Mimi karibu kila siku, wakati mwingine na upload mbili kwa siku
@raphaelmtui63743 жыл бұрын
Asante, ila hukusisitiza kuwa vigezo vya 1000 subscribers na 4000 watch hours VINATAKIWA VIWE REACHED KWA MWAKA MMOJA SINCE UMEFUNGUA KZbin CHANNEL YAKO! Asante kwa elimu brother.
@brunomwamkinga3813 Жыл бұрын
Unafundisha vizuri sana kaka Naomba tuwasiliane tufanye kitu cha maendeleo🙏🏽
@alimsuleiman4653 жыл бұрын
Asante sana kwa somo nimekupata vizuri sana
@Binamungu_talentd923Ай бұрын
Umeeleweka kaka asant kwa ushaulii
@domy_pro3 жыл бұрын
Asantee kaka richstar nimejifunza vingi kwako had sasa nikushukuru mungu azidi kukubarik kwa msaada wako
@Richstartz3 жыл бұрын
Asante sana
@justiningonyani10172 жыл бұрын
bro nimejifunza vingi
@michzotv2771 Жыл бұрын
Asante sana mwamba nakufuatilia muda mrefu una madini yakueleweka🙏🙏🙏
@BOSSLADY36562 жыл бұрын
asante sana mwalimu wetu
@Richstartz Жыл бұрын
ENJOY
@Mbeyaconscious3 жыл бұрын
Darasa Zuri Sana 🙏🙏🙏
@Richstartz3 жыл бұрын
Shukrani
@fredymastory62083 жыл бұрын
Sanaaaaa mkuuu
@Mbeyaconscious3 жыл бұрын
@@fredymastory6208 ✊🏼✊🏼
@lukumbitu_micronutrients17693 ай бұрын
Hakika we ni mtaalam nimepata vitu vikubwa sana
@ejntv3 жыл бұрын
Asante kwa elimu🤗🤗🤗
@sky2tvtanzania4623 ай бұрын
Naomba msaada ndugu yangu,,mm masaa yangu yamepungua Sana ,,yaani kutoka 1800 mpaka 600 ,,tatizo linaweza likawa nn maana mpaka nimechoka
@Lumynasdancers3 жыл бұрын
Advice is on top
@Richstartz3 жыл бұрын
Asante sana
@okwagonzatv2 жыл бұрын
Ahsante brother
@ROMTV52 жыл бұрын
Maybe one day na Mimi Nitafikia monetazation dah! Mambo Ni Moto yani nitayafuata mafunzo yako Bro yatanisaidia kwakweli.
@Richstartz2 жыл бұрын
Kila la heri
@Sama_duu Жыл бұрын
unapatikana wapi ndugu
@joycejoes3 ай бұрын
Hongera una subs 20k naimani sasa hivi ushakua monetized kitambo😊
@BostonJunior3 жыл бұрын
Shukran sana kwa Darasa Bro 🙏🙏
@Richstartz3 жыл бұрын
Asante na Ubarikiwe
@BostonJunior3 жыл бұрын
@@Richstartz Hata wew pia
@timolee50773 жыл бұрын
Ahsante sana
@mneneprofamily67453 жыл бұрын
Inakuwaje mzee Wangu Richstar
@Richstartz3 жыл бұрын
Salama mzee wangu Upo ?
@dewran468 Жыл бұрын
ndonamimi naanza kaka asante kwa ushaur wako🙏
@Japhalazard542 жыл бұрын
Brother naomba unijibu nataka kujua masaa 100 miamoja ni sawa na views wangapi 🙏🙏🙏 naomba nijibu
@johnnewton12377 ай бұрын
Zinajumlishwa dakika wanazo tumia watizamaji wako so inategemea pia na ulefu wa video zako
@msebachannel3 жыл бұрын
Asante sana kk
@KelvinLinus-g5t Жыл бұрын
We jamaa unaelekeza vizuri mno.
@guillainalimasialimasi7028 Жыл бұрын
Ongera bro
@SAFITV-n5j4 ай бұрын
Kaka. asante
@MrozuOswald7 ай бұрын
Asante sana
@loberyjonas94813 ай бұрын
Asante sana nimeona mdhaifu yangu yalipo
@mohamedismail2662 Жыл бұрын
Bonge la darasa big up bro
@SammySimi4 ай бұрын
😂❤❤Asante sana
@jackmusiccoach3 жыл бұрын
Vizuri sana mkuu
@Richstartz3 жыл бұрын
Asante sana
@jackmusiccoach3 жыл бұрын
@@Richstartz najifunza mengi toka kwako ubarkiwe sana
@menasmusic9863 Жыл бұрын
Asante kwa kaka
@mpendashow88652 жыл бұрын
Thanks
@EzraMgeni Жыл бұрын
asante sana kaka
@teklamwenda37032 жыл бұрын
Nimekuelewa kaka
@emmanuelnashon7252 Жыл бұрын
Your great
@steizwetmaster2001 Жыл бұрын
Unyama broooh
@heavenmusicbeats8943 жыл бұрын
Thanks brother
@Richstartz3 жыл бұрын
You ARE WELCOME
@BIGPAPAUPA3 жыл бұрын
@@Richstartz hello with forgiveness I would like you to help me with the color theme in premiere pro please. greetings from equatorial guinea I NEED PROFESSIONAL HELP AND YOU ARE
@VonneMillen2 ай бұрын
Watching this with my 29 subscribers ❤
@TUKIBEATS18 ай бұрын
Sana kaka 💕💕💕🎉🎉
@SAMBAZAUPENDOTV Жыл бұрын
Unaeleweka baba
@kitinegraffixtutorialps84473 жыл бұрын
Respect master
@Richstartz3 жыл бұрын
Tupo pamoja
@ArkamMubaraka Жыл бұрын
Sawa
@BaypasAndred-gw7zn8 ай бұрын
ni kweli lakin
@almadrasatulrahmazanzibar61832 жыл бұрын
A.alaykum, kaka nahitaj msaada kuweza kurecieve PIN from Google adsense
@24mediat8 ай бұрын
Brother nitumie number yako
@KUONGEZATAKO2 жыл бұрын
sawa
@MWAMBAZanzibar3 ай бұрын
Jee nikiingia lev wale wanao tazama wanazisha masaa?
@nyikanitv9094 Жыл бұрын
Asante sana. Naomba namba yako tafadhali
@MercyKhasiala-e7c3 ай бұрын
assnde kwamafundisho ndio nimefungua yangu siku 3
@kyavolatv56713 жыл бұрын
Naomba mwelekezo wa ku apload KZbin shorts tafadhali
@storynasimulizi2 жыл бұрын
Mbn rahis tu
@Johnleetzofficial3 ай бұрын
Well
@BrianKidunu-pq4rb Жыл бұрын
Daa bro jinsi ya kutengeneza video kwa kutumia simu
@chredyb8470 Жыл бұрын
Ninzuri sana ila niele weshe vizuri kwaku post siku nzuri yaku post na saa nzuri please ni jibu
@Msakatonge23 Жыл бұрын
Pow
@Desire-wn9iv5 ай бұрын
Kaka ukovizuri sana ubarikiwe kutufunguwa akili
@العلمقبلالقولوالعمل-ت2ن Жыл бұрын
je nawezakuwa na chanel 2
@lacsap43562 жыл бұрын
Nakubal bro
@KanjuBhai-wp2cr6 ай бұрын
Broo mimi nina miaka mi 3 mwaka huu ndo nime fikisha masaa 4000 ila subscribe ni 2.7k je naweza monetaize
@mustuss.1 Жыл бұрын
Nice
@Richstartz Жыл бұрын
Thanks
@andrewchangawa8185 Жыл бұрын
Na kama unataka uone history ads
@AbubakarFarihanMbwambo Жыл бұрын
Good
@emanuelfrank515 Жыл бұрын
Mkuu ili uwe monitezed wanaangalia masaa kwenye life time au yanayoonekan kwenye dashboard kwa wakat huo?
@JuchonlineTV20 күн бұрын
Kaka Channel Yangu imejibadili mwaka inakaaje hii?
@dundoonlinesingeli3 жыл бұрын
Hapa mkuu penyewee
@Richstartz3 жыл бұрын
Shukrani sana
@babyplus50933 жыл бұрын
Hiiii sorry naomba unipatie no yk wht up nataka kuongea n ww khs ki2fulan plz
@Richstartz3 жыл бұрын
Instagram.com/richstartz
@asharajabu48712 жыл бұрын
Nina yotininamba garama shilingingap
@Clay-mf5xo8 ай бұрын
Thenks
@tvfun24192 жыл бұрын
Nime vutiwa Mno Na somo Lako
@isayamwanjoka39582 ай бұрын
Vyote tyr, hata wew unatak ulipwe na youtube japo umekuj na gia ya mafunzo
@BIGPAPAUPA3 жыл бұрын
hello with forgiveness I would like you to help me with the color theme in premiere pro please. greetings from equatorial guinea I NEED PROFESSIONAL HELP AND YOU ARE
@Richstartz3 жыл бұрын
Send me email to rmaguluko@gmail.com
@dehines79492 жыл бұрын
Kaka,naomba promotion tafadhali ,nimekwama kwa 3 subscribers
@storynasimulizi2 жыл бұрын
Unatak utangaziwe au
@nasrymubaraka2 жыл бұрын
SAwa kaka
@edouarddj5267 Жыл бұрын
Code toka Google itapatikana kivipi ?
@Richstartz Жыл бұрын
Inatumwa katika Bahasha
@blance.qАй бұрын
🎉🎉🎉🎉
@selaalpha13843 жыл бұрын
Kaka Mkubwa, naomba msaada wa namna ya kupromote video KZbin
@Richstartz3 жыл бұрын
Unataka kutumia KZbin Paid Ads ama ?
@selaalpha13843 жыл бұрын
@@Richstartz ndio mkuu
@Richstartz3 жыл бұрын
@@selaalpha1384 Unataka ufanye promo ya kitu gani
@selaalpha13843 жыл бұрын
Video za Mafundisho ya Neno la MUNGU
@ejntv3 жыл бұрын
@@selaalpha1384 lengo lako la kupromote ni nn viewers, subscribers, $ Au watch hours?
@bongotrend2257 Жыл бұрын
good
@ngawezingenje Жыл бұрын
Naomba namba zako kaka tafadhali
@SALLEX_KOA2 жыл бұрын
Asante bro ila nilikuwa na shida ya namna spelling za hizo app zinavo andikwa
@Richstartz2 жыл бұрын
Programu za ku design Thumbnails 1. Adobe Photoshop 2. Canva. KZbin Channel Management Toolkit 1. TubeBuddy 2. VideoIQ
@SALLEX_KOA2 жыл бұрын
@@Richstartz ahsante sana🙏🙏🙏👌mungu akubariki
@tarnaboy Жыл бұрын
Yes
@DJGKmrissJ Жыл бұрын
😮😮
@sephtalented34463 жыл бұрын
Hivi comedy za video cover hiyo content inakubalika na KZbin?
@Richstartz3 жыл бұрын
Kama Content zote ni zako Original haina shida
@izadinijumamsuya-vl4bv Жыл бұрын
Waooo
@mandovapicture Жыл бұрын
Brother kwa upande wa Msanii anae anza inatakiwa afanyaje
@Richstartz Жыл бұрын
Vitu vingi vinafanana so unaweza ukafuatisha nilioyazungumza kwa yale yanayowezekana
@technology94002 жыл бұрын
Duu!!!
@LayersPro3 жыл бұрын
Mkuu natumia Camtasia studio lakini napata changamoto ya sauti. Natumiaa Logitech USB headset 540
@Richstartz3 жыл бұрын
Ukiwa una records una kumbuka ku set default Audio input device ?
@LayersPro3 жыл бұрын
@@Richstartz yes nachagua hiyo Logitech 540 kwenye Camtasia.
@LayersPro3 жыл бұрын
@@Richstartz unatumia software gani kuandaa video zako?
@Richstartz3 жыл бұрын
@@LayersPro Ku record tutorial natumia Camtasia, Ku edit video nilizoshoot natumia Premiere Pro
@spillovereducationtutorial32282 жыл бұрын
@@Richstartz hizo software ni free au zikulipia
@Charlemba2 жыл бұрын
sasa una maanisha video za namna gani mziki au video yoyote ya vichekesho
@Japhalazard542 жыл бұрын
Brother sorry naomba kuuliza masaa 100 miamoja ni sawa na views wangapi ??🙏🙏
@EPHRAIMRAMADHANI-is1du7 ай бұрын
Br mie naomba namba zako
@amosichesco3060 Жыл бұрын
Naomba namba yako kka
@EPHRAIMRAMADHANI-is1du7 ай бұрын
Br nipe namba yako
@InnoClassic Жыл бұрын
Broo etii ukipopy wimbo wa mtuu haulipwiii
@Richstartz Жыл бұрын
Ndiyo
@InnoClassic Жыл бұрын
@@Richstartz ivii kwanini viwes huwa wanashukaaa ukiwa unapg promo au ukiwa unasambazaa
@aishersengaty23272 жыл бұрын
Well done kaka like yangu na subscription yangu umepata