Kwanini VIEWS na Watchtime za channel yako zinapungua

  Рет қаралды 5,184

Richstar

Richstar

Күн бұрын

Katika Video hii nimelezea tatizo moja kuu la View na Watchtime kupungua ama kushuka katika videos ama channel yako kwa ujumla.
FOLLOW ME:
Instagram: / richstartz
Twitter: / richstartz
Facebook: / richstatz
Email: rmaguluko@gmail.com

Пікірлер: 51
@Shebbylizertz
@Shebbylizertz 10 ай бұрын
Naomba Namba Yako. Kaka
@Zedy_B.Official-z5r
@Zedy_B.Official-z5r 4 ай бұрын
Asante kak lichi nakufatilia san
@meddywayne9779
@meddywayne9779 Жыл бұрын
Kaka naomba subscribers yako please!
@Fipaboyartist-n7r
@Fipaboyartist-n7r Жыл бұрын
Asante kwa kunifungua ubongo maana nilihisi labda nilikosea kuseti kumbe sio daah
@nasrimbaraka341
@nasrimbaraka341 5 ай бұрын
Hili tatizo kwa kwel dah limenitesa sana
@Samuwapilis.w.p-e2c
@Samuwapilis.w.p-e2c 21 күн бұрын
Unyama mwingi sana kaka
@samtz30506
@samtz30506 Жыл бұрын
Nice
@Richstartz
@Richstartz Жыл бұрын
Thanks
@strongbraintv4086
@strongbraintv4086 Жыл бұрын
Hali Yako!! Ahsante kwa somo zuri ila naomba unisaidie viewers wa channel yangu wanapungua kila siku, mimi ni KZbinr mdogo lakini nimepata viewers elfu 40 lakini kila siku wapingua mpaka sasaivi wamebakia 5000 tu lakini hao pia ikifika kesho pia wanashuka
@samwelImmanuel
@samwelImmanuel 7 ай бұрын
Nimekupata boss umetisha
@MadamOrida
@MadamOrida 6 ай бұрын
❤somo nzurii kaka naomba subscribe yako
@Fipaboyartist-n7r
@Fipaboyartist-n7r Жыл бұрын
Me mwenyewe hii hali bado inanitesa Sana ila mungu mwema nitapita tuu
@usamaharith
@usamaharith 8 ай бұрын
Mm pia wanapungua
@Maya-965
@Maya-965 4 ай бұрын
Mimi zilipungua na zikagota hapo hapo,wakati Kila siku napost video zenye viewers,
@EzyPhysics
@EzyPhysics Жыл бұрын
My role model🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@EzyPhysics
@EzyPhysics Жыл бұрын
One day ntakuwa ulipo
@Richstartz
@Richstartz Жыл бұрын
Keep it up
@gezatv1
@gezatv1 8 ай бұрын
Good
@kyelaonlinetv2
@kyelaonlinetv2 Жыл бұрын
Acha leo ni jifunze leo
@Richstartz
@Richstartz Жыл бұрын
Enjoy
@jidaymedia9674
@jidaymedia9674 Жыл бұрын
Mimi nilifikisha masaa elf4 nilivomaliza mwaka yakapunguwa kwa kiasi kikubwa na kila siku yanazidi kupunguwa nisaidie ni kwanini inakuwa hivo?
@simonngigingangawangombe9220
@simonngigingangawangombe9220 Жыл бұрын
Wazo zuri hii kwasambabu yangu wachitime imekua chinda lakini nimesikia mawazo yako
@Richstartz
@Richstartz Жыл бұрын
Asante pia
@JamesMwankenja
@JamesMwankenja 4 ай бұрын
Video yangu ya kwanza ya gopsel inapungua yani dah
@Smartboy-ug8qh
@Smartboy-ug8qh 11 ай бұрын
Kaka mim naomba kufahamu tu athari za community straikes kwenye chanel nimepokea ujumbe huo kwenye video nilio aplod haikupaswa kuoneshwa kwa chini ya umri wa miaka 18
@jimmyabbuy8418
@jimmyabbuy8418 7 ай бұрын
Kk naomba mawasiliano nikueleze shida yangu
@Shukri.M-td9pl
@Shukri.M-td9pl Ай бұрын
😢😢
@Maya-965
@Maya-965 4 ай бұрын
Au hutakiwi kununua viewers?
@Fipaboyartist-n7r
@Fipaboyartist-n7r Жыл бұрын
Nina swali ,upande wa Short video KZbin hawa hesabu masaa au nimekosea kuelewa
@kayfatvonline9654
@kayfatvonline9654 Жыл бұрын
Duu asalam alaykum video yako ndo nimeyona leo lakini acha tu nicomment mana tuna teseka sio poa tuta toba kweri
@emanuelfrank515
@emanuelfrank515 Жыл бұрын
Mkuu ili uwe monitized hayo Masaa 4000 yanaangaliwa kule kwenye life Time au ni kwenye dashboard?
@Mc_Chabala
@Mc_Chabala Жыл бұрын
Naona mganga hajigangi hata wewe huna views🤪🤪🤪🤪🤪
@Richstartz
@Richstartz Жыл бұрын
Yes mganga hajigangi, Ndiyo maana mimi kama KZbinr nawategemea nyie subscribers wangu mniletee views
@BignewsTv-j5h
@BignewsTv-j5h Жыл бұрын
We jamaaa😂😂😂😂😂
@Ben_kino
@Ben_kino Жыл бұрын
Mm adi nimechoka nimebakiza subscriber 50 nakila cku zinashuka tu dah
@Richstartz
@Richstartz Жыл бұрын
Pole sana. Keep it Up
@danieljacksonngenz6949
@danieljacksonngenz6949 Жыл бұрын
Brother Mkuu naomba namba yako
@Frenchboy44
@Frenchboy44 Жыл бұрын
Nina swali MTU akiwa na copywrite HF awezy monitize?
@Vamelan
@Vamelan 8 ай бұрын
Rich naomba number yako
@kyelaonlinetv2
@kyelaonlinetv2 Жыл бұрын
Yani mm kabla sija maliza mashart niliteswa sana na ili tatizo
@Richstartz
@Richstartz Жыл бұрын
Sasa hivi mambo fresh au vipi ?
@Tonymediatz
@Tonymediatz 10 ай бұрын
Ulitumia njia gani kumaliza ndgu nisaidie mm pia nalipitia saiz
@PERFECTAMOSI
@PERFECTAMOSI 5 ай бұрын
Ndio mwalimu Sisi tuna posti vidéo Ila azipati vues tufanye je
@dailylifetz
@dailylifetz Жыл бұрын
Daah tunateseka sana sijui tutatoboa
@Richstartz
@Richstartz Жыл бұрын
Tutatoboa, Haina Kufeli
@MAFUNZOMEDIAamj
@MAFUNZOMEDIAamj Жыл бұрын
mbona chenel yangu masaa yana shuka yote lakin viwas hazishuki
@Richstartz
@Richstartz Жыл бұрын
Hii video imeelezea kwa nini
@kilirombo4603
@kilirombo4603 Жыл бұрын
Wanapungua mpk sub
Kiasi wanacholipa YouTube kwa kila view
7:42
Richstar
Рет қаралды 14 М.
Mbinu za kupata Masaa 4000 na Subscriber 1000
14:09
Richstar
Рет қаралды 13 М.
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 15 МЛН
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН
Jinsi ya kupata WATCHTIME zaidi kwa njia hii moja RAHISI
10:54
FAHAMU JINSI YA KUPIGA PICHA NZURI ZENYE KIWANGO.
11:05
WEKAPU TV
Рет қаралды 1,6 М.
Vitu nilivyofanya Kufikisha Subscriber 50,000
7:53
Richstar
Рет қаралды 1,8 М.
Channel yako ya Youtube haikui, Sababu ni hii
9:24
Richstar
Рет қаралды 4 М.
Jinsi ya Kufungua YouTube channel ya Kulipwa 2024
16:37
Vinei TV
Рет қаралды 19 М.
MAMBO YA KUZINGATIA  NDANI YA CHUMBA CHA USAILI WA KAZI/JOB INTERVIEW
12:52
TENGENEZA PESA KWENYE YOUTUBE | Ezden Jumanne
9:48
Success Path Network
Рет қаралды 2,9 М.
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН