Mnaimba vizuri mavazi mpaka mapaja yanaonekana.jamani tubadilike tuvae nguo yaheshima
@MariamEmmanuel-d6c3 күн бұрын
Mungu azidi kuwatumia wengine waokolewe
@nicemasanja81593 күн бұрын
Wimbo mzuri sana, hongereni kwa kutubariki
@alphayomogunde78284 күн бұрын
You are singing like that of the S.D.A choir!
@winfridamethusela28024 күн бұрын
AMEEN 🙏🎉🎉🥳🥳🌹🌹, Mwenyewe Mungu awabariki sana ndgu zangu ktk Bwana🥰🥰🥰🙌
@upendombowe18385 күн бұрын
Mnaimba vizuri sana kwaya kvk. Sifa apewe Bwana kwa sauti yenu nzuri ya uimbaji
@upendombowe18385 күн бұрын
Mbarikiwe sana vijana kutoka Keko.
@vicentamandus61496 күн бұрын
Wimbo mzuri sana huu aseh .. Kwa playlist ni wa kwanza huu😊
@divinehaibei98016 күн бұрын
Sasa ninaonaa ❤
@justinamwanza37348 күн бұрын
Glory to God Kazi nzuri sana
@HUSSEINRAHIM-y1o9 күн бұрын
Umoja wa vijana keko tunazidi kuona uwepo wenu🎉
@FarajaPera-mh1tb10 күн бұрын
Wimbo mzur sana jamani
@ChristineGari10 күн бұрын
I love the way you sing it makes me feel like Jesus is coming soon
@salomelugaila97412 күн бұрын
Mb0na Wimbo unafanana na sda kurasini 3:37
@IreneMwamboma-ce1rg12 күн бұрын
Hongereni sana kwaya ya vijana MUNGU aendelee kuwatumia❤
@AngelaMagoti14 күн бұрын
Mi nikajua wasabato unaona sasa huu ndo uimbaji siyo kurukaruka kama mmeshikwa na degedege hapa safi. Huu ndiyo uimbaji wa kikristo mbarikiwe sana.
@BenjaminMdoe-j2z15 күн бұрын
Nawapongeza sana umoja vijana keko kazi Iko vizur nazani Kwa Kwaya za vijana Kwa Dayosisi ndiyo Kwaya inayo fanya vizur katika uwimbaji pia ht Kwa maono ya kazi ya MUNGU mko vizuri nazani nimwaka wa 5 hamja tuwangusha Mnatoa kazi mzuri sn ht uwimbaji wenu unatubariki sn Mdumu katika maombi na kijishusha Barazani pa Mungu azidi kuwapa viwango zaidi 🎉🎉🎉🎉
@irenenkya133016 күн бұрын
Jamani mnajua🙌🙌💅👏👏, Mungu azidi kuwainua na kuwapa unyenyekevu.
@AntonyFabiano-lj5bg17 күн бұрын
❤ Jingles bell boraa🎉🎉 big up!!!
@AntonyFabiano-lj5bg17 күн бұрын
Be blessed 🙌🏾🙏🏾
@AlexanderAmrys17 күн бұрын
Ivi ile walioitwa wengi jina lake ni lipi
@AlexanderAmrys17 күн бұрын
Hellow nzuri sana kama ile amefanyaje
@zawadielmchomvu225118 күн бұрын
Hongereni sana kvk mnaupiga mwingiiii Mungu azidi kuwabariki
@CalvinePaul-i8v18 күн бұрын
mpo vizuriii arushaa see you soon❤❤
@AllenKimweri-gb2rr18 күн бұрын
Amen
@charlesmashalla451018 күн бұрын
❤❤🎉 kubwa nyingine hii 👏🏾👏🏾👏🏾🙌🏾 hongereni sana familia
@joanmsuya571718 күн бұрын
Asante sana. Utukufu ni Kwa Mungu
@irenenkya133018 күн бұрын
God bless you. Kweli mnajua. Mungu azidi kuwainua
@glaureazebedayo642018 күн бұрын
Nice song
@neemamkunte312718 күн бұрын
🎉❤❤❤❤❤wimbo mzur sana Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu, 🙏 Mwalimu Mungu akubariki kwa utunzi mzur
@joanmsuya571718 күн бұрын
Amen
@AlexanderAmrys18 күн бұрын
@@joanmsuya5717 napenda sana kazi zenu zote ivi na ile
@AlexanderAmrys18 күн бұрын
Inayoimbwa walioitwa wengi ina itwaje naipenda sana ila siioni online
@magrethkyando96218 күн бұрын
Mungu awabariki sanaaa wimbo Ni mzuri video ipo clear hongereni sanaaaa Na Mungu azidi kuwapa kibali Na Neema katika huduma yenu
@DenisMlay-j5g18 күн бұрын
Mumetisha sana kvk keko
@kennethstanley431618 күн бұрын
Tunawashukuru wote mnaoendelea kututia moyo katika kazi hii ya injili Mungu azidi kuwabariki
@grelightmushi610618 күн бұрын
Amen .
@wilhelminajob358118 күн бұрын
Uzaliwe ndani yangu ee Mesia!!
@fredyurassa-s8b18 күн бұрын
Hongereni sana sana
@fredyurassa-s8b18 күн бұрын
Mungu aendelee kuwainua mko vizur sana sana ,, mbarikiwe sana
@joanmsuya571718 күн бұрын
Amen. Utukufu ni Kwa Mungu
@ErnestGeorgeHizza18 күн бұрын
Japo hatukumtambua amekuja kwetu
@BrunoSecha18 күн бұрын
Kazii nzurii ,Utunzii Mzurii.....Mungu azidi kubarikii na Kutupa Kibalii 🙏
@JoshuaHilgath18 күн бұрын
Amina usinipite Bwana maishani mwangu nikuone
@JoshuaHilgath18 күн бұрын
Hallelujah Hallelujah
@fidelisluvanda358519 күн бұрын
You never disappoint 🎉🎉❤❤love you all the time
@elimanase19 күн бұрын
Hatimae nmekuwa wa kwanza kuiona video hii baada ya jana kuzinduliwa ibadani🎉
@joanmsuya571718 күн бұрын
Hongera sana
@Mlunja19 күн бұрын
One of the best choir 🤗🤭🤭🤭
@KiviaMgonja19 күн бұрын
Duh wimbo mzuri sana mbarikiwe mno huo uimbaji kama wa sda itabidi siku Moja tuwaalike Moshi kilmanjaro mje Kwa uzinduzi.
@joanmsuya571719 күн бұрын
Asante sana
@Vee_money19 күн бұрын
Mungu awainue sanaaaa
@joanmsuya571719 күн бұрын
Amen. Utukufu ni Kwa Mungu
@HUSSEINRAHIM-y1o19 күн бұрын
Mmetisha sana kwenye huu wimbo
@joanmsuya571719 күн бұрын
Asante
@HUSSEINRAHIM-y1o19 күн бұрын
Let the bell of joy heard every where🎉
@jovintandala233219 күн бұрын
Kazi ya kuutangaza ufalme wa Mungu inaendelea kwa kasi🔥🔥💯
@edithmakundingarashi755919 күн бұрын
Hongereni sana vijana Keko. Hakika huu wimbo mmeutendea haki. Mungu awabariki na kuwapaka mafuta ya kwenda viwango vya juu zaidi. Ni vijana wachache sana KKKT wanaoimba kwa.noten