BALAA! HOTUBA NZIMA YA LISSU MWANZA, AMVAA RAIS SAMIA KWA KUTUMA POLISI WAMKAMATE MBOWE NA SUGU

  Рет қаралды 71,564

Mwanzo TV Plus

Mwanzo TV Plus

Күн бұрын

Пікірлер: 258
@majidimussa8678
@majidimussa8678 3 күн бұрын
Tundu Allah Akubalik Na Akusimamie ktk harakati zako🙏🙏🙏
@aloycemisigalo3983
@aloycemisigalo3983 3 күн бұрын
Napenda sana hotuba za mh. Lisu naamini hata wakimpa nchi ataiongoza vizuri sana nchi yetu. Wewe ni zaidi ya kiongozi.
@HassanKibwana-h3w
@HassanKibwana-h3w 2 күн бұрын
Mwenye kupenda maendeleo hawezi kuichukia chadema chadema Mpo vizuri sana
@GodfreyMakala
@GodfreyMakala 3 күн бұрын
Daaaah!!! Ccm imelemewa kabisa Yani kwa kitendo hik nakikemea kwa jina la Yesu .
@JohnJoseph-qq7ow
@JohnJoseph-qq7ow 3 күн бұрын
Ccm waonevu sana MUNGU atusaidie samia atoke madarakani
@abrahamnyagawa1304
@abrahamnyagawa1304 Күн бұрын
Hao CCM ni majoka ya kuzimu,balaa la taifa.tuwaungeni mkono wapinzani,hao wana ajenda njema kwa taifa letu.
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 3 күн бұрын
GENIUS MAN 🤔
@abrahamnyagawa1304
@abrahamnyagawa1304 Күн бұрын
Hiki kichwa, mpaka kunanifanya nitafute mtoto asome sheria.yuko vizuri,na inergetic.tuko pamoja.
@emmanuelpeter9744
@emmanuelpeter9744 3 күн бұрын
Kwa kweli Walaaniwe wote kwa vitendo viovu wanavyovifanya. Well and strongly say Bro 🙏✊
@SalimuAbdallah-o2i
@SalimuAbdallah-o2i 3 күн бұрын
Usiwalaani sana Mana c cm wanapinga ushoga hao nao wanafagklia ushoga kwahyo kuwa makini
@JohnS.mwafubo
@JohnS.mwafubo 3 күн бұрын
Huyu ndio atatuufaa nchi hii
@CharlesMasule
@CharlesMasule 3 күн бұрын
Hakuna kiogozi hapo
@AkwilineKawishe-t3d
@AkwilineKawishe-t3d 3 күн бұрын
Mungu yupo
@KuzenzaSangija
@KuzenzaSangija 3 күн бұрын
Safi sana kiongozi akili kubwa itumike kwenye kuchukua hatua yoyote !
@StevelabaranSeverwa
@StevelabaranSeverwa 3 күн бұрын
Tundu lisu Rai's wetu mtarajiwa MUNGU akusaidie uchukue uraisi mapemaaaaa
@MaguguStore
@MaguguStore 3 күн бұрын
Shida ni shoga tuuu
@MashakaMagesa
@MashakaMagesa 3 күн бұрын
@@StevelabaranSeverwa Lisu awe Rais wa Tanzania wewe unaota kwanza kiboko yake ni Mh Majaliwa CCM wakitaka kushinda kirahisi 2025 wamsimamishe Mh Majaliwa atapita kama mshale ndiyo tumaini la watanzania walio wengi
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv 3 күн бұрын
Katiba haimuluhusu kasimu majaliwa labuda ajiuzuru​@@MashakaMagesa
@MashakaMagesa
@MashakaMagesa 3 күн бұрын
@@SmilingFlowerBouquet-hs2hv Utashi wa kisiasa na hali ya nchi ilivyo lolote laweza tokea Mh Majaliwa akapeperusha bendera ya CCM nafasi ya Urais akipewa huyo mwamba Wapinzani wakalale anakubalika Kila mkoa
@johansenerasto5890
@johansenerasto5890 3 күн бұрын
Shda ya ccm weng Wana tamaa ya madaraka ndo maana washapanga kumpitisha mama ila ikiwa hivyo waandae makabuli ya kutosha ya kujizika maana Samia Hana kibali na hakubaliki na watanzania weng labda kwa goli la mkono​@@MashakaMagesa
@LoiteyoAmakoMako
@LoiteyoAmakoMako 3 күн бұрын
Mungu akutangulie lisu
@GeorgeAlexander-e3k
@GeorgeAlexander-e3k 3 күн бұрын
Jembe letu
@AlfredAlfred-yd2mg
@AlfredAlfred-yd2mg 2 күн бұрын
Ccm hakuna mcha Mungu wamelaniwa,pesa za wastafu wamedhulumu hatuna Imani nao
@johansenerasto5890
@johansenerasto5890 2 күн бұрын
Wakafie mbele
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 3 күн бұрын
Mwanza hatari
@KIBOSHOUMBWESINDE
@KIBOSHOUMBWESINDE 3 күн бұрын
Watu wengiii mwanza oyeeee
@khamisjuma7616
@khamisjuma7616 3 күн бұрын
hakuna urafiki na ccm kama sisi ni wapinzani wa kweli hakuna kulipendekeza hawa ni wanyama pori tu
@LadlasLusambo
@LadlasLusambo 3 күн бұрын
Uko.vizuri.baba.risu. 9:25
@KIBOSHOUMBWESINDE
@KIBOSHOUMBWESINDE 3 күн бұрын
Mungu utuokoe gizani baba
@ThobiaslShayo
@ThobiaslShayo Күн бұрын
Lissu🇹🇿🙏ni jembe eleweni wananchi wenzangu anaweza mm naona ata hutuba zake inagisa moyo
@IsmailiMbaki
@IsmailiMbaki Күн бұрын
Lissu ni nabii wa mungu kwel, ahsante sana mungu wetu kwakutupatia zawad
@StevenMakuru-i6u
@StevenMakuru-i6u 3 күн бұрын
Big up lissu
@LadlasLusambo
@LadlasLusambo 3 күн бұрын
Uko.vizuri.baba.risu.
@LeonardMgeta
@LeonardMgeta 3 күн бұрын
Pamoja sana Lisu
@KherDogo
@KherDogo 3 күн бұрын
Safi sana
@MeryLyatuu-to9ks
@MeryLyatuu-to9ks 4 сағат бұрын
Kwa kweeli hii nchi ni uonevu tu wajuwe Mungu yupo mchana na usiku atajibu tu tuombe sana watanzania tunaona mambo mengi hayamfurahishi mungu
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb 3 күн бұрын
Ee Mungu huyo anaeivuruga amani ya Tanganyika alaaniwe na asimalize mwaka huu
@DavidMtoi
@DavidMtoi 3 күн бұрын
Hakuna njia nyingine ila nguvu ya uma pekee!!!
@ElibarikiMollel-t5k
@ElibarikiMollel-t5k 3 күн бұрын
Mm mimi ni CCM na spendi kutangatanga kwasababu naamini vyama vyote ni watanzania vyama vyote vina malengo ya kuongoza na kujenga nchi na kuwahudumia watanzania . Tatizo ni uelewa wa demokrasia na uchu wa madaraka kwa wanaotaka na wasiotaka kuachia madaraka kimasilahi.
@matiredms917
@matiredms917 3 күн бұрын
Hakika una roho wa Mungu na unasema kweli. Kweli itakuweka huru kweli kweli.
@FrankMwakatundu-cu6bd
@FrankMwakatundu-cu6bd 3 күн бұрын
Elibariki Mungu akubariki Sana kwa kuipenda nchi yako kuliko ccm.
@MariamJeremia-u7e
@MariamJeremia-u7e 2 күн бұрын
Nimekuelewa mnyiramba umeanza kuwa na akili sasa
@CretusMwalongo
@CretusMwalongo Күн бұрын
Genus man
@MasanaSamwel
@MasanaSamwel 2 күн бұрын
Mungu atusaidie wanachadema
@clementemmanuel9617
@clementemmanuel9617 3 күн бұрын
People's
@matukutajuma156
@matukutajuma156 3 күн бұрын
MUHESHIMIWA MUACHE MAREHEMU MAGUFULI APUMZIKE KWA AMANI
@DicksonJaphet-fq7ov
@DicksonJaphet-fq7ov 2 күн бұрын
2025 tunakujitaji Mkuu
@MiriamAziz-z5t
@MiriamAziz-z5t 3 күн бұрын
VIVA KOMREDI LISSU....VIVA CHADEMA....WATANZANIA WOTE BILA KUJALI VYAMA VYETU, DINI ZETU, KANDA ZETU NA MAKABILA YETU TUIUNGE MKONO CHADEMA...NA ACT WAZALENDO!
@kirariwilanya1850
@kirariwilanya1850 3 күн бұрын
Chadema hakuna comrade bali tuna Commander
@JumanneThabiti
@JumanneThabiti 2 күн бұрын
ACT hamna chama pale lile ni tawi la chama fulani😂😂 chadema ndo chama allah asimame na chadema allah asimame nasi kwanini wao kila siku basi chadema simama nao mwakani wachukue nchi inshaallah allah hushindwi amiin🤲
@TumainieliMamuya
@TumainieliMamuya 2 күн бұрын
Lisu mungu akujaliye uendelee kuwambiya watanznia ukwel
@feruzmato4422
@feruzmato4422 3 күн бұрын
Nakuunga mkono mheshimiwa lissu
@OlivaMHANDO
@OlivaMHANDO 3 күн бұрын
Mora awalinde na kuwasimamia kira mufanyapo Mikutano yenu
@johansenerasto5890
@johansenerasto5890 2 күн бұрын
Samia must go
@josephjohn2114
@josephjohn2114 Күн бұрын
Lissu leo umetoa hotuba vizuri sana. Unaapoongea bila kurudia rudia neno unavutia wasikilizaji. Paraphrasing kwenye huwa hainogeshi hotuba. Endelea hivi unaeleweka zaidi.
@OmbeniLuka
@OmbeniLuka Күн бұрын
Ccm hawezi kabisa kushinda kwa ridhaa ya wananchi inasaidiwa na dola miaka yote
@yordanyona8663
@yordanyona8663 3 күн бұрын
lakini kwa nini uengue? harafu mbona zamani haikuwepo
@jangalaalexbubehi7658
@jangalaalexbubehi7658 3 күн бұрын
Ccm wameshachoka Hawana namna nyingine ya kushinda ,
@CretusMwalongo
@CretusMwalongo Күн бұрын
Mafara tu hawa wanaogopa nini sijui
@musatinginya
@musatinginya 3 күн бұрын
tundu lissu unaongea ukweli na inauma sn lkn lazima tupambane hii vita tuipige kura ya apana alipo mgombea mmoja na tusisubiri hilo tu tujue wanasikia haya ma ccm tunachojiandaa kukifanya bila shaka wanajiandaa kufnya kitu kingine tuwe macho sn cjui km nimeeleweka
@AlphaKichuzi
@AlphaKichuzi 3 күн бұрын
tarime lisu mapokezi
@NestoKipila
@NestoKipila 3 күн бұрын
Pamoja kamanda lissu
@ramadhaniOsujacki
@ramadhaniOsujacki Күн бұрын
Pambana sana jembe tanzania bila upinzani serekali haiweze kufanya vizuri yaani serikali iliyoko madarakani watwasahau wananchi hivyo kila nchi inatakiwa iwe na chombo cha kuikosoa haijalishi hata iwe inafanya vizuri lazima iwe na mkosowaji na ndio mtu kama tundu lisu na sii wakina mbowe labda lema lema naye anaongeaga poa sana namaanisha yupo vizuri
@josephmkinga9509
@josephmkinga9509 3 күн бұрын
Naalaniwe hakika
@OmbeniLuka
@OmbeniLuka Күн бұрын
Watanzania bado hamjielewi mnafanya mzaa kwa hasara yenu na watoto wenu
@AlexPetro-z1e
@AlexPetro-z1e 2 күн бұрын
One dream!!!
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x 3 күн бұрын
Upinzani hautakiwa kufanya urafiki au maliziano na wasenge waliobaki kubebwabewa
@kinkybanjukome217
@kinkybanjukome217 2 күн бұрын
Alaaniwe kweli
@seydhamood
@seydhamood Күн бұрын
Hivi kwanini mnapenda kulalamika wakat hamwapi semina 2qgombea zenu? CCM ilifanya semina kufundusha jinsigani ya kujaza fom
@MariamJeremia-u7e
@MariamJeremia-u7e 2 күн бұрын
Tunaomba mungu tupe vipngoxi eanaotenda haki kama lisu kiongozi asiyetenfa haki kama huyu mama ansdidimiza taifa masns haki huinus ,TAIFA
@jovinsimon4670
@jovinsimon4670 3 күн бұрын
Bwana asifiwe
@hezronielisha9795
@hezronielisha9795 3 күн бұрын
MHESHIMIWA LISU ,,HOJI KWA NINI JIJI KUBWA KAMA MWANZA,SERIKALI YA CCM HAIJENGA HATA UNIVERSITY ATA MOJA KUBWA HII SIO HAKI KABISAA.
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 3 күн бұрын
America emeruhusu kuoana mwaname kwa mwaname na mwanamke kwa mwanamke
@hezronielisha9795
@hezronielisha9795 3 күн бұрын
MHESHIMIWA LISU MWACHE JPM APUMZIKE,, ONGEA HOJA YA KUJENGA UNIVERSITY KUBWA MWANZA NDIO KIU YETU.
@AbinerRhuppiah
@AbinerRhuppiah 3 күн бұрын
Acha aseme maana yeye ndio chanzo cha haya yote mabovu kwakua ndio aliempa nguvu huyu mama Magu ndio chanzo.
@TNgwale-eu3xl
@TNgwale-eu3xl 3 күн бұрын
Kweli kabisa Magufuli ndie kasababisha yote haya na ni muhimu aongelewe. Yeye ndie alianzisha uhuni wote huu ​@@AbinerRhuppiah
@meckmussa1840
@meckmussa1840 3 күн бұрын
Shindwa pepo
@georgeWelele
@georgeWelele 2 күн бұрын
Magufuli alileta maiaji
@MariamJeremia-u7e
@MariamJeremia-u7e 2 күн бұрын
Na huyu mama amekua kama mwe da zake , lazima asemwe mwe da Zake,
@ClementMercelli
@ClementMercelli 2 күн бұрын
Hakika CCM wanataka kuipeleka nchi pasipostahili
@JacksonMsimbe-i3y
@JacksonMsimbe-i3y 2 күн бұрын
Mtanzania huyu sio mwoga noma
@johansenerasto5890
@johansenerasto5890 2 күн бұрын
Akili kubwa
@josephmasebo7777
@josephmasebo7777 2 күн бұрын
Hao kumi Kwa nini hamkupata.
@AbinerRhuppiah
@AbinerRhuppiah 3 күн бұрын
Sante rais mteuliwa na Mungu, subili kuapishwa tu ili hawa wajinga washangae mshangao mkuu.
@ClementMercelli
@ClementMercelli 2 күн бұрын
CHADEMA uchaguzi mkuu mwakani mje na Sera itakayojibu Hali nguma ya maisha na uduni wa huduma za jamii na ajira kwa vijana, Katina mpya, mikataba mibovu
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 Күн бұрын
Mm.sielewi mbona vyama vya.siasa.ni kama.vita kwann mbona.tunakuwa kama.vita ya wao kwA wao kwann tunagombana.kuna nn kwenye vyama vya.siasa
@liberatusmathias211
@liberatusmathias211 3 күн бұрын
ikulu pazuri
@AnnaFelix-p1z
@AnnaFelix-p1z 2 күн бұрын
Sasa mlisha wayi wona mwana mke akawa kicwa haiwezekani sisi wana wake tuishie kwenye ubunge 2 siyo uraisi hapana
@chiefmajai9345
@chiefmajai9345 2 күн бұрын
Tatizo hamsemi mta wafanyia nini wananchi
@josephsumari1229
@josephsumari1229 Күн бұрын
Nyie mtawafanyia nn
@gracemairusya2950
@gracemairusya2950 Күн бұрын
Tatizo unapambana na magufuli
@JumanneMuryery-jy2bp
@JumanneMuryery-jy2bp 2 күн бұрын
Ongea seta za.chama si shutuma .ww ni msomi unaongea ovyo
@AugustKisaka-qy7kl
@AugustKisaka-qy7kl 3 күн бұрын
Zipo karata za kucheza, chadema changisheni karata mapema
@fredypastoryutd4864
@fredypastoryutd4864 3 күн бұрын
Kuna mama mmoja hapo mbele cheko lale, anavyocheka mi hoi huku😂
@FraddyNibitanga
@FraddyNibitanga 2 күн бұрын
Uyu anadaganya wanaichi hawezi kutawala Tanzania maneno mengi urimucukiya magufuri kwa mazuri utamupenda samia
@AnaniaIsaya-z9g
@AnaniaIsaya-z9g 2 күн бұрын
Mjinga wewe Tangu lini LISSU kada ganya
@KelvneJeremia
@KelvneJeremia 2 күн бұрын
Wambie hao
@MariamJeremia-u7e
@MariamJeremia-u7e 2 күн бұрын
Huyu mama huyu
@SengalaRajabu
@SengalaRajabu 2 күн бұрын
Lisu ilaumu time maana hiyo tume hukuipinga na hiyo hatua unayotaka ni ugomvi húó sisi hatutaki ugomvi tunaishi kwa Amani ,hata hivyo mdomo wako ni mchafu hustahili kumshambulia mtu na familia yake huwo sio ustaarabu kwa mtu kama wewe sema kiustaarabu kama wenzako ,huwezi fundisha Jamii kwa kinywa kichafu .
@Jephason-m3z
@Jephason-m3z Күн бұрын
Hakuipinga kupiga kelele Kote Mpaka maprofesa na maaskofu wakaipinga vp jamaa?!!!
@johansenerasto5890
@johansenerasto5890 2 күн бұрын
Rais wetu 2025 huna mpinzan baba
@prochesytesha8040
@prochesytesha8040 2 күн бұрын
Yani uchaguzi wanauweka siku za kazi huku kwetu ni siku za masoko hii michezo ya kijani bhana
@MagdalenaBeenad
@MagdalenaBeenad 3 күн бұрын
Ila lisu we kiboko unanifurahishaga sana
@JacksonKivuyo-b1v
@JacksonKivuyo-b1v 2 күн бұрын
Oóoo mali zetu zimeisha
@Fundi12345
@Fundi12345 3 күн бұрын
Tatizo siyo lisu ni chama hiyo duùuuuuu
@gebhardnyoni7246
@gebhardnyoni7246 3 күн бұрын
Wagombea au wahuburi tuambieni mnataka kuifanyia nini nchi.
@TNgwale-eu3xl
@TNgwale-eu3xl 3 күн бұрын
CCM wameifanyia nini Nchi tangu 1961? Vyoo vya matundu? Barabara nyembamba na mbovu kama mifereji ya maji? Acha umbulala Chawa mkubwa wewe !!
@johansenerasto5890
@johansenerasto5890 2 күн бұрын
Tuko na huyu mwamba na tunatamba nae2025 pia hana mpinzan
@johansenerasto5890
@johansenerasto5890 3 күн бұрын
Asiemwelewa huyu mwamba ni chiz
@adrophwilliam3225
@adrophwilliam3225 3 күн бұрын
Tutawakabili tu
@johansenerasto5890
@johansenerasto5890 2 күн бұрын
Mwamba huyu hapa
@RobertWarkoi
@RobertWarkoi 2 күн бұрын
Tuambiwe mtatufanyia nn
@LadlasLusambo
@LadlasLusambo 3 күн бұрын
Wambie.wategeme.a.police.hao.
@stefanomasolwa8979
@stefanomasolwa8979 3 күн бұрын
Hiyo ndiyo Tatinzo lako Mzee Tundu lisu kwa kweli utaweza ukapewa Urais ila sasa lifahamu kwamba Rais J.P Magufuli ni Rais Shujaa kwelikweli sasa achana na Jina la Aliye tanguliya Mbele ya Haki acha kabisaa Mzee
@MzeewaslowHusseinAndrew
@MzeewaslowHusseinAndrew 3 күн бұрын
Marehemu sio kosa kusema matatizo yake enzi ya uhai wake, nyie watu wajinga wachache ndio mnaona nikosa
@joshuahamis2738
@joshuahamis2738 3 күн бұрын
Shujaa kwa namna gani wkt alitaka kuua vyama vya upi nzani na Mungu akasema bora uondoke wewe
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 3 күн бұрын
Lisu achaguliki kama Rais hawezi kumfikia JPM hata kidogo. Huyu ni mwanasiasa asiyejua mawazo wananchi angejua mawazo yetu watanzania angeachana na JPM. JPM alikuwa kiongozi sio mwanasiasa huyu lisu anazaminiwa na nchi za ulaya ili awape Nini?
@joscamwoshezi2986
@joscamwoshezi2986 3 күн бұрын
Utaendelea kupiga kelele tu. Huna kitu.sera wapi ndugu.
@jangalaalexbubehi7658
@jangalaalexbubehi7658 3 күн бұрын
Muanzilishi wakuteka na kuengua
@CLEMENTNDOLE
@CLEMENTNDOLE 3 күн бұрын
Bora kuzungumzia ni kwanini chama cha CHADEMA hakipati wagombea kulikoni kuzungumza vinginevyo.
@boniphacewambura1427
@boniphacewambura1427 3 күн бұрын
Unauhakika chadema hawakupata wagombea ?
@kazikazicompany-yl6sd
@kazikazicompany-yl6sd 2 күн бұрын
Lek hapa
@erickayilla
@erickayilla 3 күн бұрын
Lisu ni mwendawazimu ambaye hajapimwa akili tu. Ni ndoto za mchana kuoata urais nchi hii hata kwa dawa...HAWEZI !!!!
@HelakridiWella
@HelakridiWella 3 күн бұрын
Kamaa hawezi kwann hakuna uchaguzii huru na haki ???😂😂
@greydonalds4286
@greydonalds4286 3 күн бұрын
CCM ni manyang'au kweli. Ila shida kubwa ya Lissu ni kwamba hajawahi kuzungumzia atalifanyia nini taifa, au hata kuonesha kwa vitendo j8mboni kwake. Yeye kampeni zake huwa ni za kuwashambulia tu watu wa serikali. Mwanasiasa wa ajabu sana huyu.
@AnnaFelix-p1z
@AnnaFelix-p1z 2 күн бұрын
Mda Bado wakusema subili uchaguzi mkuu maana ccm waga inatedea kazi Sela za chadema unakumbuka walivyo SEMA elim bule wakwanza na wawo nikama nisela zao fanya tu uamzi wakuitowa ccm nikichomi
@stewartdyamvunye-wz6rn
@stewartdyamvunye-wz6rn Күн бұрын
Hivi wewe upo dunia gani? Siku zote CHADEMA wamesema wataikomboa nchi yetu ifuatavyo: watasimamia katiba mpya katiba pendekezwa ya wananchi - tume ya Warioba, watapunguza matumizi ya serikali yasiyo ya lazima - mfano sera ya majimbo, watafumua mikataba yote yenye utata ili kurudisha raslimali za taifa kwa manufaa ya wananchi, watapambana na ufisadi na rushwa. Haya, kwa kutaja machache, yakifanikiwa, neema au/na ustawi utarudi kwa umma.
@michaelkisesa3959
@michaelkisesa3959 Күн бұрын
Ma askofu usiwaingize kwenye siasa kaka , Fanya siasa zako kwa njia zako na sio kushirikisha viongozi wa dini.
@kazikazicompany-yl6sd
@kazikazicompany-yl6sd 2 күн бұрын
😅😅😅😅😅😅
@karimmveyange280
@karimmveyange280 Күн бұрын
UKIKUTA KUNAWATU WANAMSEMEA VIBAYA JPM , HAO AU HUYO NIMFANO MZURI WA SHETANI LA KIBINADAMU. SHUKURUNI KWA YOTE ALIYO YAFANYA KWA MIAKA 4 TU , YOTE HAYO INGECHUKUA MIAKA 30. MBONA HAMNA AKILI NYIE MAPOYOYO ?
@MashakaMagesa
@MashakaMagesa 3 күн бұрын
Mh Majaliwa na Makonda ndiyo kiboko ya wapinzani CCM 2025 Wakiwapa nafasi hao nafasi ya Urais CCM ushindi mapema sana kama Mnyama
@godfreykahabi1964
@godfreykahabi1964 3 күн бұрын
Mpumbavu Sana ww
@jangalaalexbubehi7658
@jangalaalexbubehi7658 3 күн бұрын
Choko tu
@MashakaMagesa
@MashakaMagesa 2 күн бұрын
@@godfreykahabi1964 Akili ndogo huwezi kuongea na Akili kubwa utabakia kuropoka tu wewe nchi hii ni ya CCM
@BarackmunaBarack
@BarackmunaBarack 3 күн бұрын
Unafaa kuwa msemaji ila kwa kuwa rais ww hufai bora wanipe mm ambaye sjasoma kabsa kulkon ww hufai atakuwa balozi wa mtaa
@KephaMwailolo
@KephaMwailolo 3 күн бұрын
Wewe ndo mpumbavu kabisa nenda zako pumbavu,
@hassanihamisi6239
@hassanihamisi6239 3 күн бұрын
Ww baraka kakupa nan tanzania au kwenu kure singida ata kwenye wiraya yako tu singida ukuwasaidia chochote uritakiwa uonyeshe mfano pare
@JamesSichimata
@JamesSichimata 3 күн бұрын
Karibu sana Uberigiji
Players push long pins through a cardboard box attempting to pop the balloon!
00:31
I thought one thing and the truth is something else 😂
00:34
عائلة ابو رعد Abo Raad family
Рет қаралды 7 МЛН
The Ultimate Sausage Prank! Watch Their Reactions 😂🌭 #Unexpected
00:17
La La Life Shorts
Рет қаралды 8 МЛН