Kiukweli mimi nahisi mr raisi aingilie kati katka suwala hili wageni wamepungua Zanzibar hakuna mgeni anaekuja Zanzibar asiekuwa na bima yake sasa hapa wageni hawaji mawepungua sana sana
@hadiyajuma39743 ай бұрын
Mnataka kuwakibiza watu tu watu wote wakitoka nje wanakata bima kabla hawajaja Africa au nchi za nje hio idea yenu mtakimbiza wageni
@SophiaTafuna3 ай бұрын
mie naishi Germany, wafanyakazi wenzangu wamesikitishwa na hii bima nadhani hawatakuja tena Zanzibar
@OmerSuley-gl7go3 ай бұрын
Mungu alete kheir❤
@ameali12512 ай бұрын
Tamaa mbele mauti nyumaa hawatosheki kutuzulumu ktk ile bima yao ya laki moja na 77000 .
@annerobinson15923 ай бұрын
Kwani watu wakikata Bima ya chombo usalama ya traffic inaongeseka vipi.
Tatizo maoni y watu wengi wameliping hilo jambo kw sababu halito furahisha wagen na litapunguz kasi ya wageni has wanaotok ndan y Afrika kw hivy serikali lazim watafakr ten na cio kulazimisha hil jamb
@aminahassan35883 ай бұрын
Wanalalamika watu bima hiyo ya lazima vp wizi tu
@mohammedkhkombo44393 ай бұрын
Kuwe na mfumo madhubuti kuzuia rushwa na fedha zifike sehemu huka
@murattywamuratty97783 ай бұрын
Kwanza rekebisheni foleni ya kutokukaa sana apo wagen wanapo ingia mkoo shaloo sanaa
@fatmasaid97653 ай бұрын
Sasa ikiwa mtu hakuumwa mpaka kaondoka itabidi mumrudishie mwenyewe
@IddiKhamis-u6c3 ай бұрын
Viongozi fikirieni jinsi ya kuingiza mapato sio kuwaibia wageni kwa njia hii ya bima ya lazima. Huu ni wizi wa macho macho. Yaani wageni wengi wameshacancel safari ya kuja Zanzibar kutokana na ughali wa kuingia nchini. Ukiangalia mgeni alipe pesa ya kuingilia,pesa ya siku, pesa ya kutokea,pesa ya bima. Hivi huyu mwendawazimu msenge gani alieleta huu upuuzi wa hii bima.
@SeifMjawir2 ай бұрын
😂😂😂😂😂bro yan wee acha tu
@aglianosaid1189Ай бұрын
Dah kwel kak viongozi wetu ni vipofu san wanaiga mambo ya nchi zilizo endelea wanatuletea Zanzibar il hali miundombinu inawashinda kutengeneza yaani wanatengeneza airport terminal, vibarabara ulimi wa paka na vidaraja vya flyover tu makodi tele vilipe ndani ya mwaka 1 tu kweli tamaa mbaya kisha eti Zanzibar hakuna matata usenge mtupu mbwa kabisa
@IddiKhamis-u6cАй бұрын
@@aglianosaid1189 Na sasa ndege zinakuja na abiria kidogo wageni wamecancel kwasababu ya bima ya utapeli wanayolipishwa
@fatmasaid97653 ай бұрын
Murudishe pesa zao
@lusakaone77823 ай бұрын
Dunia nyengine hii
@AaAa-vm8bb3 ай бұрын
Jee kuna uhakika gani mgeni atashughulikiwa na wapi atatoa taarifa pindi amefikwa na matatizo
@AhmedAhmed-bk2il3 ай бұрын
Kuna vitu vingi sana vya kufanya kabla ya bima beach zetu chafu sana barabara mbovu wageni watalipa ila lazima waone hiyo pesa inaenda wapi 🤦🏾♂️ Then most on them wana❤bima tayari so ni kama wanalipa Mara mbili na pia wanalipa dola tano ya kodi kila siku
@salwasuleiman35253 ай бұрын
Mtu akiumwa huduma hamna 😢
@FatmaOmari-tz2my27 күн бұрын
Mnatulaza na njaaaaa jmnii iondoeniiiiiiiiii tuna dhlilikaaaaa
@Jumahilal-h1h27 күн бұрын
Nchi yetu tamaa sana wageni mushawafukuza kwa bima zenu zisizokuwa na maana December yote hii haina ata wageni cancelled safar zote
@haroubhbm57283 ай бұрын
Hii bima ya lazima ita cost na kupoteza wageni wengi mbona private insurance hospital zanzibar International zipo hapa naona watauwa mashirika binaries naona wafikirie tena wamefeli tena itawacost tuone but mtazamo wangu haitofika mbali 😢 my future eyes naitakia mema but think before done❤
@Jumahilal-h1h27 күн бұрын
Hatuendelei maisha
@ummuraw63723 ай бұрын
Lohhh
@abdulabdallah2033Ай бұрын
Wanafoc tufanye mambo tusiyopenda kuyafanya...izo pesa wanafanyia nini kwani... wezi wakubwa ...wao wenyewe hawana bima yoyote wanalazimisha watu wakate bima '''
@zaudinzau22583 ай бұрын
Mna nenepa kw Zulumati .. mkitoka madarakani .. mnatia huruma mnaumwa kila sehem ..
@MohamedAhmada-ie7ke3 ай бұрын
Wao wenyewe tukenda kwao wana tupiga kodi atar
@IddiKhamis-u6c3 ай бұрын
@@MohamedAhmada-ie7ke Acha ujinga ww. Kodi inajulikana ni lazima nchi zote. Lakini sio hii bima ya lazima. Wakati wageni wanakua na bima zao International. Sasa unapomlipisha na hii bima unamuongezea mzigo tu usiokua na faida kwake. Bima yake International inajitosheleza popote atatibiwa kwa bima yale.
@ummuraw63723 ай бұрын
WIZI WAKUBWA LAKINI ZITAWATOKEA PUANI HIZO PESA
@khalfanaltaley3 ай бұрын
Kila msafiri anajua namna ya kujikinga mwenyewe kabla hajaanza safari. Hii Bima ya lazima haina maana yeyote isipokua ni kuongeza business ya bure kwenye Insurance company ambayo ni sehemu ya serikali.! Kwanini Insurance company zingine zisiruhusiwe? Na kwanini wageni kabla ya kusafiri wasikate insurance huko kwao? Hii ni njia nyingine tu ya kuingiza pesa kiharamu!
@aglianosaid1189Ай бұрын
Mshatuharibia utalii tayari tamaa mbaya mnatak pesa nyingi Kwa pamoja lakini utalii mushau kill akili ya kuambiwa changanya na yako
@Jumahilal-h1h27 күн бұрын
Upuuzi tu
@mohayussuf20573 ай бұрын
Wizi huu hamna BIMA ya lazima
@IddiKhamis-u6c3 ай бұрын
Viongozi fikirieni jinsi ya kuingiza mapato sio kuwaibia wageni kwa njia hii ya bima ya lazima. Huu ni wizi wa macho macho. Yaani wageni wengi wameshacancel safari ya kuja Zanzibar kutokana na ughali wa kuingia nchini. Ukiangalia mgeni alipe pesa ya kuingilia,pesa ya siku, pesa ya kutokea,pesa ya bima. Hivi huyu mwendawazimu msenge gani alieleta huu upuuzi wa hii bima.