Kwaya ya Mt. Kizito Makuburi walivyoimba kwa Mara ya kwanza Wimbo wa "Tunarudi Nyumbani" jukwaani.

  Рет қаралды 35,117

Jugo Media

Jugo Media

Жыл бұрын

𝐖𝐄𝐙𝐄𝐒𝐇𝐀 𝐔𝐓𝐔𝐌𝐄 𝐖𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐊𝐔𝐏𝐈𝐓𝐈𝐀 𝐌-𝐏𝐄𝐒𝐀 𝐋𝐈𝐏𝐀 𝐍𝐀𝐌𝐁𝐀 𝟓𝟎𝟓𝟒𝟔𝟑𝟓 𝐉𝐈𝐍𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐍𝐄𝐓𝐖𝐎𝐑𝐊
Follow this link to join my WhatsApp group: chat.whatsapp.com/GDS87FVmKB5...
Tumsifu Yesu Kristo, Napenda Kukushukuru kwa Kuwa Mdau Mpendwa wa Jugo Media. Tunapenda kukutaarifu kuwa Tumeandaa Group Maalum kwa Ajili ya Kupokea Taarifa Mbalimbali za Kanisa, Misa Live, Vipindi vya Kanisa nk kutoka Jugo Media. Kama ungependa Kuungana Nasi Tunaomba Ujiunge kwa Hiari Kupitia Link Hiyo Juu. Mungu Akubariki Daima
KAMA UNGEPENDA KUPATA TAARIFA KUHUSU KANISA KWA NJIA YA WHATSAPP TAFADHARI TUMA UJUMBE KWA WHATSAPP UKISEMA NIUNGE KISHA JINA LAKO KWENDA NAMBA +255757560764 au BONYEZA LINK HII wa.me/+255757560764?text=NIUN...) (SAVE HII NAMBA KWANZA, ANDIKA JUGO MEDIA) UBARIKIWE SAMA
KAMA UNA HABARI NA UNGEPENDA KUSHIRIKI PAMOJA NASI TAFADHARI WASILISHA KUPITIA WHATSAPP NO +255757560764 AU BONYEZA wa.me/+255757560764?text=Taar...)
Tafadhali Subscribe, Like, Comment na Share tone hili la upendo kwa ndugu jamaa na marafiki.
𝐉𝐮𝐦𝐮𝐢𝐤𝐚 𝐧𝐚𝐬𝐢 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐦𝐢𝐭𝐚𝐧𝐝𝐚𝐨 𝐦𝐢𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐲𝐚 𝐊𝐢𝐣𝐚𝐦𝐢𝐢:
Instagram: / jugo_media
Facebook: / jugomedia2019
𝕄𝕒𝕨𝕒𝕤𝕚𝕝𝕚𝕒𝕟𝕠:
JUGO MEDIA,
Sokoine Drive, Posta
P. O. BOX 34014,
Dar es Salaam.
For Bookings and other Enquiries
Phone Number +255757560764/657790405
#jugomedia #kanisakatoliki #familiatakatifu #wawata #uwaka #viwawa #australia #unitedstates #canada #america

Пікірлер: 24
@LeanardNdikumuremyi-ds3ys
@LeanardNdikumuremyi-ds3ys 3 ай бұрын
Hongela watu wangu nawapenda sana bitawewezekanaje niimbe nanyi natamani sana mungu awabalikisana nawapenda
@patrickorganist8554
@patrickorganist8554 Жыл бұрын
Daah wana Makuburi yani ajabu.....🔥🔥🔥 kazi safi mzidi kumiminiwa baraka tele
@user-ln6eq5rl5x
@user-ln6eq5rl5x 5 ай бұрын
True true ❤❤❤
@joelsum3707
@joelsum3707 2 ай бұрын
Bwana hawe nanyi siku zote,ongereni sana
@mariahaule297
@mariahaule297 Жыл бұрын
Kweli like waliimba kuhusu kumiminiwa baraka, imekuwa. Hongera
@margaretkirechu-sg3zq
@margaretkirechu-sg3zq Жыл бұрын
I really love this choir I wish I can relocate to join the choir.
@jestuschisanga5489
@jestuschisanga5489 Жыл бұрын
Marvellous, Extremely beautiful. Music. Makumburi. I don't understand Swahili. But I really appreciate the Choir. God bless Makumburi and all Members.
@user-bs8ib7sb9x
@user-bs8ib7sb9x 5 ай бұрын
Awesome choir, great organist and drummer. I don't understand the language but loved it.
@user-yx8cy1oe9l
@user-yx8cy1oe9l 28 күн бұрын
Good
@alfredbeny
@alfredbeny 3 ай бұрын
Hongeren Sana Mungu awaongezee balaka nyingi Sana kwa Kaz ya kuinjilisha .
@tadeimallya7302
@tadeimallya7302 5 ай бұрын
Mpiga ngoma 🎉🎉🎉
@poncegk5263
@poncegk5263 Жыл бұрын
Dah 😂 mpiga ngoma alienda course ya upigaji ngome, Jamaa anaujua sana
@anoldshirima3291
@anoldshirima3291 3 ай бұрын
Nomaaa
@user-jo9nq2ls5x
@user-jo9nq2ls5x 11 ай бұрын
Mbalikiwe namungu kwa kazi ya uinyilishaj
@rosekapingu-hs5rd
@rosekapingu-hs5rd 6 ай бұрын
Hongereni sanaaaa
@user-ln6eq5rl5x
@user-ln6eq5rl5x 5 ай бұрын
❤❤️❤️❤️❤️❤️❤️😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
@user-ln6eq5rl5x
@user-ln6eq5rl5x 5 ай бұрын
Makuburi 😍😍😍😍😍😍😍😍❤️❤️❤️❤️❤️
@danielmangame3968
@danielmangame3968 4 ай бұрын
Congratulations!
@prosperiamdetele1421
@prosperiamdetele1421 Жыл бұрын
Hongeren Kwa Kaz ya mung
@poncegk5263
@poncegk5263 Жыл бұрын
Hongereni wanakwaya kwa kazi nzuri mnayoifanya
@phoibepyuza937
@phoibepyuza937 Жыл бұрын
Mungu awabariki Kwa kusari mara mbili mssrudi nyima
@simonirafael
@simonirafael Жыл бұрын
Saluti sana ninomaa
@Bonnae..11
@Bonnae..11 Жыл бұрын
Jugo media improve on video rotation
@asellakishenyi4572
@asellakishenyi4572 10 ай бұрын
Shikamoo kamati ya ufundiiiiiii
KMK MAKUBURI PERFORMANCE SEGMENT 2 - TAMASHA LA LEDOCHOWSKA
38:40
KMK MAKUBURI
Рет қаралды 29 М.
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 63 МЛН
Я обещал подарить ему самокат!
01:00
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 9 МЛН
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 10 МЛН
NYIMBO NZURI ZA BIKIRA MARIA
1:11:28
ImbaNasi
Рет қаралды 13 М.
Kwa Ajili Ya Mateso Makali Ya Yesu
23:55
Catholic Hits
Рет қаралды 251 М.
🔴LIVE: KMKMAKUBURI NDANI YA TAMASHA LA YESU NI MWEMA (TYM-11)
53:39
Naomba Baraka by- Kmk Queens St. Kizito Makuburi
6:34
Alexander mumo
Рет қаралды 2,5 МЛН
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 63 МЛН