KWANINI MAFARAKANO HAYAHISHI KATIKA NDOA NYINGI |NABII ESTHER MASANJA

  Рет қаралды 9,187

BADO KUNA USHINDI TV

BADO KUNA USHINDI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 33
@nizigamaviolette-ig9dl
@nizigamaviolette-ig9dl Ай бұрын
Hallelujah kweli Mungu akonawatuwengi sana wakusema neno la Mungu lakuokowa kanisalake mama nakuunga mkono nani Amina nanisahihi
@edwardnjuguna4960
@edwardnjuguna4960 2 сағат бұрын
Asante sana kwa mafundisho
@selinageogre2881
@selinageogre2881 17 күн бұрын
Mungu anisaidie sana mimi anirehemu najua ni mwenye dhambi nimeogopa sana
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 Ай бұрын
❤❤ Amin
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 Ай бұрын
Amina
@ResparGirbert
@ResparGirbert Ай бұрын
Amina Amina mama Mungu wa mbinguni akubariki
@JemaMbwilo
@JemaMbwilo 2 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu Kwa kusema kweli Bwana Yesu tusaidie kubadirika Ili tuwe nuru Kwa watu
@JosephatMollel-fe7yd
@JosephatMollel-fe7yd 2 ай бұрын
Bwana na azidi kukuinua Mtu wa Mungu
@JemaMbwilo
@JemaMbwilo 2 ай бұрын
Mungu tusaidie peke yetu hatuwezi
@yvonnemuyengo5823
@yvonnemuyengo5823 3 ай бұрын
Amen mom Niko nairobi
@lydiabenjaminmgalula6189
@lydiabenjaminmgalula6189 3 ай бұрын
Ubarkiwe mtumishi wa Mungu 😔🙏🤝🤝
@Fridaykibona
@Fridaykibona 3 ай бұрын
Amina mama mungu. Ajutunze
@mwambakibucheche1119
@mwambakibucheche1119 3 ай бұрын
Mungu anatupenda kwakweli
@LincyNandalo
@LincyNandalo 2 ай бұрын
Amina mtu wa Mungu,Mungu aendelee kukufunilia mengi ili watu wake tupone
@ResparGirbert
@ResparGirbert Ай бұрын
Amen Amen glory to God barikiwa sana mamaa🙌🙏
@MabelKaaya-hl2je
@MabelKaaya-hl2je 3 ай бұрын
Mbarikiwe sana wakati wote
@JaneKuyokwa-ng2qf
@JaneKuyokwa-ng2qf 3 ай бұрын
Amen mtumishi natoka malawi
@nizigamaviolette-ig9dl
@nizigamaviolette-ig9dl Ай бұрын
19:35
@ChristineDama-wf3sd
@ChristineDama-wf3sd 3 ай бұрын
Amen amen
@beatricemwamini2044
@beatricemwamini2044 3 ай бұрын
Amen.
@MabelKaaya-hl2je
@MabelKaaya-hl2je 3 ай бұрын
Halleluya halleluya halleluya
@ChristineDama-wf3sd
@ChristineDama-wf3sd 3 ай бұрын
Naomba link ni join mahubiri yananigusa sana
@yvonnemuyengo5823
@yvonnemuyengo5823 3 ай бұрын
Mimi niweka dawa ya mwezi tatu hiyo iwezi toka Hadi mwezi iishe Mungu anirehemu sitawai subutu kuweka Tena naomba rema Kwa muubaji wangu Mimi natubu😢
@RoseSimoni-hg4zd
@RoseSimoni-hg4zd 3 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa mungu naomba uniambie kuweka meno ya bandia nikiwa nimeng,0a jino ni dhambi
@rerisamba
@rerisamba 3 ай бұрын
​@@RoseSimoni-hg4zdkwani Mungu alikuumba na mapengo???
@EsterAnthony-z3s
@EsterAnthony-z3s 17 күн бұрын
Mungu atusaidie sana .
@JaneBuluba
@JaneBuluba 3 ай бұрын
Sema Mtumishi, ili Tupone
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 Ай бұрын
Mbona wachungaji wanapaka piko inajaaje hapo
@FlorentKatembo-ln5ss
@FlorentKatembo-ln5ss 28 күн бұрын
Uni samehe kwa ulizo,Mume wako vile ni muhubiri?
@SnhZjhz
@SnhZjhz 3 ай бұрын
Yaani umeongea kweli tupu
@RodahAdonice-dz4sm
@RodahAdonice-dz4sm 3 ай бұрын
Hapo kwenye uzinzi 😢😢 nataman mume wangu ajue hii nikimwambia mm naonekana mkosaji mwenye wivu
@pastorbarakangata606
@pastorbarakangata606 2 ай бұрын
akusaidie kwa jina la yesu
@Fridaykibona
@Fridaykibona 3 ай бұрын
Amina
SABABU ZINAZO ZUIA MUNGU KUYAJIBU MAOMBI YAKO  |NABII ESTHER MASANJA
38:03
BADO KUNA USHINDI TV
Рет қаралды 2,2 М.
黑的奸计得逞 #古风
00:24
Black and white double fury
Рет қаралды 30 МЛН
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 275 #shorts
00:29
ISHARA 7 ZINAZOONYESHA ROHO MTAKATIFU YUMO NDANI YAKO - Innocent Morris
1:07:20
MUNGU ATAINGILIA KATI MAMBO YAKO? | PR.DAVID MMBAGA -
1:23:37
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 78 М.
NJIA ANAZO ZITUMIA SHETANI KUTEKA NAFSI YA MTU |NABII ESTHER MASANJA
46:03
BADO KUNA USHINDI TV
Рет қаралды 11 М.
DR ELIE / LILLIAN MWASHA: MWANAMKE KUTOKA KWENYE NDOA NI SAWA NA KUJIUA
45:05
ORODHA YA WAIMBAJI WALIO MEZWA NA KUZIM TAYALI EV PASCHAL CASSIAN
38:00
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 11 М.
JINSI YA KUTAKASA LANGO LAKO LA NDOTO || PASTOR GEORGE MUKABWA | 03/10 /2024
1:30:45
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 43 М.
MATUKIO YA KIMUNGU KATIKA MAISHA YAKO
49:34
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 28 М.