AMEEN 🙏🎉🎉🥳🥳🌹🌹, Mwenyewe Mungu awabariki sana ndgu zangu ktk Bwana🥰🥰🥰🙌
@edithmakundingarashi755918 күн бұрын
Hongereni sana vijana Keko. Hakika huu wimbo mmeutendea haki. Mungu awabariki na kuwapaka mafuta ya kwenda viwango vya juu zaidi. Ni vijana wachache sana KKKT wanaoimba kwa.noten
@elct-kekolutheranyouthchoi982818 күн бұрын
Amen
@joanmsuya571715 күн бұрын
Amen. Asante sana mama
@nicemasanja81593 күн бұрын
Wimbo mzuri sana, hongereni kwa kutubariki
@BrunoSecha18 күн бұрын
Short ya Mwalimuu kalii sanaa.....Mko Motooo
@JoshuaHilgath19 күн бұрын
Itoshe kusema mmependeza sana na wimbo mzuri sana Mungu awabariki sana ❤❤
@IreneMwamboma-ce1rg11 күн бұрын
Hongereni sana kwaya ya vijana MUNGU aendelee kuwatumia❤
@BrunoSecha18 күн бұрын
Kwaya bora ya Noten katika Dayosisi ya Mashariki na Pwanii ( KKKT ) Ni Kwaya ya Vijana keko ( KVK )....Moto mwningine wa Injilii...Mungu Awabarikii ❤🙏
@AzeryGodfrey19 күн бұрын
wimbo mzuri sana, mungu awabarki sasa
@JoshuaHilgath19 күн бұрын
🎉🎈🎄🎅🎅💃💃🧑🍼Azaliwe na mioyoni mwetu
@isayawally910619 күн бұрын
Hakika Kazi imetulia Mungu naendelea kuwatumia wana wa Baba
@joanmsuya571719 күн бұрын
Amen
@elizabethchanzi82719 күн бұрын
Kazi nzuri Mungu azidi kumpigania nakuwapa ufunuo mpya kila siku
@joanmsuya571718 күн бұрын
Amen
@upendombowe18385 күн бұрын
Mbarikiwe sana vijana kutoka Keko.
@AntonyFabiano-lj5bg17 күн бұрын
❤ Jingles bell boraa🎉🎉 big up!!!
@irenenkya133017 күн бұрын
God bless you. Kweli mnajua. Mungu azidi kuwainua
@magrethkyando96218 күн бұрын
Mungu awabariki sanaaa wimbo Ni mzuri video ipo clear hongereni sanaaaa Na Mungu azidi kuwapa kibali Na Neema katika huduma yenu
@KiviaMgonja18 күн бұрын
Duh wimbo mzuri sana mbarikiwe mno huo uimbaji kama wa sda itabidi siku Moja tuwaalike Moshi kilmanjaro mje Kwa uzinduzi.
@joanmsuya571718 күн бұрын
Asante sana
@shanichalamila824118 күн бұрын
Mungu wa mbinguni awabariki San watumishi wa Mungu,wimbo unavutia had moyoni
@jovintandala233218 күн бұрын
💯💯🙏🏾🙏🏾💪🏾
@elct-kekolutheranyouthchoi982818 күн бұрын
Amen
@joanmsuya571718 күн бұрын
Amen
@DenisMlay-j5g18 күн бұрын
Mumetisha sana kvk keko
@DorahMeshack19 күн бұрын
Vijana wangu watoto wa HQ Tanzania,watoto wa Selina na Godfrey Letara mmewezaaaaaaaaaaaaa
@elct-kekolutheranyouthchoi982819 күн бұрын
Amen
@kennethstanley431619 күн бұрын
Huu wimbo ni baaaalaaaa aise kvk ni moto mwingine wa injili