KWANINI HAUFANIKIWI ? ...WAKRISTO TUMEACHA KUTOA KAFARA KWENYE MAMBO YETU

  Рет қаралды 10,693

IPM TV

IPM TV

Күн бұрын

Пікірлер: 38
@JohnAntoni-g7w
@JohnAntoni-g7w Ай бұрын
Bali utafuteni kwanza ufalme wake na haki yake na hayo yote mtazidishiwa MATHAYO 6:33 acha kuwaongopea watu MUNGU AKUTAKA TUWE NA UTAJILI UO UNAOSEMA WEWE SASA KAMA UTAJILI NI MUIMU KWANINI TUKIFA TUNAACHA
@Reema12-v5j
@Reema12-v5j 5 ай бұрын
Naitwa rehema nipo omani kutafuta rizik niombe namimi niwe tajiri mtumishi 🙏
@JimmyWarom-b3b
@JimmyWarom-b3b 2 ай бұрын
Acha wapumbafu ya akili wakupinge ila mimi nakuamini
@monicahmwakyoma1615
@monicahmwakyoma1615 11 күн бұрын
Kafara ya wakristo ktk yote nii damu ya kristo pekee.
@JapharJaphar-f2r
@JapharJaphar-f2r Ай бұрын
Asantee sana niombee nijuwe mengi
@JimmyWarom-b3b
@JimmyWarom-b3b 2 ай бұрын
Mimi nimuislam lakini nafurai sana na maneno yako Allah akujalie mwicho mema inchallah
@emmanuelsas3518
@emmanuelsas3518 Ай бұрын
Hii ni matusi kwa kazi aliyoimaliza Yesu Kristo,aibu kubwa
@HusnaSharifu
@HusnaSharifu Ай бұрын
Ni sahihi kabisa
@mathiasmgoano9192
@mathiasmgoano9192 24 күн бұрын
Utakaso wa damu
@NicksonSifa-h6q
@NicksonSifa-h6q 6 ай бұрын
Strong message prophet
@EstevãoFernandoFernandoFernand
@EstevãoFernandoFernandoFernand 7 ай бұрын
Napokea kwa jina la yesu amina
@Reema12-v5j
@Reema12-v5j 5 ай бұрын
Aisee nipo kukusikiliza hapa nipo oman niombe nifanikiwe nime kuja kutafuta kwetu Tanzania 🙏
@danielnzikali
@danielnzikali 2 ай бұрын
Nilikuwa nakuona kama mchawi lakini saai nakuamini sana mtumishi, fundisha na mapastar wengine maisha ya wakristo yabadilike
@elisabethsindano2924
@elisabethsindano2924 7 ай бұрын
Ninaelewa, ila ni naswali: kafara ikitolewa kama ya buzi ao kondoo je iyo nyama inaweza kuliwa na wakina nani?
@DatiusLaurent
@DatiusLaurent 7 ай бұрын
Iyo nyama haigai kiliwa
@DatiusLaurent
@DatiusLaurent 7 ай бұрын
Iyo nyama haifai kuliwa
@AlembeModeste
@AlembeModeste 7 ай бұрын
Sasa Sisi tupo DRC CONGO🔥🇨🇩tutafanyeje Ila kwa yote aman.
@emmanuelmmbaga5209
@emmanuelmmbaga5209 5 ай бұрын
Mafundisho potofu, manabii, na wachungaji wa uwongo..... Yesu alifanyika km mwana kondoo kwa ajili ya ondoleo la dhambi moja kwa moja, haina marudio..... Umaskini na utajir haihusiani na kafara
@KIDUCHUCASHPOINT
@KIDUCHUCASHPOINT 2 ай бұрын
Nahusiana na nini
@JoshuaMolen-oc3vi
@JoshuaMolen-oc3vi 8 ай бұрын
ipm natamani Sana ningeweza kufika sehemu ulipo uhakika napenda sana mafunzo yako
@studio..07
@studio..07 Ай бұрын
Huyu nimemwelewa sana
@giliadidadaye6048
@giliadidadaye6048 Жыл бұрын
Wachungaji Kama nyie mmebaki 10 kwa laki 100000
@AtuKyando-qj1kn
@AtuKyando-qj1kn 2 ай бұрын
Sijaelewa MTUME apo
@pastoralexanderofficial6023
@pastoralexanderofficial6023 2 ай бұрын
Nakushukuri mchungaji
@heritier5119
@heritier5119 6 ай бұрын
Kafara yetu ni Yesu Kristo hatuhitaji kutoa damu
@lilianluhasi311
@lilianluhasi311 4 ай бұрын
Hajasema umwage Damu, anamaana kusaidia wenye uhitaji ndiyo kafara.
@salumfentu5006
@salumfentu5006 2 ай бұрын
Aamin
@tazbernardmanda5176
@tazbernardmanda5176 7 ай бұрын
unayosema ni ukweli
@victoriadiones6759
@victoriadiones6759 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 6 ай бұрын
Nmekusoma
@IsayaJohn-u7j
@IsayaJohn-u7j 6 ай бұрын
Nakubali sana
@jamesgraphics2651
@jamesgraphics2651 7 ай бұрын
Nimekuelewa
@DismassSepetu-k5d
@DismassSepetu-k5d 7 ай бұрын
Nimwekuelew kk
@LazareMorisho
@LazareMorisho 7 ай бұрын
Amen
@JulianaKavishe-mg4pb
@JulianaKavishe-mg4pb 6 ай бұрын
Ameen
@herybwanga507
@herybwanga507 11 ай бұрын
Ameni
@studio..07
@studio..07 Ай бұрын
Ipm kila mwisho wa mwaka nitatoa mbuzi 36
JARIBIO LA 11 LA MAUWAJI
35:23
IPM TV
Рет қаралды 1,9 М.
Worst flight ever
00:55
Adam W
Рет қаралды 29 МЛН
Incredible: Teacher builds airplane to teach kids behavior! #shorts
00:32
Fabiosa Stories
Рет қаралды 11 МЛН
KWANINI TUTUMIE JINA LA YESU?
51:52
IPM TV
Рет қаралды 9 М.
🔴 #LIVE KWANINI TUTOE KAFARA YA MNYAMA ?
54:11
IPM TV
Рет қаралды 4,9 М.
LIVE: FRIDAY SERVICE  HOW TO FOCUS
1:48:39
IPM TV
Рет қаралды 3,5 М.