Mtumishi wa Mungu kila mara mimi huota nikirudi nyuma,pastor please pray gor my progress in my life, be blessed man of God abudantly in Jesus Name 🙏🙏 🇰🇪🇰🇪
@MelvinBarongo-u6s12 күн бұрын
Nashukuru Mungu nimepatana na haya mafundisho🙏nimekuwa mtumwa wa ibilisi kwa ndoto za kimapenzi ila Leo naamini kupitia hili fundisho nimefunguliwa katika jina la Yesu
@ElizabethLaizer-h5i2 ай бұрын
Ee Mungu nihurumie Mimi mafundisho haya ya ndoto za kufanya mapenzi. Ndotoni ee Bwana Mungu wa mbinguni nifutie kabisa ndoto hizo katika Maisha yangu katika jina la Yesu Kristo 🙏
@Anifanusura2 ай бұрын
Mungu akubaliki mtumishi wa Mungu.unatuponya sana.
@Jeanettekebeanifa13 күн бұрын
Mungu akubariki sana mchungaji wewe niwabaraka sana kwangu
@northkilimanjaro30253 ай бұрын
Ubarikiwe Baba hii hali imetesa wengi
@HappyPhillimon-cp6ii2 ай бұрын
Mungu wa mbi😅
@christinechambuni90602 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi Amen and Amen
@IlungaJofeniАй бұрын
Paster mungu akubariki na anifanyiye wepesi nijinasuwe katika njaya zagiza
@richardwafula6996Ай бұрын
Ujumbe huu mtumishi Wa Mungu ni dawa Kwa wengi walioupokea na wanaoupokea na watakaousikia hakika.
@joselynenizi94752 ай бұрын
Asante sana mtumishi wa Mungu 🎉🎉hakika najifunza mengi kutoka kwako , Mungu anatupa neno kupitia kinywa cako jana nimefanya munfungo kuhusu ndoto zinazo nisumbuwa leo nimesikiliza nene la Mungu kupitia wewe hakika Mungu anajibu maombi yangu , Mungu akubaliki na familia yako
@JuneMagolangaАй бұрын
Hakika Mungu ni mwema barikiwa mtu wa Mungu
@violetchep1537Ай бұрын
Be blessed ooh servant of the most high,truly your teachings are from the table of heaven. Long live to continue winning souls to His kingdom
@judithmwenesi69842 ай бұрын
Nimebarikiwa sana na hili somo Asante mtumishi wa mungu🙏🙏🙏
@everlynewere71542 ай бұрын
Mungu akure nguvu ya kuwaokoa watu
@gilliangillian6748Ай бұрын
Mungu akupe maisha mengi filled with blessings, joy,happiness and laughter 😃 amen 🙏 Mungu ni mwema na familia yako yote wawe na maisha mengi mazuri filled with laughter
@jacquelinemwakasala95632 ай бұрын
Hilj somo yaan najiona mimi.Mungu nisaidie yaan ni hivi kabisa bila hata kubakisha kitu.eee Mungu nisaidie
@BrendahWafula3 ай бұрын
Pastor Mungu akubariki sana, niombee Mimi hapa zile ndoto hunijia sana, NAMI nazikataa katika jina la yesu kristo
@renatusbishanga8364Ай бұрын
Asante Pst George kwa Mafundisho mazuri yanayoachilia maarifa ya kutuondoa kwenye maangamizo.
@priscamalombosimba7174Ай бұрын
Ubarikiwe sana mchungaji
@AronKanuele2 ай бұрын
Ubalkiwe sana mutmishi wa MUNGU nmejifuza kit
@annahmutune48662 ай бұрын
Woow, Amina mwalimu 🙏 SASA nimejifunza kitu cha muhimu Sana hapa .. barikiwa Sana 🙏
@MaryBiyaki-t4y2 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi 🙏🙏🙏🙏 roho mtakatifu atembee nawe siku zote
@cerecere57583 ай бұрын
Aminaaaaaa pastor sema ukweli tulishafika Kwa yesu kitambo😂😂, waah, Mungu atusaidie sana
@olphanyamweya31542 ай бұрын
Nashukuru MUNGU Kwa kuniunganisha na matabau haya ,hAki nimepata kwenye kinasumbua maisha yangu Asante YESU ❤.
@JacklineMwakyange2 ай бұрын
Ahsante sana Baba kwa somo hili limekuwa baraka sanaa
@Patience7632 ай бұрын
Amina amina 🎉🎉🎉
@esthermwaghuda50062 ай бұрын
Amen...Be blessed Pastor🙏🙏🙏
@monicahmwalozi2 ай бұрын
Hallelujah hallelujah 🙌 Mungu akubariki sana sana mtumishi kwa hakika nimepata ukombozi kwenye hili swala la muingiliano wa spritual husband 🙌🙏
Amen Amen mjungaji asnteio mafuzo yako tunapata elimu kubwa my GOD bless you mtumishi wa bwana 🙏🙏🙏
@christinaemanuelyusta4228Ай бұрын
Amina ubarikiwe mtumishi wa mungu nimepona
@EsterMbwambo-pg3bm2 ай бұрын
Asante sana baba kwa mafundisho haya nilikua naota nalishwa nikawa najiuliza inatokanaje na mm nimeokoka nikawa nipo kwenye kuomba toba na rehema lakin pia hata ile juhud ya maomb ilianza kupungua
@fatumaaybu86482 ай бұрын
Amen kwakweli nimejifunza mengi na asante kwa kwakunifungua baba ubalikiwe sana
@FlorenceKainda-zo8ny2 ай бұрын
Nimejifunza kitu katika maubiri haya ubarikiwe sana mtumishi 🙏
@genevievesunday2 ай бұрын
Pokes🎉🎉🎉❤ maua yako mtumishi wa Mungu somo zuri.
@cesiliamasumu4322 ай бұрын
Bwana Katika Kristo ifanye ibada hii na maneno haya yawe juu ya watoto wangu nakuomba sana Mungu saida watoto wangu wa kiume
@MagrethMasimba2 ай бұрын
Mungu naomba unisaidie niswe mpita njia katika nyumba yako
@DINHDONG-r1m2 ай бұрын
Be blessed pastor,,,nimeguswa sana na haya mafundisho
@TediSadokiАй бұрын
Yesu tutetee tufiche kwa damu yayesu
@NasraMwalimu3 ай бұрын
Ahsante Mungu
@marymessay27682 ай бұрын
Amen baba nabarikiwa sana na mcg ya utumishi kwamba ni faida kubwa Mungu nisaidie nitumike kwa uaminifu
@deboramungure39302 ай бұрын
Amen, Mungu nisaidie nisiwe mpita njia katika nyumba yako.
@gilliangillian6748Ай бұрын
Amen pastor George 🙏
@AnneSolomon-i7t2 ай бұрын
Nimelowa...baba
@stephenmutunga-py7gr2 ай бұрын
Asante mtumishi wa mungu Kuna kitu nimekijua
@Surprises35583 ай бұрын
Nilikua natafuta haya mafundisho . Naamini Nafunguliwa kupitia haya mafundisho 😊
@EVERLINENAFULA-b8i3 ай бұрын
Amen asante yesu
@safishimirimana94652 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU, mafunzo makubwa
@everinemasoka69232 ай бұрын
Amen Amen ubarikiwe mtumishi wa Mungu past George
@JanethAlex-ko4jbАй бұрын
Toka utoto hii khali inanisumbua sana.
@Sidi-f1g2 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi unanena na maisha yangu
@ruthnoel-p5p2 ай бұрын
Amina paster
@TuganigweMwakitalu2 ай бұрын
Asante sana mtumishi wa Bwana Mungu aendelee kukutumia
@RosemaryJoseph-p9n2 ай бұрын
Ubarikiwe baba. Umeonitoa mahala.
@ChanceBahati-se1dd2 ай бұрын
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻 Ubarikiwe sana baba Mtumishi.
@graceshilla65202 ай бұрын
Very powerful, and thank you, man of God
@mariolineamaya3 ай бұрын
God bless you pastor
@marionrobi2 ай бұрын
Baba ifanye Ibada hii kuwa ibada yangu
@AmbeleMwakihaba3 ай бұрын
Amen mtumishi wa MUNGU tazama kutoka zambia
@hannahwairimu-e9zАй бұрын
Amen🎉
@queenmbasha25432 ай бұрын
Baba ifanye ibada hii ya leo kuwa ibada yangu🙏🏾🙏🏾
@preciousbuberwa98172 ай бұрын
Thank you Lord My God For Speed in my life🙏🙏
@TabithaWambui-b6m2 ай бұрын
Thanks for the revelation more grace man of God,you blessed my life in Kenya at Jcc kisumu
@RebecaYesaya2 ай бұрын
Mungu akubariki kwa mafundisho mazuri
@lilianshivinah-w1n2 ай бұрын
Asante kwa ujumbe na ufunup huu be blessed pastor
@AnneCherop-kn6lb2 ай бұрын
Ameeeen ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
@GraceMunisi-k8h3 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi was Mungu
@MachineTayc-x3e2 ай бұрын
Kweli kabisa muchungaji mimi nimetekeleza
@mawazomarceline8992 ай бұрын
Amen amen ubarikiwe baba
@FrancisMgombelwa2 ай бұрын
🎉 ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@WitnesiMgeni2 ай бұрын
Barikiwa mtumishi
@BetsyMining2 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
@macktlidahkhayesi29962 ай бұрын
Amen,nimebarikiwa.
@LawrenceNdakaluambundo3 ай бұрын
Pastor mahubiri yako yako Sawa ninibarikiwa sana be blessed
@jimmymmasi73703 ай бұрын
Asante
@MaryBiyaki-t4y2 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏
@VioletFlora-qx5xl2 ай бұрын
Amen pastor,be blessed
@mercymwaisaka81332 ай бұрын
Thank you God for this man of God
@carolinChambangwe2 ай бұрын
Amen 🙌🙌🙌barikiwa mchungaji.
@PriscarDaniel-eq2jp2 ай бұрын
Nimeota sana ndoto za kulishwa chakula MUNGU anakumbuke
@emilybosire31492 ай бұрын
This is quite adeep revelation,thanks alot pastor , more Grace
@ChristinaChilolelo2 ай бұрын
Nashukuru sana hili somo
@LAheriSifa-hh2sv2 ай бұрын
Ubarikiwe sana baba.
@katsuvamarc65903 ай бұрын
Asante kwa mafundisho majuri sana,
@EdinaChepkemboi2 ай бұрын
Asante sana mchungaji nimejifunza mengi kupitia neno lako,Nilikuwa chini kiroho 😢lakini nimejitambua sasa😅
@winfridawilliam50452 ай бұрын
Hallelujah 🙏
@collettamakhaya85853 ай бұрын
Amina Amina Amina 😅
@louisendunguru71063 ай бұрын
I am so blessed🙏
@philomenakayombo15853 ай бұрын
Thanks a lot Pastor
@MaurineMukhwana2 ай бұрын
Umenibariki sana mjungaji
@theddyobura2 ай бұрын
Nazikataa Kila Aina ya uovu shetani aniyotumia katika lango langu la ndoto.chochote shetani anapokuja kwenye lango langu akute damu ya Yesu imetawala
@haruonharounkithinji5743 ай бұрын
Usiku wa manane zote pastor tutakuwa kwa maombi dunia yote
@JoyceMlelwa-o4f2 ай бұрын
Aminaaa
@AndrewManyeti3 ай бұрын
sauti pastor
@CatherineKamonya3 ай бұрын
I'm so blessed
@ElizabethKilonzo-g2l2 ай бұрын
Naamini nimefunguka.
@RejoyceElibariki2 ай бұрын
Naomba mawasiliano ya kupata vitabu jamai
@LAheriSifa-hh2sv2 ай бұрын
Asante baba kwa mafunisho hii mimi nilikuwa katika liste ta watu ambao walisumbuliwa sana ni hizi vitæ vya ndoto na kweli maisha yangu imesumbukiwa sana kwa njia hii Ila nachukuru Mungu sana kwa kuniokowa mikononi mwa huyu aduiwi . Nataka kupata namba zako za watchappe.
@Chantieaze3 ай бұрын
Sauti ipo chini sana
@Mimi-wf7mb2 ай бұрын
Pastor asante kwa kunibariki na haya mafundisho. Naomba namba ya kutuma sadaka