Niliumwa sana toka December hadi mwezi huu mwazoni lakini damu yake imenitakasa na nimepona asante yesu msalaba wa kalivari I'm happy nyimbo nzur sana Mungu awabariki waimbaji wote
@elct-kekolutheranyouthchoi9828 Жыл бұрын
Kwa kweli ni Hallelujah kwa Jehovah! Barikiwa sana sana Norah endelea kuwa nasi nyakati zote
@josephotienoomondi8668 Жыл бұрын
😊😊
@Teemovingbusiness2 жыл бұрын
Mbarikiwe sana tokea mlivokuja kkkt kuhudumu yombo vituka yaan mnanibariki sanaa na nyimbo zenu hasaa wimbo wa amefanyaje haipiti siku sijasikiliza
@elct-kekolutheranyouthchoi98282 жыл бұрын
Ameen, karibu sana Jumapili hii tuna tamasha kubwa sana
Hongereni sana wanakwaya kwa mwimbo mzuri sana wa msalaba maana hata ninapopitia katika magumu mengi nakimbilia msalaba wa Kalvari na kuweza kuyashinda yote. Naomba mumwimbie Mungu wetu katika Roho na Kweli. Mbarikiwe sana
@elct-kekolutheranyouthchoi9828 Жыл бұрын
Wow!, ahsante sana Anna, Mungu aendelee kukubariki endelea kuwa nasi
@imerdasaid57042 жыл бұрын
Msalaba wa Calvary,..Mungu aendelee kuwainua viwango vya juu zaidi vijana keko
@wilsonsospiter98872 жыл бұрын
Nawapenda Sana , Mungu awalinde hiyo kwaya msiiharibu
@bwireasteria56042 жыл бұрын
Hii style yenu ya kuimba as SDA choirs imekuwa ikinifanya kuwafatilia na kubarikiwa zaid na nyimbo zenu, Mungu awabariki sana na kuwatia nguvu mnapozdi kueneza injili kwa njia ya nyimbo na zaid atusaidie kuishi ktk misingi ya kumpendeza ili ajapo mara ya pili bac tukaungane na watakatifu kwenda kuimba ule wimbo wa Musa na mwana Kondoo.
@larckybinhaider60502 жыл бұрын
uko kama mm😂😂😂😂sjui nan anawafundish awengne pia inatakiwa waige hv inapendea sana
@elct-kekolutheranyouthchoi9828 Жыл бұрын
Amen Mbarikiwe
@petermachembe9041 Жыл бұрын
Huyu mwalimu wao wasimwache. Itakuwa kwaya Nzuri kuliko zote za Kilutheri
@ponsianmatimo6812 жыл бұрын
Utulivu wa khal ya juu...barikiwen san
@pwoka52082 жыл бұрын
Good one Nawapenda tu❤
@Bmtstudiostz2 жыл бұрын
Utukufu kwa Mungu kazi nzuri ujumbe makini
@elct-kekolutheranyouthchoi9828 Жыл бұрын
Amen sana producer wetu! Mungu aendelee kubariki kazi ya mikono yako endelea kuwa nasi
@falijiubamba41552 жыл бұрын
Ameen Msalaba WA calvary ndio nilipata wokovu Mungu awabariki sana
@wilsonsospiter98872 жыл бұрын
Siku moja mtafanya nije nisali nanyi kutoka Mwanza ingawa nasali dhehebu tofauti kidogo maana huo uimbaji unanikosha kiukweli
@PeterFesto-u2hАй бұрын
Mungu awakumbuke katika ufalume wake mnanibariki sana
@elishaerasto84012 жыл бұрын
Mungu awabariki kwa kuimba kwa utukufu bila kunengua viuno.... Nzurii sanaa
@elct-kekolutheranyouthchoi9828 Жыл бұрын
Ha ha Amen sana Elisha, BArikiwa sana na endelea kuwa nasi
@happinesssadock80602 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana na wimbo huu....... Barikiweni pia wana KvK
@elct-kekolutheranyouthchoi9828 Жыл бұрын
Amen Amen Happiness, ni furaha yetu. Endelea kubarikiwa, endelea kuwa nasi
@careenallyally36682 жыл бұрын
Da naipenda haii nyimbo mnoo
@upendo886 Жыл бұрын
Mungu awabariki sana Kwa uimbaji mzuri sana napenda sana nyimbo zenu nabarikiwa sana
@elct-kekolutheranyouthchoi9828 Жыл бұрын
Amen Upendo Mungu akubariki kwa kutazama karibu uendelee kuhudumu nasi kwa yote yajayo!
@pendonzota95232 жыл бұрын
Daah mnanikosha sana ,mnanipa faraja na kunitia nguvu nawapenda bure
@elct-kekolutheranyouthchoi9828 Жыл бұрын
Hi Pendo, ahsante sana tunafurahi kwa Kristo kukugusa kupitia nyimbo zetu Mungu aendelee kukubariki endelea kuwa nasi
@rosestephanotito2022 жыл бұрын
Wow kazi nzuri Sana mbarikiwe
@pendomaduhu93742 жыл бұрын
Kibaso acha alama kkkt kazi nzr wapendwa mungu awabariki sana
@estachengula390210 ай бұрын
Asante watu wa mungu barikiwa sana nyimbo zenu nzuri
@mariamhussein70312 жыл бұрын
Ahsanteni sana Wainjilisti wetu kwa kazi nzuri, Mungu azidi kuwabariki. Kazi yenu imenibariki.
@elct-kekolutheranyouthchoi9828 Жыл бұрын
Amen Mtumishi Mariam, Barikiwa sana , endelea kuwa nasi..
@kotridemwakyoma45662 жыл бұрын
Waoo nawapenda bure vijana Wa keko
@angelmuthaa2454 Жыл бұрын
SDA Spirit. Keep up Lutheran kkk youth. This Msalaba song is inspirational and really spiritual.
@helenahelena48692 жыл бұрын
Mungu awabariki sana vijana wa keko
@elizashio1270 Жыл бұрын
Mbarikiwe na Bwana
@hilgathjoshua88042 жыл бұрын
Ameni DAMU yake inanitakasa MSALABA wa karvali
@brightleornad46542 жыл бұрын
Hakika kupitia msalaba tumepata ushindi.
@LillieApiyo4 ай бұрын
Ameni mbarikiwe sana
@neemamollel35812 жыл бұрын
Amen,,Msalaba wa Calvar
@juliethkipeja47912 жыл бұрын
Karibuni Kkkt mtaa wa Saku
@elct-kekolutheranyouthchoi98282 жыл бұрын
Tualikeni tu wakati wowote tutakuja.
@priscahoduya8898 Жыл бұрын
Amen amen kwa msañaba wa kalvari
@divinemubiala93852 жыл бұрын
J'aime cette chanson vous êtes de quel province
@elct-kekolutheranyouthchoi9828 Жыл бұрын
Wow! merci beaucoup nous apprécions vos commentaires, restez bénis pour plus
@venicochogo13742 жыл бұрын
Ameni, damu yake inanitakasa .
@elct-kekolutheranyouthchoi9828 Жыл бұрын
Hallelujah! Barikiwa Venic endelea kuwa nasi..
@pendaelizakayo2385 Жыл бұрын
Ameni sanaaa mbarikiwe
@evelinangulo6476 Жыл бұрын
Amina mbarikiwe Sana jamani
@elct-kekolutheranyouthchoi9828 Жыл бұрын
Amen Evelina, Mungu akubariki kwa kutazama karibu uendelee kuhudumu nasi kwa yote yajayo!
@attubulenge5302 жыл бұрын
Nyimbo zenu zinamafuta Sana.Mtunzwe na Kristo Yesu
@elct-kekolutheranyouthchoi9828 Жыл бұрын
Amen Tuombeeni sana
@amonidafa9665 Жыл бұрын
Hawa ni wasabato kabisaa
@elct-kekolutheranyouthchoi9828 Жыл бұрын
Ha ha ni Walutheri pure kabisa ila staili tu ya uimbaji, barikiwa!
@nathanaelabednego99632 жыл бұрын
Kazi nzuri sana Mungu awabariki sana 🙏
@adolphinaadrof81052 жыл бұрын
Mungu awabariki
@adolphinaadrof81052 жыл бұрын
Mungu awabariki
@adolphinaadrof81052 жыл бұрын
Mungu awabariki
@jasperkisiraga89732 жыл бұрын
WOW! 👍👍 BIG UP
@naomkwamboka43082 жыл бұрын
Wowww amazing voices...msalaba wa calvary...halleluyah..
@elct-kekolutheranyouthchoi9828 Жыл бұрын
Barikiwa sana Naom, endelea kuwa nasi..
@JovitaSulle9 ай бұрын
Nipeni moyo watumishi wa mungu❤
@salvatatarimo22642 жыл бұрын
Damu yake inanitakasa....Msalaba wa Calvary
@christinefuraha8884 Жыл бұрын
God bless all. hii kwaya niya Wasabato?
@elct-kekolutheranyouthchoi9828 Жыл бұрын
Amen christina Mungu akubariki kwa kutazama karibu uendelee kuhudumu nasi kwa yote yajayo! Hawa ni walutheri pure kabisa ila style tu ya uimbaji
@angelinahassani30972 жыл бұрын
Mungu awabariki Sana watu wa mungu
@elct-kekolutheranyouthchoi9828 Жыл бұрын
Amen Angelina, Mungu akubariki sana. Endelea kuwa nasi
@frankmasangula13702 жыл бұрын
kazi nzuri
@kotridemwakyoma45662 жыл бұрын
Waooo hongereni sana vijana wa keko
@ayubumani4613 Жыл бұрын
Namwona Anna hapo nilisoma nae Cbe
@novochange50792 жыл бұрын
My all time favourite choir ,and am not a gospel guy 😄
@elct-kekolutheranyouthchoi9828 Жыл бұрын
Ha ha Thank you so much @Novo Change, we appreciate your support stay with us, maybe one day you'll be more than a Gospel guy!
@rafikielchezue7622 жыл бұрын
Jesus ur so good
@franciskiio9980Ай бұрын
Hiyo miguu
@peshenokwayo34632 жыл бұрын
Amen.sweet vocals
@elct-kekolutheranyouthchoi9828 Жыл бұрын
Amen Peshen, stay blessed, stay with us!
@ednaemmanuel73467 ай бұрын
Msalaba wa Calvary
@adamndelwah8799 Жыл бұрын
Kuna nyimbo moja naitafuta au hamjaimba nyinyi jamani 🤔 melody iyo down Niimbe pendo lake mwokozi .......
@elct-kekolutheranyouthchoi9828 Жыл бұрын
Habari Adam, pole sana huo sio wimbo wetu ndugu! Lakini endelea kubarikiwa na zingine zijazo pia
@HassanMugire7 ай бұрын
They sound like seventh Day Adventist
@namarajackline99592 жыл бұрын
AMIINA musaraba wa calvary
@pendomaduhu93742 жыл бұрын
Ameniiii, calvary pekee twapata pumziko
@Carolina-w6q Жыл бұрын
Waooow
@yusuphmalonja28 күн бұрын
Smart
@riwelpam34252 жыл бұрын
🙏🙏
@elct-kekolutheranyouthchoi9828 Жыл бұрын
Blessings...!
@AbdullahLacha-is8cv Жыл бұрын
W
@nurugiliad35048 ай бұрын
Aflkp
@juliethkipeja47912 жыл бұрын
Nawapenda bureeeeeeee
@elct-kekolutheranyouthchoi9828 Жыл бұрын
asante tunakupenda pia,,, usiache kushare na wengine wabarikiwe