Ni mzuri ila waongeaji hawajaweza kutoa maelezo vizuri
@abdulhalimhassan7057 Жыл бұрын
Nini maana ya kiluva?
@oparetionmaalum9030 Жыл бұрын
Kiluva ni tofali lenye nchi moja na hutumika madini maalum kutengezae ila linakua dogo sana Sasa kutokana na udogo wake ndio kinabadilika Jina nakuitwa Kiluva