MUNGU wetu, tunashukuru kwa matunda mema kwenye familia zetu na tunazidi kukutukuza kwa nyimbo na sala. Asanteni sana chang'ombe singers.
@GeorgeWeyakisala7 ай бұрын
Kwa kweli hizi tuzi zimetukuka yaani injili inazidi kuwafikia wanadamu mungu ni mwema .azidi kuwapa maona muzidi kutunga nyimbo nyingi amen 🙏
@AloyceKipangula7 ай бұрын
Asante Sana George
@VeronicaObonyo-l5o11 ай бұрын
Nyimbo mzuri za kupendeza
@AloyceKipangula11 ай бұрын
Asante Sana Veronika
@esthermundia3938 Жыл бұрын
Mungu awabariki Kwa nyimbo nzuri za kufariji mioyo yetu
@AloyceKipangula Жыл бұрын
Amina
@irungukamau73632 жыл бұрын
Chang'ombe. Tumsifu Yesu Kristo. Niko Maeneo ya Olkalou, Nyandarua,Kenya. Nawapenda Sana.
@AloyceKipangula2 жыл бұрын
ASANTE SANA NDUGU IRUNGU KUTOKA NYANDARUA KENYA. ASANTE KWA KUTUPENDA NA KUTUFUATILIA. ENDELEA KUTUFUATILIA NASI TUNAKUAHIDI KUKULETEA NYIMBO NYINGINE NZURI SANA HIVI KARIBUNI LITAKUWA NI TOLEO JIPYA
@MorinNyabesi Жыл бұрын
Nice songs
@cesiliamaneno95666 ай бұрын
Mungu awabariki sana kwa nyimbo nzuri zinanibariki sana 🎉
@AloyceKipangula6 ай бұрын
Asante Sana Cesilia Maneno endelea kutuombea
@mainajohn12448 ай бұрын
Tumsifu yesu kristo
@AloyceKipangula7 ай бұрын
milele Amina
@magrethsabibi901110 ай бұрын
Mungu awabariki
@BelindaKikove-jw4lh Жыл бұрын
Tunabarikiwa
@nakirijjajanet4241 Жыл бұрын
Nimependa sana zinatia moyo asanteni sana
@AloyceKipangula Жыл бұрын
Tumshukuru Mungu
@ClarenceMoyo-no8fr Жыл бұрын
Wimbo mzuri, hunibariki Sana.
@denisowade43372 жыл бұрын
Kazi nzuri. Hongera
@ChristinaClement-ef2vc Жыл бұрын
Nyimbo nzurii🙏❤
@MerryMusimo8 ай бұрын
Axant mwenyez mungu japo napitoa changamoto nying xn lakini mung yu pamoj nam
@jamesmacha22515 ай бұрын
Pole Mary na changamoto, japo ni miezi miwili kama bado au mara upitiapo changamoto yoyote kubwa basi usisite kwenda mbele za Mungu kupitia Novena ya Mt. Rita wa Kashia, ni mwombezi wa Mambo yaliyoshindikana
@jeanmbikayi.8610 Жыл бұрын
Muana yesu asifiwe❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@alexbushishi83422 жыл бұрын
Best song for meditation!
@generosafidelis77642 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana hongereni
@AloyceKipangula2 жыл бұрын
Asante Sana Generosa Fidelis. Mungu atubariki sote
@sophiesophie64522 жыл бұрын
Nyimbo nzuri zaeni matunda mema , nyimbo ya zamani lkni bado haichoshi jamani catholic ndiyo kanisa langu ,barikiweni waimbaji
@AloyceKipangula2 жыл бұрын
ASANTE SANA- SOPHIE . TUBARIKIWE SOTE
@victoriousmakundi4771 Жыл бұрын
@@AloyceKipangula me mm.
@MwombekiMushumbusi Жыл бұрын
@@AloyceKipangulappppppp9
@piusmogendi249 Жыл бұрын
@@AloyceKipangula❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@johnmogaka982210 ай бұрын
Zaeni matunda mema 😢I still remember it being written in the eulogy of my fiance in the last page I live to remember 2012>2024>>>