞👍
@yahayaali7970
@yahayaali7970 4 жыл бұрын
Allah akulipe kher inshaalaah
@temmyaluminiumsystem4542
@temmyaluminiumsystem4542 4 жыл бұрын
Alhamdulillah
@kijanahodari2080
@kijanahodari2080 4 жыл бұрын
MashaAllah khutba nzur sana yenye mafunzo
@saramohd7302
@saramohd7302 4 жыл бұрын
Shukraan sheikh wetu
@aliamar4422
@aliamar4422 4 жыл бұрын
Shukraan
@uthmanihimbawe5244
@uthmanihimbawe5244 4 жыл бұрын
Masha aallah
@talyazanzibar4687
@talyazanzibar4687 4 жыл бұрын
Ushaur mashekh wetu mungeek nmba ili kma mtu ana masuala zaid aweze kuuliza na kupata elimu zaid
@shehabusakaki3988
@shehabusakaki3988 4 жыл бұрын
جزاك الله خيرا
@mwanaimaabdallah7825
@mwanaimaabdallah7825 4 жыл бұрын
Shukraan sana
@zou7470
@zou7470 4 жыл бұрын
Shukran shekh wetu ila nilikuwa naombi mtupe namba mutu akitaka kuuliza swal kupitia wtsp apate majibu 🙏🙏
@akonaaybaha9107
@akonaaybaha9107 4 жыл бұрын
Maashaallah
@abdullmagayane9051
@abdullmagayane9051 4 жыл бұрын
Jazzakallahu khaira Allah akulipe kila la kheri
@stoneeabdul2852
@stoneeabdul2852 4 жыл бұрын
Asalamu alekhum mm naitwa iddi abdul kwanza na mshukulu mwenyezi mungu kwa kunijalia afya na kuwaze kufika siku hii ya al juma ya leo nakuomba shehe unitumie namba yako ya simu ishaalah kwa uwezo wa mwenyezi mungu .samahani kwa usumbufu sheshe wangu tafadhari usi sahau ukiisoma meseg yangu .
@raiye5621
@raiye5621 4 жыл бұрын
𝑨𝒔𝒔𝒂𝒍𝒂𝒎 𝒒𝒉𝒂𝒊𝒚𝒌𝒖𝒎 𝒘𝒂𝒓𝒂𝒉𝒎𝒂𝒕𝒖𝒍𝒍𝒂𝒉
@zaby-n-mamashasha6671
@zaby-n-mamashasha6671 4 жыл бұрын
Wa'alaykum Salam warahmatullahi wabarakatuh
@kijanahodari2080
@kijanahodari2080 4 жыл бұрын
Waaleikum salaam warahmatullah wabarakatuh
@ahz6907
@ahz6907 4 жыл бұрын
Asalaaam aleykum sheikh, hapa 22:27 sura sabba aya ya 114 haipo.itakuwa ulikusudia aya ya 14 ndio inayosomwa hivyo. Sura sabba ina aya 54 tu. Allahu ya'lam.
@kijangwazay7711
@kijangwazay7711 4 жыл бұрын
Mkamilifu ni Allah pekee
@zeshahamisi1803
@zeshahamisi1803 4 жыл бұрын
My dear kasikilize vizuri iyo 114 umesema wewe shekh kasema 14
@ahz6907
@ahz6907 4 жыл бұрын
@@zeshahamisi1803 gonga hapa 22:27
@ahz6907
@ahz6907 4 жыл бұрын
@@kijangwazay7711 haizuii kumkosoa sheikh
@stoneeabdul2852
@stoneeabdul2852 4 жыл бұрын
Samahani namba yangu ya simu hii +228 840109693 iddy abdul
@OkOk-zh9tt
@OkOk-zh9tt 4 жыл бұрын
Mashallah
@abdijuma4763
@abdijuma4763 4 жыл бұрын
MashaAllah
@halimaalimwamajeni6291
@halimaalimwamajeni6291 4 жыл бұрын
Mashaallah
HUYU NDIE MGOMBEA ASIEFAA KABISA
45:45
Kishki Online TV
Рет қаралды 10 М.
How do Cats Eat Watermelon? 🍉
00:21
One More
Рет қаралды 12 МЛН
规则,在门里生存,出来~死亡
00:33
落魄的王子
Рет қаралды 28 МЛН
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 68 МЛН
La Ilaha Illa Allah: Islamic Meditation for the Soul
59:28
Fadael
Рет қаралды 1,9 МЛН
MAZINGE ATAKA MAJIBU YA MASWALI HAYA KWA WAKRISTO
13:18
DHIKRI ONLINE TV
Рет қаралды 14 М.
ABDULRAHMAN MOSSAD  BEAUTIFUL QURAN RECITATION
1:28:54
Hafize quran
Рет қаралды 3,3 МЛН
Mch Mbarikiwa Mwakipesile  katika ibada ya jumapili  | 6-10-2024
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 43
Surat Al-'Imran - Omar Hisham
1:05:55
Omar Hisham Al Arabi
Рет қаралды 3,1 МЛН
MOBILE SHEIKH NA SHEIKH NUDREEN KISHK - TANGA
1:01:22
Kishki Online TV
Рет қаралды 3,3 М.
How do Cats Eat Watermelon? 🍉
00:21
One More
Рет қаралды 12 МЛН